Download as doc, pdf, or txt
Download as doc, pdf, or txt
You are on page 1of 13

KALOLENI 100

TIME - 1.00 11.5


Interviewer: Faith Chep: Fai
Interviewee: Mike Ky!e: Mike
Other "peaker#: Oth: Oth$: Oth%: Oth&
Mike: Sasa mashore walikuwa nikama wamelipa fare ya mwezi kwa garialafu sasa
Swa: Sasa wasichana walikuwa nikamavile wamelipa nauli ya mwezi kwa gari.. alafu
sasa
Eng: Those girls, it is as if they had paid a monthly fare for the car, then
aith: Sindiyo wana scratch card ya Mathree.
Swa: !diyo wako na cardi ya matatu.
Eng: "es, they have scratch cards for matatus.
Mike: Sasa, yaani mtu anakupita hivi. #e un$ua umecome tu unango$a gari ya m%io we
uende itaroundia hapa. &ari inakupita halafu $ioni $ioni sasa ndio mtu anaku$a
kukuita. Mimi nilikuwa nawatukana singeweza kuwaeka walikuwa mafala
sana. Eeh lakini.. '(reeze) aah hao maconcordi walidunda.
Swa: Sasa, mtu anakupita hivi, wewe umeku$a kuongo$a gari ya haraka uwende. &ari
inakupita halafu $ioni ndiyo mtu anaku$a kukuita upande gari lake. Mini nilikuwa
nawatukana singeweza kuwasemesha. walikuwa wapuzi sana, eeh lakini
*%reeze+aah hao maconductor walikuwa na $igam%a sana.
Eng: !ow you are awaiting a matatu to take you to town ,uickly. Then they $ust pass
you. Then in the evening they call at you to come. - used to really insult them, -
never talked to them they were very stupid %ut *(reeze) those conductors were
%oastful.
ai: Sione *anatic) asu%uhi hiyo idhaa nilikuwa $o% shoppi ikicome hivi ilikuwa
inafika *uhunye) ikirudi hivi five minutes to seven ilikuwa ime$aza, inanipata
hiyo dinga naidungia side mi una$ua moringi watu wote uteremke na ngaya
nimesimama hiyo side watu walikuwa wakifikiri mi ni chizi, sasa wanona mimi
nikama nimechizika. raoundi hii gari zinatoka chini zimenashuu.
Swa: .ngalia, *anatic) asu%uhi hile siku nilikuwa kazi madukani, ilikuwa inafika
uhuru alafu inarudi hivi saa mo$a %ado dakika tano kama ime$aza, watu walikuwa
wana fikiri mimi ni wazimu, ikipita hivi ikiteremka gari ime$aa.
Eng: "ou see *anatic) in the morning when - used to work at the shops. -t used to
reach uhuru then after five minutes it was full %oarded, people used to think - am
crazy %ecause when it comes this way it is full.
Mike: /akini
Swa: /akini
Eng: (ut
ai: !a seat,
Swa: !a kiti
0
Eng: - have a seat.
Mike: 1takaashuu2
Swa: 1takaa wapi2
Eng: #here do you seat2
ai: 3ando ya deresilipi alikuwanga anapokeanga maneno, he he he, anapokea
maneno tao..ho ho.
Swa: 3ando ya dereva.. na silipi alikuwa anagom%eza sana.
Eng: (eside the driver and - won+t pay. 4e used to %e in trou%le.
Mike: !ininini eeh.. mimi nigewatolea noma.
Swa: !ini eeh, mimi ningewaletea shida.
Eng: #hat, - throw words at them.
ai: .ta wanamshow. unamtegea hivyo seat na nikuchoma anaichoma . Sasa
una$ua tu wana$ua nta%e%wa sare.
Swa: 4ata wanamwam%ia, unamutegea hiyo kiti na ni harasa tu, sasa una$ua tu wana$ua
nita%e%wa sare.
Eng: .nd they tell him you are keeping a seat for her and yet it will %ring a loss, they
knew - would %e carried for free.
Mike: 3ama kawaida.
Swa: kama kawaida.
Eng: /ike always.
ai: 4awa watu wenyewe wanakuwanga ..haouumwa umwa yaani.
