Download as doc, pdf, or txt
Download as doc, pdf, or txt
You are on page 1of 5

RATIBA YA KUAGA RASMI MWILI WA MAREHEMU CAPT.

JOHN
DAMIANO KOMBA, (MB.) SIKU YA JUMATATU TAREHE 2 MACHI,
2015 KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE NA UTARATIBU WA SAFARI
________________________________________
NA
.
1.

MUDA

TUKIO

MHUSIKA

12:00 01:00

Familia na Waombolezaji
kupata chai nyumbani

Kaimu Katibu wa Bunge

2.

01:00 04:00

Misa ya kuaga mwili wa


Marehemu

Kanisa Katoliki,
Parokia ya Bikira Maria
Mpalizwa

3.

04:00 04:30

Ndugu, Jamaa na Wananchi


kuwasili katika Viwanja vya
Karimjee

Katibu wa Bunge

Viongozi wa Vyama vya


Siasa, Waheshimiwa
Wabunge, Manaibu Waziri,
Mawaziri kuwasili na kuketi
katika nafasi zao

4.

04:33

Kiongozi wa Upinzani Bungeni


kuwasili

Kaimu Katibu wa Bunge

5.

04:36

Mhe. Naibu Spika kuwasili

Kaimu Katibu wa Bunge

6.

04:39

Mhe. Spika kuwasili

Mhe. Naibu Spika

7.

04:42

Mhe. Waziri Mkuu kuwasili

Mhe. Spika

8.

04:50

Mhe. Makamu wa Rais kuwasili

Mhe. Spika

9.

05:00

Mhe. Rais kuwasili

Mhe. Spika

10.

05:00

Mwili wa Marehemu kuwasili


kwa gwaride maalum la
Sergeant-At-Arms

Katibu wa Bunge

11.

05:00 05:15

Sala fupi

12.

05:15 05:20

Wasifu wa Marehemu

Kanisa Katoliki,
Parokia ya Bikira Maria
Mpalizwa
Kaimu Katibu wa Bunge

NA
.
13.

MUDA

TUKIO

MHUSIKA

05:20 05:30

Salamu na Rambirambi za
Chama cha Mapinduzi (CCM)

Katibu Mkuu, CCM

14.

05:30 05:35

Salamu na Rambirambi kutoka


kwa Kiongozi wa Upinzani
Bungeni

Kiongozi wa Upinzani
Bungeni

15.

05:35 05:45

Salamu na Rambirambi za
Serikali

Waziri Mkuu

16.

05:45 05:55

Salamu na Rambirambi za
Uongozi wa Bunge

Mhe. Spika

17.

05:55 06:00

Neno la Shukrani toka kwa


familia

Mwakilishi wa Familia

18.

06:00 06:15
06:15 07:15

Utaratibu wa safari

Kaimu Katibu wa Bunge

Kuaga Mwili wa Marehemu


kulingana na Itifaki

MC

20.

07:15

Mwili wa Marehemu kuondoka


uwanjani kuelekea Uwanja wa
Ndege

MC

21.

07:20 07:25

Viongozi wa Kitaifa kuondoka


kulingana na Itifaki

MC

22.

07:40

Mwili wa Marehemu kuwasili


Uwanja wa Ndege

Kaimu Katibu wa Bunge

23.

08:00

Mwili, Familia na Waombolezaji


kuondoka kuelekea Songea

Kaimu Katibu wa Bunge

24.

10:00

Mwili wa Marehemu kuwasili


Uwanja wa Ndge Songea na
kupokelewa na Mkuu wa Mkoa

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

25.

10:00 10:15

Mwili wa Marehemu kuelekea


Uwanja wa Majimaji

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

26.

10:15 11:00

Mkuu wa Mkoa kuongoza


wakazi wa Ruvuma kuaga mwili
wa Marehemu

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

19.

NA
.
27.

28.

MUDA
11:00 01:00

01:00

TUKIO
Mwili wa Marehemu kuondoka
Uwanja wa Majimaji kuelekea
Lituhi, Nyasa

Mwili kuwasili nyumbani na


taratibu za kifamilia kuendelea

MHUSIKA

Ofisi ya Mkuu wa
Mkoa

Kaimu Katibu wa
Bunge

MC

RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU CAPT. JOHN DAMIANO


KOMBA, (MB.)
YATAKAYOFANYIKA LITUHI, NYASA, MKOANI RUVUMA
TAREHE 3 MACHI, 2015
______________________________________
NA
MUDA
.
1.
04:00
05:00

TUKIO
- Wananchi, Familia na Viongozi wa
Kitaifa kuwasili kulingana na Itifaki

2.

MHUSIKA
Kaimu Katibu wa Bunge

Uongozi wa Wilaya na
Halmashauri
Uongozi wa Mkoa
Viongozi wa Vyama vya Siasa
Waheshimiwa Wabunge
Waheshimiwa Manaibu Waziri
Waheshimiwa Mawaziri
Kiongozi wa Upinzani Bungeni
Mhe. Naibu Spika
Mhe. Spika
Mhe. Waziri Mkuu
Mhe. Rais

05:00
06:00
06:00
07:00
07:00
07:10
07:10
07:20

- Chakula cha Mchana

Wote

- Misa

Kanisa Katoliki

- Wasifu wa Marehemu

Ofisi ya Bunge (Mwajiri)

- Salaam na Rambirambi kutoka


Chama cha Mapinduzi

Katibu Mkuu CCM

6.

07:20
07:25

- Salamu na Rambirambi kutoka


Kiongozi wa Upinzani Bungeni

Kiongozi wa Upinzani
Bungeni

7.

07:2507:30

Salamu na Rambirambi kutoka


Mwakilishi wa Serikali

Mhe. Waziri Mkuu

8.

07:3007:35

Salamu na Rambirambi kutoka


kwa Uongozi wa Bunge

Mhe. Spika

9.

07:35
08:00

- Msafara wa Waombolezaji
kuelekea Makaburini na Mwili wa
Marehemu kwa Mazishi

3.
4.
5.

Wote

NA
MUDA
.
10. 08:00
08:30
11. 08:30
-08:45
12.
13.

08:45
08:50
08:50

14.

10:30

TUKIO
- Ibada ya Mazishi
Kuweka Mashada ya Maua
kulingana na Itifaki
- Shukrani kutoka kwa familia

MHUSIKA
Kanisa Katoliki
MC
Mwakilishi wa Familia

Viongozi kuondoka kulingana na


Itifaki

MC

Viongozi kuondoka Uwanja wa


Ndege kuelekea Dar es Salaam

Mkuu wa Mkoa

Kaimu Katibu wa
Bunge

You might also like