Download as doc, pdf, or txt
Download as doc, pdf, or txt
You are on page 1of 8

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU


Simu: 255-22-2114512,
2116898
E-mail: press@ikulu.go.tz
Tovuti : www.ikulu.go.tz
Faksi: 255-22-2113425

OFISI YA RAIS,
IKULU,
1 BARABARA YA BARACK
OBAMA,
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli


leo tarehe 26 Juni, 2016 amefanya mabadiliko madogo katika safu
ya wakuu wa mikoa na amewateua wakuu wa wilaya 139.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi amesema katika mabadiliko
hayo Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya
Sengerema Bi. Zainab R. Telack kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.
Bi. Zainab R. Telack anajaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Anna Kilango Malecela ambaye
uteuzi wake ulitenguliwa.
Rais Magufuli pia amemteua Dkt. Binilith Satano Mahenge kuwa
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma.
Dkt. Binilith Satano Mahenge anajaza nafasi iliyoachwa wazi na
aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Bw. Said Thabit Mwambungu
ambaye amehamishiwa Ofisi ya Waziri Mkuu Dar es salaam ambako
atapangiwa majukumu mengine.
Aidha, Rais Magufuli amemteua Dkt. Charles F. Mlingwa kuwa Mkuu
wa Mkoa wa Mara.
Dkt. Charles F. Mlingwa anajaza nafasi iliyoachwa wazi na Bw.
Stanslaus Magesa Mulongo ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
Wakuu wapya wa mikoa walioteuliwa wataapishwa tarehe 29 Juni,
2016 saa tatu kamili asubuhi Ikulu Jijini Dar es salaam na mara
baada ya kuapishwa watakula kiapo cha maadili ya uongozi.
Wakati huo huo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli leo tarehe 26 Juni, 2016 amefanya uteuzi wa
Wakuu wa Wilaya 139.
1

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi amesema katika uteuzi huo
Rais Magufuli amezingatia mambo kadhaa ikiwa ni pamoja na umri
ambapo kwa wale ambao umri wao ni zaidi ya miaka 60 ameamua
wastaafu.
Mhe. Rais amewashukuru sana kwa utumishi wao mzuri na
amesema pale ambapo itahitajika, serikali itaendelea kuwatumia
katika majukumu mengine.
Katika uteuzi huo, Wakuu wa Wilaya waliopo sasa ambao wamebaki
katika nafasi zao ni 39. Pia Rais Magufuli amewateua Wakurugenzi
Watendaji wa halmashauri 22 kuwa Wakuu wa Wilaya kutokana na
utendaji wao mzuri.
Aidha, nafasi 78 za uteuzi wa Wakuu wa wilaya zimejazwa na
watanzania wengine ambao wameteuliwa kwa mara ya kwanza
wengi wao wakiwa ni vijana, wenye elimu ya kutosha na uzoefu
katika maeneo mbalimbali.
Walioteuliwa kuwa wakuu wa wilaya ni kama ifuatavyo (Orodha
imepangwa kulingana na mikoa)
ARUSHA
1.
2.
3.
4.
5.
6.

Arusha
Arumeru Ngorongoro
Longido
Monduli
Karatu

Mrisho Mashaka Gambo


Alexander Pastory Mnyeti
Rashid Mfaume Taka
Daniel Geofrey Chongolo
Idd Hassan Kimanta
Therezia Jonathan Mahongo

DAR ES SALAAM
1.
2.
3.
4.
5.

Kinondoni Ilala
Temeke
Kigamboni Ubungo
-

Ally Hapi
Sophia Mjema
Felix Jackson Lyaviva
Hashim Shaibu Mgandilwa
Hamphrey Polepole

DODOMA
1. Chamwino -

Vumilia Justine Nyamoga


2

2.
3.
4.
5.
6.
7.

Dodoma
Chemba
Kondoa
Bahi
Mpwapwa
Kongwa

Christina Solomon Mndeme


Simon Ezekiel Odunga
Sezeria Veneranda Makutta
Elizabeth Simon
Jabir Mussa Shekimweli
John Ernest Palingo

GEITA
1.
2.
3.
4.
5.

Bukombe Mbogwe Nyang'wale


Geita
Chato

Josephat Maganga
Matha John Mkupasi
Hamim Buzohera Gwiyama
Herman C. Kipufi
Shaaban Athuman Ntarambe

IRINGA
1. Mufindi
2. Kilolo
3. Iringa

Jamhuri David William


Asia Juma Abdallah
Richard Kasesela

KAGERA
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.

Biharamulo
Karagwe Muleba
Kyerwa
Bukoba
Ngara
Missenyi -

Saada Abraham Mallunde


Geofrey Muheluka Ayoub
Richard Henry Ruyango
Col. Shaban Ilangu Lissu
Deodatus Lucas Kinawilo
Lt. Col. Michael M. Mtenjele
Lt. Col Denis F. Mwila

KATAVI
1. Mlele
2. Mpanda
3. Tanganyika

Rachiel Stephano Kasanda


Lilian Charles Matinga
Saleh Mbwana Mhando

KIGOMA
3

1.
2.
3.
4.
5.
6.

Kigoma
Kasulu
Kakonko
Uvinza
Buhigwe
Kibondo

Samsoni Renard Anga


Col. Martin Elia Mkisi
Col. Hosea Malonda Ndagala
Mwanamvua Hoza Mlindoko
Col. Elisha Marco Gagisti
Luis Peter Bura

KILIMANJARO
1.
2.
3.
4.
5.
6.

