Taarifa Kuhusu Kuidhinishwa Kutumika Kwa Aina Mpya Za Mbegu Za Mazao

You might also like

Download as doc, pdf, or txt
Download as doc, pdf, or txt
You are on page 1of 13

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI (PRESS RELEASE)

KUHUSU KUIDHINISHWA KUTUMIKA KWA
AINA MPYA ZA MBEGU ZA MAZAO
Kamati ya Taifa ya Mbegu (National Seed Committee) imeidhinisha matumizi
ya aina 65 za mbegu mpya za mazao mbali mbali ya kilimo. Mazao hayo ni
mahindi, mtama, ngano, muhogo, miwa, pamba, mbaazi, kunde, ufuta,
korosho na tumbaku. Hatua hiyo ya Kamati inalenga kuongeza tija na kipato
kwa mkulima.
Kuidhinishwa kwa aina hizo za mbegu kunafuatia mapendekezo yaliyofanywa
na Kamati ya Taifa ya Kupitisha Aina Mpya za Mbegu za Mazao (The National
Variety Release Committee) katika kikao chake kilichofanyika mjini Arusha
tarehe 25 na 26 Februari, 2015.
Aina hizo mpya za mbegu zimepitishwa baada ya kufanyiwa utafiti na
kugundulika kuwa zina sifa mbalimbali kama vile kutoa mavuno mengi,
kustahimili ukame, ukinzani dhidi ya magonjwa, kukomaa mapema na
kupendwa na wakulima.
Miongoni mwa aina hizo mpya za mbegu, kuna aina kumi na sita (16) za
mahindi, mtama (2), ngano (3), muhogo (4), miwa (5), pamba (1), mbaazi
(4), kunde (2), ufuta (1), korosho (24) na tumbaku (3). Mbegu hizo
zimefanyiwa utafiti wa kina na vituo vya utafiti vya Umma na Sekta binafsi
hapa nchini kama ifuatavyo:TAASISI/KAMPUNI
Kituo cha Utafiti Uyole

Kituo cha utafiti Ilonga

ZAO
Mahindi

AINA YA MBEGU
UHS 401

Ngano

Pamba
Mahindi

Mbaazi

Merina
Shangwe
Ngori
NTA93-21
WE3117
WE3102
WE3113
Kiboko
Ilonga 10-1M
Ilonga 10-2M
Karatu-1

TAASISI/KAMPUNI

Kituo cha Utafiti

Naliendele

Ufuta
Korosho

Meru agro tours &

consultancyltd

Mahindi

SeedCo Tanzania
company Ltd

Mahindi

IFFA Seed Company

Limited
Multi-Agro trading
Main Supplier
Chareon Pokphand
Produce Tanzania Co.
Ltd

Mahindi

AINA YA MBEGU
Vuli- 4
Vuli- 3
R570
R575
R579
N30
N41
Chereko
Kizimbani
Mkuranga-1
Kipusa
Mtondo 2013
Aina
24
kama
zilivyoaainishwa
katika
jedwali
lililoambatishwa
MERU SB 507
MERU HB 509
MERU IR 621
SC 529
SC 533
SC 719
Lubango Hybrid

Mahindi

MAMSH 591

Mahindi

BSI 1
CP 808
CP 201
PAC 501
PAC 537

KH 500-43A
DDV 10
DDV 42
DDV 43

Kituo cha Utafiti

Kibaha

ZAO
Kunde
Miwa

Mihogo

Mtama
Advanta Seed
Company
East Africa Seed (T) ltd
Dandeva Seed
Services (T) Ltd

Mahindi
Tumbaku

Sifa za aina hizo mpya za mbegu zilizoidhinishwa na Kamati ya Taifa ya Mbegu

zimeainishwa katika Kiambatisho Na.1.
Aina hizo za mbegu zitaanza kuzalishwa na makampuni mbalimbali ya uzalishaji mbegu
na Wakala wa Mbegu za Kilimo (Agricultural Seed Agency - ASA). Lengo ni kuzifikisha
aina hizo za mbegu bora kwa wakulima kuanzia msimu wa 2016/2017.
Imetolewa na:

Yamungu Kayandabila
KAIMU KATIBU MKUU

WIZARA YA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA

AINA MPYA ZA MBEGU ZA MAZAO ZILIZOIDHINISHWA NA

KAMATI YA TAIFA YA MBEGU TAREHE 27 FEBRUARI, 2015
NA.

