Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 8

KUMB: PPR/14 - 4/1

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA MAFUTA AINA YA PETROLI KUANZIA
JUMATANO, TAREHE 2 APRILI 2014
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya
petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 2 Aprili 2014. Pamoja na kutambua bei
kikomo za bidhaa mbalimbali za petroli nchi nzima, ni muhimu kuzingatia yafuatayo.

(a)

Bei za jumla na rejareja kwa mafuta ya aina zote yaani Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa zimebadilika
ikilinganishwa na toleo lililopita la tarehe 5 Machi 2014. Katika toleo hili, bei ya rejareja kwa mafuta ya
Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa zimeongezeka kwa Sh 11/lita sawa na asilimia 0.48; Sh 109/lita sawa
na asilimia 5.36; na Sh 11/lita sawa na asilimia 0.50 sawia. Kwa kulinganisha matoleo haya mawili, bei
ya jumla kwa mafuta ya Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa zimeongezeka kwa Sh 10.67/lita sawa na
asilimia 0.51; Sh 109.20/lita sawa na asilimia 5.63; na Sh 11.04/lita sawa na asilimia 0.57 sawia.
Mabadiliko haya yametokana na mabadiliko ya bei ya mafuta katika soko la dunia na kushuka kwa
thamani ya shilingi dhidi ya dola ya marekani.

(b)

Kwa mujibu wa Sheria ya Mafuta ya mwaka 2008, bei za bidhaa za mafuta ya petroli zitaendelea
kupangwa na soko. EWURA itaendelea kuhamasisha ushindani kwa kutoa taarifa za bei kikomo za
bidhaa za mafuta. Taarifa hizi zina lengo la kuwasaidia wadau kufanya maamuzi stahiki kuhusu
manunuzi ya bidhaa za mafuta.

(c)

Kampuni za mafuta zipo huru kuuza bidhaa za mafuta ya petroli kwa bei ya ushindani ilimradi
bei hizo ziko chini ya bei kikomo (price cap) kama ilivyokokotolewa na fomula iliyopitishwa na
EWURA na ambayo ilichapwa kwenye Gazeti la Serikali Na. 432 la tarehe 29 Novemba 2013.

(d)

Vituo vyote vya mafuta vinatakiwa kuchapisha bei za bidhaa za mafuta katika mabango yanayoonekana
bayana na yakionyesha bei ya mafuta, punguzo, vivutio vya biashara au promosheni zinazotolewa na
kituo husika. Pale ambapo inawezekana kuchagua, wateja wanashauriwa kununua bidhaa za mafuta
kutoka kwenye vituo vinavyouza mafuta kwa bei ndogo zaidi ili kushamirisha ushindani. Ni kosa kuuza
mafuta bila kuweka mabango ya bei inayoonekana vizuri kwa wateja na adhabu itatolewa kwa
kituo husika.

(e)

Wanunuzi wanashauriwa kuhakikisha kuwa wanapata stakabadhi ya malipo inayoonesha jina la kituo,
tarehe, aina ya mafuta yaliyonunuliwa na bei kwa lita. Stakabadhi hiyo ya malipo itatumika kama
kidhibiti cha mnunuzi wa mafuta endapo kutajitokeza malalamiko ya ama kuuziwa mafuta kwa bei ya
juu kuliko bei kikomo; ama endapo utakuwa umeuziwa mafuta yenye kiwango cha ubora kisichofaa.

A: BEI ZA REJAREJA

Mji
Dar es Salaam

Petroli
(Sh/Lita)
2,198

Bei Kikomo
Dizeli
(Sh/lita)
2,149

Mafuta Ya Taa
(Sh/Lita)
2,062

Arusha

2,282

2,233

2,146

Arumeru (Usa West)

2,282

2,233

2,146

Karatu

2,300

2,251

2,164

Monduli

2,287

2,239

2,151

Ngorongoro (Loliondo)

2,338

2,290

2,202

Kibaha

2,202

2,154

2,067

Bagamoyo

2,209

2,160

2,073

Kisarawe

2,205

2,156

2,069

Mkuranga

2,207

2,159

2,072

Rufiji

2,225

2,177

2,090

Dodoma

2,256

2,208

2,121

Bahi

2,264

2,215

2,128

Chemba

2,283

2,234

2,147

Kondoa

2,289

2,241

2,153

Kongwa

2,253

2,205

2,118

Mpwapwa

2,257

2,209

2,122

Iringa

2,261

2,213

2,126

Kilolo

2,266

2,218

2,130

Mufindi (Mafinga)

