Ratiba Ya Kamati Ya Kudumu Ya Bunge Ya Ardhi

You might also like

Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 35

RATIBA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA WAKATI WA BUNGE LA BAJETI KUANZIA TAREHE 27/04 - 05/05/2014 UKUMBI:

BENKI KUU - MT. MERU SIKU/TAREHE Jumapili 27/04/2014 Jumatatu 28/04/2014 SHUGHULI Kuwasili Dar es Salaam WAHUSIKA Katibu wa Bunge Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali. Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali. Kupokea mapendekezo ya mpango, kiwango na ukomo wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2014/2015. (Ukumbi wa Mwl. Nyerere). Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira (Fungu 31) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 na makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. i. Asubuhi: Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii (F. 69) kwa mwaka wa Fedha wa 2013/2014 pamoja na makadirio ya mapato Wajumbe

Wajumbe Sekretarieti Wajumbe Sekretarieti Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wizara ya Fedha Tume ya Mipango Wizara ya Maliasili na Utalii Wajumbe Sekretarieti

Jumanne 29/04/2014

Jumatano 30/04/2014

Alhamisi 01/05/2014

Ijumaa 02/05/2014

Wizara ya Maliasili na Utalii Wajumbe Sekretarieti

SIKU/TAREHE

SHUGHULI na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha 2014/2015. ii. Mchana: Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi (Fungu 48) kwa mwaka wa Fedha wa 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha 2014/2015.

WAHUSIKA

Wizara ya ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Wajumbe Sekretarieti

Jumamosi 03/05/2014

Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi (Fungu 48) kwa mwaka wa fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha wa 2014/2015. Kupokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa Bajeti kwa mwaka wa Fedha wa 2013/2014 na makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa Fedha 2014/2015 (Fungu 31) - Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira). Kusafiri kuelekea Dodoma

Wizara ya ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Wajumbe Sekretarieti

Jumapili 04/05/2014

Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Wajumbe Sekretarieti Katibu wa Bunge Wajumbe

Jumatatu 05/05/2014

TANBIHI: Vikao vitaanza saa 3:00 asubuhi Chai saa 4:30 asubuhi

RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI YABUNGE YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI KUANZIA TAREHE 27/04 - 05/05/2014 UKUMBI: JNICC - MAFIA

SIKU/TAREHE Jumapili 27/04/2014 Jumatatu 28/04/2014

SHUGHULI Kuwasili Dar es salaam Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali. Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali.

WAHUSIKA Katibu wa Bunge Wajumbe Wajumbe Sekretarieti

Jumanne 29/4/2014

Wajumbe Sekretarieti

Jumatano 30/4/2014

Kupokea na kujadili mapendekezo ya Wabunge wote mpango, kiwango na ukomo wa bajeti wa Jamhuri ya ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa Muungano wa 2014/2015 (Ukumbi wa Mwl. Nyerere). Tanzania Wizara ya Fedha Tume ya Mipango Kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti Wajumbe ya Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika Waziri ya Kilimo, (Fungu 43) kwa mwaka wa fedha Chakula na 2013/2014 na Makadirio ya Mapato na Ushirika Matumizi kwa mwaka 2014/2015.

Alhamisi 01/05/2014

SIKU/TAREHE Ijumaa 2/05/2014

SHUGHULI

WAHUSIKA

Kupokea na kujadili Taarifa ya Wajumbe Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Maji Waziri wa Maji (Fungu 49) kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2014/2015. Kupokea na kujadili Taarifa ya Wajumbe Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Maji Waziri wa Maji (Fungu 49) kwa mwaka wa fedha 2013/2014 Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi (Fungu 99) kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na Madirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2014/2015. Wajumbe kusafiri kuelekea Dodoma. Wajumbe Waziri wa Mandeleo ya Mifugo na Uvuvi Wote

Jumamosi 03/05/2014

Jumapili 04/05/2014

Jumatatu 5/05/2014

TANBIHI: Vikao vitaanza saa 3:00 asubuhi Chai saa 4:30 asubuhi

RATIBA YA KAZI ZA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU KUANZIA TAREHE 27/04 - 09/05/2014 UKUMBI: PHILIP MARMO SIKU/TAREHE Jumapili 27/04/2014 Jumatatu 28/04/2014 SHUGHULI Kuwasili Dar es Salaam WAHUSIKA Katibu wa Bunge Wajumbe Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali. Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014. Kupokea na kujadili mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kiwango na ukomo wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2014/2015 (Ukumbi wa Mwl. Nyerere). Wajumbe Sekretarieti Wajumbe Sekretarieti Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wizara ya Fedha Tume ya Mipango Waziri wa Uchukuzi Wajumbe Sekretarieti Waziri wa Uchukuzi Wajumbe Sekretarieti Waziri wa Ujenzi Wajumbe Sekretarieti

Jumanne 29/04/2014 Jumatano 30/04/2014

Alhamisi 01/05/2014

Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Wizara ya Uchukuzi (Fungu 62) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014. Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Wizara ya Uchukuzi (Fungu 62) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014. Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Wizara ya Ujenzi (Fungu 98) kwa Mwaka
5

Ijumaa 02/04/2014

Jumamosi 03/05/2014

SIKU/TAREHE

SHUGHULI wa Fedha 2013/2014.

