Download as doc, pdf, or txt
Download as doc, pdf, or txt
You are on page 1of 3

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

BUNGE LA TANZANIA

RATIBA YA MKUTANO WA KUMI NA NANE WA BUNGE, TAREHE


27/01/2015 - 07/02/2015
KATIBU WA BUNGE

RATIBA YA MKUTANO WA KUMI NA NANE WA BUNGE


TAREHE 27/01/2015 - 07/02/2015
TAREHE
24/01/2015
na
25/01/2015
26/01/2015

SIKU/SAA
Jumamosi
na
Jumapili
Jumatatu
Saa 5.00 asubuhi
Saa 11.00 Jioni

27/01/2015

28/01/2015

Jumanne

Jumatano

TUKIO

MAHALI

Wabunge kuelekea
Dodoma.

Kutoka Dar es Salaam


na sehemu
mbalimbali.

Kikao cha Briefing


kwa Wabunge wote.
Vikao vya Kamati za
vyama vya siasa.

Ukumbi wa Pius
Msekwa.
Kumbi za Kamati.

Kipindi cha Maswali ya Kawaida.

Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi


wa Mwaka 2014 [The Tax Administration
Bill, 2014] (Kupigiwa kura tu).

Muswada wa Sheria ya Takwimu wa


Mwaka 2013 [The Statistics Bill, 2013]
(Kamati ya Bunge zima na Kusomwa
mara ya Tatu)
Kipindi cha Maswali ya Kawaida.

Taarifa za Kamati za Bunge zinazosimamia

Fedha za Umma.
(i) Kamati ya Hesabu za Serikali;
(ii) Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa;
(iii)
Kamati ya Bajeti.
29/01/2015

Alhamisi

Kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu.

Kipindi cha Maswali ya Kawaida.

30/01/2015

Ijumaa

31/01/2015

Jumamosi

01/01/2015

Jumapili

02/02/2015

Jumatatu

Taarifa za Kamati za Bunge zinazosimamia


Fedha za Umma.
(i) Kamati ya Hesabu za Serikali;
(ii) Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa;
(iii)
Kamati ya Bajeti.
Kipindi cha Maswali ya Kawaida.
Kipindi cha Maswali ya Kawaida.
Taarifa za Kamati za Bunge za Kisekta/
zisizo za Kisekta.
(i) Kamati ya Miundombinu;
(ii) Kamati ya Nishati na Madini.
(i)
Kamati ya Ardhi, Maliasili na
Mazingira;
(ii) Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji.
MAPUMZIKO

Kipindi cha Maswali ya Kawaida.

03/02/2015

Jumanne

Taarifa za Kamati za Bunge za Kisekta/


zisizo za Kisekta.
(i) Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala;
(ii)Kamati ya Tawala za Mikoa na Serikali
za Mitaa;
(iii)
Kamati ya Masuala ya UKIMWI.
Kipindi cha Maswali ya Kawaida.

04/02/2015

Jumatano

Taarifa za Kamati za Bunge za Kisekta/


zisizo za Kisekta.
(i) Kamati ya Ulinzi na Usalama;
(ii)Kamati ya Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa;
(iii)
Kamati ya Uchumi, Viwanda na
Biashara.
Kipindi cha Maswali ya Kawaida.

Taarifa za Kamati za Bunge za Kisekta/


zisizo za Kisekta.
(i) Kamati ya Huduma za Jamii;
2

(ii) Kamati ya Maendeleo ya Jamii.


05/02/2015

06/02/2015

Alhamisi

Ijumaa

Kipindi cha Maswali ya Waziri Mkuu.

Kipindi cha Maswali ya Kawaida.

Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya


Sheria Mbalimbali (Na.2) wa mwaka 2014
[The
Written
Laws
(Miscellaneous
Amendments) (No.2) Bill, 2014].
Kipindi cha Maswali ya Kawaida.

Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya


Sheria Mbalimbali (Na.2) wa mwaka 2014
[The
Written
Laws
(Miscellaneous
Amendments) (No. 2) Bill, 2014].

Taarifa ya Kamati Teule iliyoundwa


kuchunguza
na
kuchambua
Sera
mbalimbali zinazohusu masuala ya Ardhi,
Kilimo, Mifugo, Maji na uwekezaji ili kubaini
kasoro zilizomo katika matumizi ya Ardhi.
(Kuwasilishwa
Bungeni
na
Mwenyekiti)
07/02/2015

Jumamosi

Taarifa ya Kamati Teule iliyoundwa


kuchunguza
na
kuchambua
Sera
mbalimbali zinazohusu masuala ya Ardhi,
Kilimo, Mifugo, Maji na uwekezaji ili kubaini
kasoro zilizomo katika matumizi ya Ardhi.
HOJA YA KUAHIRISHA BUNGE

You might also like