Necta 2006-Kiswahili Questions PDF

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 8

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA NATIONAL EXAMINATION COUNCIL CERTIFICATE OF SECONDARY EDUCATION EXAMINATION KISWAHILI (KWA WATAHINIWA WALIOKO

NA WASIOKUWA SHULENI)

2006/10/12

Maelekezo

1. Kalatasihii ina sehemu A, B, C, D, na E. 2. Jibu maswali yote ya sehemu A, B, C, D na maswaki mawili kutoka sehemu E swali la kumi na mbili (12) nilazima. 3. Zinga tia maagizo ya kila sehemu na ya kila swali.

SEHEMU A(alama 10) Jibu maswali yote katika sehemu hii UFAHAMU 1. Soma shahili lifuatalo kasha jibu maswali kwa kuandika herufi ya jibu sahihi kando ya na mba ya swali.

Waubani Rawaziri,na kandoro kadhalika. Lumbano la kishelia .gazetini kuliweka, Nami nimejikusuri,maoni kuyatamka, Ua ruwaza njema,tuzo ya mtu kupewa,

Kutunzwa watu wa enzi,kwa uwa sijalizika, Siyo zawadi azizi,hasa ino heshimika, Bado hamjamaizi,kwa tunzo inayo sifika, Ua si ruwaza njema, tuzo ya mtu kupewa,

Ua kupewa halusini, nikaha ilipofika, Nisiku yatahanusi,kwa bibi kuheshimika, Lakini ua nitusi ,kwa dume kulipachika, Ua si ruwaza njema, tuzo ya mtu kupewa,

Ua hupambwa maiti,jeneza lika pambika, Harufu kila wakati,haiba kuongezeka, Na wengine hawataki,uchuro watatamka, Ua si ruwaza njema ,tuzo ya mutu kupewa,

Ua huvishwa mgeni,mtukufu akifika, Nikoja la asumini,shingoni lina jiweka, Marauta libaini,walizi wame lishika. Ua si ruwaza njema ,tuzo ya mutu kupewa,

Ua tuzo ya mahaba,wapenzi wanao husika, Ishara ya usuhuba, wawili kukutanika, Lakini namahaba, nawao hujipachika, Ua si ruwaza njema, tuzo ya mtu kupewa,

Ua kama lina hadhi , siwote wanao lidhika, Wengine haliwakidhi,na hata kwa kulishika, Sembe kwao ni faradhi, njaa itamwondoka, Ua si ruwazan jema, tuzo ya mtu kepewa,

Ua likiwa mtini, huwa lananawirika, Huwa nakubwa thamani, hapo lilipo jishika, Likitiwa mikononi,si muda linanyauka, Ua siruwaza njema, tuzo ya mtu kupewa,

Maswali (i) Kicha cha shahili hili cha weza kuwa. A. Ruwaza. B. Zawadi. C. Ua siruwaza jema. D. Tuzo ya mtu ku pewa. E. Zawadi ya harusi.

(ii)

Neno nikaha kama lilvyotumika katika ahahiri hili lina maana ya? A. Pingu za maisha. B. Ndoa. C. Sherehe za harusi. D. Siku ya tahanusi. E. Siku yamajonzi. Kulinga nana habari hii watu wanao takiwa kupewa zawadi ya ua ni. A. Watu waenzi , wapenzi na maharusi. B. Maiti ,bibi harusi, mgeni na wapenzi. C. Watu wa aina zote katika shughuli maalum. D. Bibi harusi pekee. E. Mgeni na maharusi.

(iii)

(iv)

Ubeti wa kwanza una maana kwamba. A. Watu wote hufura hishwa na zawadi ya maua. B. Zawadi ya maua sio uta maduni wa mwafrika hivyo watu wengi hawaipendi. C. Badala ya zawadi ya maua kw awatu wengine ni bora unge wapa chakula. D. Sembe kwao ni faradhi, njaa itamwondoa. E. Ua si ruwaza njema.

(v)

Neno ruwazakama lilivyo tumiwa na mwa ndishi lina mana ya. A. Zawdi. B. Nia. C. Adabu. D. Tabia. E. Nikaha.

(vi)

Mwandishi anaposema ishara ya usuhuba ana maana ya. A. Ishara ya husuda. B. Alama ya ushirikiono wa wapenzi wawili C. Ishara ya mapenzi D. Dalili ya wivu E. Tabia nzuri

(vii)

Mawazo makuu mawili ya mwa ndishi katika shaili lake ni A. Zawadi ya maua si zawadi nzuri sana kwani ni utamaduni wa kigeni na kiafrika pia B. Zawadi ya maua hufaa kwa baadhi ya watu kwani wengine huona kama uchuro C. Ua lina hadhi yake lakini sio wete wanao ipenfda zawadi yake D. Ua lina faa kwa maharusi tu E. Zawadi ya ua haina hadhi yoyote

(viii)

Nenofaradhikama lilivyotumiwa na mwandishi lina maan ya A. Muhimu B. Fahari. C. Ridhia D. Faida E. Lazima.