2,272

2,223

2,136

Njombe

2,290

2,241

2,154

Ludewa

2,328

2,279

2,192

Makete

2,321

2,272

2,185

2,288

2,239

2,152

Wanging'ombe

(Igwachanya)
Bukoba

2,412

2,364

2,277

Biharamulo

2,387

2,339

2,251

Karagwe (Kayanga)

2,429

2,381

2,293

Kyerwa (Ruberwa)

2,435

2,386

2,299

Muleba

2,412

2,364

2,277

Ngara

2,378

2,330

2,243

Misenyi

2,421

2,373

2,285

Geita

2,363

2,314

2,227

Bukombe

2,352

2,303

2,216

Chato

2,384

2,335

2,248

Mbogwe

2,401

2,352

2,265

Nyang'hwale

2,378

2,329

2,242

Kigoma

2,428

2,380

2,293

Uvinza (Lugufu)

2,441

2,392

2,305

Buhigwe

2,418

2,369

2,282

Kakonko

2,386

2,337

2,250

Kasulu

2,414

2,366

2,279

Kibondo

2,393

2,344

2,257

Moshi

2,271

2,223

2,136

Hai (Bomang'ombe)

2,274

2,226

2,139

Mwanga

2,264

2,216

2,129

Rombo (Mkuu)

2,292

2,244

2,157

Same

2,257

2,209

2,122

Siha (Sanya Juu)

2,278

2,229

2,142

Lindi

2,256

2,208

2,121

Kilwa Masoko

2,231

2,183

2,096

Liwale

2,277

2,229

2,142

Nachingwea

2,285

2,237

2,150

Ruangwa

2,283

2,235

2,148

Babati

2,320

2,271

2,184

Hanang (Katesh)

2,330

2,282

2,195

Kiteto (Kibaya)

2,331

2,282

2,195

Mbulu

2,332

2,284

2,197

Simanjiro (Orkasumet)

2,352

2,303

2,216

Musoma

2,376

2,327

2,240

Rorya (Ingirijuu)

2,385

2,336

2,249

Bunda

2,367

2,319

2,231

Butiama

2,373

2,324

2,237

Serengeti (Mugumu)

2,421

2,373

2,286

Tarime

2,387

2,338

2,251

Mbeya

2,304

2,256

2,169

Chunya

2,314

2,266

2,178

Ileje

2,318

2,269

2,182

Kyela

2,320

2,272

2,185

Mbarali (Rujewa)

2,289

2,240

2,153

Mbozi (Vwawa)

2,314

2,265

2,178

Momba (Chitete)

2,323

2,274

2,187

Rungwe (Tukuyu)

2,313

2,265

2,178

Morogoro

2,222

2,174

2,087

Mikumi

2,238

2,190

2,103

Kilombero (Ifakara)

2,260

2,212

2,125

Ulanga (Mahenge)

2,271

2,223

2,135

Kilosa

2,241

2,193

2,105

Mvomero (Wami Sokoine)

2,233

2,185

2,097

Turian

2,248

2,199

2,112

Mtwara

2,270

2,222

2,134

Nanyumbu (Mangaka)

2,319

2,270

2,183

Masasi

2,295

2,247

2,160

Newala

2,302

2,254

2,166

Tandahimba

2,295

2,247

2,159

Mwanza

2,347

2,299

2,212

Kwimba

2,383

2,335

2,248

Magu

2,355

2,307

2,220

Misungwi

2,353

2,305

2,217

Sengerema

2,380

2,331

2,244

Ukerewe

2,407

2,358

2,271

Sumbawanga

2,370

2,322

2,235

Kalambo (Matai)

2,363

2,314

2,227

Nkasi (Namanyele)

2,384

2,335

2,248

Katavi (Mpanda)

2,405

2,357

2,270

Mlele (Inyonga)

2,383

2,335

2,248

Songea

2,321

2,272

2,185

Mbinga

2,354

2,306

2,219

Namtumbo

2,350

2,302

2,214

Nyasa (Mbamba Bay)

2,357

2,308

2,221

Tunduru

2,379

2,331

2,244

Shinyanga

2,326

2,278

2,191

Kahama

2,340

2,291

2,204

Kishapu

2,355

2,306

2,219

Simiyu (Bariadi)

2,368

2,319

2,232

Busega (Nyashimo)

2,361

2,312

2,225

Itilima (Lagangabilili)

2,371

2,322

2,235

Maswa

2,359

2,311

2,223

Meatu (Mwanhuzi)

2,366

2,318

2,231

Singida

2,288

2,240

2,153

Iramba

2,300

2,252

2,165

Manyoni

2,273

2,224

2,137

Ikungi

2,284

2,235

2,148

Mkalama (Nduguti)

