Sifa 13 ZA MGOMBEA URAIS CCM

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 20

SIFA ZA 13 ZA MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA

CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)


NDUGU BERNARD KAMILLIUS MEMBE
Na

Sifa

Maelezo ya Mgombea

1. Awe na uwezo mkubwa wa Ndugu Bernard Membe amepata uzoefu mkuwa katika
kuliongoza Taifa kwa kuzingatia nafasi mbali mbali za Serikali, Chama na Umma kama
uzoefu wake katika Uongozi wa ifuatavyo:shughuli za Serikali umma na
taasisi.

Mpaka kufikia harakati za uchaguzi Mkuu wa


2015 amekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa kwa takribani miaka
nane na nusu kuanzia Januari 2007. Ni Waziri wa
pili ambaye ameshika wadhifa huo kwa muda
mrefu

katika

Jamuhuri

ya

Muungano

wa

Tanzania akitekeleza Diplomasia ya uchumi kwa


1

vitendo; kutafuta wawekezaji kutafuta misaada


na kufuatiwa madeni, kufungua Balozi mpya,
kutatua migogoro na ulinzi wa amani.
Alikuwa Naibu Wazira wa Nishati na Madini kati
ya Octoba 2006 hadi Januari 2007. Akiwa Nishati
na Madini alianzisha kitengo cha kusuluhisha
migogoro kati ya wachimbaji madini wakubwa
na wadogo.
Alikuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani
kuanzia Januari hadi Octoba 2006. Akiwa Wizara
ya Mamo ya Ndani alishughuikiwa kupunguza
msongamano

wa

wafungwa

magereza

na

mahabusu rumande.
Ameliwakilisha Jimbo la Mtama lililopo Mkoani
Lindi kama Mbunge kwa Miaka 15 mfululizo
2

kuanzia mwaka 2000 hadi 2015.


Amefanya kazi katika Ubalozi wa Tanzania
nchini Canada kwa miaka 8 kuanzia mwaka 1992
hadi 2000 kama mshauri wa Balozi na kwa
nyakati mbali mbali alikaimu Ubalozi.
Alifanya kzi katika Ofisi ya Rais, Idara ya
Usalama wa Taifa kama mkuu wa Sekretariati
kwa takribani miaka 8.
2. Awe mwadilifu, asiyetiliwa shaka

Ndugu Bernard Membe hana tabia wala hulka na

juu ya vitendo vya uadilifu mbele

hajawahi kuwa na tuhuma wala kashfa ya

ya uso wa jamii ya Watanzania na

ubadhilifu, matumizi mabaya ya ofisi ya umma,

awe mwenye hekima na busara.

rushwa ala ufisadi. Aidha amekuwa mstari wa


mbele katika kukemea wazi wazi aina zote za
wizi, rushwa, ufisadi na matumizi mabaya ya
ofisi ya Umma. Vile vile, Ndugu Bernard Membe
3

hakusita kuchukua hatua pale ambapo walio chini


yake wamethiitika kufanya vitendo visivyo vya
kiadilifu.
Kwa hekima na busara alizojaliwa na Mwenyezi
Mungu, mara kadhaa ameaminiwa na Mawaziri
wenzake kushika nafasi za Uenyekiti kwenye
SADC,Umoja wa Afrika (AU) na kwa sasa ni
Mwenywkiti wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya
ya Afrika Mashariki na Jumuiya ya Madola.
Ndugu Membe, mara kadhaa amealikwa kutoa
mihadhara ya kitaaluma kwenye vyuo vikuu na
makundi tofauti ya wataalam kwa nyakati
mbalimbali.
3 Awe na angalau kiwango cha

Ndugu Bernard Membe ana Shahada ya Uzamili

elimu ya chuo kikuu au elimu

ya Masula ya Siasa, Usuluhishi wa Migogoro,


4

inayolingana na hiyo.

