Taarifa Ya Ujenzi Wa Barabara Za Kuondoa Msongamano DSM - Juni 2016

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 6

TAARIFA FUPI YA MRADI WA UJENZI WA BARABARA ZA KUPUNGUZA MSONGAMANO

JIJINI DAR ES SALAAM KWA KIWANGO CHA LAMI


KUFIKIA 13/6/2016

1. UTANGULIZI
1.1

Katika jiji la Dar es Salaam barabara nyingi za mitaa ni za vumbi, na zina


mashimo makubwa ambayo yanasababisha magari kushindwa kupita.
Kutokana na hali hii madereva wa magari wanapendelea kutumia barabara
za lami zilizopo hata wanapotaka kwenda maeneo ya jirani na alipo hivyo
kuwepo na msongamano mkubwa sana kwenye barabara hizo kwa sababu
kunakuwepo kwa mwingiliano mwingi sana wa magari wakati wa kuingia na
kutoka kwenye barabara ya lami.

1.2

Ili kupunguza msongamano wa aina hiyo, Wizara ilibuni mradi wa barabara


kupunguza msongamano katika jiji la Dar es Salaam na Wakala wa Barabara
nchini ilianza kutekeleza mradi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami.
Barabara ambazo zimeainishwa kwenye mpango huu wa ujenzi wa barabara
ni:a) Ubungo bus terminal Kigogo Kawawa road roundabout km 6.4
b) Kigogo Round about Jangwani Twiga km 2.72
c) Tabata Dampo Kigogo na Ubungo Maziwa Mabibo External
(Mandela) km 2.25
d) Jet Corner Vituka Davis Corner km 12.
e) Mbezi Malambamawili Kinyerezi Banana km 14
f) Old Bagamoyo na TPDC (Garden) km 9.1
g) Tegeta Kibaoni Wazo Hill Goba Mbezi/Morogoro Road km 18
h) Tanki bovu Goba km 9.0
i) Kimara Baruti Msewe Changanyikeni km 2.6
j) Kimara Kilungule External (Mabibo Mandela) km 9.0
k) Bunju B Mpiji Magohe Victoria Kifulu hadi Pugu Kiltex 33.7 (Outer ring
road)
l) Banana Kinyerezi Kifuru - km 8

2. UTEKELEZAJI
2.1 AWAMU YA KWANZA
Kwa kuanzia Wakala wa Barabara (TANROADS) katika mwaka wa fedha
2009/2010 tulianza utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara ikiwemo
madaraja ili kusaidia kupunguza msongamano wa magari katika jiji la Dar es
Salaam. Barabara hizo pamoja na madaraja ni kama ifuataavyo:-

a)
b)
c)
d)
e)

Ubungo bus terminal Kigogo Kawawa road round about (6.4km)


Kigogo Round about Jangwani Twiga (2.72Km)
Jet Corner Vituka Davis Corner 12.0Km
Ujenzi wa daraja la Segerea lenye urefu wa mita 20
Ujenzi wa daraja la Kinyerezi lenye urefu wa mita 40

Utekelezaji wa awamu ya kwanza ya kazi za ujenzi kwenye barabara hizo


pamoja na madaraja hapo juu ni kama ifuatavyo:a) Ujenzi wa barabara ya Ubungo bus terminal Kigogo Kawawa road
roundabout umekamilika tangu mwaka 2013 kwa gharama ya shilingi
11.44bilioni.
b) Ujenzi wa barabara ya Kigogo roundabout Jangwani/Twiga umefikia
asilimia 98.
Kuchelewa kukamilika kwa mradi huu ulitokana na wanachi wa eneo la
Mchikichini kugoma kubomoa nyumba zao licha ya kulipwa fidia kwa
kufungua kesi mahakamani ya madai ya kuongezewa fidia. Pia
kuchelewesha malipo ya mkandarasi kumechangia kumaliza kazi za ujenzi
mapema. Kwa sasa mkandarasi anakamilisha kazi za ujenzi baada ya
kulipwa sehemu ya madai yake zitakamilika ifikapo mwisho mwa mwezi Juni
2016. Gharama ya mradi ni shilingi 7.64bilioni
c) Ujenzi wa barabara ya Jet corner Vituka Davis corner umekamilika tangu
mwaka 2014 kwa gharama ya shilingi 13.85bilioni.
d) Ujenzi wa daraja la Segerea umekamilika mwaka 2014 kwa gharama ya
shilingi 1.87bilioni
e) Ujenzi wa daraja la Kinyerezi umekamilika mwaka huu 2016 kwa gharama ya
shilingi 2.34bilioni
2.2 AWAMU YA PILI