WAHUSIKA

Jumapili 04/05/2014

Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia (FUNGU 68) kwa Mwaka kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014. Kusafiri kuelekea Dodoma Kupokea na kujadili Taarifa ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi (Fungu 62) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka 2014/2015. Kupokea na kujadili Taarifa ya makadiro ya mapato na matumizi ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi (Fungu 98) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka 2014/2015. Kupokea na kujadili Taarifa ya makadirio ya mapato na matumizi ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi (Fungu 98) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka 2014/2015.

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Wajumbe Sekretarieti Katibu wa Bunge Wajumbe Waziri wa Uchukuzi Wajumbe Sekretarieti

Jumatatu 05/05/2014 Jumanne 06/05/2014

Jumatano 07/05/2014

Waziri wa Ujenzi Wajumbe Sekretarieti

Alhamisi 08/05/2014

Waziri wa Ujenzi Wajumbe Sekretarieti

SIKU/TAREHE Ijumaa 09/05/2014

SHUGHULI Kupokea na kujadili Taarifa ya makadirio ya mapatona matumizi ya Bajeti ya Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia (FUNGU 68) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka 2014/2015.

WAHUSIKA Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Wajumbe Sekretarieti

TANBIHI: Vikao vitaanza saa 3:00 asubuhi Chai saa 4:30 asubuhi

RATIBA YA KAZI ZA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU KUANZIA TAREHE 27/04 - 05/05/2014 UKUMBI: PHILIP MARMO SIKU/TAREHE Jumapili 27/04/2014 Jumatatu 28/04/2014 SHUGHULI Kuwasili Dar es Salaam WAHUSIKA Katibu wa Bunge Wajumbe Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali. Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali. Kupokea na kujadili mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kiwango na ukomo wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2014/2015 (Ukumbi wa Mwl. Nyerere). Wajumbe Sekretarieti Wajumbe Sekretarieti Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wizara ya Fedha Tume ya Mipango Waziri wa Uchukuzi Wajumbe Sekretarieti

Jumanne 29/04/2014

Jumatano 30/04/2014

Alhamisi 01/05/2014

Kupokea na kujadili Taarifa ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi (Fungu 62) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka 2014/2015. Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Ujenzi (Fungu 98) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio
8

Ijumaa 02/04/2014

Waziri wa Ujenzi Wajumbe Sekretarieti

SIKU/TAREHE

SHUGHULI ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka 2014/2015.

WAHUSIKA

Jumamosi 03/05/2014

Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Ujenzi (Fungu 98) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka 2014/2015. Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia (FUNGU 68) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka 2014/2015. Kusafiri kuelekea Dodoma

Waziri wa Ujenzi Wajumbe Sekretarieti

Jumapili 04/05/2014

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Wajumbe Sekretarieti

Jumatatu 05/05/2014

Katibu wa Bunge Wajumbe

TANBIHI: Vikao vitaanza saa 3:00 asubuhi Chai saa 4:30 asubuhi

RATIBA YA KAZI ZA KAMATI YA NISHATI NA MADINI KUANZIA TAREHE 27/04 05/05/2014 UKUMBI: JNICC - MIKUMI

SIKU/TAREHE Jumapili 27/04/2014 Jumatatu 28/04/2014 Jumanne 29/04/2014 Jumatano 30/04/2014

SHUGHULI Kuwasili Dar es salaam.

WAHUSIKA Katibu wa Bunge Wajumbe

Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa Wajumbe miradi ya maendeleo kwa mwaka wa Sekretarieti fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali. Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa Wajumbe miradi ya maendeleo kwa mwaka wa Sekretarieti fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali. i. Kupokea Mapendekezo ya Mpango, kiwango na ukomo wa bajeti ya Serikali (Kanuni ya 97), katika (Ukumbi wa Mwl. Nyerere). ii. Kupokea na kujadili taarifa fupi ya Wizara kuhusu fedha za Escrow Account. Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wizara ya Fedha Tume ya Mipango Wizara ya Nishati na Madini Watendaji wakuu waTANESCO Wanasheria &Watendaji wa IPTL Wajumbe Sekretarieti Wizara ya Nishati na Madini Watendaji wakuu wa Taasisi husika. Wajumbe Sekretarieti

Alhamisi 01/05/2014

Kupokea na kujadili Taarifa ya Matumizi ya Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati na Madini (Fungu 58) kwa kulinganisha kiasi cha fedha kilichotumika na Kazi iliyofanyika 2013/2014.

