Ratiba Pac Januari 2015

You might also like

Download as doc, pdf, or txt
Download as doc, pdf, or txt
You are on page 1of 5

KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC)

RASIMU YA RATIBA YA UKAGUZI WA MIRADI NA KUJADILI HESABU ZILIZOKAGULIWA ZA


SERIKALI KUU NA MASHIRIKA YA UMMA KUANZIA TAREHE 05 HADI 24 JANUARI 2015,
MKOA WA MOROGORO NA OFISI NDOGO YA BUNGE, DAR ES SALAAM
____________________________________
SIKU/TAREHE
Jumatatu

SHUGHULI
Wajumbe kuwasili Dar es Salaam

MHUSIKA
Katibu wa Bunge

05 Januari 2015
Jumanne

Wajumbe kusafiri kuelekea Morogoro

06 Januari 2015

Wajumbe wa Kamati
Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG)
Msajili wa Hazina

Jumatano

Ukaguzi wa Miradi ya RAHCO

07 Januari 2015

Wajumbe wa Kamati
Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG)
Msajili wa Hazina
Mwenyekiti, Bodi ya
RAHCO

Alhamisi

Ukaguzi wa Miradi ya RAHCO

08 Januari 2015

Wajumbe wa Kamati
Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG)
Msajili wa Hazina
Bodi ya RAHCO

Ijumaa
09 Januari 2015

Ukaguzi wa Miradi ya Kilimo

Wajumbe wa Kamati
Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za

Serikali (CAG)
Msajili wa Hazina
Katibu Mkuu Wizara
ya Kilimo, Chakula
na Ushirika
Jumamosi

Ukaguzi wa Miradi ya Kilimo

10 Januari 2015

Wajumbe wa Kamati
Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG)
Msajili wa Hazina
Katibu Mkuu Wizara
ya Kilimo, Chakula
na Ushirika

Jumapili

Wajumbe kuelekea Dar es Salaam

Katibu wa Bunge

Sherehe za Maadhimisho ya miaka 51 ya


Mapinduzi ya Zanzibar

Wote

11 Januari 2015
Jumatatu
12 Januari 2015
Jumanne
13 Januari 2015

Saa 4:00 Asubuhi

Wajumbe wa Kamati

Kikao cha mashauriano (Consultative Meeting) Mdhibiti na Mkaguzi


na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG)
Serikali (CAG)

Saa 8:00 Mchana

Kikao cha mashauriano (Consultative Meeting)


na Msajili wa Hazina (TR)

Msajili
(TR)

wa

Hazina

Ukumbi: Juma Akukweti


Jumatano

Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN)

Wajumbe wa Kamati

14 Januari 2015

Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC)

Msajili wa Hazina
Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za
2

Serikali (CAG)
Ukumbi: Juma Akukweti
Alhamisi

15 Januari 2015

Bodi ya TSN na TBC

Kujadili Taarifa ya Ukaguzi Maalum wa Wajumbe wa Kamati


Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA)
Msajili wa Hazina

Ukumbi: Juma Akukweti

Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG)
Bodi ya TPA

Ijumaa

Bodi ya Sukari Tanzania

Wajumbe wa Kamati

16 Januari 2015

Bodi ya Korosho Tanzania

Msajili wa Hazina
Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG)
Bodi ya Sukari

Ukumbi: Juma Akukweti

Jumamosi na
Jumapili

Mapumziko ya mwisho wa wiki

Bodi ya Korosho
Wote

17-18 Januari 15
Jumatatu

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

19 Januari 2015

Wajumbe wa Kamati
Msajili wa Hazina
Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG

Ukumbi: Juma Akukweti

Kamishna Mkuu, TRA

Jumanne

Hesabu Jumuifu za Taifa

Wajumbe wa Kamati

20 Januari 2015

Kupokea na kujadili Taarifa ya Kamati


ndogo ya PAC kuhusiana na Ukusanyaji
mdogo wa kodi za Ardhi unaoikabili Wizara

Mhasibu Mkuu
Serikali (AcGen)

wa

ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Ukumbi: Juma Akukweti

Jumatano

21 Januari 2015

Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG)
Mkurugenzi wa Idara
ya Usimamizi wa Mali
za Serikali (DGAM)

Fungu 43 - Wizara ya Kilimo, Chakula na Wajumbe wa Kamati


Ushirika
Mdhibiti na Mkaguzi
Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC)
Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG)
Katibu Mkuu, Wizara
ya
Fedha
(kuhudhuria
kikao
cha kujadili Hesabu
za Fungu 43)
Mhasibu Mkuu
Serikali (AcGen)
Msajili
(TR)

wa

wa

Hazina

Mkurugenzi wa Idara
ya Usimamizi wa Mali
za Serikali (DGAM)

Alhamisi

Ukumbi: Juma Akukweti

Bodi ya TPDC

Maandalizi ya Taarifa ya mwaka ya Kamati

Wajumbe wa Kamati

22 Januari 2015
Ijumaa

Sekretarieti
Kamati

ya

Maandalizi ya Taarifa ya mwaka ya Kamati

23 Januari 2015
Jumamosi na
Jumapili

Wajumbe kuelekea Dodoma

Katibu wa Bunge

24-25 Januari 2015


TANBIHI:

Vikao vyote vitaanza saa 4:30 Asubuhi.

Maafisa Masuuli waepuke kuambatana na Maafisa ambao hawatasaidia katika kujibu


hoja.

Vitabu viifikie Kamati siku 3 kabla ya siku ya kikao.

Kamati itajadili Hesabu zilizokaguliwa za mafungu mbalimbali zinazoishia tarehe 30


Juni, 2013.

You might also like