Katika mwaka huu wa fedha 2011/2012, utekelezaji wa awamu ya pili ya ujenzi


wa barabara za kupunguza msongamano ulianza. Barabara zilizohusika ni
kama ifuatavyo:(i)

Tangibovu (Samaki wabichi) - Goba (9.0 KM)

(ii)

Goba Mbezi mwisho (Morogoro road) (7.0 KM)

(iii)

Kimara Baruti Msewe- Chuo Kikuu (2.6KM


Kilungule-External/Mandela road (3.0 KM), ambayo ni sehemu ya Kimara Korogwe-

(iv)

Kilungule-External/Mandela Rd. (8 Km)

(v)

Kifuru Kinyerezi (4.0KM) , ambayo ni sehemu ya Mbezi Mwisho-MalambamawiliKifuru-Kinyerezi(14 KM);

(vi)

Tabata Dampo Kigogo road (1.6 KM)

Awamu hii ya pili inajumuisha mikataba ya ujenzi wa Barabara sita (6) ambazo zimegawanyika
katika Kanda (Zones) 2 kama ifuatavyo:
Kanda A: ambayo inajumuisha barabara zilizoko Kaskazini ya Barabara ya Morogoro ambazo
zinaiunganisha barabara hiyo na Barabara ya Bagamoyo, ambazo ni:

(vii)

Tangibovu (Samaki wabichi) - Goba (9.0 KM)

(viii)

Goba Mbezi mwisho (Morogoro road) (7.0 KM)

(ix)

Kimara Baruti Msewe- Chuo Kikuu (2.6KM)

Kanda B: ambayo inajumuisha barabara zilizoko Kusini mwa Barabara ya Morogoro ambazo
zinaiunganisha barabara hiyo na Barabara Nyerere na Nelson Mandela, ambazo ni:

(i) Kilungule-External/Mandela road (3.0 KM), ambayo ni sehemu ya Kimara KorogweKilungule-External/Mandela Rd. (8 Km)
(ii) Kifuru Kinyerezi (4.0KM) , ambayo ni sehemu ya Mbezi Mwisho-Malambamawili-KifuruKinyerezi(14 KM);
(iii) Tabata Dampo Kigogo road (1.6 KM)

Mikataba hiyo sita ilisainiwa baina ya Meneja wa TANROADS Mkoa wa DSM, kwa niaba ya
Mtendaji Mkuu wa TANROADS kwa upande moja, na Wakandarasi wawili kwa upande
mwingine, kama ilivyoonyeshwa katika jedwali ifuatayo:
Mikataba ya Barabara za Kuondoa Msongamano Jijini DSM
Na.

Jina la Barabara/Mkataba

Mkandarasi

Tarehe ya
Kusaini
Mkataba

Muda wa
Mkataba
(Miezi)
Awali

Nyongeza

Gharama ya
Mkataba
(TSH)

Tangibovu (Samaki wabichi) EStim Construction 02/04/2014


- Goba (9.0 KM)
Co. Ltd

18

NA

16,436,305,153.83

Goba Mbezi mwisho EStim Construction 04/04/2014


(Morogoro road) (7.0 KM)
Co. Ltd

16

21

13,230,858,486.85

Kilungule-External/Mandela
road (3.0 KM)

EStim Construction 01/04/2014


Co. Ltd

12

15

7,777,238,606.30

Kifuru Kinyerezi (4.0KM)

EStim Construction 04/04/2014


Co. Ltd

12

19

8,764,867,188.95

Kimara Baruti - Msewe Hari Singh & Sons Ltd


(2.6KM)

04/04/2014

16

5,724,831,297.00

Tabata Dampo-Kigogo (1.6 Hari Singh & Sons Ltd


KM)

01/04/2014

17

4,388,958,533.00

Urefu wa barabara zote za mradi ni KM 27.2 na gharama ya mikataba yote sita ni TSH
56,323,059,266.00 ikijumuish VAT.
Takwimu za Miradi hiyo pamoja na taarifa ya utekelezji zimeonyeshwa katika Jedwali zifuatazo:
Takwimu/Maendeleo ya Mikataba ya KANDA A (Kaskazini ya Br ya Morogoro)
GobaMbezi/Morogoro
(7km)

Jina la Barabara

Mfadhili

Tangibovu -Goba
(9km)

Kimara Baruti-Msewe
(2.6km)

