Uchaguz Mkuu uofanyka nchn Msumb| tarehe 15 Oktoba 2014. Chama Cha Mapnduz kkuwa knafuata kwa karbu mchakato wote wa Uchaguz huo hasa kwa sababu Tanzana na Msumb| n nch zenye uhusano wa damu. Kfuata kwa karbu kwa kuwa pa CCM na Chama cha FRELIMO n vyama ndugu vyenye hstora mo|a na ya pamo|a ya Ukomboz Kusn mwa Afrka. Hstora hyo ndyo yomfanya Ras Mteue wa nch hyo Ndugu Fpe NYUSI mara baada ya kuteuwa kwake na FRELIMO kugombea Uras, nch ya kwanza kutembeea kuwa Tanzana. Ikumbukwe kwamba huyu s mgen hapa Tanzana. Kama wanaharakat wengne wa ukomboz, Ndugu NYUSI ash Tanzana, anaongea vzur Kswah na anachukua Tanzana n nyumban. Kwa mnasaba huo, Chama Cha Mapnduz na Watanzana kwa u|uma tuna ka sababu ya kushanga ushnd waoupata ndugu zetu wa FRELIMO, kwan ushnd wao n ushnd wetu. Tunampongeza sana Ras Mteue Fpe NYUSI kwa kupeperusha vema bendera ya FRELIMO. Matokeo ya Uchaguz yamedhhrsha man kubwa wayonayo wana-Msumb| kwa FRELIMO na kwa Ras Mteue Fpe NYUSI. Tuna man kwamba chn ya uongoz mara wa Mwenyekt wa CCM, Dkt. |akaya Mrsho Kkwete, na Ras Mteue Fpe NYUSI, uhusano kat ya vyama vyetu vw utamarka na kustaw. 1 Tunampongeza pa Ras Armando GUEBUZA kwa kuongoza FRELIMO na Tafa ake vema na kukamsha uongoz wake kwa mafanko makubwa. Tunamtaka masha tuvu ya kongoz huyo mstaafu. Anapoanza kpnd hk cha uongoz wa Tafa ake, ss wana-CCM tunamtaka Ndugu NYUSI afya n|ema, busara, maarfa na uongoz uotukuka. CCM tasmama pamo|a na FRELIMO katka kuendeeza urth uoachwa na waass wa vyama vyetu Mwamu |uus NYERERE na Ndugu Samora MACHEL. Imetoewa na:- Nape Moses Nnauye, KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA, ITIKADI NA UENEZI 31/10/2014 2