Uchumi na Mahusiano ya Kimataifa kutoka Chuo


Kikuu

cha

The

Johns

Hopkins

kilichpo

Washngton DC, Marekani kati ya mwaka1990


mpaka 1992.
Aidha,Ndugu Bernard Membe ni mhitimu wa
Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Mlimani ambapo
alisoma shahada ya kwanza ya Siasa na
Mahusiano ya Kimataifa kuanzia mwaka 1980
mpaka 1984.
Ndugu Membe ni mhitimu wa kozi ya Usalama
wa Taifa ya Mwaka 1978 nchini Uingereza.
Ndugu membe amesoma pia katika Chuo Kikuu
cha Chama cha Mapinduzi, Kivukoni kati ya
mwaka 1979 na mwaka 1980.
4 Awe mwenye upeo na uwezo

Ndugu Membe, ameongoza Wizara ya Mambo ya


5

mkubwa wa kudumisha,

Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ambayo ni

kuimarisha na kuendeleza

Wizara ya Muungano kwa takribani nane na nusu

Muungano wetu, umoja wetu,

akiwakilisha maslahi ya Tanzania Bara ya

amani na utulivu wetu na

Visiwani kama inavyoelezwa na Katiba ya

mshikamano wa Kitaifa.

Jamhuri na Ilani ya uchunguzi ya CCM. Kwa


miaka yote hii, Ndugu Membe, amekuwa
akiwajibika kwa Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Mhe. Ali Mohamed Shein, Rais wa Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar kwa kuwasilisha taarifa na
kupokea maelekezo ya kuboresha mahusiano ya
Tanzania na nchi za nje. Ndugu Membe, aliifanya
kazi hii kwa dhamira makini ya kuhakikisha
maslahi ya pande zote mbili za muungano nje ya
Tanzania
6

yanasimamiwa

ipasavyo.

Aidha,

akiongoza Wizara hii ya Muungano, amejitahidi


kuhakikisha idadi ya Mabalozi wa Watumishi
wengine wa Wizara ya Mambo ya Nje waliopo
makao makuu na nchi za nje katika Balozi za
Tanzania inahusisha pande zote mbili kwa
kiwango cha juu.
Ndugu Membe, kama Waziri wa Mambo ya Nje
ameshiriki mikutano ya kila mara ya kamati ya
kero za Muungano chini ya Ofisi ya Makamu ya
Rais na kutoa ufafanuzi juu ya masuala yote
yanayohusu mahusiano ya nchi za nje katika
kudumisha Muungano wa Tanzania. Kamati za
kero za Muungano zilikuwa zina lengo la
kuhakikisha maeneo yote ambayo yana kero
zinazoyumbisha Muungano yanafanyiwa kazi na
7

Mawaziri wa sekta husika.


Ndugu

Membe

amekuwa

akishauri

na

kuunganisha Jumuiya za Watanzania wanaoishi


nje pamoja na Balozi zetu ili kuwa za kitaifa.
Vilevile, mwaka 1984 Ndugu Membe aliongoza
jopo la wanachuo wanafunzi wa CCM kwenye
kufanya

utafiti

wa

kutuliza

vuguvugu

la

mfarakano huko Zanziba.


Ndugu

membe,

majukwaa

binafsi

mbalimbali

amesikika
likiwemo

kwenye

Bungu

la

Jamhuri ya Muungano na vilevile Bunge Maalum


la Katiba akihubiri umuhimu wa Muungano na
Umoja wa Kitaifa.
Ndugu Membe ameshikiri kikamilifu katika
kuchangia amani, utulivu na maendeleo kwa
8

kuboresha ujirani mwema na nchi jirani.