Swa: 4awa watu wanakuwanga.hao usikia vi%aya sana yaani.
Eng: Those people are they are pained so much.
ai: Siwezi patia watu wengi hivyo maneno ah hiyo ni
Swa: Siwezi kupiga kelele kwa watu wengi hivyoah hivyo ni
Eng: - cannot make noise to people like that ah that is
Mike: Mangwar mo% hasiletangi show. 4azi%am%i.
Swa: 3elele mingi si mzuri si mzuri.
Eng: . lot of noise is no good.
ai: Eeh.. pick and gohivyo hivyo. Mathesa ana piga mathree ya 4oli ka%la ata
achukuwe rounda, he he he.
Swa: Eeh, chukuwa na enda, hivyo hivyo. Mathesa ana pituka gari ya 4oli ka%la ata
zunguke he he.
Eng: Eeh pick and go, like that. Mathesa has overtaken 4oli even %efore he picks at the
rounda%out.
5
Mike: Eeeh, lakini huyo chali ukim%iza gari $ooeeeh, eeeh eeh kama kuna mtu
na$ua ukim%iza gari $oo Mathesa, eeh kuna vile $ana nime%ase hapa lakini
nili$ionea maneno ai ya ya. ndonga eeh eeeh eeh waku%wa wa Tacos ndiyo
hao sasa, niliam%iwa maneno yote tu.
Swa: Eeeh, lakini huyo ki$ana anakimiza gari sana, yeye ndiye ki$ana na$ua hukim%iza
gari. Eeh $ana nili$ionea maneno, ta$iri wa Tacos, ndiyo hao sasa, niliam%iwa
maneno yote.
Eng: That guy speeds, that+s one person - know who really speeds yesterday - saw
things, rich guys in Tacos. - was told a lot of things.
ai: M%ona sikuwachecki eeeh tulipitania wapi2
Swa: M%ona mimi sikuwaona, eeh tulipitania wapi2
Eng: #hy didn+t - see them, how did - miss you2
Mike: Mimi nilikuwa nimeenda huko kule kwa wasee huko mwisho, nilianza na
(alcony nikarudi nikaenda huko mwisho.
Swa: Mimi nilikuwa nimeenda huko, kule kwa wazee huko mwisho, nilifika kwanza
hapo kwa *(alcony) alafu nikarudi nikaenda huko mwisho.
Eng: - had gone to sit at the end. #here they are seniors at the end. - went to the
(alcony first them - went %ehind.
ai: Mimi niligonga (alcony nikaku$a nikaona hiyo idhaa si poa nikatoka nikaenda
Tropez.
Swa: Mimi nilifika hapo kwa *(alcony) alafu nikaona siyo pazuri, nikatoka nikaenda
*Tropez).
Eng: - first went to the (alcony which didn+t seem good and then - left and went to
Tropez.
Mike: !a nilikuwa nafikiria kucome hivo lakini niliaanza -%iza aah nikarudi nikaenda
Swa: !a nilikuwa nafikiria ku$a huko lakini nikaenda -%iza.
Eng: - had thought of coming there %ut instead - went to -%iza.
6th: 4iyo triangle uwa m%aya, -%iza, Tropez, Tacos onaona, hiyo triangle ni noma
noma.
Swa: hiyo n$ia ni m%aya, -%iza, Tropez, Tacos, onaona hivyo n$ia ni m%aya.
Eng: That triangle is %ad, -%iza, Tropez, Tacos, see that triangle is %ad.
Mike: Sa mi nikaingiza huko chini mugithi iko..ni -%iza ni kachapa m%ili
nikakum%alo nikataka kuingia Tropez nikaona ati, aah, aah.
Swa: Sasa mimi nikaingia huku chini kwa *mugithi) alafu huko -%iza nikakunywa
chupa m%ili nikatoka nikataka kuinga Tropez lakini nikawacha.
Eng: !ow - entered downstairs for *mugithi) there in -%iza - drunk two %eers then -
left. - wanted to enter Tropez %ut - changed my mind.
7
ai: 3ulikuwa kume nahshuu noma noma huskii ilikuwa inani%am%a kama
nimesimama.
