Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii anawatangazia wafuatao kuwa wamepata ufadhili wa kugharamiwa mafunzo yao ya Uzamili/Uzamivu kwa mwaka wa masomo 2014/2015.
Watumishi hawa waliochaguliwa wanatakiwa kujaza mkataba wa makubaliano ya ufadhili (Bonding Agreement) na Wizara kabla ya kuanza masomo yao. Aidha, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inasisitiza kuwa haitahusika kugharamia mafunzo ya mwanafunzi yoyote atakayeamua kujiunga na masomo katika chuo chochote kwa mwaka 2014/2015 ambaye hayuko kwenye orodha hii au mwanafunzi yoyote ambaye yuko kwenye orodha hii lakini hajajaza mkataba wa makubaliano ya ufadhili.
Kila mtumishi aliyepata ufadhili atalazimika kuingia kwenye tovuti ya Wizara ya afya na Ustawi wa Jamii ili kupata nakala ya mkataba ambao atatakiwa kujaza nakala tatu katika sehemu zinazomhusu na sehemu ya guarantor atajaza mwajiri wake au yeyote mwenye mamlaka ya kusaini kwa niaba ya mwajiri wake na guarantor wa pili anapaswa kuwa mtu yeyote mwenye sifa za kuingia mkataba kwa mujibu sheria za nchi. Mikataba hiyo (nakala tatu) ikikamilika kujazwa itawasilishwa wizarani kwa kuambatanishwa na picha 3 (passport size) na mwanafunzi husika ili Wizara iweze kukamilisha kusaini mikataba hiyo. Mwisho wa kuwasilisha mikataba hiyo ni tarehe 30/09/2014. Mkataba wa makubaliano ya Ufadhili (Bonding Agreement) unapatikana kwenye tovuti ya Wizara www.moh.go.tz.
2
LIST OF CANDIDATES SELECTED TO BE SPONSORED BY THE MINISTRY OF HEALTH & SOCIAL WELFARE - 2014/2015 ACADEMIC YEAR
NO. NAME G COURSE WORKING STATION COLLEGE 1. Dennis Mutahyabarwa M Internal Medicine DED Simanjiro CUHAS 2. Zephania S Kushoka F Internal Medicine DED Babati CUHAS 3. Joshua Monge M MPH DED Kasulu CUHAS 4. Rainer A Kapinga M MPH DED Bukombe CUHAS 5. Omari Sukari M MPH DED Tabora DC CUHAS 6. Bernadin V Ngaila M OBGY Mwanza -MC CUHAS 7. Yustina A Tizeba F Paediatrics and Child Health DED Mpanda CUHAS 8. Rehema I Marando F Paediatrics and Child Health Mbeya Referral Hospital CUHAS 9. Mohamed Said M Surgery Shinyanga MC CUHAS 10. Rajabu S Chaghamba M Master of Social Work DED Mafia HKMU 11. Mwajabu M. Mmbaga F OBGY Arusha DC HKMU 12. Festas Mpojolu M OBGY Maswa CATC HKMU 13. Nega M.Nyakeboko M Paediatrics and Child Health DED Tarime IMTU 14. Beatrice E Ndossi F Internal Medicine RAS-Dodoma KCMU 15. Flora G Ruhangisa F Internal Medicine Arusha City Council KCMU 16. Ahaz K Jotham M OBGY Meru DC KCMU 17. Rabson T Bagoka M OBGY DED Karagwe KCMU 18. Zainabu S Muniro F OBGY AMO Mbeya School KCMU 19. Christopher F Mngere M OBGY Mirambo Hospital KCMU 20. Nelson C Mutajwa M Ophthalmology DED Kyela KCMU 21. Regnald R Shoo M Orthopaedic/Traumatology Hai DC KCMU 22. Michael A Kibona M Parasitology and