Siha
Moshi
Mwanga
Rombo
Hai
Same

Onesmo Buswelu
Kippi Warioba
Aaron Yeseya Mmbago
Fatma Hassan Toufiq
Gelasius Byakanwa
Rosemary Senyamule Sitaki

LINDI
1.
2.
3.
4.
5.

Nachingwea
Ruangwa Liwale
Lindi
Kilwa
-

Rukia Akhibu Muwango


Joseph Joseph Mkirikiti
Sarah Vicent Chiwamba
Shaibu Issa Ndemanga
Christopher Emil Ngubiagai

MANYARA
1.
2.
3.
4.
5.

Babati
Mbulu
Hanang' Kiteto
Simanjiro -

Raymond H. Mushi
Chelestion Simba M. Mofungu
Sara Msafiri Ally
Tumaini Benson Magessa
Zephania Adriano Chaula

MARA
1.
2.
3.
4.
5.
6.

Rorya
Serengeti
Bunda
Butiama
Tarime
Musoma

Simon K. Chacha
Emile Yotham Ntakamulenga
Lydia Simeon Bupilipili
Anarose Nyamubi
Glodious Benard Luoga
Dkt. Vicent Anney Naano
4

MBEYA
1.
2.
3.
4.
5.

Chunya
Kyela
Mbeya
Rungwe
Mbarali

Rehema Manase Madusa


Claudia Undalusyege Kitta
William Ntinika Paul
Chalya Julius Nyangidu
Reuben Ndiza Mfune

MOROGORO
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.

Gairo
Kilombero
Mvomero
Morogoro
Ulanga
Kilosa
Malinyi

Siriel Shaid Mchembe


James Mugendi Ihunyo
Mohamed Mussa Utali
Regina Reginald Chonjo
Kassema Jacob Joseph
Adam Idd Mgoyi
Majula Mateko Kasika

MTWARA
1.
2.
3.
4.
5.

Newala
Nanyumbu Mtwara
Masasi
Tandahimba

Aziza Ally Mangosongo


Joakim Wangabo
Dkt. Khatibu Malimi Kazungu
Seleman Mzee Seleman
Sebastian M. Walyuba

MWANZA
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.

Ilemela
Kwimba
Sengerema
Nyamagana
Magu
Ukerewe Misungwi -

Dkt. Leonald Moses Massale


Mhandisi Mtemi Msafiri Simeon
Emmanuel Enock Kipole
Mary Tesha Onesmo
Hadija Rashid Nyembo
Estomihn Fransis Chang'ah
Juma Sweda

NJOMBE
5

1.
2.
3.
4.

Njombe
Ludewa
Wanging'ombe
Makete

Ruth
-

Blasio Msafiri
Andrea Axwesso Tsere
Ally Mohamed Kassige
Veronica Kessy

PWANI
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.

Bagamoyo Mkuranga Rufiji


Mafia
Kibaha
Kisarawe Kibiti
-

Alhaji Majid Hemed Mwanga


Filberto H. Sanga
Juma Abdallah Njwayo
Shaibu Ahamed Nunduma
Asumpter Nsunju Mshama
Happyness Seneda William
Gulamu Hussein Shaban Kifu

RUKWA
1. Sumbawanga
2. Nkasi
3. Kalambo -

Dkt. Khalfan Boniface Haule


Said Mohamed Mtanda
Julieth Nkembanyi Binyura

RUVUMA
1.
2.
3.
4.
5.

Namtumbo
Mbinga
Nyasa
Tunduru
Songea
-

Luckness Adrian Amlima


Cosmas Nyano Nshenye
Isabera Octava Chilumba
Juma Homela
Polet Kamando Mgema

SHINYANGA
1. Kishapu
2. Kahama 3. Shinyanga -

Nyambonga Daudi Taraba


Fadhili Nkulu
Josephine Rabby Matiro

SIMIYU
1. Busega

Tano Seif Mwera


6

2.
3.
4.
5.

Maswa
Bariadi
Meatu
Itilima

Sefu Abdallah Shekalaghe


Festo Sheimu Kiswaga
Joseph Elieza Chilongani
Benson Salehe Kilangi

SINGIDA
1.
2.
3.
4.
5.

Mkalama
Manyoni
Singida
Ikungi
Iramba

Jackson Jonas Masako


Mwembe Idephonce Geofrey
Elias Choro John Tarimo
Fikiri Avias Said
Emmanuel Jumanne Luhahula

SONGWE
1.
2.
3.
4.

Songwe
Ileje
Mbozi
Momba

Samwel Jeremiah
Joseph Modest Mkude
Ally Masoud Maswanya
Juma Said Irando

Geofrey William Ngudula


Busalama Abel Yeji
Mwaipopo John Gabriel
Peres Boniphace Magiri
Queen Mwashinga Mlozi
Angelina John Kwingwa
Gabriel Simon Mnyele

TABORA
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.

Nzega
Kaliua
Igunga
Sikonge
Tabora
Urambo
Uyui

TANGA
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.

Tanga
Muheza
Mkinga
Pangani
Handeni
Korogwe
Kilindi
Lushoto

Thobias Mwilapwa
Mhandisi Mwanaisha Rajab Tumbo
Yona Lucas Maki
Zainab Abdallah Issa
Godwin Crydon Gondwe
Robert Gabriel
Sauda Salum Mtondoo
Januari Sigareti Lugangika
7

Wakuu wote wa Wilaya walioteuliwa wanapaswa kufika Ikulu Dar es


salaam siku ya Jumatano tarehe 29 Juni, 2016 saa tatu kamili
asubuhi kwa ajili ya kiapo cha maadili ya uongozi na maelekezo
mengine kabla ya kuapishwa na wakuu wa mikoa watakaporejea
katika mikoa yao.

Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dar es salaam
26 Juni, 2016

You might also like