Swa: Tulikuwa kume$aa sana. nilikuwa nina%urudika sana hata kama nilikuwa
nimesimama.
Eng: The place was packed. - was having fun even while standing.
Mike: !ika kaa nikaona ni ende 5. !ikaona ni m%ali acha ni kae hapa sitaki
kusum%uana na hao ma%ouncer.
Swa: !ilikaa halafu nikaona niende 5. !ikaona ni m%ali wacha ni kae hapa. Sitaki
kusum%uana na hao maskari wa mlango.
Eng: - thought of going to 5. Then - realized it was far and decided to stay. - did not to
%e %othered %y the %ouncers.
6th: 6oua ooua, kwanza vile hao unikatisia.
Swa: 6oua ooua, kwanza hao unikasirisha sana
Eng: irst of all they annoy me.
6th5: 6pidi yuko2 eeh, 8mzee utamget sahii29
Swa: 6pidi yuko2 eeh, 8mzee unaweza kumpata saa hii29
Eng: #here is 6pidi2 eeh 8can you really find him at this time29
6th: .menda ulanyenadhani eeh (rian ako na nguvu yoyote2. .nalowa $asho
lakini yuko radarheheheheheh
Swa: .meenda umalaya nadhani, eeh (rian yuko na nguvu yoyote2 .nalowa $asho
lakini yuko makini
Eng: 4e is gone to hook - think. :oes (rian have any strength2 4e is wet with sweat.
(ut he is poised
Mike: 4iyo 6pindi, smoothe kweli hiyo 6pindi uwanga noma.
Swa: 4uyo 6pindi. !i nyororo kweli huyo 6pindi ni m%aya.
Eng: That+s 6pindi, smooth operator. 4e is %ad news.
6th7: ;romotion iko wapi hapa2 1chali yuko2 6pindi yuko2
Swa: Muza$i yuko wapi hapa2 4uyu ki$ana yuko wapi2 6pindi yuko2
Eng: #here is the promotion here2 #here is this guy2 #here is 6pindi2
ai: <hecki kila mtu anamtafuta. 3weli uchali aliwaduuiya nini2 mumemnoki sana
Salem yote %ana
Swa: .ngalia vile kila mtu anamtafuta2 3weli huyo ki$ana aliwafanyia nini2
munampenda sana =erusalem yote %wana
Eng: /ook every%ody is looking for him. #hat did he do to you2 "ou like him so
much everyone in =erusalem
Mike: Smoothe anaitwa smoothes matata, 6pindi.
Swa: !yororo ndivyo anaitwa, nyororo matata 6pindi.
Eng: Smooth operator is 6pindi+s name.
>
ai: 3wani ulikosana na 6nyipo2
Swa: 3wani ulikosana na 6nyipo2
Eng: #hy, did you fight with 6nyipo2
Mike: 1wana miguu stunye deadly.
Swa: 4uwa na miguu ziko na misuli sana.
Eng: 4e has very %ig leg muscles.
ai: !a huyo sistako msuu..haukuwa umemuona. 8Si$awahi m$ua..9
Swa: !a huyo dadayako mku%wa haukuwa umemuona8Si$awahi m$ua9
Eng: #hat a%out your %ig sister. "ou had not seen her 8- have never known her9
6th7: 1mesema hapo umemkosa ama umempata2
Swa: 1mesema hapo umemukosa ama umempata2
Eng: "ou said there you found him or not2
6th5: .ah, tumemkosa, si$ui ame iishia a$e lakini u$uwe yuko area.
Swa: .ah, tumemkosa si$ui ameenda wapi lakini u$uwe yuko kari%u.
Eng: !o, he is not there. - don+t know which way he went, %ut he is within.
6th7: . =ioni, sawa sawa una$ua $ina yangu sawa..8other conversations9
Swa: =ioni sawa, una$ua $ina yangu.sawa
Eng? . -n the evening ok, do you know my name
ai: !aiweka tu radar, ha hah ha ha sa%a%u na$ua utaninyanganya he heh eheheh
nilikuwa nishamcheki, lakini eeheh niko tu hivi eeh.