KAMPUNI/
TAASISI

Kituo cha
Utafiti Uyole
(ARI-Uyole)

ZAO
Mahindi

AINA YA
MBEGU
UHS 401

Ngano

Merina

Shangwe

Ngoli

Kituo cha
Utafiti Kibaha
(ARI-Kibaha)

Mhogo

Chereko

Kizimbani

SIFA
Inastawi katika mwinuko wa mita 500 hadi 1500
kutoka usawa wa bahari.
Inakomaa kwa muda wa siku 91 ukanda wa kati na
siku 158 ukanda wa juu.
Inatoa mavuno ya tani 5.35 kwa hekta
Inapendwa na wakulima
Inastawi katika mwinuko wa mita 1500 hadi 2500
kutoka usawa wa bahari.
Inakomaa kwa muda wa siku 104
Inatoa mavuno ya tani 3 kwa hekta
Ina kiwango kikubwa cha glutenin na protini
(12.6%)
Ina ukinzani dhidi ya ugonjwa wa kutu ya majani
(leaf rust).
Inastawi katika ukanda wa juu katika mwinuko wa
mita 1500 hadi 2500 kutoka usawa wa bahari.
Inakomaa kwa muda wa wastani wa siku 125
Inatoa mavuno ya tani 3.5 kwa hekta
Ina kiwango kikubwa cha glutenin na protini
(12.6%)
Ina ukinzani dhidi ya ugonjwa wa kutu ya majani
(leaf rust).
Inastawi katika mwinuko wa nyanda za juu wa mita
1500 hadi 2500 kutoka usawa wa bahari.
Inakomaa kwa muda wa wastani wa siku 105
Inatoa mavuno ya wastani wa tani 2.8 kwa hekta
Ina kiwango kikubwa cha glutenin na protin
(12.6%)
Ina ukinzani dhidi ya ugonjwa wa kutu ya majani
(leaf rust).
Inastawi katika mwinuko wa mita 0 hadi 750 kutoka
usawa wa bahari.
Inakomaa kwa muda wa wastani wa miezi 12
Inatoa mavuno ya wastani wa tani 20.6 kwa hekta
Ina ukinzani dhidi ya magonjwa ya majani yaitwayo
Cassava Brown Streak Disease na Cassava Mosaic
Disease.
Inastawi katika mwinuko wa mita 0 hadi 750 kutoka
usawa wa bahari.

NA.

KAMPUNI/
TAASISI

ZAO

AINA YA
MBEGU

Mkuranga-1

Kipusa

Miwa

R 570

R 575

R 579

N 30

SIFA
Inakomaa kwa muda wa wastani wa miezi 12
Inatoa mavuno ya wastani wa tani 22.6 kwa hekta
Ina ukinzani dhidi ya magonjwa ya majani yaitwayo
Cassava Brown Streak Disease na Cassava Mosaic
Disease.
Inastawi katika mwinuko wa mita 0 hadi 750 kutoka
usawa wa bahari.
Inakomaa kwa muda wa wastani wa miezi 12
Inatoa mavuno ya wastani wa tani 19.8 kwa hekta
Ina ukinzani dhidi ya magonjwa ya majani
yaitwayo michirizi ya kahawia (Cassava Brown
Streak Disease ) na Batobato (Cassava Mosaic
Disease).
Inastawi katika mwinuko wa mita 0 hadi 750 kutoka
usawa wa bahari.
Inakomaa kwa muda wa wastani wa miezi 12
Inatoa mavuno ya wastani wa tani 18.6 kwa hekta
Ina ukinzani dhidi ya magonjwa ya majani
yaitwayo michirizi ya kahawia (Cassava Brown
Streak Disease ) na Batobato (Cassava Mosaic
Disease.
Inastawi katika mwinuko wa mita 0 hadi 1200
kutoka usawa wa bahari.
Inakomaa kwa muda wa wastani wa miezi 18
Kiwango cha sukari kwa hekta ni tani 9.5.
Ina ukinzani wa wastani dhidi ya ugonjwa wa kuvu
ya majani (smut )
Inauwezo mkubwa wa utoaji wa machipukizi
(ratooning ability )
Inastawi katika mwinuko wa mita 0 hadi 1200
kutoka usawa wa bahari.
Inakomaa kwa muda wa wastani wa miezi 18
Kiwango cha sukari kwa hekta ni tani 10.7.
Ina ustamilivu dhidi ya wadudu waitwao
vidugamba weupe (White scale)
Inauwezo mkubwa wa utoaji wa machipukizi
(ratooning ability )
Inastawi katika mwinuko wa mita 0 hadi 1200
kutoka usawa wa bahari.
Inakomaa kwa muda wa wastani wa miezi 18
Kiwango cha sukari kwa hekta ni tani 11.3.
Ina ukinzani wa wastani dhidi ya ugonjwa wa kuvu
ya majani (smut)
Ina ustamilivu dhidi ya wadudu waitwao
vidugamba weupe (White scale)
Inauwezo mkubwa wa utoaji wa machipukizi
(ratooning ability)
Inastawi katika ukanda wa mwinuko wa mita 0 hadi
1200 kutoka usawa wa bahari.
Inakomaa kwa muda wa wastani wa miezi 18

