Professional Documents
Culture Documents
Mkurugenzi Mkuu Wa Mamlaka Ya Mawasiliano Tanzania TCRA
Mkurugenzi Mkuu Wa Mamlaka Ya Mawasiliano Tanzania TCRA
Minister
for
appointed Dr.
Communications,
Ally Y.
Science
and
Technology,
recently
and
Communication
Technology
in
the
Ministry
of
Dk. Simba aliteuliwa rasmi kushika wadhifa huo mnamo tarehe 6 Jula1 2015
kwa kipindi cha miaka mitano. Kabla ya uteuzi huo, Dk. Simba alikuwa Kaimu
Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) Wizara ya
Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia tangu Agosti 2013. Dk. Simba ana uzoefu
wa zaidi ya miaka 16 katika Sekta ya Mawasiliano ambapo amefanya kazi
kwa watoa huduma, Taaluma ya Utafiti, Udhibiti pamoja na Serikali Kuu.
Dk. Simba ana Shahada ya B.Sc. (Hons.) Shahada ya Sayansi ya Elektroniki
na Mawasiliano kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Tanzania, aliyopata
mwaka 1998. Pia ana Shahada ya Uzamili ya Uhandisi aliyoipata mwaka
2003 na Shahada ya Uzamivu (Ph.D) ya Uhandisi wa Kielektroniki kutoka
Chuo Kikuu Cha Hokkaido, Sapporo, nchini Japan, aliyoipata mwaka 2006.
Kuanzia mwaka 2006 mpaka 2011, Alikuwa Mtaalamu Mtafiti katika Taasisi ya
Taifa ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, huko Tokyo, Japan, ambako
alihusika katika kufanya utafiti wa madhara ya ya kiafya kwa mwanadamu
kwa kutumia simu za mikononi na kwa kuwa karibu na minara ya
mawasiliano.
Mnamo mwaka 2011 hadi mwaka 2013, alifanya kazi Mamlaka ya
Mawasiliano Tanzania (TCRA) kama Meneja Mipango na Utafiti wa Mamlaka.
Dk. Simba ametoa machapisho kadhaa yaliyosambazwa kote duniani katika
majarida ya kimataifa na amewasilisha matokeo ya tafiti zake katika zaidi ya
mikutano 30 ya kimataifa ndani na nje ya Tanzania. Aidha Dk. Simba alikuwa
Kiongozi wa timu ya wataalamu wa Kitanzania iliyoandaa Sheria za Uhalifu
wa Mitandao nchini iliyopitishwa na Bunge hivi karibuni.
Dk. Simba ni Mhandishi Mahiri (Chartered Engineer), aliyesajiliwa nchini
Uingereza katika Baraza la Uhandisi nchini humo na ni Fellow wa Taasisi
ya Uhandisi na Teknolojia ya nchini Uingereza, ambako alifanya kazi kama
Mshauri wa Kimataifa