10

SIKU/TAREHE Ijumaa 02/05/2014

SHUGHULI Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini (Fungu 58) kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na Makadirio ya Mapato na matumizi kwa mwaka 2014/2015. Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini (Fungu 58) kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2014/2015. Majumuisho

WAHUSIKA Wizara ya Nishati na Madini Watendaji wakuu wa Taasisi husika. Wajumbe Sekretarieti Wizara ya Nishati na Madini Watendaji wakuu wa Taasisi husika. Wajumbe Sekretarieti Wajumbe Sekretarieti Katibu wa Bunge Wajumbe

Jumamosi 03/05/2014

Jumapili 04/05/2014 Jumatatu 05/05/2014

Kusafiri kuelekea Dodoma

TANBIHI: Vikao vitaanza saa 3:00 asubuhi Chai saa 4:30 asubuhi

11

RATIBA YA KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) KUJADILI HESABU ZILIZOKAGULIWA ZA SERIKALI KUU NA MASHIRIKA YA UMMA KUANZIA TAREHE 27/04 05/05/2014 UKUMBI: JUMA A. AKUKWETI SIKU/TAREHE Jumapili 27/04/2014 Jumatatu 28/04/2014 SHUGHULI WAHUSIKA Katibu wa Bunge Wajumbe

Kuwasili Dar es Salaam

Kujadili Taarifa ya Ziara ya Wajumbe Ukaguzi wa Miradi Mkoa wa CAG Msajili wa Hazina (TR) Kigoma. Sekretarieti Kujadili Taarifa ya Ziara ya Wajumbe wa Kamati Ukaguzi wa Miradi Mkoa wa CAG Njombe (Mchuchuma na Msajili wa Hazina (TR) Liganga) Sekretarieti Kupokea mapendekezo ya Serikali kuhusu Mpango na ukomo wa Bajeti kwa mwaka wa Fedha 2014/2015 (Ukumbi wa Mwl. Nyerere). Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wizara ya Fedha Tume ya Mipango

Jumanne 29/04/2014

Jumatano 30/04/2014

Alhamisi 01/05/2014

Kupokea na kujadili Taarifa ya Msajili wa Hazina (The treasury Msajili wa Hazina statement) kwa mwaka wa Wajumbe fedha unaoishia Juni 30, 2013. Saa 3:00 Asubuhi i. Wajumbe CAG Kupokea na kujadili Msajili wa Hazina (TR) Taarifa ya Madeni ya Mkurugenzi Mkuu SSRA Mifuko ya Hifadhi ya
12

Ijumaa 02/05/2014

SIKU/TAREHE

SHUGHULI

WAHUSIKA

Jamii kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi na Menejimenti ya Mamlaka ya Udhibiti na NSSF Usimamizi wa Mifuko ya Sekretarieti Hifadhi ya Jamii (SSRA) Saa 6:30 Mchana ii. Kupokea na kujadili Taarifa ya madeni ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF).

Jumamosi 03/05/2014

Saa 3:00 Asubuhi Kupokea na kujadili Taarifa ya madeni ya Mfuko wa Pensheni kwa Wajumbe Wafanyakazi wa Serikali CAG za Mtaa (LAPF) Msajili wa Hazina (TR) Wenyeviti wa Bodi Saa 6:30 Mchana na Menejimenti za LAPF na GEPF ii. Kupokea na kujadili Sekretarieti ya Kamati Taarifa ya madeni ya Mfuko wa Taifa wa Mafao ya Watumishi wa Serikali (GEPF) Saa 4:30 Asubuhi i. Kupokea na kujadili Wajumbe wa Kamati Taarifa ya madeni ya CAG Mfuko wa Pensheni kwa Msajili wa Hazina (TR) Mashirika ya Umma (PPF) Wenyeviti wa Bodi na i.

Jumapili 04/05/2014

Menejimenti za PPF na PSPF Saa 6:30 Mchana Sekretarieti ya Kamati ii. Mfuko wa Pensheni kwa Wafanyakazi wa Serikali Kuu (PSPF)

13

SIKU/TAREHE Jumatatu 05/05/2014

SHUGHULI

WAHUSIKA

Kusafiri kuelekea Dodoma

Katibu wa Bunge

TANBIHI: Vikao vyote vya asubuhi vitaanza saa 3:00 Asubuhi. Mapumziko ya Chai ni Saa 5:00 Asubuhi. Maafisa Masuuli waepuke kuambatana na Maafisa ambao hawatasaidia katika kujibu hoja. Vitabu viifikie Kamati siku 3 kabla ya siku ya kikao. Kamati itajadili Hesabu zilizokaguliwa za mafungu mbalimbali zinazoishia tarehe 30 Juni, 2012. Vifupisho: PAC = Public Accounts Committee; CAG = Controller and Auditor General.

