Cap Prices WEF 5 Machi 2014 - Kiswahili

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 8

KUMB: PPR/14 - 3/1

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA MAFUTA AINA YA PETROLI KUANZIA
JUMATANO, TAREHE 5 MACHI 2014
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya
petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 5 Machi 2014. Pamoja na kutambua bei
kikomo za bidhaa mbalimbali za petroli nchi nzima, ni muhimu kuzingatia yafuatayo.

(a)

Bei za jumla na rejareja kwa mafuta ya aina zote yaani Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa zimebadilika
ikilinganishwa na toleo lililopita la tarehe 5 Februari 2014. Katika toleo hili, bei ya rejareja kwa mafuta
ya Petroli imeongezeka kwa Sh42/lita sawa na asilimia 1.95. Bei ya rejareja kwa mafuta ya Dizeli na
Mafuta ya Taa zimepungua kwa Sh 74/lita sawa na asilimia 3.50; na Sh 18/lita sawa na asilimia 0.9
sawia. Kwa kulinganisha matoleo haya mawili, bei ya jumla kwa mafuta ya Petroli imeongezeka kwa
Sh 42.07/lita sawa na asilimia 2.06. Bei ya jumla kwa mafuta ya Dizeli na Mafuta ya Taa zimepungua
kwa Sh 73.62/lita sawa na asilimia 3.66; na Sh 18.36/lita sawa na asilimia 0.93% sawia. Mabadiliko
haya yametokana na mabadiliko ya bei ya mafuta katika soko la dunia na kushuka kwa thamani ya
shilingi dhidi ya dola ya marekani.

(b)

Kwa mujibu wa Sheria ya Mafuta ya mwaka 2008, bei za bidhaa za mafuta ya petroli zitaendelea
kupangwa na soko. EWURA itaendelea kuhamasisha ushindani kwa kutoa taarifa za bei kikomo za
bidhaa za mafuta. Taarifa hizi zina lengo la kuwasaidia wadau kufanya maamuzi stahiki kuhusu
manunuzi ya bidhaa za mafuta.

(c)

Kampuni za mafuta zipo huru kuuza bidhaa za mafuta ya petroli kwa bei ya ushindani ilimradi
bei hizo ziko chini ya bei kikomo (price cap) kama ilivyokokotolewa na fomula iliyopitishwa na
EWURA na ambayo ilichapwa kwenye Gazeti la Serikali Na. 432 la tarehe 29 Novemba 2013.

(d)

Vituo vyote vya mafuta vinatakiwa kuchapisha bei za bidhaa za mafuta katika mabango yanayoonekana
bayana na yakionyesha bei ya mafuta, punguzo, vivutio vya biashara au promosheni zinazotolewa na
kituo husika. Pale ambapo inawezekana kuchagua, wateja wanashauriwa kununua bidhaa za mafuta
kutoka kwenye vituo vinavyouza mafuta kwa bei ndogo zaidi ili kushamirisha ushindani. Ni kosa kuuza
mafuta bila kuweka mabango ya bei inayoonekana vizuri kwa wateja na adhabu itatolewa kwa
kituo husika.

(e)

Wanunuzi wanashauriwa kuhakikisha kuwa wanapata stakabadhi ya malipo inayoonesha jina la kituo,
tarehe, aina ya mafuta yaliyonunuliwa na bei kwa lita. Stakabadhi hiyo ya malipo itatumika kama
kidhibiti cha mnunuzi wa mafuta endapo kutajitokeza malalamiko ya ama kuuziwa mafuta kwa bei ya
juu kuliko bei kikomo; ama endapo utakuwa umeuziwa mafuta yenye kiwango cha ubora kisichofaa.

A: BEI ZA REJAREJA

Mji
Dar es Salaam

Petroli
(Sh/Lita)
2,187

Bei Kikomo
Dizeli
(Sh/lita)
2,040

Mafuta Ya Taa
(Sh/Lita)
2,051

Arusha

2,271

2,124

2,135

Arumeru (Usa West)

2,271

2,124

2,135

Karatu

2,289

2,142

2,153

Monduli

2,276

2,129

2,140

Ngorongoro (Loliondo)

2,327

2,180

2,191

Kibaha

2,191

2,045

2,056

Bagamoyo

2,198

2,051

2,062

Kisarawe

2,194

2,047

2,058

Mkuranga

2,197

2,050

2,061

Rufiji

2,214

2,068

2,079

Dodoma

2,245

2,099

2,110

Bahi

2,253

2,106

2,117

Chemba

2,272

2,125

2,136

Kondoa

2,278

2,131

2,142

Kongwa

2,243

2,096

2,107

Mpwapwa

2,247

2,100

2,111

Iringa

2,251

2,104

2,115

Kilolo

2,255

2,108

2,119

Mufindi (Mafinga)

