Download as doc, pdf, or txt
Download as doc, pdf, or txt
You are on page 1of 2

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS


Telephone: 255-22-2114512,
2116898
E-mail:
ikulucommpress@googlemail.co
m
Website : www.ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425

PRESIDENTS OFFICE,
STATE HOUSE,
1 BARACK
OBAMA ROAD,
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya
Mrisho Kikwete leo, Jumatano, Agosti 5, 2015, amewaapisha Majaji 14
akiwamo Jaji mmoja wa Mahakama ya Rufani Tanzania katika sherehe
iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam.
Rais Kikwete aliwateua majaji hao hivi karibuni katika mwendelezo
wake wa kuhakikisha kuwa Muhimili wa Mahakama unakuwa na
raslimali watu ya kutosha ili kuendelea kutoa haki kwa haraka zaidi na
kwa ufanisi zaidi.
Walioapishwa leo katika sherehe iliyohudhuriwa pia na Jaji Mkuu
wa Tanzania, Mheshimiwa Mohamed Chande Othman ni pamoja na Jaji
Richard Mziray ambaye anakuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani ya
Tanzania.
Majaji wengine ambao wote ni Majaji wa Mahakama Kuu ya
Tanzania ni Mheshimiwa Ignas Pius Kitusi, Mheshimiwa Lameck Michael
Mlacha, Mheshimiwa Wilfred Peter Dyansobera, Mheshimiwa
Salima
Mussa Chikoyo, Mheshimiwa Issa Kweka Arufani, Mheshimiwa Sirilius
Betran Matupa na Mheshimiwa Julius Benedicto Malaba.
Wengine ni Mheshimiwa Victoria Lyimo Makani, Mheshimiwa Lucia
Gamuya Kairo, Mheshimiwa Rehema Joseph Kirefu, Mheshimiwa Benhaji

Shaaban Masoud, Mheshimiwa Issa John Maige na Mheshimiwa Adam


Juma Mwambi.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
5 Agosti, 2015

You might also like