RATIBA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA KUANZIA TAREHE 27/04 05/05/2014 UKUMBI: PIUS MSEKWA SIKU/TAREHE Jumapili 27/04/2014 Jumatatu 28/04/2014 SHUGHULI Kuwasili Dar es Salaam Kupitia Taarifa ya ziara ya ukaguzi wa Mradi ya Maendeleo, Mradi Namba 6391 Fungu 34, Kasma 411100 (Maputo). Kupitia Taarifa ya ziara ya ukaguzi wa Mradi ya Maendeleo, Mradi
14

WAHUSIKA Katibu Bunge Wajumbe Wajumbe Sekretarieti wa

Jumanne 29/04/2014

Wajumbe Sekretarieti

SIKU/TAREHE

SHUGHULI Namba 6391 Fungu 34, Kasma 41100 (Paris Ufaransa).

WAHUSIKA

Jumatano 30/04/2014

Kupokea mapendekezo ya Serikali kuhusu Mpango na ukomo wa Bajeti kwa mwaka wa Fedha 2014/2015 (Ukumbi wa Mwl. Nyerere).

Alhamisi 1/05/2014 Kupokea na kujadili Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (Fungu 34) kuhusu utekelezaji wa Bajeti kwa mwaka wa fedha 2013/2014 pamoja na makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa fedha 2014/2015.

Wabunge wote Jamhuri Muungano Tanzania Wizara Fedha Tume Mipango

wa ya wa ya ya

Wajumbe Wizara ya Mambo ya Nje Sekeretariet

Ijumaa 2/05/2014

Kupokea na kujadili Taarifa ya Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki (Fungu 97) kuhusu utekelezaji wa Bajeti kwa mwaka wa fedha 2013/2014 pamoja na makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa fedha 2014/2015. Kumalizia kazi ya Kupokea na kujadili Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (Fungu 34) kuhusu utekelezaji wa Bajeti kwa mwaka wa fedha 2013/2014 pamoja na makadirio ya
15

Wajumbe Wizara ya Afrika ya Mashariki Sekeretarieti

Jumamosi 3/05/2014

Wajumbe Wizara ya Mambo ya Nje Sekeretariet

SIKU/TAREHE

SHUGHULI Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa fedha 2014/2015.

WAHUSIKA

Jumapili 4/05/2014

Kumalizia Kazi ya Kupokea na kujadili Taarifa ya Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki (Fungu 97) kuhusu utekelezaji wa Bajeti kwa mwaka wa fedha 2013/2014 pamoja na makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa fedha 2014/2015.

Wajumbe Wizara ya Afrika ya Mashariki Sekeretarieti

TANBIHI: Vikao vitaanza saa 3:00 asubuhi Chai saa 4:30 asubuhi

16

RATIBA YA KAZI ZA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HUDUMA ZA JAMII KUANZIA TAREHE 27/04 - 05/05/2014 UKUMBI: BENKI KUU BANQUET SECTION-I SIKU/TAREHE Jumapili 27/04/2014 Jumatatu 28/04/2014 Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali. Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali. Kupokea mapendekezo mpango, kiwango na ukomo bajeti ya Serikali kwa mwaka fedha wa 2014/2015. (Ukumbi Mwl. Nyerere). ya wa wa wa SHUGHULI Kuwasili Dar es Salaam WAHUSIKA Katibu wa Bunge Wajumbe Wajumbe Sekretarieti

Jumanne 29/4/2014

Wajumbe Sekretarieti

Jumatano 30/4/2014

Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wizara ya Fedha Tume ya Mipango Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Wajumbe

Alhamisi 01/05/2014

Kupokea na kujadili Taarifa ya utekelezaji wa malengo ya bajeti ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa Mwaka wa Fedha wa 2013/2014. Kupokea na kujadili makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa Mwaka wa Fedha wa 2014/2015.

Ijumaa 02/05/2014

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Wajumbe

17

SIKU/TAREHE Jumamosi 03/05/2014

SHUGHULI Kupokea na kujadili Taarifa ya utekelezaji wa malengo ya bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014. Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa malengo ya bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. Kusafiri kuelekea Dodoma

WAHUSIKA Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Wajumbe

Jumapili 04/05/2014

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Wajumbe

Jumatatu 05/05/2014

Wajumbe Katibu wa Bunge

TANBIHI: Vikao vitaanza saa 3:00 asubuhi Chai saa 4:30 asubuhi

RATIBA YA KAMATI YA BUNGE YA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA KUANZIA TAREHE 27/04 - 05/05/2014 UKUMBI: JNICC - MIKUMI SIKU/TAREHE Ijumaa 25/04/ 2014 SHUGHULI/MAHALI Kuwasili Dar es Salaam Kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam) WAHUSIKA Katibu wa Bunge Wajumbe Wajumbe

Jumamosi 26/04/ 2014

18

SIKU/TAREHE

SHUGHULI/MAHALI Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Fungu 56) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015 kutoka kwa mikoa ifuatayo:1. Mkoa wa Tanga Fungu 86 2. Mkoa wa Dodoma Fungu 72 3. Mkoa wa Rukwa Fungu 89 4. Mkoa wa Mara Fungu 77 Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015 kutoka kwa mikoa ifuatayo:1. Mkoa wa Mbeya Fungu 78 2. Mkoa wa Singida Fungu 84 3. Mkoa wa Geita Fungu 63 4. Mkoa wa Shinyanga Fungu 83 Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015 kutoka kwa mikoa ifuatayo:1. Mkoa wa Arusha Fungu 70 2. Mkoa wa Simiyu Fungu 47 3. Mkoa wa Kagera Fungu 87 4. Mkoa wa Mtwara Fungu 80

WAHUSIKA Wajumbe WN OWM (TAMISEMI) Mikoa yote Wajumbe

Jumapili 27/04/ 2014

Wajumbe WN OWM (TAMISEMI) RC TANGA RC DODOMA RC RUKWA RC MARA

Jumatatu 28/04/ 2014

Wajumbe WN OWM (TAMISEMI) RC MBEYA RC SINGIDA RC GEITA RC SHINYANGA

Jumanne 29/04/ 2014

Wajumbe WN OWM (TAMISEMI) RC ARUSHA RC SIMIYU RC KAGERA RC MTWARA

Jumatano 30/04/ 2014

A. Kupokea mapendekezo ya Wabunge wote mpango, kiwango na ukomo wa wa Jamhuri ya bajeti ya Serikali kwa mwaka wa Muungano wa

19

SIKU/TAREHE

SHUGHULI/MAHALI WAHUSIKA fedha wa 2014/2015 (Ukumbi wa Tanzania Mwl. Nyerere) Wizara ya Fedha Tume ya Mipango B. Kupokea na kujadili Taarifa kuhusu Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015 kutoka kwa mikoa ifuatayo:1. Mkoa wa Kigoma Fungu 74 2. Mkoa wa Manyara Fungu 95 Kupokea na kujadili Taarifa kuhusu Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015 kutoka kwa mikoa ifuatayo:1. Mkoa wa Dar es Salaam Fungu 88 2. Mkoa wa Iringa Fungu 73 3. Mkoa wa Lindi Fungu 76 4. Mkoa wa Tabora Fungu 85 Kupokea na kujadili Taarifa kuhusu Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015 kutoka kwa mikoa ifuatayo:1. Mkoa wa Morogoro Fungu 79 2. Mkoa wa Katavi Fungu 36 3. Mkoa wa Pwani Fungu 71 Wajumbe WN OWM (TAMISEMI) RC KIGOMA RC MANYARA

Alhamisi 01/05/2014

Wajumbe WN OWM (TAMISEMI) RC DAR ES SALAAM RC IRINGA RC LINDI RC TABORA

Ijumaa 02/05/2014

Wajumbe WN OWM (TAMISEMI) RC MOROGORO RC KATAVI RC PWANI

Jumamosi 03/05/2014

Kupokea na kujadili Taarifa kuhusu Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015 kutoka kwa mikoa ifuatayo:1. Mkoa wa Mwanza Fungu 81
20

Wajumbe WN OWM (TAMISEMI) RC MWANZA RC KILIMANJARO RC NJOMBE

SIKU/TAREHE

SHUGHULI/MAHALI 2. Mkoa wa Kilimanjaro Fungu 75 3. Mkoa wa Njombe Fungu 54 4. Mkoa wa Ruvuma Fungu 82

WAHUSIKA RC RUVUMA

Jumapili 04/05/2014

Majumuisho pamoja na kujadili Taarifa kuhusu Utekelezaji wa Bajeti ya Fungu 56 - Ofisi ya Waziri Mkuu (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015 Kusafiri kuelekea Dodoma

Wajumbe WN OWM (TAMISEMI) Mikoa yote

Jumatatu 05/05/2014

Katibu Bunge Wajumbe

wa

TANBIHI: Vikao vitaanza saa 3:00 asubuhi Chai saa 4:30 asubuhi

RATIBA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA KUANZIA TAREHE 27/04 05/04/2014 UKUMBI: MKWAWA SIKU/TAREHE Jumapili 27/04/2014 Jumatatu 28/04/2014 SHUGHULI Kuwasili Dar es salaam Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa WAHUSIKA Katibu wa Bunge Wajumbe Wajumbe Sekretarieti

21

SIKU/TAREHE

SHUGHULI shughuli za serikali.

WAHUSIKA

Jumanne 29/4/2014

Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali. Kupokea mapendekezo ya mpango, kiwango na ukomo wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2014/2015. (Ukumbi wa Mwl. Nyerere).