5. Awe mwepesi wa kuona mbali,
asiyeyumbishwa

na

Ndugu Membe ameongoza Wizara ambayo ni

mwenye

nyeti kutokana na jukumu lake la kusimamia na

uwezo wa kufanya uamuzi wa

kuwakilisha nchi duniani kote. Katika Uongozi

busara kuhusu masuala nyeti na

wake alijikita kwenye usuluhishi wa migogoro ya

muhimu ya Taifa kwa wakati

kisiasa kwenye ukanda wa Afrika Mashariki na

unaofaa.

SADC.

Mara

kadhaa

amewajibika

kutoa

msimamo kwa niaba ya Tanzania bila kutetereka


ili

kuhakikisha

maslahi

ya

Tanzania

yanasimamiwa. Ndugu Membe alisimama kidete


kwenye kutoa msimamo wa Tanzania kwenye
vita vya ukombozi wa Comoro. Aidha Ndugu
Membe amekuwa mbele kwenye kusimamia
Tanzania kwenye mgogoro wa Ziwa Nyasa,
DRC, Sri Lanka, Visiwa vya Maldives, Burundi
9

na

Fiji.

Ndugu

Membe,

sio

kiongozi

anayekurupuka kwa kuwa ametanguliza maslahi


ya Taifa kwanza na kutoa maamuzi ya busara.
Aidha itakumbukwa kwamba Ndugu Membe
kama Waziri wa Mambo ya Nje alisimama
kutetea maadili ya Taifa dhidi ya ushoga ambao
ulitaka kuchochewa nchini Tanzania kama kigezo
cha kupata misaada ya mataifa makubwa.
Ndugu Membe akiwa kama Waziri wa Mambo
ya Nje alihusika na uundaji wa kurugenzi ya
Diaspora ambayo ni kiungo cha Watanzania wote
waishio nje ya nchi.
6. Awe

na

upeo

mkubwa

na

o Ni wazi kuwa kama Waziri wa Mambo ya Nje

usiotiliwa shaka kuhusu masuala

kwa miaka nane na nusu, Ndugu Membe

ya kimataifa ili aweze kuwa

amejengeka kuwa Mwanadiplomasia aliyetukuka


10

kiungo imara kati ya nchi yetu na

akiwa na dhamana ya kulinda na kutetea Sera ya

dunia yote kwa ujumla.

Mambo ya Nchi za Nje ya Tanzania yenye


maslahi ya kiuchumi. Mara zote amekuwa
mwepesi wa kuomba ushauri na kupata nasaha za
viongozi wa juu waliostaafu nchini kwa manufaa
ya Taifa. Ndani ya kipindi hicho ameshikiria pia
nafasi zifuatazo: o

Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa


Umoja wa Afrika likiwa na Makao Makuu
yake Addis Ababa kati ya mwaka 2008 na
2009.

Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa


Jumuiya ya Madola kwenye makao makuu
London, Uingereza kati ya mwaka 2013 na
2015.

11

Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa


Jumuiya ya Afrika Mashariki, ikiwa na
Makao Makuu Arusha hapa nchini kati ya
mwaka 2009 na 2010.

Kiongozi wa timu ya Tanzania katika


mazungumzo kuhusiana na mpaka wa Ziwa
Nyasa. Kazi ambayo bado anaendelea nayo tangu
mwaka 2012.
Kiongozi wa jopo la Mawaziri wa Mambo ya Nje
kwenye usuluhishi wa mgogoro wa Burundi
mwaka 2015.
Amehutubia mkutano wa Mwaka wa Umoja wa
Mataifa mwaka 2010 na wa Umoja wa Afrika
mara kadhaa kwa niaba ya Mhe. Rais.
Amesimamia kikamilifu msimamo wa Tanzania
12

katika

masuala

mbalimbali

ya

kiuchumi,

kiusalama, kisiasa na kijamii katika majukwaa ya


kimataifa ili kuhakikisha Tanzania inaendelea
kuwa Taifa imara na lenye kuheshimika kote
duniani.
Amefanikiwa kupunguza gharama za uendeshaji
katika Balozi za Tanzania kwa kujenga majengo
ya ofisi na makazi ili kuepuka kodi za kila
mwaka. Pia ameongeza kipato kwa Wizara kwa
kukodisha baadhi ya majengo ya Serikali nchi za
Nje ili kupunguza gharama na kujenga uwezo wa
kujiendesha.
Amefanikiwa kulishawishi Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na kuanzisha Bajeti ya
Maendeleo ukiacha utaratibu wa awali wa Bajeti
13

ya Matumizi ya Kawaida peke yake.


