Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 5

KUMB: PPR/15 - 04/1

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA MAFUTA AINA YA PETROLI KUANZIA
JUMATANO, TAREHE 1 Aprili 2015
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya
petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 1 Aprili 2015. Pamoja na kutambua bei
kikomo za bidhaa mbalimbali za petroli nchi nzima, ni muhimu kuzingatia yafuatayo:-

(a)

Bei za jumla na za rejareja kwa aina zote za mafuta, yaani, Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa zimepanda
ikilinganishwa na bei katika toleo lililopita la tarehe 04 Machi 2015. Katika toleo hili, bei za rejareja
zimepanda kwa viwango vifuatavyo: Petroli Shs 103/lita sawa na asilimia 6.23 Dizeli Shs 109/lita sawa
na asilimia 6.98 na Mafuta ya Taa Shs 132/lita sawa na asilimia 8.65. Aidha, kwa kulinganisha matoleo
haya mawili, bei za jumla zimepanda kama ifuatavyo: Petroli,Sh 103.01/lita sawa na asilimia 6.66
Dizeli, Sh 109.05/lita sawa na asilimia 7.48, na Mafuta ya Taa,Sh 131.76/lita sawa na asilimia 9.29.
Kwa kiasi kikubwa kupanda huku kwa bei za mafuta kwenye soko la ndani kumetokana na kupanda kwa
bei za mafuta katika soko la dunia, ambako kumeanza kuanzia mwezi wa Februari 2015

(b)

Kwa mujibu wa Sheria ya Mafuta ya mwaka 2008, bei za bidhaa za mafuta ya petroli zitaendelea
kupangwa na soko. EWURA itaendelea kuhamasisha ushindani kwa kutoa taarifa za bei kikomo za
bidhaa za mafuta. Taarifa hizi zina lengo la kuwasaidia wadau kufanya maamuzi stahiki kuhusu
manunuzi ya bidhaa za mafuta.

(c)

Kampuni za mafuta zipo huru kuuza bidhaa za mafuta ya petroli kwa bei ya ushindani ilimradi
bei hizo ziko chini ya bei kikomo (price cap) kama ilivyokokotolewa na fomula iliyopitishwa na
EWURA na ambayo ilichapwa kwenye Gazeti la Serikali Na. 7 la tarehe 4 Machi 2015.

(d)

Vituo vyote vya mafuta vinatakiwa kuchapisha bei za bidhaa za mafuta katika mabango yanayoonekana
bayana na yakionyesha bei ya mafuta, punguzo, vivutio vya biashara au promosheni zinazotolewa na
kituo husika. Pale ambapo inawezekana kuchagua, wateja wanashauriwa kununua bidhaa za mafuta
kutoka kwenye vituo vinavyouza mafuta kwa bei ndogo zaidi ili kushamirisha ushindani. Ni kosa kuuza
mafuta bila kuweka mabango ya bei inayoonekana vizuri kwa wateja na adhabu itatolewa kwa
kituo husika.

(e)

Wanunuzi wanashauriwa kuhakikisha kuwa wanapata stakabadhi ya malipo inayoonesha jina la kituo,
tarehe, aina ya mafuta yaliyonunuliwa na bei kwa lita. Stakabadhi hiyo ya malipo itatumika kama
kidhibiti cha mnunuzi wa mafuta endapo kutajitokeza malalamiko ya ama kuuziwa mafuta kwa bei ya
juu kuliko bei kikomo; ama endapo utakuwa umeuziwa mafuta yenye kiwango cha ubora kisichofaa.

A: BEI ZA REJAREJA
Bei Kikomo
Dizeli

Petroli
Mji

(Sh/Lita)

(Sh/lita)

Mafuta Ya Taa
(Sh/Lita)

Dar es Salaam

1,755

1,672

1,655

Arusha
Arumeru (Usa West)

1,839

1,756

1,739

1,839

1,756

1,739

Karatu

1,857

1,774

1,757

Monduli

1,845

1,761

1,744

Ngorongoro (Loliondo)

1,896

1,812

1,795

Kibaha

1,760

1,676

1,659

Bagamoyo

1,766

1,683

1,666

Kisarawe

1,762

1,679

1,662

Mkuranga

1,765

1,681

1,664

Rufiji

1,783

1,699

1,682

Dodoma

1,814

1,730

1,713

Bahi

1,821

1,738

1,721

Chemba

1,840

1,757

1,740

Kondoa

1,847

1,763

1,746

Kongwa

1,811

1,728

1,710

Mpwapwa

1,815

1,731

1,714

Iringa
Kilolo

1,819

1,736

1,719

1,824

1,740

1,723

Mufindi (Mafinga)

1,829

1,746

1,729

Njombe

1,847

1,764

1,747

Ludewa

1,885

1,802

1,785

Makete
Wanging'ombe
(Igwachanya)

1,878

1,795

1,778

1,845

1,762

1,745

Bukoba

1,970

1,887

1,870

Biharamulo

1,945

1,861

1,844

Karagwe (Kayanga)

1,987

1,903

1,886

Kyerwa (Ruberwa)