Wajumbe Sekretarieti

Jumatano 30/4/2014

Wabunge wote wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wizara ya Fedha Tume ya Mipango

Alhamisi 01/05/2014

Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji Waziri wa Nchi ORBajeti kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na UB Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Waziri wa Nchi ORMwaka wa Fedha 2014/2015 katika MUR mafungu sita yafuatayo: Wajumbe i. ii. iii. iv. v. Fungu-66-Tume ya Mipango Fungu-30-Ofisi ya Rais na Baraza la Mawaziri Fungu-33-Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma. Fungu-32-Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma. Fungu -9 Ofisi ya Rais, Bodi ya Mishahara na Maslahi kwa Watumishi wa Umma.

22

SIKU/TAREHE Ijumaa 02/05/2014

SHUGHULI

WAHUSIKA

Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji Waziri wa Nchi ORwa Bajeti kwa mwaka wa fedha UB 2013/2014 na Makadirio ya Mapato na Waziri wa Nchi ORMatumizi kwa Mwaka wa Fedha MUR 2014/2015 katika mafungu sita yafuatayo:- Wajumbe WN-OWM-SUB i. Fungu 31-Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano. ii. Fungu 25-Waziri Mkuu iii. Fungu 27-Msajili wa Vyama vya Siasa iv. Fungu 37-Ofisi ya Waziri Mkuu v. Fungu 42-Mfuko wa Bunge vi. Fungu 61- Tume ya Taifa ya Uchaguzi Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2014/2015 kwa mafungu yafutayo:i. ii. iii. iv. Fungu 41 Wizara ya Katiba na Sheria Fungu-55-Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora. Fungu 59 Tume ya Kurekebisha Sheria Fungu 16 Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Waziri wa na Sheria Wajumbe Katiba Waziri wa na Sheria Wajumbe Katiba

Jumamosi 03/05/2014

Jumapili 04/05/2014

Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2014/2015 kwa mafungu yafutayo:i. Fungu 8 Tume ya Mabadiliko ya Katiba (Taarifa ya utekelezaji wa

23

SIKU/TAREHE ii. iii. iv. Jumatatu 05/05/2014

SHUGHULI Bajeti) Fungu 35 Mkurugenzi wa Mashtaka Fungu 40 Mahakama ya Tanzania Fungu 12 Tume ya Utumishi wa Mahakama

WAHUSIKA

Kusafiri kuelekea Dodoma

Wajumbe Katibu Bunge

wa

TANBIHI: Vikao vitaanza saa 3:00 asubuhi Chai saa 4:30 asubuhi

RATIBA YA KAMATI YA BAJETI KUANZIA TAREHE 27/04 05/05/2014 UKUMBI: JNICC UDZUNGWA SIKU /TAREHE Jumapili 27/04/2014 Jumatatu 28/04/2014 SHUGHULI Kuwasili Dar es Salaam WAHUSIKA Katibu wa Bunge Wajumbe Kuendelea kujadili Taarifa ya Tathmini ya utekelezaji wa Bajeti ya mwaka 2013/2014 kwa kipindi cha nusu mwaka (Mid-year review). Kupokea na kujadili taarifa ya Utekelezaji wa miradi ya Maendeleo kwa kipindi cha nusu mwaka 2013/2014 (Mid-year review). Waziri wa Fedha Wajumbe

Jumanne 29 /04/2014

Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango Wajumbe

24

SIKU /TAREHE Jumatano 30/04/2014 i.

SHUGHULI Kupokea Mapendekezo ya ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2014/2015. Kupokea Mapendekezo ya Serikali kuhusu mpango kwa mwaka wa fedha 2014/2015.

WAHUSIKA Wabunge wote wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wizara ya Fedha Tume ya Mipango

ii.

Alhamisi 1/05/2014

Kujadili Mapendekezo ya Serikali kuhusu mpango kwa mwaka wa fedha 2014/2015.

Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango. Wajumbe

Ijumaa 2/05/2014

Kujadili Mapendekezo ya Mapato na Wizara ya Fedha Matumizi kwa mwaka wa Fedha 2014/2015. Kujadili Mapendekezo ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa Fedha 2014/2015. Kupokea mambo muhimu yaliyojitokeza kwenye Kamati za Kisekta wakati wa kujadili utekelezaji wa Bajeti za Wizara kwa mwka wa fedha 2014/2015. Kusafiri kuelekea Dodoma Wizara ya Fedha Wajumbe Sekretarieti Wenyeviti wa Kamati za Kisekta