7. Asiwe mtu mwenye hulka ya

Kama Mwanadiplomasia, Ndugu Membe katika

udikteta au ufashisti, bali awe mtu

kipindi chake chote cha Uongozi hajawahi

anayeheshimu na kulinda Katiba

kuonesha hulka ya udikteta katika utendaji kazi

ya nchi, sheria, utawala bora,

yake. Mafanikio katika kazi yake yametokana na

kanuni na taratibu za nchi.

uwezo wake wa kidiplomasia wa kusimamia


mazungumzo mezani na sio vitani. Ndugu
Membea ni mwanadiplomasia na muumini wa
sheria na utawala bora, katiba na kanuni za
Chama hasa kwa kuzingatia taasisi za serikali
alizofanya kazi.

8. Awe mtetezi wa wanyonge, wa

Kama Waziri wa Mambo ya Nje, Ndugu Membe

haki za binadamu, mzingatiaji

ameendeleza msimamo wa Tanzania kama nchi

makini wa maendeleo ya raia

ya ukombozi katika kupinga kuwanyanyasa na

wote na asiwe na tama ya

kukandamiza wanyonge kwenye nchi za Sahara


14

kujitafutia umaarufu wa mtu

Magharibi,

Libya,

binafsi.

Kwengineko duniani.

Cuba,

Palestina

na

Vivo hivyo katika jimbo la Mtama, Ndugu


Membe ameonyesha mfano wa kuwasomesha
wasiojiweza, kujenga vituo vya afya kwa wale
ambao wana uwezo wa chini na vile vile kuweka
miundombinu wezeshi kwa ajili ya kuwakwamua
kiuchumi wale wasiojiweza.
Akiwa Waziri wa Mambo ya Nje, Ndugu Membe
alifanya ziara nchini Uturuki ambayo moja ya
manufaa yake ni kwa nchi hiyo kuja kujenga
Tanzania

kituo

maalum

cha

kuwasaidia,

kuwasomesha na kuwalinda watu wanaoishi na


ulemavu wa ngozi (albinism) ili kuepuka
majanga na imani potofu dhidi yako.
15

Ndugu Membe akiwa kama Waziri wa Mambo


ya Nje alihakikisha Watanzania wote waliopo
kwenye nchi zilizokumbwa na machafuko kama
Yemen

na

Afrika

Kusini

wamerejeshwa

nyumbani salama.
Ndugu Membe kama Mbunge amejenga Misikiti
na Makanisa jimboni mtama bila ubaguzi wa
dini. Aida amelipia usafiri wa mahujaji wa dini
zote kwenda kushiriki kwenye hija zao takatifu
kwa nyakati mbalimbali.
9. Awe mstari wa mbele katika

Kama Mbunge, Ndugu Membe amekuwa mstari

kuzifahamu, kuzieleza, kuzitetea

wa mbele katika kuleta maendeleo katika jimbo

na kuzitekeleza sera za CCM NA

lake ikiwa ni sehemu ya kutekeleza nia ya CCM

Ilani ya CCM ya uchaguzi.

ya kuleta maisha endelevu kwa watanzania wote.