NA.

KAMPUNI/
TAASISI

ZAO

AINA YA
MBEGU

N 41

Kituo cha
Utafiti Ilonga
(ARI-Ilonga)

Pamba

NTA93-21

Mbaazi

Kiboko

Ilonga-10-1M

Ilonga-10-2M

Karatu-1

Kunde

Vuli-4

Vuli-3

SIFA
Kiwango cha sukari kwa hekta ni tani 11.4.
Ina ukinzani wa wastani dhidi ya ugonjwa wa kuvu
ya majani (smut)
Inauwezo mkubwa wa utoaji wa machipukizi
(ratooning ability )
Inastawi katika ukanda wa mwinuko wa mita 0 hadi
1200 kutoka usawa wa bahari.
Inakomaa kwa muda wa wastani wa miezi 18
Kiwango cha sukari kwa hekta ni tani 10.
Ina ukinzani wa wastani dhidi ya ugonjwa wa kuvu
ya majani (smut).
Inauwezo mkubwa wa utoaji wa machipukizi
(ratooning ability )
Inastawi katika ukanda wa mwinuko wa mita 0 hadi
1200 kutoka usawa wa bahari.
Inakomaa kwa muda wa wastani wa kati ya siku
150 hadi siku 155
Inatoa mavuno ya wastani wa tani 2 kwa hekta
Ina uwezo wa kutoa nyuzi nyingi (40% ginning out
turn)
Inastawi katika ukanda wa kati na wa juu wa
mwinuko wa mita 600 hadi 1600 kutoka usawa wa
bahari.
Inakomaa kati ya siku 185 hadi siku 315
Inatoa mavuno ya wastani wa tani 6 hadi 10 (ikiwa
mbichi) na tani 1.8 hadi 3.4 ( ikiwa imekauka)
Inavumilia dhidi ya ugonjwa wa mnyauko fusari
( Fusarium wilt )
Inastawi kati ya mita 400 hadi 1800 kutoka usawa
wa bahari.
Inakomaa kati ya siku 145 hadi siku 150.
Inatoa mavuno ya tani 1.9 kwa hekta.
Inavumilia dhidi ya ugonjwa wa mnyauko fusaria
( Fusarium wilt )
Inastawi kati ya mita 400 hadi 1800 kutoka usawa
wa bahari.
Inakomaa kati ya siku 155 hadi siku 165.
Inatoa mavuno ya tani 2.2 kwa hekta.
Inavumilia dhidi ya ugonjwa wa mnyauko fusaria
( Fusarium wilt )
Inastawi kati ya mita 600 hadi 1600 kutoka usawa
wa bahari.
Inakomaa kwa wastani wa siku 300.
Inatoa mavuno kati ya tani 1.3 hadi 1.4 kwa hekta.
Inastawi chini ya mita 1500 kutoka usawa wa
bahari.
Inakomaa kwa muda wa siku 73.
Inatoa mavuno ya wastani wa tani 1.1 kwa hekta.
Inastawi chini ya mita 1500 kutoka usawa wa

NA.

