Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 1

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA

KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO


Simu ya Upepo : N G O M E Makao Makuu ya Jeshi,
Simu ya Mdomo : DSM 22150463 Sanduku la Posta 9203,
Telex : 41051 DAR ES SALAAM, 20 Octoba, 2014
Tele Fax : 2153426
Barua pepe : ulinzimagazine@yahoo.co.uk
Tovuti : www.tpdf.mil.tz
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatoa taarifa kwa
wananchi wote kuwa ni kosa kisheria kumiliki au kuvaa sare za JWTZ kwa
mtu yeyote asiyehusika.
Aidha, kumeonekana matukio kadhaa ya baadhi ya vikundi, ama mtu
mmoja mmoja kumiliki au kuvaa sare za JWTZ. Inakumbushwa kuwa kwa
yeyote atakayeonekana amevaa ama kumiliki sare hizo sheria itachukua
mkondo wake.
Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Mahusiano
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
S.L.P 9203, Dar es Salaam, Tanzania.
Kwa Mawasiliano zaidi: 0783 - 309963

You might also like