Ndugu Membe amefanya hivyo kwa kuanzisha
16

miradi mbalimbali ya maendeleo kama vile maji,


ujenzi wa vituo vya Afya, Zahanati, ujenzi wa
Barabara, Ujenzi wa shule na huduma zingine za
kijamii.
Kama Waziri, Ndugu Membe amekuwa mstari
wa mbele kutekeleza yaliyoagizwa katika ilani ya
CCM kuhusiana na kuitangaza Tanzania nje ya
nchi na kuboresha mahusiano ya Tanzania. Moja
kubwa ambalo Ndugu Membe amelifanya ni
kuanzisha mchakato wa kuwatambua na kuwapa
fursa watanzania waliopo nje ya nchi kushiriki
katika kuleta maendeleo popote walipo.
10. Awe mpenda haki na mtu jasiri

Ndugu Membe amesimama bungeni na nje ya

katika kupambana na dhuluma na

bunge, serikalini na nje ya Serikali kupinga

maovu yote nchini.

dhuluma dhidi ya Serikali na Watanzania wote


17

kwa ujumla.
Ndugu Membe pia kama Waziri, amesimama
kidete ili nchi ya Tanzania isiweze kudhulimiwa.
Itakumbukwa kwamba suala la chenji ya Radar
liliwasilishwa Bungeni na Ndugu Membe kwa
kutetea maslahi ya Taifa. Aidha, Ndugu Membe
ameendelea kusimama kidete kuhakikisha kuwa
Tanzania aipotezi sehemu ya eneo lake katika
ziwa Nyasa.
11. Asiwe ni mtu ambaye anatumia
nafasi

yake

ya

kujilimbilikizia mali.

Uongozi

Kama ilivyoelezwa kwenye sifa ya pili, Ndugu


Membe katika kipindi chake chote katika
nyadhifa

mbalimbali

za

uongozi

hajawahi

kuonesha tabia ya kujilimbikizia mali. Aidha ni


muumini mkubwa wa kutaka mali za Taifa ziwe
tunu ya kunufaisha watanzania wote na sio watu
18

binafsi kwenye nafasi mbalimbali za uongozi wa


umma.
Net worth???
12 Awe ni mtu anayekubalika na
wananchi.

Ndugu Membe amekuwa Mbunge wa Jimbo la


Mtama kwa miaka 15 tangu mwaka 2000. Katika
uchaguzi wa mwaka 2000 alipata
kuramwaka.2005 alipata kura.. na
mwaka 2010 alipita bila kupingwa. Kwenye
chaguzi zote, Ndugu Membe amechaguliwa kwa
ushind wa kishindo nah ii ni kutokana na uwezo
wake wa kuleta maendeleo jimboni na kutekeleza
ilani ya chama na ahadi zake kwa wananchi wa
jimbo lake.

13. Awe

na

mtu

makini

katika

kuzingatia masuala ya uwajibikaji

Ndugu Membe amesimama mara kadhaa kama


Mbunge na kuwasilisha taarifa Bungeni ambazo
19

wa

viongozi/watendaji

asiyevumilia

uzembe

na
katika

utekelezaji wa majukumu/wajibu
waliokabidhiwa

ili

kuinua

nidhamu ya kazi, tija na ufanisi.

zimeisaidia Tanzania kuwawajibisha baadhi ya


viongozi na kuepuka hasara.
Ndugu Membe kama Waziri, amewawajibisha
watendaji wake mara kadhaa katika Wizara
ambao walionekana kwenda kinyume na
matakwa ya ajira yao na majukumu yao ya kazi.



Chaguzi zote za Chama cha Mapinduzi (CCM) hufanyika kwa mujibu wa Katiba ya Nchi
na Sheria za Uchaguzi, na kila raia wa Tanzania anayejitokeza kugombea nafasi ya
uongozi Serikalini kwa tiketi ya CCM sharti atimize Masharti kama ambavyo imeanishwa
katika Kanuni za Uchaguzi ndani ya CCM. Kwa mgombea nafasi ya Rais wa Jamhuri wa
Muungano wa Tanzania sharti awe na sifa kumi na tatu (13).

20

You might also like