KAMPUNI/
TAASISI

ZAO

Mahindi

AINA YA
MBEGU

WE3117

SIFA
bahari.
Inakomaa kwa muda wa siku 73.
Inatoa mavuno ya wastani wa tani 1.2 kwa hekta
Inastawi katika ukanda wa chini na wa kati

katika mwinuko wa mita 0 hadi 1500.

WE3102

WE3113

Inakomaa kwa muda wa siku 120 hadi siku 130.

Inatoa mavuno ya tani 6.7 kwa hekta.
Ina ukinzani dhidi ya magonjwa ya majani ambayo
ni kutu ya majani (leaf rust), baka jani (leaf blight)
na milia (maize streak virus).
Inastawi katika ukanda wa chini na wa kati
katika mwinuko wa mita 0 hadi 1500.
Inakomaa kwa muda wa siku 120 hadi siku 140.
Inatoa mavuno ya tani 7.2 kwa hekta.
Ina ukinzani dhidi ya magonjwa ya majani ambayo
ni kutu ya majani (leaf rust), baka jani (leaf blight)
na milia (maize streak virus).
Inastawi katika ukanda wa chini na wa kati

katika mwinuko wa mita 0 hadi 1500

Kituo cha
Utafiti
Naliendele
(ARINaliendele)

Ufuta

Mtondo 2013

Korosho

H1

H2

H3

Inakomaa kwa muda wa siku 125 hadi siku 130.

Inatoa mavuno ya tani 7.1 kwa hekta.
Ina ukinzani dhidi ya magonjwa ya majani ambayo
ni kutu ya majani (leaf rust), baka jani (leaf blight)
na milia (maize streak virus).
Inastawi katika mwinuko wa mita 0-1500 kutoka
usawa wa bahari.
Inakomaa kati ya siku 94 hadi siku 103.
Inatoa mavuno ya wastani wa tani 1.3 kwa hekta.
Ina ukinzani dhidi ya ugonjwa wa ukungu wa
majani (leaf spot).
Inastawi katika mwinuko wa mita 0 hadi 1000
kutoka usawa wa bahari.
Mavuno yenye tija (kg 10 kwa mti) huanza
kupatikana baada ya miaka mitano toka kupandwa.
Ina uwezo wa kutoa punje 240 za korosho kwa
ratili, ukiwa ni daraja la tatu la ubora wa korosho.
Inastawi katika wa mwinuko wa mita 0 hadi 1000
kutoka usawa wa bahari.
Mavuno yenye tija (kg 10 kwa mti) huanza
kupatikana baada ya miaka mitano toka kupandwa.
Ina uwezo wa kutoa punje 180 za korosho kwa kila
ratili, ikiwa ni daraja la kwanza la ubora wa
korosho.
Inastawi katika mwinuko wa mita 0 hadi 1000
kutoka usawa wa bahari.
Mavuno yenye tija (kg 10 kwa mti) huanza
kupatikana baada ya miaka mitano toka kupandwa.
Ina uwezo wa kutoa punje 320 za korosho kwa kila
ratili, ikiwa ni daraja la nne la ubora wa korosho.

NA.

KAMPUNI/
TAASISI

ZAO

AINA YA
MBEGU
H4

H5

H6

H7

H8

H9

H11

H13

H14

SIFA
Inastawi katika mwinuko wa mita 0 hadi 1000
kutoka usawa wa bahari.
Mavuno yenye tija (kg 10 kwa mti) huanza
kupatikana baada ya miaka mitano toka kupandwa.
Ina uwezo wa kutoa punje 240 za korosho kwa kila
ratili, ikiwa ni daraja la tatu la ubora wa korosho.

Ina uwezo wa kutoa punje 240za korosho kwa kila
ratili, ikiwa ni daraja la tatu la ubora wa korosho.
Inastawi kwenye ukanda wa mwinuko wa mita 0
hadi 1000 kutoka usawa wa bahari.

Ina uwezo wa kutoa punje 210 za korosho kwa kila
ratili, ikiwa ni daraja la pili la ubora wa korosho.