Swa: !aiweka vizuri, sa%a%u na$ua ataniyanganya, nilikuwa nishamuona, lakini niko
tu hivi
Eng: - am very much aware. - know he will steal it. - have seen him.
ai: .nataka tu kuichukuwa, m%ete na vile ni ya nguvu.
Swa: .nataka tu kuichukuwa, pete na vile ni ya nguvu.
Eng: 4e wants to take it, that ring, that e@pensive one.
Mike: Eeeh %ana, ya kizee.
Swa: Eeeh %wana, ya muzee.
Eng: "es, it+s from my %oyfriend.
6th5: 3una soda ingine hapa. 3aris come umalize soda, watoi wamekataa.
Swa: 3una soda ingine hapa. 3aris come umalize soda, watoto wameikataa.
Eng: There is a soda there 3aris come and take it, the kids have refused.
ai: !ilete soda lete ku$a ku$a ako $uu ya mic ni nini.2
Swa: !ilete soda, lete, ku$a ku$a. "uko kwa mitam%o ni nini2
Eng: (ring the soda %ring, come come, he is on the microphone, what is it2
A
Mike: 4uoni nadungana2
Swa: 4uoni nimeketi nazugumuza2
Eng: <an+t you see - am engaged2
6th5: E%u come, come come.
Swa: 4e%u ku$a ku$a.
Eng: =ust come, come.
Mike: /eta tuu hapa.
Swa: leta tuu hapa.
Eng: =ust %ring it here.
6th5: .ah, aah.
Swa: 4apana.
Eng: !o, no.
ai: Sasa unataka nifanye nini sahii kwa matha (ena2
Swa: Sasa unataka nifanye nini saa hizi kwa mama (ena2
Eng: #hat do you want me to do at mama (ena+s.
6th5: 3wa mother in law sawa.
Swa: 3wa mama ya %wana.
Eng: .t your mother in law, yes.
ai: Eh eeh, nilikuwa naruka$uu $uha ha hahah, walikuwam%ia$e hawa wasee2
wamekaa hapa wanakula stori, mimi nimeshuka hivi stage naenda.
hivi.nikasikia =oi anasema, wewe una$ua (ena anani chezea sana he hehheheh
Swa: eeh eeh, nilikuwa naruka $uu. #alikuwam%ia a$e hawa watu2 #alikuwa
wamekaa hapa wanasisimua hadithi mimi nilikuwa nimeshuka gari hapo kwa
kituo nikaenda hivi nikasikia =oi anansema, * wewe una$ua (ena anaichezea
sana)
Eng: - was $umping up what did they tell you2 - found them sitting here telling tales
when - had alighted from there and - was going this way, - heard =oi saying, *
(ena is playing with me).
Mike: !ani huyo2..%u$a hahahahah
Swa: !ani huyo2 ...%u$a..
Eng: #ho2 .%u$a
6th5: <ome, come, wachana huyu come ukunywe soda.
Swa: ku$a, ku$a, wachana na huyu ku$a ukunywe soda.
Eng: come, come, leave him alone, come take a soda.
Mike: !i nini2 .ko$uu ya mic.
Swa: !i nini2 "uko kwa mitam%o.
Eng: #hat2 4e is on the mic.
B
6th5: !ampatia tu..
Swa: !ampatia tu
Eng: - am only giving him
ai: 1nampatia nini2
Swa: 1nampatia nini2
Eng: &iving him what2
Mike: #e tulia come come %ring soda hapa nikwam%ie. ;oaC
Swa: #ewe tulia, ku$a, ku$a ulete soda hapa nikwam%ia.. MzuriC
Eng: "ou $ust %e calm, come, come here and %ring the soda, - will tell you
something.. 4iC
6th5: <ome come aah we leta sasa dame yako atakupata na huyu dame hayaC
Swa: 3u$a, ku$a, aah we leta, sasa mchum%a wako atakupata na huyu msichana, hayaC
Eng: <ome, come, $ust %ring, now your girlfriend is going to find you with this girlC
Mike: 4akunaga muroro mi na kuwanga naye hata wewe una$ua mimi sichezangi kadi
huku, eeh wacha hizo zichezewe.
Swa: Mimi sina mchum%a hapa, hata wewe una$ua mimi sichezangi kadi huku, eeh
wacha hizo zichezewe.