2,261

2,114

2,125

Njombe

2,279

2,132

2,143

Ludewa

2,317

2,170

2,181

Makete

2,310

2,163

2,174

Wanging'ombe
(Igwachanya)

2,277

2,130

2,141

Bukoba

2,402

2,255

2,266

Biharamulo

2,376

2,229

2,240

Karagwe (Kayanga)

2,418

2,271

2,282

Kyerwa (Ruberwa)

2,424

2,277

2,288

Muleba

2,402

2,255

2,266

Ngara

2,367

2,220

2,231

Misenyi

2,410

2,263

2,274

Geita

2,352

2,205

2,216

Bukombe

2,341

2,194

2,205

Chato

2,373

2,226

2,237

Mbogwe

2,390

2,243

2,254

Nyang'hwale

2,367

2,220

2,231

Kigoma

2,418

2,271

2,282

Uvinza (Lugufu)

2,430

2,283

2,294

Buhigwe

2,407

2,260

2,271

Kakonko

2,375

2,228

2,239

Kasulu

2,404

2,257

2,268

Kibondo

2,382

2,235

2,246

Moshi

2,260

2,114

2,125

Hai (Bomang'ombe)

2,264

2,117

2,128

Mwanga

2,254

2,107

2,118

Rombo (Mkuu)

2,281

2,135

2,146

Same

2,247

2,100

2,111

Siha (Sanya Juu)

2,267

2,120

2,131

Lindi

2,246

2,099

2,110

Kilwa Masoko

2,221

2,074

2,085

Liwale

2,266

2,120

2,131

Nachingwea

2,275

2,128

2,139

Ruangwa

2,273

2,126

2,137

Babati

2,309

2,162

2,173

Hanang (Katesh)

2,319

2,173

2,184

Kiteto (Kibaya)

2,320

2,173

2,184

Mbulu

2,322

2,175

2,186

Simanjiro (Orkasumet)

2,341

2,194

2,205

Musoma

2,365

2,218

2,229

Rorya (Ingirijuu)

2,374

2,227

2,238

Bunda

2,356

2,209

2,220

Butiama

2,362

2,215

2,226

Serengeti (Mugumu)

2,410

2,264

2,275

Tarime

2,376

2,229

2,240

Mbeya

2,294

2,147

2,158

Chunya

2,303

2,156

2,167

Ileje

2,307

2,160

2,171

Kyela

2,309

2,163

2,174

Mbarali (Rujewa)

2,278

2,131

2,142

Mbozi (Vwawa)

2,303

2,156

2,167

Momba (Chitete)

2,312

2,165

2,176

Rungwe (Tukuyu)

2,303

2,156

2,167

Morogoro

2,212

2,065

2,076

Mikumi

2,227

2,081

2,092

Kilombero (Ifakara)

2,250

2,103

2,114

Ulanga (Mahenge)

2,260

2,113

2,124

Kilosa

2,230

2,083

2,094

Mvomero (Wami Sokoine)

2,222

2,075

2,086

Turian

2,237

2,090

2,101

Mtwara

2,259

2,112

2,123

Nanyumbu (Mangaka)

2,308

2,161

2,172

Masasi

2,285

2,138

2,149

Newala

2,291

2,144

2,155

Tandahimba

2,284

2,137

2,148

Mwanza

2,337

2,190

2,201

Kwimba

2,373

2,226

2,237

Magu

2,345

2,198

2,209

Misungwi

2,342

2,195

2,206

Sengerema

2,369

2,222

2,233

Ukerewe

2,396

2,249

2,260

Sumbawanga

2,359

2,213

2,224

Kalambo (Matai)

2,352

2,205

2,216

Nkasi (Namanyele)

2,373

2,226

2,237

Katavi (Mpanda)

2,394

2,247

2,258

Mlele (Inyonga)

2,373

2,226

2,237

Songea

2,310

2,163

2,174

Mbinga

2,343

2,197

2,208

Namtumbo

2,339

2,192

2,203

Nyasa (Mbamba Bay)

2,346

2,199

2,210

Tunduru

2,369

2,222

2,233

Shinyanga

2,315

2,169

2,180

Kahama

2,329

2,182

2,193

Kishapu

2,344

2,197

2,208

Simiyu (Bariadi)

2,357

2,210

2,221

Busega (Nyashimo)

2,350

2,203

2,214

Itilima (Lagangabilili)

2,360

2,213

2,224

Maswa

2,348

2,201

2,212

Meatu (Mwanhuzi)

2,355

2,208

2,219

Singida

2,277

2,130

2,141

Iramba

2,289

2,143

2,154

Manyoni

2,262

2,115

2,126

Ikungi

2,273

2,126

2,137

Mkalama (Nduguti)