H15

H16

H18

H22

H23

H25

H28

H29

H30

H31

H32

H33

Meru Agro Tours

& ConsultancyLtd

Mahindi

MERU SB 507

MERU HB 509

MERU IR 621

IFFA Seed
Company Limited

Mahindi

Lubango Hybrid

SIFA
kupatikana baada ya miaka mitano toka kupandwa.
Ina uwezo wa kutoa punje 320 za korosho kwa kila
ratili, ikiwa ni daraja la nne la ubora wa korosho.
Inastawi kwenye ukanda wa mwinuko wa mita 0
hadi 1000 kutoka usawa wa bahari.
Mavuno yenye tija (kg 10 kwa mti) huanza
kupatikana baada ya miaka mitano toka kupandwa.
Ina uwezo wa kutoa punje 210 za korosho kwa kila
ratili, ikiwa ni daraja la pili la ubora wa korosho.
Inastawi katika mwinuko wa mita 0 hadi 1000
kutoka usawa wa bahari.
Mavuno yenye tija (kg 10 kwa mti) huanza
kupatikana baada ya miaka mitano toka kupandwa.
Ina uwezo wa kutoa punje 320 za korosho kwa kila
ratili, ikiwa ni daraja la nne la ubora wa korosho.
Inastawi katika mwinuko wa mita 0 hadi 1000
kutoka usawa wa bahari.
Mavuno yenye tija (kg 10 kwa mti) huanza
kupatikana baada ya miaka mitano toka kupandwa.
Ina uwezo wa kutoa punje 210 za korosho kwa kila
ratili, ikiwa ni daraja la pili la ubora wa korosho.
Inastawi katika mwinuko mita 0 hadi 1000 kutoka
usawa wa bahari.
Mavuno yenye tija (kg 10 kwa mti) huanza
kupatikana baada ya miaka mitano toka kupandwa.
Ina uwezo wa kutoa punje 180 za korosho kwa kila
ratili, ikiwa ni daraja la kwanza la ubora wa
korosho.
Inastawi katika mwinuko wa mita 800 hadi 1200
kutoka usawa wa bahari.
Inakomaa kati ya wastani wa siku 100 hadi siku
123.
Inakoboleka vizuri (good poundability)
Inatoa mavuno ya wastani ya tani 7.2 kwa hekta.
Inapendwa na wakulima.
Inastawi katika mwinuko wa mita 800 hadi 1200
kutoka usawa wa bahari.
Inakomaa mapema kati ya wastani wa siku 95 hadi
siku 100.
Inakoboleka vizuri (good poundability)
Inatoa mavuno ya wastani ya tani 6.4 kwa hekta.
Inastawi katika mwinuko wa mita 800 hadi 1200
kutoka usawa wa bahari.
Inakomaa mapema kati ya wastani wa siku 95 hadi
siku 100.
Inakoboleka vizuri (good poundability)
Inatoa mavuno ya wastani ya tani 6.4 kwa hekta
Inastawi katika mwinuko wa mita 600 hadi 1200
kutoka usawa wa bahari.
Ina ukinzani dhidi ya magonjwa ya pundamilia

NA.

KAMPUNI/
TAASISI

ZAO

AINA YA
MBEGU

SIFA

(maize streak) na Ukungu wa majani (grey leaf

spot).

Multi-Agro trading
Main Supplier

Mahindi

MAMSH591

Inatoa mavuno ya wastani ya tani 7.8 kwa hekta.

Inastawi katika mwinuko wa mita 900 hadi 1500
kutoka usawa wa bahari.
Inakomaa kwa wastani wa siku 110
Ina ukinzani dhidi ya magonjwa ya pundamilia
(maize streak), kutu ya majani (leaf rust) na

ukungu wa majani (grey leaf spot).

SeedCo Tanzania
Ltd

Mahindi

SC 529

Inatoa mavuno ya wastani wa tani 9 hadi 12 kwa

hekta.
Inakoboleka vizuri (good poundability)
Inastawi katika mwinuko wa mita 400 hadi 1600
kutoka usawa wa bahari.
Inakomaa kwa wastani wa siku 121.
Ina ukinzani dhidi ya magonjwa ya pundamilia
(maize streak), kutu ya majani (leaf rust) na

ukungu wa majani grey leaf spot).

SC 533

Inatoa mavuno ya wastani wa tani 6.8 kwa hekta.