Jumamosi 03/05/2014

Jumapili 04/05/2014

Jumatatu 05/05/2014

Wote

TANBIHI: Vikao vitaanza saa 3:00 asubuhi Chai saa 4:30 asubuhi

25

RATIBA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UCHUMI, VIWANDA NA BIASHARA KUANZIA TAREHE 27/04 05/04/2014 UKUMBI: BENKI KUU BANQUET SECTION - III TAREHE/SIKU Jumapili 27/04/2014 Jumatatu 28/04/2014 Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali. Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali. Kupokea mapendekezo ya Serikali kuhusu Mpango na ukomo wa Bajeti kwa mwaka wa Fedha 2014/2015 (Ukumbi wa Mwl. Nyerere). SHUGHULI ITAKAYOFANYIKA Kuwasili Dar es Salaam MHUSIKA Katibu Bunge Wajumbe Wajumbe Sekretarieti wa

Jumanne 29/04/2014

Wajumbe Sekretarieti

Jumatano 30/04/2014

Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wizara ya Fedha Tume ya Mipango Wajumbe Wizara ya Fedha

Alhamisi 01/05/2014

Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Fedha (FUNGU 50) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. Kupokea na kujdaili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Fedha (FUNGU 50) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya
26

Ijumaa 02/05/2014

Wajumbe Wizara ya Fedha

TAREHE/SIKU

SHUGHULI ITAKAYOFANYIKA Wizara hiyo 2014/2015. kwa Mwaka wa Fedha

MHUSIKA

Jumamosi 03/05/2014

Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara (FUNGU LA 44) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015 Kusafiri kuelekea Dodoma

Wajumbe Wizara ya Viwanda na Biashara

Jumapili 04/05/2014

Wajumbe Ofisi ya Waziri Mkuu(uweke zaji na Uwezeshaji)

Jumatatu 05 Mei 2014

Wajumbe Katibu Bunge

wa

TANBIHI: Vikao vitaanza saa 3:00 asubuhi Chai saa 4:30 asubuhi KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI KUANZIA TAREHE 27/04 - 05/05/2014 UKUMBI: BENKI KUU BANQUET SECTION - II SIKU/TAREHE Jumapili 27/04/2014 SHUGHULI ITAKAYOFANYIKA Kuwasili Dar es Salaam WAHUSIKA Katibu wa Bunge Wajumbe

27

SIKU/TAREHE Jumatatu 28/04/2014

SHUGHULI ITAKAYOFANYIKA Kupata mafunzo kuhusu maambukizi ya UKIMWI na Sheria ya UKIMWI.

WAHUSIKA Wajumbe Mkurugenzi Mtendaji Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) Sekretarieti Wajumbe Mkurugenzi Mtendaji Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) Sekretarieti

Jumanne 29/04/2014 Kupata mafunzo kuhusu Mfuko wa UKIMWI na Sheria ya UKIMWI kwa kuzingatia makubaliano ya Kimataifa

Jumatano 30/04/2014 Kupokea mapendekezo ya Mpango, Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015.

Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wizara ya Fedha Tume ya Mipango

28

SIKU/TAREHE Alhamisi 01/05/2014

SHUGHULI ITAKAYOFANYIKA Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania Bara (Fungu 91) na Tume ya Kuratibu Udhibiti wa Dawa za kulevya (Fungu 92) kwa mwaka wa fedha 2013/2014. Kupokea na kujadili Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania Bara (Fungu 91)na Tume ya Kuratibu Udhibiti wa Dawa za kulevya (Fungu 92) kwa Mwaka wa Fedha wa 2014/2015.

WAHUSIKA Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Sekretariet Wajumbe

Ijumaa 02/05/2014

Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali. Semina kuhusu Mkakati wa kudhibiti UKIMWI na mapitio ya rasimu ya kitabu cha Wabunge kuhusu afua za UKIMWI.

Sekretariet Wajumbe

Jumamosi 03/04/2014

Sekretariet Wajumbe Mkurugenzi Mtendaji Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS)

Jumapili 04/05/2014

Kusafiri kuelekea Dodoma

Wote

TANBIHI: Vikao vitaanza saa 3:00 asubuhi Chai saa 4:30 asubuhi KAZI ZA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ULINZI NA USALAMA
29

KUANZIA TAREHE 28/04 - 04/05/2014 UKUMBI: CHIEF E. MANGENYA SIKU/TAREHE Jumapili 27/04/2014 Jumatatu 28/04/2014 SHUGHULI Kuwasili Dar es salaam Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali. Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali. Kupokea mapendekezo ya mpango, kiwango na ukomo wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2014/2015 (Ukumbi wa Mwl. Nyerere) WAHUSIKA Katibu wa Bunge Wajumbe Wajumbe Sekretarieti

Jumanne 29/4/2014

Wajumbe Sekretarieti

Jumatano 30/4/2014

Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wizara ya Fedha Tume ya Mipango Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Wajumbe Sekretarieti

i. Alhamisi 01/05/2014 ii.

Kupokea Taarifa ya hali ya Ulinzi na Usalama ya Wizara ya Mambo ya Ndani. Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa malengo ya Bajeti kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa 2014/2015 (Fungu 51) Wizara ya Mambo ya Ndani.