2,302

2,155

2,166

Tabora

2,341

2,194

2,205

Igunga

2,295

2,148

2,159

Kaliua

2,359

2,212

2,223

Ulyankulu

2,353

2,206

2,217

Nzega

2,305

2,158

2,169

Sikonge

2,352

2,206

2,217

Urambo

2,354

2,207

2,218

Tanga

2,233

2,086

2,097

Handeni

2,212

2,065

2,076

Kilindi

2,247

2,100

2,111

Korogwe

2,226

2,079

2,090

Lushoto

2,236

2,089

2,100

Mkinga (Maramba)

2,247

2,100

2,111

Muheza

2,233

2,086

2,097

Pangani

2,239

2,093

2,104

B: BEI ZA JUMLA

Bei za Jumla - DSM


Bei Kikomo

Petroli (Sh/L)
2,084.81

Dizeli (Sh/L)

Mafuta ya Taa (Sh/L)

1,938.01

1,949.00

Miriam Mahanyu
KNY: MKURUGENZI MKUU
EWURA

CAP PRICES WEF WEDNESDAY 5 MARCH 2014


Weighted Average of Actual Exchange Rates of
the Previous Month (M-1):

Exchange Rate

WT Average Actual Conversion Factors of the Previous Month (M-1):

DESCRIPTION

Plus
Sub
Total

UNIT

1,627.99

0.7628

0.8212

0.7977

Petrol

Diesel

Kerosene

PRICE

PRICE

PRICE

Weighted Average Platt's FOB

Tzs/Ltr

1,166.07

1,180.58

1,237.40

Weighted Average Premium as Per Quotation


(Freight+Insurance+Premium)

Tzs/Ltr

84.69

48.26

58.31

COST CIF DAR

Tzs/Ltr

1,250.76

1,228.84

1,295.71

LOCAL COSTS PAYABLE TO OTHER AUTHORITIES


Wharfage $10/MT + 18% VAT

Tzs/Ltr

14.65

15.78

15.32

Customs Processing Fee (TZS 4.80/Lt)

Tzs/Ltr

4.80

4.80

4.80

Weights & Measures Fee (Tshs. 1.00/Lt)

Tzs/Ltr

1.00

1.00

1.00

TBS Charge

Tzs/Ltr

1.24

1.24

1.24

TIPER Fee + 18% VAT

Tzs/Ltr

0.20

0.20

0.20

Actual Demurrage Cost (USD 1.418/MT)

Tzs/Ltr

1.76

1.90

1.84

Actual Ocean Losses (DAP Terms)

Tzs/Ltr

Surveyors Cost (Actual TENDERED Rate: MSP=USD


0.100/MT; AGO=USD 0.051/MT; IK=USD 0.104/MT)

Tzs/Ltr

0.12

0.07

0.14

Financing Cost (1.00% CIF)

Tzs/Ltr

12.51

12.29

12.95

Regulatory Levy

Tzs/Ltr

6.10

6.80

3.50

Evaporation Losses (0.5% MSP, 0.30% GO % IK )CIF

Tzs/Ltr

6.25

3.69

3.89

Petroleum Marking Cost ($5.782/CM VAT inclusive)

Tzs/Ltr

9.41

9.41

9.41

TOTAL LOCAL COSTS (LC)

Tzs/Ltr

58.05

57.17

54.29

Fuel Levy

Tzs/Ltr

263.00

263.00

Excise Duty

Tzs/Ltr

339.00

215.00

425.00

Petroleum Fee

Tzs/Ltr

50.00

50.00

50.00

Tzs/Ltr

652.00

528.00

475.00

GOVERNMENT TAXES

Sub Total TOTAL GOVERNMENT TAXES

Plus

Charges payable to other Local Authorities and


Executive Agencies

Tzs/Ltr

18.00

18.00

18.00

Plus

OMC's Overheads & Margins

Tzs/Ltr

106.00

106.00

106.00

WHOLESALE PRICE CAP (DSM)

Tzs/Ltr

2,084.81

1,938.01

1,949.00

Plus

Retailers Operating Margin

Tzs/Ltr

40.00

40.00

40.00

Plus

Retailers Return on Investment and Depreciation

Tzs/Ltr

52.00

52.00

52.00

Plus

Transport Charges (Local)

Tzs/Ltr

10.00

10.00

10.00

Price

PUMP PRICE CAP (DSM)

Tzs/Ltr

2,187

2,040

2,051

2,042.74

2,011.63

1,967.36

Preceding DSM Cap Wholesale Prices (05.02.2014)


%Change in Cap Wholesale Prices
Preceding DSM Cap Pump Prices (05.02.2014)
%Change in Cap Pump Prices

2.06%

-3.66%

-0.93%

2,145

2,114

2,069

1.95%

-3.50%

-0.9%

You might also like