Eng: - don+t have a girl here and you know that, - don+t play games here, let those %e
played.
6th5: 3wani hiyo chupa haiwezi kuteremka2 come, come
Swa: 3wani hiyo chupa haiwezi kuteremka2.. ku$a, ku$a
Eng: <an+t that %ottle came down2.. come come
ai: =apana, mimi niko works.
Swa: 4apana, mimi niko kazi.
Eng: !o, - am working.
6th5: Sasa si unapiga tu pause.
Swa: Sasa si usimamishe tu.
Eng: =ust press pause.
a: ;auseeh.
Mike: Muvute ma%iye soda.
Swa: Mununulie soda.
Eng: (uy her a soda.
6th>: 4uyo ni wakucome ..heheheheh.
Swa: 4uyu ni wakuku$a.
Eng: This one is from a%road.
D
Mike: Eeh, eeh, unamurukaC
Swa: Eeh, unamkataaC
Eng: "ou are sno%%ing herC
Mike: Mi uwa orda. =immy miukwam%ia nikuanganishe unadinda.. aah lakini fu$i
wamehemea huku..we we we
Swa: Mimi huwa mpangoni.. =immy mimi nakwam%ia nikunganishe unakataa. /akini
u$i wamehemea huku.
Eng: Me, - am always on the go. =immy - always tell you that - can hook you up %ut
you don+t want. (ut u$i is really wearing out here.
ai: .ti u$i wamehemea huku2
Swa: .ti u$i wamehemea huku2
Eng: That u$i is wearing out here2
Mike: u$i2 we, we unacheza.
Swa: u$i2 wewe unacheza.
Eng: u$i2 "ou are $oking.
ai: u$i ametoka kuniam%ia si$ui nini. .menitukana shogaa, akasema nisipite hapa.
Swa: u$i ametoka kuniam%ia si$ui nini. .menitukana shogaa, akasema nisipite hapa.
Eng: u$i he was $ust telling me - don+t know what. 4e called me a dog and told me not
to pass there.
Mike: Mko, mko, eeh, mnadharo u$i. u$i ni munyamaC
Swa: Munadharau u$i. u$i ni munyamaC
Eng: "ou see you really despise u$i. u$i is an animalC
6the5: 1memaliza fegi2 come shika tarim%o usione mi ni mchoyo. !ia$e2
ungecome tu nayo hisivi.
Swa: 1memaliza sigara2 3u$a shika hii sigara usione mimi ni mchoyo vipi2
ungeku$a tu nayo hapa.
Eng: 4ave you finished the cigarette2 take it - am not mean. #hats up2 <ome
with it over here.
Mike: !a huyo mtu ana mi$uu stunya deadly. .i maze $ua imewaka hivi manze haungui
%ana,hai nomaC
Swa: !a huyo mtu ana mi$uu inamisule sana, anatem%ea kwa $ua kali hivi na haungui
hee mam%o m%ayaC
Eng: That guy have %ig leg muscles he is walking on the hot sun and is not %urning,
toughC
ai: .. para m%aya hiyo sana kuwa sugu eeh.
Swa: Mam%o m%aya mwili kuwa sugu hivyo.
Eng: That+s not good %eing that tough.
E
Mike: 4e nakwam%ia $ana tao niligonga mtu wa wenyewe eeh, mpaka nikamwonea
huruma mimi.
Swa: 4e, nakwam%ia $ana m$ini niligonga mtu mpaka nikamwonea huruma.
Eng: /et me tell you yesterday - hit someone until - pitied him.
ai: -likuwa a$e2
Swa: -likuwa a$e2
Eng: #hat happened2
Mike: ..#acha ni
Swa: ..#acha ni
Eng: -t was
6th>: -le 6kinda anaweza kukindia mtu ngapi2 4iyo ya %lue. .ah, aah hiyo ingine
Swa: 4ile 6kinda anaweza kuuzia mtu ngapi2 4iyo ya %lue.. aah, aah, hiyo ingine.
Eng: 4ow much can 6kinda sell that2 That %lue one, no, that other one.