Ijumaa

Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji


30

Waziri wa

SIKU/TAREHE 02/04/2014

SHUGHULI wa malengo ya Bajeti kwa mwaka fedha 2013/2014 na Makadirio Mapato na Matumizi kwa mwaka 2014/2015 kwa mafungu mawili: Fungu 14- Kikosi cha Zimamoto Uokoaji. Fungu 93-Idara ya Uhamiaji wa ya wa na

WAHUSIKA Mambo ya Ndani ya Nchi Wajumbe Sekretarieti

Jumamosi 03/04/2014

Kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji Waziri wa Mambo ya wa Bajeti kwa mwaka wa fedha Ndani ya Nchi 2013/2014 na Makadirio ya Mapato na Wajumbe Matumizi kwa mwaka wa 2014/2015 kwa Sekretarieti mafungu mawili: Fungu 28 - Jeshi la Polisi Fungu 29 -Jeshi la Magereza i. Kupokea Taarifa ya hali ya Ulinzi na Waziri wa Ulinzi na Usalama ya Wizara ya Ulinzi na JKT. JKT Wajumbe Kupokea na kujadili Taarifa ya Sekretarieti Utekelezaji Bajeti kwa Mwaka wa Fedha wa 2013/2014 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2014/2015 kwa mafungu matatu:Fungu 38 -Ngome Fungu 39 - JKT Fungu 57 - Wizara ya Ulinzi na JKT Katibu wa Bunge Wajumbe

Jumapili 04/05/2014

ii.

Jumatatu 05/05/2014

Kusafiri kuelekea Dodoma

TANBIHI: Vikao vitaanza saa 3:00 asubuhi Chai saa 4:30 asubuhi

31

RATIBA YA KAZI ZA KAMATI YA LAAC DAR ES SALAAM KUANZIA TAREHE 27/04 - 05/05/2014 UKUMBI: AUSTIN SHABA SIKU /TAREHE Jumapili 27/4/2014 Jumatatu na Jumanne 28-29/04/2014 Jumatano 30/04/2014 SHUGHULI Kuwasili Dar es Salaam WAHUSIKA Katibu wa Bunge

Masuala ya Kiutawala Katibu wa Bunge Taarifa za ziara zilizotekelezwa na Kamati

Kupokea Taarifa za Serikali kuhusu Katibu wa Bunge Makadirio ya Bajeti.

Alhamisi 01/05/2014

Wajumbe kuwasili Bagamoyo kwa NAOT ajili ya mafunzo kuhusu mchakato wa Ukaguzi wa Hesabu za Serikali za Mitaa. Mafunzo - Bagamoyo Wajumbe

Ijumaa na Jumamosi 02-3/05/2014 Jumapili 04 /05/2014 Jumatatu 05/05/2014

Kuondoka Bagamoyo Wajumbe kuelekea Dodoma

Wajumbe Wajumbe

TANBIHI: Vikao vitaanza saa 3:00 asubuhi Chai saa 4:30 asubuhi

RATIBA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA


32

MAENDELEO YA JAMII KUANZIA TAREHE 27/04 - 05/05/2014 UKUMBI: BENKI KUU - UDZUNGWA SIKU/TAREHE Jumapili 27/4/2014 Jumatatu 28/04/2014 SHUGHULI Kuwasili Dar es Salaam Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali. Kupitia taarifa za ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na utekelezaji wa shughuli za serikali. Kupokea Mapendekezo ya Mpango, Kiwango na Ukomo wa bajeti ya Serikali wa Maendeleo wa Mwaka wa Fedha 2014/2015 (Ukumbi wa Mwl. Nyerere) Kupokea na kujadili Taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto (Fungu 53) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. Kupokea na kujadili Taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto (Fungu 53) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha
33

WAHUSIKA Katibu wa Bunge Wajumbe Wajumbe Sekretarieti

Jumanne 29/04/2014

Wajumbe Sekretarieti

Jumatano 30/04/2014

Wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wizara ya Fedha Tume ya Mipango Wajumbe Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto

Alhamisi 01/05/2014

Ijumaa 02/05/2014

Wajumbe Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto

SIKU/TAREHE 2014/2015. Jumamosi 03/05/2014

SHUGHULI

WAHUSIKA

Kupokea na kujadili utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Kazi na Ajira (Fungu 98) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. Kupokea na kujadili Taaria ya Utekelezaji wa bajeti ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (Fungu 96) kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2014/2015. Kusafiri kuelekea Dodoma.

Wajumbe Waziri wa Kazi na Ajira

Jumapili 04/05/2014

Wajumbe Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo

Jumatatu 05/05/2014

Wote

TANBIHI: Vikao vitaanza saa 3:00 asubuhi Chai saa 4:30 asubuhi

34

35

You might also like