Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 1

ENCOUNTER WITH DESTINY FLIER!

I joined Winners Chapel international Mbeya last month and I gave my life to Christ, at that time I had a
lot of concerns in my life: in my place of work there was a misunderstanding between me and all the
management staff, I started attending mid week services and teaching believing that God will change my
life. By the grace of God and his word I was distinguished at my place of work, and by his Grace at work,
God granted me another Job, previously I was working in Botswana, but now God gave another Job in
Oman. I thank God for changing my life, glory be to God. Bro. Geofrey.
Its Your Turn for a Change of Story!
KUKUTANA NA HATIMA
Nilijiunga na Kanisa la Washindi la Kimataifa Mbeya mwezi uliopita na kumpa Kristo maisha yangu. Kwa
wakati huo nilikuwa na masumbufu mengi katika maisha yangu. Kazini kwangu hakukuwa na maelewano
mazuri kati yangu na utawala. Nilianza kuhudhuria ibada za katikati ya wiki na kupata mafundisho
nikiamini kwamba Mungu atabadilisha maisha yangu.
Kwa Neema ya Mungu na neon lake nilianza kutofautishwa kazini kwangu, na kwa utendaji wa Neema
yake Mungu alipatia kazi nyingine. Awali nilikuwa nafanya kazi Botswana, lakini sasa Mungu amenipatia
kazi Oman. Ninamshukuru Mungu kwa kubadilisha maisha yangu, Utukufu kwa Mungu. Kaka. Geofrey
Ni wakati wa habari yako kubadilika!
ENCOUNTER WITH DESTINY SUNDAY 22
nd
June 2014 Genesis32:28

You might also like