Entomology NIMR-Tukuyu KCMU 23. Alfred S. Kishe M Surgery St Joseph Moshi-DDH KCMU 24. Kipapi R. Mlambo M Urology RAS Arusha KCMU 25. Amela M Kamazima F Anaesthesiology Lugalo Hospital MUHAS 26. Getrude F Mwang'amba F Anaesthesiology MNH MUHAS 27. Thadeus Makwanda M Applied Epidemiology Kinondoni-MC MUHAS 28. Maro M Chacha M Applied Epidemiology DED Kilombero MUHAS 29. Faraja C. Kiwanga F Clinical Oncology ORCI MUHAS 30. Emmanuel L Lugina M Clinical Oncology ORCI MUHAS 31. Sophia Samson F Critical Care &Trauma RAS Tanga MUHAS 32. Hajji M Hajji M Critical Care &Trauma MNH MUHAS 33. Patrick J Shao M Emergency Medicine MNH MUHAS 34. Winifrida Kaihula F Emergency Medicine MNH MUHAS 35. Catherine R Shari F Emergency Medicine MNH MUHAS 36. Haji M Lukupulo M Epidemiology & Lab Management Lugalo Hospital MUHAS 37. Mwashungi Ally F Haematology & Blood Transfusion Temeke-MC MUHAS 38. Jovis M.Magezi M Internal Medicine DED Mkuranga MUHAS 39. John Sanyiwa M Internal Medicine DED Meatu MUHAS 40. Makune J Makune M Microbiology & Immunology National Laboratory MUHAS 41. Ecstasy D Mlay M Midwifery & Womens Health Muhimbili,Midwifery School MUHAS 42. Japhet Simeo M MPH DED Iramba MUHAS 43. Emily Lihawa F MPH Songea MC MUHAS 44. Mohamed Mnacho M Neurology MNH MUHAS 45. Francis Mashigala M OBGY DED Sumbawanga MUHAS 46. Lobikieki M. Kissambu M OBGY RAS Mtwara MUHAS 47. Sylvester P Kihaga M OBGY Lugalo Hospital MUHAS 48. Emanuel O Mwalumuli M OBGY DED Wang'ing'ombe MUHAS 49. Luis A.Shayo M OBGY DED- Siha MUHAS 50. Harryjustin D Mwambe M OBGY DED Masasi MUHAS 51. Badria K Mushi F Ophthalmology AMO School Tanga MUHAS 52. Jacinta Feksi F Ophthalmology Ilala-MC MUHAS 53. Beatus S Msemakweli M Oral Maxillofacial surgery RAS Arusha MUHAS 54. Michael Chacha M Orthopaedic/Traumatology DED Tarime MUHAS 55. Boniface Y.Lukwinyo M Orthopaedic/Traumatology DED Songea MUHAS 56. Nelson Kimolo M Orthopaedic/Traumatology DED Mbeya MUHAS 3
NO. NAME G COURSE WORKING STATION COLLEGE 57. Deogratias G Banuba M Orthopaedic/Traumatology RAS Singida MUHAS 58. Said R Nondo M Orthopaedic/Traumatology RAS Tanga MUHAS 59. Ndeserua R Herman M Orthopaedic/Traumatology MOI MUHAS 60. Onesmo B. Tarimo M Otorhinolaryingology Kinondoni-MC MUHAS 61. John L. Masago M Otorhinolaryingology DED Monduli MUHAS 62. Jonas W.Ndasika M Otorhinolaryingology RAS Kilimanjaro MUHAS 63. Jaria S Rahib M Otorhinolaryingology RAS Iringa MUHAS 64. Jane Bazilio F Otorhinolaryingology DED Rufiji/Utete MUHAS 65. Limi Matondo F Paediatrics and Child Health DED Sumbawanga MUHAS 66. Omari B. Mahiza M Paediatrics and Child Health Ilala MC MUHAS 67. Mariam H Abdallah F Paediatrics and Child Health Tabora MC MUHAS 68. Siya E Ringo F Pharm Quality Control. & Assurance