Download as doc, pdf, or txt
Download as doc, pdf, or txt
You are on page 1of 4

wapenzi bwana pindi wanapokutana huwa na mapenzi motomoto na

kufanyiana mambo ya maraha tele, na kupeana mazawadi kibao na


messages za mapenzi hapo ndipo usiseme....

kwa wanaobarikiwa baada labda ya muda fulani huamua kukaa


pamoja, kama ni mke na mume ama tu wapenzi wameamua kukaa
pamoja, hapa sasa kasheshe ndipo zinapoanza na mara nyingi upande
wa pili wa shilingi huanza kuonekana humu.....

wote tunatambua ya kwamba pindi watu wawili waliolelewa kwenye


mazingira tofauti na tabia zao tofauti wanapokaa pamoja basi
kugombana na maelewano ni kitu cha kawaida popte pale duniani...

lakini unaposhikilia magombano yakae moyoni mwako wakati wote


ndio maana wapenzi wengi huachana, na tunawezaje kuyaachilia
yasikae moyoni?

wewe kama mwanaume nilini umempeleka mkeo kula chakula cha


jioni nje yani kwenye mazingira tofauti na nyumbani mkiwa wawili
tu, maana pale ndipo hisia hukutana tena kwa upendo, mkiongea na
kucheka pamoja na kukumbushiana mapenzi yenu tokea mwanzo
mpaka sasa na kuongea mengine mengi...

ama lini wewe kama mke ukaamua week - end moja mkalale sehemu
ya tofauti na nyumbani hotels zipo nyingi sana na nzuri sana siku hizi,
muda huu ni muhimu sana kwani mnakuwa peke yenu tu hamna
kelele za watoto na majirani na kupata wakati wa kumchunguza vizuri
mwenzako(utakuta ana machejo mapya kibao, unaweza kugundua
kama anakovu jipya ambalo hulijui n.k ) maana mkiwa na watoto
muda wa kuchunguzana huwa hautoshi maana mara mama hivi
mama vile baba hiki na ishu kibao....

Jambo lingine ni kwamba huwa siku zote mapenzi kati ya mume na


mke hayawezi kukosa mikwaruzo maana sisi ni binadamu hapa la
msingi ni kwamba je linapo tokea tatizo wewe uwa unachukua uamuzi
gaini? .kumnunia mumeo,kumnyima mahaba,kumpandishia au
kumpiga vijembe .kiujumla hapo hakuna jema kwani lengo kuu la kua
na mpenzi ni ili uishi maisha ya furaha na amani sasa basi unacho
takiwa kufanya endapo mtakwaruzana ni kujikaza bila aibu na
kumvuta mumeo chumbani kisha chojoa nguo zote mlaze kitandani
kasha mpandie kifuani huku ukimpapasa kwenye serikali yake huku
macho yaki malegevu jitahidi uhakikishe anaingia uwanjani mcheze
pamoja na hata asipo cheza lakini utakuaumefanikiwa kwa kiasi
kikubwa kumtuli na kumaliza tofauti zenu kwani mapenzi hujenga na
pia hubomoka endapo yatakosa mjenzi mzuri najua inaweza kuwa
ngumu kwa watu wengi lakini hii ni dawa kuliko hata kile kikombe
cha babu wa loliondo

TUSIJISAHAU SANA JAMANI ....

MANENO YA MAHABA KWA MPENZI WAKO....

leo nataka kuzungumzia maneno ya mahaba, jamani tunajuwa ya kwamba ukiwa


na mpenzi wako unafurahi zaidi pale japo muda fulani atakupa maneno matamu,
na mazuri na yenye kuzidi kukupa moyo wa wewe kuzidi kutaka kuwa naye...
sasa kuna wapenzi wengine hata mimi nilishapitia mmoja wakati fulani, jamani
wanaume na wanawake wenzangu hebu tujitahidi maneno kama mpenzi, honey,
sweety, mkiwa mbele za watu kumuita mpenzi wako sio mbaya maana wengine
haswa waliozaa utasikia baba fulani mara mama fulani inamaana baada ya kuzaa
mpenzi, sweety, honey umeisha?????? tunawapenda sana watoto wetu lakini wao
wananafasi yao na mwenza wako ananafasi yake...

kwenye sita kwa sita watu utawakuta kimya tu madai wanasikilizia uhondo, jamani
kuna maneno pale ama mnaoneana aibu sasa kwangu raha mpenzi aongee aniambie
anavyojisikia wapi niongeze, vipi nikae, wapi nimshike kwa sauti ya taratibu na
yenye mapenzi tele....sijui wewe mwenzangu zile sauti za taratiiibu sana kama
unazitumia ……oooohhg !! aaaahg !! .shiiiiiigh !! cciiiiiii !! aaasante baba……….
Mama…….!!

sasa pakiwa kimya tu jamani na ndio kwa mfano kitanda ndio vileeee ukigeuka tu
majirani mpaka watujuwa hizo kwinyo kwinyo kwinyo hapo kwenye mechi sindio
balaa maana utakuwa usikilizii raha unakilaani kitanda tu hichi nacho mpaka watu
wajuwe leo napewa mautamuuu.....

kama mnaona aibu kuongea basi kama chumbani kuna redio wekeni hata mziki wa
taratiiibu kuwahamasisha zaidi, maana ule ndio utakaoongea kwa niaba yenu...

maneno ya mahaba jamani ndio mafuta tosha ya kuendesha hilo gari la mapenzi
siwafundishi umalaya lakini unapo kua mtu mzima sio ndo unajifanya uko siiiriasi
umalaya una ruhusiwa kwa mtu mmoja tu ambaye ni mumeo au mkeo wa ndoa .
sawa? jamani keep your love alive all the time ...

Prepared by reward Gerald Kihedu


Bachelor of education in guidance and counseling (be-guco)
UDOM
rewardgerald@rocketmail.com :

You might also like