Inastawi katika mwinuko wa mita 400 hadi 1600
kutoka usawa wa bahari.
Inakomaa kwa wastani wa siku 110 hadi siku 144.
Ina ukinzani dhidi ya magonjwa ya pundamilia
(maize streak), kutu ya majani (leaf rust) na

ukungu wa majani (Grey Leaf spot).

SC 719

Chareon Pokphand
Produce Tanzania
Co.

Mahindi

BSI 1

CP 808

Inatoa mavuno ya wastani wa tani 6.4 kwa hekta.

Inastawi katika mwinuko wa mita 800 hadi 1500
kutoka usawa wa bahari.
Inakomaa kwa wastani wa siku 145 hadi siku 152.
Zinatoa mahindi makubwa na marefu.
Zinavumilia sana magonjwa mbalimbali kama
kuoza magunzi na kutu ya majani.
Inafaa kwa chakula cha wanyama.
Inatoa mavuno ya wastani kati ya tani 7.2 hadi tani
10 kwa hekta.
Inastawi katika mwinuko wa mita 900 hadi 1500
kutoka usawa wa bahari.
Ina kiwango kikubwa cha karotini.
Ina mavuno mengi.
Ina rangi ya njano.
Inatoa mavuno ya wastani kati ya tani 6.7 kwa
hekta.
Inakomaa kwa wastani wa siku 103.
Imeidhinishwa kwa ajili ya chakula cha wanyama
Inastawi katika mwinuko wa mita 400 hadi 800
kutoka usawa wa bahari.
Ina kiwango kikubwa cha karotini( carotenoids
content 28.41ug/g).
Inatoa mavuno ya wastani wa tani 5.4 kwa hekta.

NA.

KAMPUNI/
TAASISI

ZAO

AINA YA
MBEGU

CP 201

10

Advanta Seed
Company

Mtama

PAC 537

PAC 501

11

East Africa Seed

(T) Ltd

Mahindi

KH 500-43A

12

Dandeva Seed
Services (T) Ltd

Tumbaku

DDV 10

DDV 42

SIFA
Inakomaa kwa wastani wa siku 120.
Imeidhinishwa kwa ajili ya chakula cha wanyama.
Inastawi katika mwinuko wa mita 400 hadi 800
kutoka usawa wa bahari.
Ina kiwango kikubwa cha karotini( carotenoids
content 23.99ug/g).
Inatoa mavuno ya wastani wa tani 5.4 kwa hekta.
Inakomaa kwa wastani wa siku 105.
Imeidhinishwa kwa ajili ya chakula cha wanyama
Inastawi katika ukanda wa kati katika mwinuko

wa mita 600 hadi 1500 kutoka usawa wa

bahari.
Inafaa kwa matumizi ya chakula cha mifugo na
binadamu.
Inakomaa kati ya siku 110 hadi 115.
Inatoa mavuno ya wastani wa tani 3.8 kwa
hekta.
Inastawi katika ukanda wa kati katika mwinuko
wa mita 600 hadi 1500 kutoka usawa wa
bahari.
Inatoa mavuno mengi.
Inakomaa mapema kati ya siku 90 hadi 100.
Mbegu zake ni kubwa.
Inatoa mavuno ya wastani wa tani 3.7 kwa
hekta
Inafaa kwa matumizi ya chakula cha mifugo na
binadamu.
Inastawi katika mwinuko wa mita 600 hadi
1500 kutoka usawa wa bahari.
Inakomaa kwa wastani wa siku 100.
Inatoa mavuno ya wastani kati ya tani 5 hadi 7
kwa hekta.
Ina ukinzani dhidi ya magonjwa ya pundamilia
(Maize Streak), Ukungu wa majani (Grey Leaf
spot) na kutu ya majani (leaf rust).
Inakoboleka vizuri (good poundability)
Inastawi katika mwinuka wa mita 500 hadi
1950 kutoka usawa wa bahari.
Inatoa mavuno ya tani 2.3 kwa hekta.
Inakomaa kwa wastani wa siku 75 - 80
Ina ukinzani dhidi ya minyoo fundo (root knot
nematodes)
Inastahimili kuanguka kwa mimea (lodging)
Inastawi katika mwinuka wa mita 500 hadi
1950 kutoka usawa wa bahari.
Inatoa mavuno ya tani 2.3 kwa hekta.
Inastahimili ukame