Professional Documents
Culture Documents
Kuitwa Kwenye Usaili - Oral
Kuitwa Kwenye Usaili - Oral
Jina
Na.
Jina
8 JOHN MNG'ONG'O
9 NTULE N. SHIMWELA
4 MARIAM HUSSEIN
12 MASHAMBO WASHINGTON
6 MATHAYO MAFANG'HA
13 JOYCE C. CHARLES
7 ESTOMII EDWARD
Jina
Jina
Na.
FAUSTIN JULIUS
Jina
9 RENATUS NGATA
2 GODNESS J. KISOKA
10 NYALALI NDAKI
4 EMMANUEL SYONGA
12 BERTHA CLAUD
5 BONIPHACE MALIMA
13 PHINEHAS MSESA
6 JUMA NCHELENG'HANYA
14 ZUBERI MWARAMI
15 JACKOB JOSEPH
8 JACOB M. ASWILE
Mambo muhimu ya kuzingatia:
1. Wasailiwa wafike na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi (mf. kitambulisho cha Utaifa, kupigia
kura, kadi ya benki, hati ya kusafiria au kitambulisho cha kazi).
2. Wasailiwa wafike na vyeti halisi (Original certificates) Testimonials, Provisional results
na Statement of Results HAVITAKUBALIWA.
3. Kwa wale waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa
na mamlaka husika (TCU, NACTE & NECTA).
4. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, malazi na usafiri.
Aidha Tume inawaarifu wale wote ambao hawakuona majina yao katika orodha hii watambue kuwa
hawakufanikiwa na tunawashukuru kwa kuonyesha nia ya kufanya kazi na Tume.
Imetolewa na:
Katibu Mtendaji
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania