OFISI YA RAIS, IKULU, 1 BARABARA YA BARACK OBAMA, 11400 DAR ES SALAAM. Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa makatibu wakuu na manaibu Katibu wakuu katika Wizara mbalimbali. Walioteuliwa ni kama ifuatavyo; 1. Katibu Mkuu Kiongozi Balozi - Ombeni Sefue 2. Katibu Mkuu Ikulu Peter Ilomo 3. Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora Dkt. Laurian Ndumbaro 4. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhandisi Mussa Iyombe (Katibu Mkuu) Dkt. Deo Mtasiwa (Naibu Katibu Mkuu - Afya) Bernard Makali (Naibu Katibu Mkuu - Elimu) 5. Ofisi ya Makamu wa Rais Mbaraka A. Wakili ( Katibu Mkuu) Mhandisi Ngosi Mwihava (Naibu Katibu Mkuu)
6. Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge, Sera, Kazi, Vijana, Ajira na
Walemavu) 1
Erick Shitindi (Katibu Mkuu Kazi na Ajira)
Mussa Uledi (Katibu Mkuu Bunge) Dkt. Hamis Mwinyimvua (Katibu Mkuu - Sera) 7. Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dkt. Frolence Turuka (Katibu Mkuu - Kilimo) Dkt. Mashingo (Katibu Mkuu Mifugo) Dkt. Budeba (Katibu Mkuu - Uvuvi)
8. Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Mhandisi Joseph. Nyamuhanga (Katibu Mkuu - Ujenzi) Dkt. Leonard M. Chamuliho (Katibu Mkuu - Uchukuzi) Profesa Faustine R. Kamuzora (Katibu Mkuu - Mawasiliano) Mary Sassabo (Naibu Katibu Mkuu Mawasiliano) 9. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Yamungu Kayandabira (Katibu Mkuu) Dkt. Moses Kusiluka (Naibu Katibu Mkuu) 10.
Wizara ya Maliasili na Utalii
Meja Jenerali Gaudence S. Milanzi (Katibu Mkuu)
Anjelina Madete (Naibu Katibu Mkuu) 11.
Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
Dkt. Adelhem James Meru (Katibu Mkuu - Viwanda)
Profesa Adolf F. Mkenda (Katibu Mkuu - Biashara na Uwekezaji) Mhandisi Joel Malongo (Naibu Katibu Mkuu)
12.
Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi.
2
Maimuna Tarishi (Katibu Mkuu)
Profesa Simon S. Msanjila (Naibu Katibu Mkuu) Dkt. Leonard Akwilapo (Naibu Katibu Mkuu) 13. Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya (Katibu Mkuu - Afya) Sihaba Nkinga (Katibu Mkuu - Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto) 14.
Jaji Meja Jenerali Projest A. Rwegasira (Katibu Mkuu)
Balozi Hassan Simba Yahaya (Naibu Katibu Mkuu) 3
19.
Wizara ya Fedha na Mipango
Dkt. Silvacius Likwelile (Katibu Mkuu)
Dorothy Mwanyika (Naibu Katibu Mkuu) James Dotto (Naibu Katibu Mkuu) Amina Hamis Shaban (Naibu Katibu Mkuu) 20. Wizara ya Mambo ya Nje, Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Dkt. Aziz Mlima (Katibu Mkuu) Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi ( Naibu Katibu Mkuu) 21.
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Job D. Masima (Katibu Mkuu)
Immaculate Peter Ngwale (Naibu Katibu Mkuu
Makatibu wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wote ambao hawajatajwa
katika orodha hii watapangiwa kazi nyingine. Katika hatua nyingine Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Eliakimu Maswi kuwa Kaimu Naibu Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na ametengua uteuzi wa Naibu Kamishina wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Bw. Lusekelo Mwaseba, ambaye atapangiwa kazi nyingine
Gerson Msigwa Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU 30 Desemba, 2015