Jana Hoyce Temu Alilalamika Kupitia Radio Kuhusu Kusemwa Vibaya Kwenye Mitandao

You might also like

Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 2

Jana Hoyce Temu Alilalamika kupitia Radio kuhusu

kusemwa vibaya kwenye mitandao..Leo Mange ameibuka


na kutolea ufafanuzi kwanini Hoyce Temu Ameingia
katika Ugomvi wake na Rachel Temu mdogo wa
Hoyce.....Ameandika hivi
"Okay nimesikiliza interview ya Hoyce Temu CloudsFm.
I'm glad hakunilaumu Mimi peke yangu, Ila pia ingekuwa
vizuri zaidi yeye Kama dada angekuwa fair na
asingenilaumu mimi hata robo! .
Sometimes Embu tuweni fair Jamani. Hivi Jamani how
many times nimejaribu kuepuka ugomvi na Rachel
Miwaya? How many times nimekaa kimya? Na hata huu
ugomvi Ulivyo anza si nilimtusi yeye Kama yeye nilimtaja
ndugu yake au Mwana familia yake??? Nani alieanza
mambo ya kutukana ndugu na Watoto? na mkumbuke
alinitukaniavMarehemu baba yangu na still nikikaaa
kimya simkutukana ndugu yake, then ni kampa warning
kuwa akiendelea kutukana ndugu zangu ntamwanika
dadake Hoyce Temu still akadhani I'm just bluffing. Nyie
mnaonilaumu mnataka niwe na roho Kama ya Yesu?
Kama Ni kumgeuzia shavu la pili I think nilimgeuzia
Mara 70. Mtu anajifabya yeye ndo mvuta bangi wa
Instagram mlitaka nifanye nini? Mtu anamtukana
mwanangu mlitaka mimi nimtukane Nani wakati yeye
hana mtoto? Mtu kawa tukana dada zangu mlitaka
nimtukanie paka wake na sio dada yake? Mtu katukana
baba yangu Marehemu mlitaka nitukane ndugu zake
walio hai?Mnakuwa hamko fair at all. .
Imagine nilisema this year staki mabeef na Mtu , kwanini

Mtu asichukulie hii as a sign of peace instead anachukulia


as a weakness na kupata bichwa. Nilisema Na ntasema
tena jamani 2016 Ni Mwaka wa kutafuta pesa staki shobo
na Mtu. Ila Mtu anaponichokonoa for a long time
sometimes na mimi nashindwa kuvumilia.
Hoyce unajua Mimi sina shida na wewe. Tatizo mdogo
wako tu, huyu ndo adui yako, Huyo ndo mwiba kwenye
maisha yako. Kila Mtu ana past yake na wengi mno ndoa
zao pia zina Siri kibao Ila mdogo wako matusi yake
yanafanya watu tunaongea Maneno mazito. Deal with
Rachel kwanza Kabla ya Mtu mwingine yoyote Yule and
you will live your life in peace.
.
Ni hayo tu jamani, just because nimesema sitaki ugomvi in
2016 it doesn't mean I'm weak au namuogopa mtu yoyote
Yule it means nimekuwa, it means nazeeka naingiza 36
Mwaka huu soon ntakuwa 40 years sitaki kuwa in my 40s
bado Niko mitandaoni nachambana na watu, so I'm
making the change. But that doesn't mean eti mtu ndo
ajifanye anataka kuni bully, ukinichokonoa sana
ntakumalizaaaaaa!" Mange Kimambi

You might also like