DSM City Council MUHAS 69. Bertha P Mallya F Pharm.Hospital & Clinical Pharm Tanga MC MUHAS 70. Damas Andrea M Psychiatry Mirembe Hospital MUHAS 71. Latifa Rajabu F Radiology ORCI MUHAS 72. Fanuel Daudi M Radiology DED Hai MUHAS 73. Eligi D Shayo M Radiology Kibongoto Hospital MUHAS 74. Ngimba George M Radiology DED Mufindi MUHAS 75. Mussa Ally M Radiology DED Sumbawanga MUHAS 76. Mwanaisha S Mohamed F Radiology DED Iringa MUHAS 77. Risala S Tekka F Restorative Dentistry Lugalo Hospital MUHAS 78. Thomas A Lujuo M Restorative Dentistry RAS Njombe MUHAS 79. Alexander Mwelange M Surgery DED Makete MUHAS 80. Conrad Ugonile M Surgery DED Njombe MUHAS 81. Abdallah A Chome M Surgery RAS Lindi MUHAS 82. Rukeha L Pius M Surgery DED Kigoma Ujiji MUHAS 83. John B Ngendahayo M Surgical Gastro. & hepatology MNH MUHAS 84. Ogola E Joseph M Urology DED Rorya MUHAS 85. Shani J Mudamu M Urology DED Maswa MUHAS 86. Swalehe K Pazi M Internal Medicine MNH UDOM 87. Aleluya K Amosi M Nursing & Mental Health DED-Gairo UDOM 88. Saidi Mzezele M Nursing & Mental Health Bagamoyo Nursing School UDOM 89. Edna G. Nzigo F Nursing & Mental Health RAS Dodoma UDOM 90. Matunga A.Mpelo F Nursing & Mental Health KCMC Nursing School UDOM 91. Mhando S Kileo M Nursing & Mental Health Mirembe Hospital UDOM 92. Wilbert S Msanya M OBGY DED Kisarawe UDOM 93. Emmanuel J Mkenda M OBGY Mbeya referral Hospital UDOM 94. Raphael M Shitindi M Health Monitoring & Evaluation DED Mbarali Mzumbe University 95. Sunday Ringo M Health Monitoring & Evaluation DED Mkuranga Mzumbe University 96. Olosiritore Lengida M Health System Management DED-Ngorongoro Mzumbe University 97. Ilumbu Kibi M Health System Management DED Geita Mzumbe University 98. Gwantwa Mwaisaka F Corporate & Commercial Law MoHSW-LSU UDSM 99. Peter E Mabwe M Mass Communication Health Education-Muhimbili UDSM 100. George Ndaki M Master of Social Work Port Health- DSM ISW 101. Silvanus Ilomo M Information System Security MOHSW-IT section AIA 102. Fikiri Mazige M PhD PHC Institute Iringa OUT 103. Glory S Joseph F Paediatric Cardiology BMC Chennai-India 104. Andrew I Laisser M Cardiac Anaesthesia MNH Narayana -India 105. Angela P. Muhozya F Cardiothoracic Anaesthesia MNH Narayana -India 106. Peter R Kisenge M Interventional Cardiology MNH NHC-Singapore 107. Godfrey Mbawala M Paediatric Cardiology AMO-Bugando School Witwatersrand-SA 108. Hussein Haruna M PhD MoHSW-Library Hong Kong Univ. 109. Juma Mkamba M Medical Education Mafinga COTC Dundee -UK 110. Godfrey Katabaro M Health care Technology RAS Tanga Capetown-SA
Orodha Ya Wanafunzi Wa Wa Uzamili Waliopata Ufadhili Wa Mafunzo Ya Uzamili/uzamivu Kupitia Wizara Ya Afya, Maendeleo Ya Jamii, Jinsia, Wazee Na Watoto 2016/17 - World Bank