Mike: 6ne chwani soo m%ili. Sawa.niya kwako2
Swa: Mia mo$a na hamsini, mia m%ili sawa ni yako2
Eng: 6ne hundred and fifty, two hundred ok is it for you2
6th>: .ah, aah, kuna mtu anataka.
Swa: 4apana kuna mtu anataka.
Eng: !o, it+s for someone else.
Mike: .lafu ukamgusia 2
Swa: 4alafu ulimwam%ia ni ngapi2
Eng: Then how much did you tell him2
6th>: !imemgusia kiasi na amesema anarudi. Sawa2
Swa: !imemwam%ia kiasi na amesema atarudi.sawa2
Eng: - told him a %it more, and he said he is coming %ack, ok2
Mike: #e mdunge hiyo.. mi $ana sasa naenda kupanda Mathree, mtu amesukumana
hapo akanikangia kiatu, manze, mimi nilimgeukia *raap) mi nilimuraukia *raap)
nikamuweka tu m%ata nikasikia *nini) *Fe%) na nguvu na nikaamwacha huko.
Swa: Mulipishe hivyo. Mimi $ana nilikuwa naenda kupand matatu, mtu ameshkuman
hapo akanikangia kiatu, wewe, mimi nilimgeukia *raap) mimi nilimraukia *raa)
nikampiga ngumi na nguvu na nika mwacaha hapo.
Eng: <harge him that.. now - was telling you yesterday - was going to take a matatu.
Someone pushed me and stepped on my shoe. - turned to him and *raap) and - hit
him with a lot of force and left him there.
a: .ta wewe.
Swa: 4ata wewe.
Eng: Even you.
G
6th>: 1nikanyage na nimepiga rangi2 /azima upanguse lazima upanguse.
Swa: 1nikanyage na nimepiga rangi2 /azima upanguse lazima upanguse.
Eng: "ou step on my shoe and - had polished it2 -t is a must you clean it.
Mike: Mimi nilimgeukia tu *;ap) ngumi na huko nikaingia gari, singeweza kumweka,
alinikatisia, alafu una$ua nia$e, anakanyaga nikamcheki. .kakanyaga hiyo ingine
sasa, sasa nikashindwa hata huyu nitamwanzia . 3wani umeona kama ni kaa
eeh, nachukiya. /akini mtu anakazana eeh , eeh
Swa: Mimi nilimgeukia tu *;ap) ngumi na huko nikangia gari, singeweza
kumongelesha, alinikasirisha, alafu una$ua ilikuwa vipi, akanikanyaga,
nikamuangalia. .kanikanyaga hiyo kiatu ingine, sasa nikashindwa hata huyu
nitamwanzia wapi, kwani umeona kama ni kama eeh, nachukia,, lakini mtu
anakazana eeh eeh.
Eng: - $ust turned to him *;ap) - hit him and entered the car. - could not stand him he
got me mad and do you know what happened. 4e stepped on my shoe. - only
looked at him then he stepped on the other, now - was wondering what is wrong
with him. #hat coulf - say to him, what does he think of me2 - hated it then he
is yapping eeh eeh.
ai: -yo idhaa ya kwanza alikukanyaga ukamkulia free akaona hata hutaweza
kumezea.
Swa: hiyo mara ya kwanza alipokukanyaga ukamuwacha ndio aliona huwezi kumfanya
kitu.
Eng: the first time he stepped on him, you didn+t act on him so he thought you can+t do
anything to him.
Mike: Eeeh, aaah kumkulia saa ngapi2
Swa: Eeh, aah, nilimwachia saa ngapi2
Eng: - did not leave him2
6th>: 3una %uda alinifanya hivyo. 4uyo m%uda aliku$a akaniiam%ia enyewe pole,
ki$ana pole sana.
Swa: 3una mzee alinifanya hivyo. 4uyo mzee aliku$a akaniam%ia enyewe pole ki$ana
pole sana.
Eng: There was one old man who did the same thing on me. That old man apologized
to me he said sorry young man.
