Chaguuua Maisha

You might also like

Download as pptx, pdf, or txt
Download as pptx, pdf, or txt
You are on page 1of 12

MASOMO YA VIJANA:

KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO- IDARA YA HUDUMA ZA VIJANA

CHAGUA MAISHA.
5/23/12

CHAGUA MAISHA
Utangulizi: Yapo mambo tunayoweza kuyafanya ila hatimaye yakawa na madhara makubwa baadaye, katika familia zetu au hata taifa kwa ujumla. Tazama kisa cha Daudi na watoto wake 2Sam. 1218 kosa la uzinzi lilileta maafa makubwa. Ni vema kufikiri kabla ya kuchagua nini tufanye.
5/23/12

CHAGUA MAISHA
Wengi hudhani kwamba vita ya kizazi hiki ni dhidi ya UKIMWI ila sivyo, ni dhidi ya mmomonyoko wa maadili.

Tujue kwamba watoto huangalia tabia zetu na hivyo mara nyingi hupenda kuwa kama
5/23/12

CHAGUA MAISHA
Katika kozi hii, vijana hujifunza: Mahusiano ya Mzazi na mtoto. Elimu ya UKIMWI kwa njia ya maadili. Wanasayansi wasemavyo kuhusu UKIMWI. Mitindo ya maisha, mambo yanayoathiri maadili. Maadili ya kuishi kiafya, mtazamo 5/23/12 biblia. wa

MAHUSIANO YA MZAZI NA MTOTO:


1. v.

Mambo Yanayoathiri Mahusiano. Mambo yanayofundishwa na Mzazi kwa mtoto. Mawasiliano baina ya mzazi na mtoto. Namna ya kukabiliana na tofauti kati ya mzazi na mtoto.

v.

v.

v.

Mith. 22:6 (mlee mtoto katika njia impasayo, naye hataiacha hata 5/23/12

CHAGUA MAISHA
2.Mambo Ya Kufundisha Kulingana Na Umri.
i. ii.

Kujilinda na uovu. Mith.1-9. Mungu kuwa kiini cha mafanikio ya mwanadamu (Umaskini na vyanzo vyake,Utajiri na vyanzo na athari zake) Mith. 9-10. Uwajibikaji katika maisha. Mith. 24:33

iii.

5/23/12

CHAGUA MAISHA
vi. vii.

Malezi ya watoto. Mashauri juu ya kuposana, ndoa na unyumba. Maonyo ya kujihadhari na upumbavu na mpumbavu. Uongozi au kuongoza watu. Mambo yanayofanya kuishi kuwe na maana (Furaha, Amani na Uhuru).

viii.

ix. x.

5/23/12

CHAGUA MAISHA
3.Madai Ya Mtoto Kwa Mzazi.
v

Elimu na mafundisho mema ili waheshimiwe na kupendwa na watu hapa duniani. Kuwapa tabia ya kufaa kuwa watu safi. Kutawaliwa, kusahihishwa tabia zao na kutiishwa. Mwa. 1:28.

Wazazi wasiowafunza watoto wao watahesabiwa hatia. Watoto wao 5/23/12 wataangamia.

CHAGUA MAISHA
4. Viashiria Vya Familia Yenye Malezi Mazuri.
i. ii.

Utaratibu wa kufanya mambo. Wazazi hufahamu marafiki wa watoto wao. Wazazi hufahamu watoto walipo. Mtoto hakosekani nyumbani (jioni / usiku). Watoto hufundishwa sawa na

iii. iv.

v.

5/23/12

CHAGUA MAISHA
vii. viii.

Watoto huelimishwa. watoto hupewa majukumu (uvivu wala uzembe hakuna) Wazazi hawafanyi kazi za watoto (Usafi, Kukusanya kuni au kuleta maji). Watoto wana heshima na adabu kwa wazazi Hakuna ghadhabu, hasira wala

ix.

x.

xi. 5/23/12

CHAGUA MAISHA
5.Mambo Ambayo Wazazi Lazima Wajihadhari nayo:
i. ii.

kutojitawala. Wazazi kugombana mbele ya watoto Kushindwa kutawala. Kukosa uaminifu. Kushindwa kuwaonya watoto.

iii. iv. v.

5/23/12

CHAGUA MAISHA

Asanteni kwa usikivu wenu. Mungu


5/23/12

You might also like