S.L.P 369 MUSOMA. YAH: OMBI LA PASI YA KUSAFIRIA LA NDUGU; CLEMENT ANTHONY MALIMA. Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu. Mtajwa ni mkaazi wa mtaa wa Bunda mjini, wilaya ya Bunda, mkoa wa MaraTanzania. Ameomba kupewa pasi
ya kusafiria ili aweze kufanikisha safari zake za
kibiashara. Pamoja na barua hii nakutumia ombi la pasi ya kimataifa ya
kusafiria na kuambatanishwa viambato vifuatavyo:1. Fomu ya CT 5(Ai) iliyojazwa kikamilifu. 2. Picha 5 za pasipoti saizi. 3. Fomu ya C.T.3 iliyojazwa kikamilifu. 4. Barua ya Afisa mtendaji wa kata. 5. Barua ya maombi ya mwombaji.
6. Fomu ya alama za vidole (Ten finger prints).
7. Kiapo cha kuzaliwa cha mwombaji. 8. Kiapo cha mzazi wa mwombaji 9. Nakala ya TIN namba ya mwombaji 10. Nakala ya Lesseni hai ya Biashara ya mwombaji