Professional Documents
Culture Documents
Tangazo Kwa Waajiliwa Wapya
Tangazo Kwa Waajiliwa Wapya
Tangazo Kwa Waajiliwa Wapya
TANGAZO
MABADILIKO YA KURIPOTI KITUO CHA KAZI KWA
WAAJIRIWA WAPYA
Chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya
kinawatangazia waajiriwa wapya kuahirishwa kwa muda
wa kuripoti kituo cha kazi kama mlivyotaarifiwa awali
mpaka mtakavyotaarifiwa tena . Hii inatokana na sababu
ambazo ziko nje ya uwezo wetu.
Chuo
kinaomba
utakaojitokeza.
radhi
kwa
usumbusu
wowote
Imetolewa na
Ofisi ya Uhusiano
Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya