Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 2

Thursday Feb 10th Search Text size

UKURASA MKUU HABARI ZA KITAIFA HABARI ZA MATAIFA MBALIMBALI HABARI ZA BURUDANI NA MICHEZO MAKALA HABARI ZA BIASHARA MAONI NA BARUA

Home Habari za Kitaifa Personal Tech Serikali yaweka wazi malipo ya Dowans
ZILIZOJIRI MAARUFU PICHA
Serikali yaweka wazi malipo ya Dowans
FRIDAY, 07 JANUARY 2011 09:05 NEWSROOM Timua timua vyuo vikuu yashika kasi
NASULEIMAN JONGO Ripoti maiti za watoto Mwananyamala kesho
SERIKALI imekubali kulipa fidia iliyoamuliwa na Mahakama ya Usuluhishi wa Kibiashara ya Kimataifa (ICC) Ushahidi dhidi ya bosi wa Richmond kuanza Feb. 24
kutokana na Shirika la
Viongozi wa dini nchini wakubali kutorubuniwa
Umeme Tanzania (TANESCO), kukatisha mkataba na kampuni ya kuzalisha umeme ya Dowans. Imesema fidia
hiyo ni ya dola za Marekani 65,812,630 (sh. bilioni 94), na si sh. bilioni 185 kama ilivyokuwa ikiripotiwa na Vifaa 20 Totteham ilivyoishia kuvitolea macho bila
vyombo vya habari nchini. kizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Waziri wa Nishati na mafanikio
Madini, William Ngeleja, alisema fedha hizo zitalipwa iwapo hukumu iliyotolewa na ICC itasajiliwa Mahakama
Kuu ya Tanzania.
Ngeleja alisema serikali imefikia uamuzi wa kulipa fidia hiyo, baada ya kushauriwa na Mwanasheria Mkuu wa
Kutoka Magazetini Kurasa Kuu
Serikali (AG) kuhusu uamuzi wa ICC. Dowans ilifungua mashitaka ikilalamikia kusitishwa mkataba kati yake na
TANESCO. Ukurasa Mkuu
"Mwanasheria Mkuu wa Serikali na wanasheria wa TANESCO wametushauri kuilipa Dowans, kwa kuwa kupinga Maswali na Majibu
uamuzi huo hakutasaidia zaidi ya kuchelewesha utekelezaji," alisema Ngeleja.
Huduma Zetu
Kwa mujibu wa Ngeleja, bodi ya wakurugenzi ya TANESCO ilishauriwa na wanasheria kampuni ya RexAttorneys
kukubali hukumu ya ICC bila kuipinga iwapo itasajiliwa Mahakama Kuu ya Tanzania. Historia Yetu

Alisema fedha hizo zinatokana na hukumu ya ICC, ambapo TANESCO inatakiwa kuilipa Dowans gharama za Tutumie Habari
mawakili dola milioni 1.7 (takriban sh. bilioni 2.4) na gharama za wasuluhishi, ambazo ni dola 750,000 (zaidi ya
Wasiliana Nasi
sh. bilioni 1.07)
Vifaa 20
"Uamuzi wa mahakama ya ICC kwenye mgogoro huu ni wa kisheria, licha ya matokeo hayo kuumiza, yanatia Totteham
simanzi na ni mzigo kwa taifa, tunasisitiza na kuwaomba Watanzania kuendelea kuheshimu na kuthamini
Toa Maoni Yako
matumizi ya sheria za nchi na za kimataifa," alisema. Utunzaji wa Mazingira
hapa Dar es Salaam
Kwa mujibu wa Ngeleja, kiasi hicho cha fedha ndicho kiwango halisi kilichoamuliwa na mahakama kwa
TANESCO kuilipa Dowans na si vinginevyo, kama inavyoelezwa na baadhi ya watu nchini. Ni wajibu wa Kila
Mwananchi
Alisema katika hukumu hiyo, kampuni ya Richmond iligonga mwamba baada ya kuwasilisha malalamiko Ni wajibu wa Manispaa
yaliyoeleza kuchafuliwa na TANESCO, hivyo kutaka ilipwe fidia ya dola za Marekani milioni 169 (zaidi ya sh. bilioni za Jiji
241). Itafutiwe Mzabuni
Inaridhisha na Ibaki
Hata hivyo, alisema mahakama iliitaka TANESCO kulipa dola hamsini elfu (sh milioni 71.5), huku kampuni hiyo
MAADHIMISHO ilivyo
ikitakiwa kuilipa TANESCO dola za Marekani 1,201,933 (sh. bilioni 171.87), zikiwa ni asilimia 50 ya gharama za
YA MIAKA 34 YA Manispaa Ziwajibishwe
mawakili ilizotumia TANESCO.
Vote Results
Katika hatua nyingine, Ngeleja aliwataja wamiliki wa Dowans kuwa, Dowans Holdings S.AAvenida de La
Rosasa Colle Bloncos, 1150, San Jose, Costa Rica yenye hisa 81 na Portek Systems and Equipment PTE Ltd Tovuti Muhimu
yenye hisa 54.
Bunge la Tanzania
Alisema wakurugenzi wa kampuni ya Dowans Tanzania na nchi wanakotoka kwenye mabano ni Anderw James
Tice (Canada), Gopalakrishnan Balachadran (India) na Hon Sung Woo (Singapore). Serikali ya Tanzania

Wengine ni GuyAarthur Picard (Canada), Suleiman Mohammed Yahya Al Adawi (Oman) na Stanley Munai Chama Tawala
(Kenya).
Mahakama Kuu Tanzania
Wakati huo huo, Ngeleja alizungumzia hatua ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) MAADHIMISHO
YA MIAKA 34 YA Wizara ya Habari
kuikubalia TANESCO kuongeza bei ya umeme kwa asilimia 18.5. Alisema uamuzi huo unatokana na hali halisi
ya kutaka kujiendesha kibiashara na kuboresha huduma zake.
Alisema hatua hiyo haina uhusiano na deni ambalo shirika hilo linatakiwa kuilipa Dowans kama inavyodaiwa na Magazeti Yetu
baadhi ya watu.
Ngeleja alisema mgawo wa umeme utaendelea kwa muda usiojulikana kutokana na hali ya uzalishaji,
hususan kupungua kina cha maji kwenye mabwawa yanayotumika kuzalisha nishati hiyo. Habari za Kitaifa, Kimataifa,
Uchumi, Biashara na
Michezo kila siku
Anderson:
Nitaweka
Habari za Kitaifa, Kimataifa,
Uchumi, Biashara na
Michezo kila Jumapili

Habari za Michezo,
Tamthilia, Makala na
Burudani kila Alhamisi
DK. Sheni

converted by Web2PDFConvert.com
DK. Sheni
akihutubia

converted by Web2PDFConvert.com

You might also like