2,313

2,264

2,177

Tabora

2,351

2,303

2,216

Igunga

2,305

2,257

2,170

Kaliua

2,370

2,321

2,234

Ulyankulu

2,364

2,315

2,228

Nzega

2,316

2,268

2,181

Sikonge

2,363

2,315

2,228

Urambo

2,364

2,316

2,229

Tanga

2,244

2,195

2,108

Handeni

2,223

2,175

2,088

Kilindi

2,258

2,209

2,122

Korogwe

2,237

2,188

2,101

Lushoto

2,246

2,198

2,111

Mkinga (Maramba)

2,258

2,210

2,122

Muheza

2,244

2,195

2,108

Pangani

2,250

2,202

2,115

B: BEI ZA JUMLA

Bei za Jumla - DSM


Bei Kikomo

Petroli (Sh/L)

Dizeli (Sh/L)

Mafuta ya Taa (Sh/L)

2,047.26

1,960.10

2,095.53

Felix Ngamlagosi
MKURUGENZI MKUU
EWURA

CAP PRICES WEF WEDNESDAY 2 APRIL 2014


Weighted Average of Actual Exchange Rates of
the Previous Month (M-1):

Exchange Rate

WT Average Actual Conversion Factors of the Previous Month (M-1):

DESCRIPTION

Plus
Sub
Total

UNIT

1,637.42

0.7484

0.8468

0.7977

Petrol

Diesel

Kerosene

PRICE

PRICE

PRICE

Weighted Average Platt's FOB

Tzs/Ltr

1,188.87

1,241.94

1,246.44

Weighted Average Premium as Per Quotation


(Freight+Insurance+Premium)

Tzs/Ltr

72.39

54.30

59.82

COST CIF DAR

Tzs/Ltr

1,261.25

1,296.24

1,306.26

LOCAL COSTS PAYABLE TO OTHER AUTHORITIES


Wharfage $10/MT + 18% VAT

Tzs/Ltr

14.46

16.36

15.41

Customs Processing Fee (TZS 4.80/Lt)

Tzs/Ltr

4.80

4.80

4.80

Weights & Measures Fee (Tshs. 1.00/Lt)

Tzs/Ltr

1.00

1.00

1.00

TBS Charge

Tzs/Ltr

1.24

1.24

1.24

TIPER Fee + 18% VAT

Tzs/Ltr

0.20

0.20

0.20

Actual Demurrage Cost (USD 1.612/MT)

Tzs/Ltr

1.98

2.24

2.11

Actual Ocean Losses (DAP Terms)

Tzs/Ltr

Surveyors Cost (Actual TENDERED Rate: MSP=USD


0.095/MT; AGO=USD 0.051/MT; IK=USD 0.096/MT)

Tzs/Ltr

0.12

0.07

0.13

Financing Cost (1.00% CIF)

Tzs/Ltr

12.61

12.96

13.06

Regulatory Levy

Tzs/Ltr

6.10

6.80

3.50

Evaporation Losses (0.5% MSP, 0.30% GO % IK )CIF

Tzs/Ltr

6.31

3.89

3.92

Petroleum Marking Cost ($5.782/CM VAT inclusive)

Tzs/Ltr

9.47

9.47

9.47

TOTAL LOCAL COSTS (LC)

Tzs/Ltr

58.28

59.03

54.83

Fuel Levy

Tzs/Ltr

263.00

263.00

Excise Duty

Tzs/Ltr

339.00

215.00

425.00

Petroleum Fee

Tzs/Ltr

50.00

50.00

50.00

Tzs/Ltr

652.00

528.00

475.00

GOVERNMENT TAXES

Sub Total TOTAL GOVERNMENT TAXES

Plus

Charges payable to other Local Authorities and


Executive Agencies

Tzs/Ltr

18.00

18.00

18.00

Plus

OMC's Overheads & Margins

Tzs/Ltr

106.00

106.00

106.00

WHOLESALE PRICE CAP (DSM)

Tzs/Ltr

2,095.53

2,047.26

1,960.10

Plus

Retailers Operating Margin

Tzs/Ltr

40.00

40.00

40.00

Plus

Retailers Return on Investment and Depreciation

Tzs/Ltr

52.00

52.00

52.00

Plus

Transport Charges (Local)

Tzs/Ltr

10.00

10.00

10.00

Price

PUMP PRICE CAP (DSM)

Tzs/Ltr

2,198

2,149

2,062

2,084.86

1,938.06

1,949.06

Preceding DSM Cap Wholesale Prices (05.03.2014)


%Change in Cap Wholesale Prices
Preceding DSM Cap Pump Prices (05.03.2014)

0.51%

5.63%

0.57%

2,187

2,040

2,051

0.48%

5.36%

8
%Change in Cap Pump Prices

0.5%

You might also like