(ix)

Mwandishi katika ubeti wa mwishoanasema kuwa. A. Sivizuri kuya katmaua mtini B. Thamani ya ua ni pale linapo kuwa mtini kwake C. Anawalaumu watu wanaoyachuma maua D. Maua huchumwa kasha kunyauka E. Ua likiwa mtini ruwaza njema

Mwandishi anapo sema nimejikusuri anamaanisha. A. Amejikusuru B. Amejitupa uwanjani C. Amejizuia D. Amejinasua 2. Unapofupisha habari unatakiwa kuzingati mambo gani muhimu? Yataje mambo matano(5) na ueleze umuhimu wa kila jambo katika kufupisha habari.

(x)

SEHEMU B (ALAMA20) Jibu ma swali yote katika sehemu hii

3. Chagua kifung cha maneno kutoka Orodha B kinachotoa maelezo sahihi ya maneno /neon katika orodh A Andika herifi ya jibu sahihi kando ya namba ya kipengele cha swali katika jitabu chako cha kujibia ORODHA A (I) (II) (III) (IV) Hatua ya kwanza ya ucha nganuzi wa sentesi Kanda Mofimu ni kiambishi Wingi wa shule

ORODHA B A. B. C. D. E. F. Sentensi nyofu Nikipashio hca herufi Shule Kuainisha maneno ya sentensi Mashule Sentensi tata

G. Hukaliwa na maneno ya vitenzi H. Usemi huu ni sahihi I. Kuainisha sentensi

4. Sentensi zifuatazo zina makosa .Ziandike vizuri kwa kuepuka hayo makosa yalio jitokeza (a) Turi karbishwa chai rangi na maandazi (b) Barua ulioniandikia ndiyo hii (c) Wasichana wakike w3ana itwa (d) Tanzania nzima kwa ujumla itakalibiliwa na njaa mwaka huu (e) Wote munaombwa mfike bila kukosa

5. Eleza kwa kutoa mifano kuonyesha rejesha inayotumi katika sehemu zifuatazo (a) Hotelini (b) Mahakamani (c) Sokoni (d) Hospitali (e) Ndani ya mabasi

SEHEMU C (ALAMA 20) Jibu maswali yote katika sehemu hii SARUFI

6. Istilahi moja ina weza ikawa na majina mawili. Andika majina mengine ya dhanazifuatazo: (a) Chagizo (b) Shamirisho (c) Prediketa (d) Mofimu zawakati (e) Kuainisha 7. Tumia neonalikuwakuonesha (a) Kitenzi kisaidizi(TS) (b) Kitenzi kishirikishi(t) (c) Shina la nenoalikuwa

8. Changanua sentensi ifuatayo kwa njia ya matawi kwakutumia hatua nne(4) za uchunganuzi . Mwalimu hodari atakuwa anafundisha vizuri 9. Eleza kwakutoa mifano dhima tatu (3) za mwandishi.

SEHEMU D 9ALAMA Jibu swali la kumi (10) HISTORRA YA LUGHA 10. (a) Taja maana tano (5)za mswahili (b) Eleza shughuli za utawala wa wajerumani kabla ya uhuru zilizokuza na kueneza Kiswahili nchini Tanzania.

SEHEMU E (ALAMA 40) Jibu maswali mawili (2) kutoka sehemu hii. Swali la 12 na mbili ni la lazima. FASIHI

11. Kwakutumia mifano madhubuti,jadili vipengele vinavyoibainisha fasihi simulizi. 12. Kufuatana na mabadiliko ya sanyansi na teknolojia nafasi ya fasihi hadishi katika Tanzania ya sas ni muhimu , Jadili kauli hiyo kwa kutumia vitabu viwili(2)vya ushairi vilivyoorodheshwea. 13. Kujikomboa ni kwa aina nyingi katika maisha ya binadamu. Eleza ukombozi huo ukithibitisha kwa mifano kutoka riwaya mbili(2) zilizoorodheshwa. 14. Eleza jinsi wahusika na madhari wanavyoweza kujenga na kufikisha ujumbe wa kazi ya fasihi kwa wasomaji kwa kutumia tamthiliya mbili(2) zilizoorodheshwa.

ORODHA YA VITABU USHAIRI DIWANI YA MLOKA MASHAIRI YA CHEKACHEKA MALENGA WAPYA - C. MLOKA (B.P) - T.A MVUNGI9EDP) -TAKILUKI (DUP)

RIWAYA KUSADIKIKA WATOTO WA MAMA NTILIE KIU YA HAKI -S. ROBERT (E.P) -E. MBOGO (H.P) -Z. MWANGA (R.P)

TAMTHILIYA NGOSWE-PENZIKITOVU CHA UZEMBE -E. SEMZABA (ESC) MFALME JUHA KIMOCHETU -F. M. TOPAN (D.U.P) -MEDICAL AID FOUNDATION (TPH)

You might also like