1,992

1,909

1,892

Muleba

1,970

1,887

1,870

Ngara

1,936

1,852

1,835

Misenyi

1,979

1,895

1,878

Geita

1,920

1,837

1,820

Bukombe

1,909

1,826

1,809

Chato

1,941

1,858

1,841

Mbogwe

1,958

1,875

1,858

Nyang'hwale

1,935

1,852

1,835

Kigoma
Uvinza (Lugufu)

1,986

1,902

1,885

1,998

1,915

1,898

Buhigwe

1,975

1,892

1,875

Kakonko

1,943

1,860

1,843

Kasulu

1,972

1,889

1,871

Kibondo

1,950

1,867

1,850

Moshi

1,829

1,745

1,728

Hai (Bomang'ombe)

1,832

1,748

1,731

Mwanga

1,822

1,738

1,721

Rombo (Mkuu)

1,850

1,766

1,749

Same

1,815

1,732

1,714

Siha (Sanya Juu)

1,835

1,752

1,735

Lindi

1,814

1,730

1,713

Kilwa Masoko

1,789

1,705

1,688

Liwale

1,835

1,751

1,734

Nachingwea

1,843

1,760

1,742

Ruangwa

1,841

1,758

1,741

Babati
Hanang (Katesh)

1,877

1,794

1,777

1,888

1,804

1,787

Kiteto (Kibaya)

1,888

1,805

1,788

Mbulu

1,890

1,806

1,789

Simanjiro (Orkasumet)

1,909

1,826

1,809

Musoma

1,933

1,850

1,833

Rorya (Ingirijuu)

1,942

1,859

1,842

Bunda

1,924

1,841

1,824

Butiama

1,930

1,847

1,830

Serengeti (Mugumu)

1,979

1,895

1,878

Tarime

1,944

1,861

1,844

Mbeya

1,862

1,778

1,761

Chunya

1,872

1,788

1,771

Ileje

1,875

1,792

1,775

Kyela

1,878

1,794

1,777

Mbarali (Rujewa)

1,846

1,763

1,746

Mbozi (Vwawa)

1,871

1,788

1,771

Momba (Chitete)

1,880

1,797

1,780

Rungwe (Tukuyu)

1,871

1,787

1,770

Morogoro
Mikumi

1,780

1,697

1,680

1,796

1,712

1,695

Kilombero (Ifakara)

1,818

1,734

1,717

Ulanga (Mahenge)

1,829

1,745

1,728

Kilosa

1,799

1,715

1,698

Gairo

1,799

1,715

1,698

Mvomero (Wami Sokoine)

1,791

1,707

1,690

Turian

1,805

1,722

1,705

Mtwara

1,827

1,744

1,727

Nanyumbu (Mangaka)

1,876

1,793

1,776

Masasi

1,853

1,770

1,752

Newala

1,859

1,776

1,759

Tandahimba

1,853

1,769

1,752

Mwanza

1,905

1,821

1,804

Kwimba

1,941

1,857

1,840

Magu

1,913

1,829

1,812

Misungwi

1,911

1,827

1,810

Sengerema

1,937

1,854

1,837

Ukerewe

1,964

1,881

1,864

Sumbawanga

1,928

1,844

1,827

Kalambo (Matai)

1,920

1,837

1,820

Nkasi (Namanyele)

1,941

1,858

1,841

Katavi (Mpanda)
Mlele (Inyonga)

1,963

1,879

1,862

1,941

1,857

1,840

Songea

1,878

1,795

1,778

Mbinga

1,912

1,828

1,811

Namtumbo

1,908

1,824

1,807

Nyasa (Mbamba Bay)

1,914

1,831

1,814

Tunduru

1,937

1,854

1,837

Shinyanga
Kahama

1,884

1,800

1,783

1,897

1,814

1,797

Kishapu

1,912

1,829

1,812

Simiyu (Bariadi)
Busega (Nyashimo)

1,925

1,842

1,825

1,918

1,835

1,818

Itilima (Lagangabilili)

1,928

1,845

1,828

Maswa

1,917

1,833

1,816

Meatu (Mwanhuzi)

1,924

1,840

1,823

Singida
Iramba

1,846

1,762

1,745

1,858

1,774

1,757

Manyoni

1,830

1,747

1,730

Ikungi

1,841

1,758

1,741

Mkalama (Nduguti)

1,870

1,787

1,770

Tabora

1,909

1,826

1,808

Igunga

1,863

1,780

1,762

Kaliua

1,927

1,844

1,827

Ulyankulu

1,921

1,838

1,821

Nzega

1,874

1,790

1,773

Sikonge

1,921

1,837

1,820

Urambo

1,922

1,839

1,822

Tanga

1,801

1,718

1,701

Handeni

1,781

1,697

1,680

Kilindi

1,815

1,732

1,715

Korogwe

1,794

1,711

1,694

Lushoto

1,804

1,720

1,703

Mkinga (Maramba)

1,816

1,732

1,715

Muheza

1,801

1,718

1,701

Pangani

1,808

1,724

1,707

B: BEI ZA JUMLA

Bei za Jumla DSM


Bei Kikomo

Petroli (Sh/L)

Dizeli (Sh/L)

1,650.20

1,566.63

Felix Ngamlagosi
MKURUGENZI MKUU
EWURA

Mafuta ya Taa
(Sh/L)

1,549.56

You might also like