Ludewa Prisca Kayombo(Zaruta ameku!a papo "apo na wengine
ku#eru"iwa vibaya katika a#ali ya a#ali mbaya ya gari iliyotokea leo asubu"i$ %as"u"uda wa a#ali "iyo walio&ungum&a na mtandao "uu walidai kuwa c"an&o c"a a#ali "iyo ni gari "ilo ambalo walikuwa wakisa'riki kutoka Lupingu ( Ludewa ku!eli breki na "ivyo kupinduka $ )redo *aule alisema kuwa baada ya gari "ilo aina ya +oyota )osta inayo#ulikana kwa #ina la D%, iliyokuwa iki!anya sa!ari &ake kutoka Ludewa %#ini kuelekea Lupingu -ku!eli breki dereva aliwataka abiria kutulia ndani ya gari "ilo ila diwani "uyo "akuwe&a ku!anya "ivyo na kuamua kuc"ukua maamu&i magumu ya kutaka kuruka katika gari "ilo$ Alisema kuwa wakati akiruka alimsukuma utingo wa basi "ilo na "ivyo wote wawili utingo na diwani ku!unikwa na gari "ilo na kupelekea ki!o c"a diwani "uyo "uku utingo "uyo akiwa ma"ututi baada ya kubanwa na gari "ilo$ . Diwani "uyo amepote&a mais"a wakati akiwa n#iani kuelekea ku#umuika na wananc"i wake katika s"ug"uli ya maendeleo ya kuc"imba mas"imo ya ngu&o &a umeme kuelekea ki#i#ini kwake Lupingu. %bunge wa #imbo la Ludewa Deo /ilikun#ombe ameele&a kusikitis"wa na ki!o c"a diwani "uyo kutokana na mc"ango wake mkubwa aliouonyes"a en&i wa u"ai wakati kwa kus"iriki vema na wananc"i wa kata yake katika &oe&i la ku!yeka na kuc"imba mas"imo ya ngu&o &a umeme kwenda Lupingu$ Alisema kuwa anakumbuka ni wiki mbili pekee &imepita toka diwani "uyo alipoungana nae katika uc"imba#i wa mas"imo ya ngu&o &a umeme kwenda ki#i#i c"a Ntumbati na kuwa "ata wakati a#ali "iyo inamkuta bado alikuwa katika "arakati &a kuwatumikia wananc"i wake$ . Ludewa tumempote&a diwani mc"apa ka&i na aliyependa ku#ituma muda wote na "ata wakati mwingine diwani "uyo alikuwa aki!anya ka&i ngumu kama mwanaume kwa kubeba ngu&o &a umeme kwa kus"irikiana na mimi na wananc"i wake $$$$$kwweli ki!o c"ake ni pigo kubwa ndani ya ))% na kwa wananc"i wa kata n&ima ya Lupingu. Kwani kati ya madiwani waliokuwa bega kwa bega na wananc"i wao na mbunge ni pamo#a na diwani "uyo ambae alikuwa mstari wa mbele kuona kata ya Lupingu inapata umeme wa u"akika baada ya miaka &aidi ya 01 ya 2"uru bila umeme $ %bunge /ilikun#ombe alisema atamkumbuka diwani "uyo kutokana na mc"ango wake mkubwa katika maendeleo na vile alivyo!anya ka&i na wananc"i wote bila ku#ali itikadi &ao &a vyama$ %kuu wa wilaya ya Ludewa 3uma %ada"a amet"ibitis"a kutokea kwa a#ali "iyo iliyosababis"a ki!o c"a diwani "uyo na kuwa a#ali "iyo ilitokea ma#ira ya saa 4 asubu"i $