Mike: Eeh unampeya maneno2
Swa: Eeh unampigia kelele2
Eng: "ou %urst out at him2
6th>: !a alipanguza kiatu alinipeleka kwa shoe shine.. angalia tu vile nakaa hapa
chini, alafu angalia kitu umeniekea, sasa unamaanisha nini2
Swa: !a alipagusa kiatu.. alinipeleka kwa)shoe shine) .. angalia tu vile nakaa hapa
chini, alafu angalia kitu umeniekea, sasa unamaanisha nini2
0H
Eng: 4e cleaned my shoes he took me to the shoe shine look at me down, then look
what you have put on me, what do you mean %y this2
Mike: "aani wewe unashinda umefanya hivi ki$ana mwingine anaku$a *!aak)
ananistep, ata ata una$ua pole ingekuwa kitu mzuri, ye anakanyaga alafu %ado
ana$ari%u kupita ana kupita na mimi.
Swa: "aani wewe unashinda umefanya hivi. 3i$ana mwingine anaku$a anakukanyaga.
4ata hasemi pole yeye anakukanyaga alafu %ado ana$ari%u kupita, anakupitia
m%ele.
Eng: "ou are you going to keep doing like this. . guy comes along and steps on you he
doesn+t even apologize. Sorry can %e nice, he $ust steps on you and still pushes %y
you.
6the>: 1napata nizile siku za matope alafu umevaa koti yako ya white.
Swa: 1napata nizile siku za matope, afafu umevalia koti yako nyeupe.
Eng: .gain when it is the muddy season. Then you are wearing your white coat.
ai: ..3oti yako nyeupe...
Swa: 3oti yako nyeupe
Eng: "our white coat
Mike: .iya yai yai yai na wewe hapo hapo.
Swa: !a wewe hapo papo.
Eng: .. =ust hitting him there and then.
6th>: .lafu mtu anaku$a anakustepaah.
Swa: alafu mtu anaku$a anakukanyaga.
Eng: Then one comes and steps on you.
ai: #atu wanaeza kuona ni kama mi ni chizi, una$ua kwa sa%a%u gani2 .fadhali
uniwagie wode kwa mguu, achana na n$umu yangu.
Swa: #atu waneza kuona kama mimi ni wazimu, un$ua kwa sa%a%u gani2 .fadhali
unimwagie ma$i kwa m$uu lakini wachan na kiatu yangu.
Eng: ;eople can think that - am crazy, you know why2 Father pour water on my legs
%ut leave my shoes out of it.
Mike: Maanze kiatu $o, eeh enyewe watuenyewe kiatu, n$um, n$um wongea mo% sana
$uu ya mtu.
Swa: #ewe, kiatu, enyewe kiatu, kiatu husema mam%o $uu ya hali ya mtu.
Eng: Feally shoes, shoes speak a lot a%out someone.
ai: 1napata msee amedungua, lakini n$um haiku.
Swa: 1napata mtu amevalia vizuri kweli kweli, lakini kiatu haiko.
Eng: "ou can find someone dressed so smartly %ut the shoes are a mess.
00
Mike: 1meshamtoa marks, hapo hapo.
Swa: 1mesha mudharau hapo hapo.
Eng: "ou pass low opinion immediately.
ai: !i ka mdem, amedunga alafu nywele yake si$ui inakaa a$e.
Swa: !i kama msichana, amevalia vizuri alafu nywele yake ni m%aya.
Eng: -t is as if a lady dresses smartly %ut her hair is untidy.
Mike: Eeh, kwa dem ni nywele, lakini machali ni n$um we we we ni noma.
Swa: Eeh, kwa msichana ni nywele, lakini wanaume ni kiatu.
Eng: "es, for women it is the hair, %ut for men is it the shoe.
ai: !i nakwam%ia dem amedunga mgaro yake eeh, mgaro wa %ei, lakini ukicheki
kichwa uwezi murank.
Swa: !akwam%ia msichana amevalia nguo zake, nguo za %ei, lakini ukiangalia kichwa
unamudharo.
Eng: "ou see a lady dressed with e@pensive gear, %ut when you look at her hair, you
think lowly of her.
Mike: .ah, usiki anakaa mungiks hiyo sector.
Swa: .ah, akakaa kama mungiki katika hiyo hali.
Eng: She looks like a mungiki.

ai: 4uwezi murank na una$ua hata kama una doo na nywele yako si poa. #atu wana
murank tu mapema watu wanaona hauna, hauko yaani.