Serikali ya Tanzania

Msimamizi

Meneja wa TANROADS, DSM

Mkandarasi

Estim Constr. Co. Ltd

Urefu wa Mradi

7.0

Estim Constr. Co. Ltd


9.0

Hari Singh & Sons


2.6

Thamani ya Mkataba

13,230,858,486.85

16,436,305,153.83

5,724,831,297.00

Tarehe ya Kusaini Mkataba

04 Apr. 2014

02 Apr. 2014

04 Apr. 2014

Muda wa
Mkataba wa

Awali

Miezi16

Nyongeza

Miezi 5

Tarehe ya Kuanza Ujenzi

01st Septemba 2014

Tarehe ya

Awali

31 Desemba 2015

Nyongeza

31 Octoba 2016

Kumaliza

Miezi 18

Miezi 8
Miezi 23

01st Septemba 2014

18th Septemba 2014


17th May 2015

31 Agosti 2016

Muda uliotumika (Miezi)

12

08 Septemba 2016
12

16

Muda Uliobaki (Miezi)


Maendeleo ya Kazi
Ujenzi wa Surfacing
Maendeleo ya Mradi kwa
ujumla(%)
Fedha alizolipwa Mkandarasi
(Tshs)
Fedha anazodai Mkandarasi
(Tshs)
Kiasi cha fidia kinachotakiwa
Changamoto

KM 0.75

KM 5.84

KM 6.91

86%

64%

6,188,538,332

4,905,782,662

1,141,067,339.00

0.00 (Ameleta IPC No.


6)
790,168,228.00

0.00 (Ameleta IPC No.


6)
2,207,462,608.00

0.00

40%

Inafanywa na mkandarasi
chini ya mkataba
Kuchelewa kwa fedha za kulipa wakandarasi pamoja na Fidia kwa mali za
wananchi zinazoathiriwa na miradi

Takwimu/Maendeleo ya Mikataba ya KANDA B (Kusini ya Br ya Morogoro)


KilunguleExternal/Mandela (3km)

Jina la Barabara

Mfadhili

Kifuru-Kinyerezi
(4km)

Tabata Dampo-Kigogo
(1.6km)

Serikali ya Tanzania

Msimamizi

Meneja wa TANROADS, DSM

Mkandarasi

Estim Constr. Co. Ltd

Urefu wa Mradi

Estim Constr. Co. Ltd

3.42

Hari Singh & Sons

4.0

1.6

Thamani ya Mkataba

7,777,238,606.30

8,764,867,188.95

4,388,958,533.00

Tarehe ya Kusaini Mkataba

01 Apr. 2014

04 Apr. 2014

01 Apr. 2014

Muda wa
Mkataba

Awali

Miezi 16
Mpya

Tarehe ya Kuanza Ujenzi


Awali

Tarehe ya
Kumaliza

Miezi 8

Miezi 12

Nyongeza

Miezi 14
01 Oktoba 2014

01 Oktoba 2014

30 Septemba 2015

30 Septemba 2015

31 Desemba
2015(Umekamilika)

Muda uliotumika (Miezi)


Muda Uliobaki (Miezi)
Maendeleo ya Kazi
Ujenzi wa Surfacing
Maendeleo ya Mradi kwa

Miezi 15.5

31 Agosti 2016

18th Septemba 2014


17th May 2015
th

30 June 2016

12

14

15.5

Mradi Umekamilika

15.5

KM 3.20

KM 3.04

KM 1.5

100%

70%

98%

ujumla(%)
Fedha alizolipwa
Mkandarasi (Tshs)
Fedha anazodai Mkandarasi
(Tshs)
Kiasi cha Fidia
kinachohitajika
Changamoto

3,403,388,584

1,499,392,316

1,089,866,316

Ameleta IPC No. 6

2,264,915,534

0.00

118,237,009.00

431,716,282.00

315,564,522.00

Kuchelewa kwa fedha za kulipa wakandarasi pamoja na Fidia kwa mali za


wananchi zinazoathiriwa na miradi

2.3 Maoteo ya utekelezaji katika mwaka huu wa fedha 2015/2016,


Katika mwaka huu wa fedha tunatarajia kumalizia utekelezaji wa awamu ya pili ya
ujenzi wa barabara za kupunguza msongamano na kuanza awamu ya tatu kwenye
barabara zifuatazo:(i)

Goba Wazo hill Tegeta Kibaoni (13.0 KM)

(ii)

Mbezi Mwisho - Malambamawili - Kifuru (6km)

(iii)

Goba Makongo - Ardhi (9km)

(iv)

Kukamilisha usanifu wa Outer ring road (Bunju B Mpiji Magohe Victoria Kifuru hadi
Pugu Kiltex 33.7)

You might also like