Swa: 1namudharao un$ua hata kama ana pesa na nywele si mzuri watu wanakuu dharao
tu, wanaona hauna kitu.
Eng: They undermine you, even if you are rich and your hair is untidy people look
down on you they think you have nothing.
Mike: 4uyu mtu alinikatisa sana. 4ee $ana we.. ni Eli$ah alikuwa ana niam%ia tulia %ana
usiwe hivyo, lakini mimi alinikatsia deadly, nachukia, kiatu, haikuwa kitu smart
alifanya.
Swa: 4uyo mtu alinikasirisha sana, hee $ana, we ni Eli$ah alikuwa anania%ia ni wache
kukasirika, lakini mimi alinikasirisha sana, nachukia, kiatu, haikuwa kitu mzuri
alifanya.
Eng: That guy really got me crazy. -t was Eli$ah who was calming me down, that guy
really annoyed me, - hate it my shoes, he did not do a smart thing.
ai: E$i$ah $uzi amenipatia maneno, heheheheh, alisema amecome home na pick and
go iko hapo, ;op yuko, Eli$ah ndiyo huyo, Mwash, Mwash yuko hapo m%ele ako
na code red sasa nina enda. Sasa un$ua hiyo idhaa kwanzia idhaa kama hiyo
un$ificha hivi wewe wasikuone, afadhali upande.. maa.
Eng: The day %efore yesterday Eli$ah gave me a hard time, he said the pick and go is
there, ;op is there, Eli$ah is here, Mwash is here infront with <ode red, now we
05
were leaving, you know at that time you want to hide, you don+t want to %ee seen,
rather you take those
Swa: =uzi Eli$ah alinipa kazi gumu. .lisema ameku$a nyum%ani na pick na kwenda
yuko hapo. Eli$a huko hapo pia. Mwash pia yuko hapo m%ele na <ode red, sasa
tulikuwa tuna enda, un$ua hio masaa unatakaa ku$ificha kwa sa%a%u hutaki
kuonekana afadhali uchukuwe hizo.
Mike: Mahoppa.
Swa: 4oppa.
Eng: 4oppa.
ai: #apiC 3um%e fasto ashaniona, ninamwitanga *king of (ling) watu wa two three,
ashaniona na ame amdunga %ling yake yote, eeh, *wewe mdem, nini2 Sasa huendi
na mimi, akokua unapeleka shore wangu, om%wak wangu unampeleka wapi2
.kawam%ia kum%avu yiyi wote, huyu om%wak nilikuwa nalala na yeye kwa
matatu hahahahhhehaa weeC
Swa: 3um%e fasto ashaniona, nina mwitanga *king of %ling) watu wa two three,
ashaniona na amedunga %ling yake yote, eeh, *we msichana, nini2 Sasa huendi na
mimi unapeleka msichana wangu wapi, akamwam%ia kum%avu nyiyi wote,
huyu msichana nilikuwa na lala nay eye kwa matatu.
Eng: (ut fasto had seen me, - call them * king of (ling) those guys of twenty three, he
saw me he was wearing all his %ling, he said, whats up girl, are you not going
with me.. *where are you taking my girlfriend) *you ar stupid all of you, - was
sleeping with your girlfriend in the Matatu.
Mike: .meshtood, .. 8amestood wapi29 m%ali.
Swa: .mesimama.. 8amesimama wapi29 m%ali.
Eng: 4e is standing 8where29 far.
a: /akini siatacome hivi eeh.
Swa: /akini ataku$a hapa eeh.
Eng: (ut he will come here.
Mike: Sikia alafu kuna vile kuna watu wengine nimeku$a hamuwezi hatana tao %ana,
mmh, unaona ni kama wanakuIstalk enyewe kuna watu kama hao.. nimewaona.
Swa: Sikiza kuna watu wengine nimku$a $ua hamuwezi pitana nao m$ini %wana, mmh,
unaona ni kama wanakufata.. enyewe kuna watu kama hao nimewaona.
Eng: /isten there is a way you find that some people you can never miss them in town.
"ou see like they are stalking you, people like that - have seen then.
07

You might also like