Rais Magufuli Ateua Wakurugenzi 185 Wa Halmashauri Za Majiji, Miji, Manispaa Na Wilaya

You might also like

Download as doc, pdf, or txt
Download as doc, pdf, or txt
You are on page 1of 8

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU


Simu: 255-22-2114512,
2116898
E-mail: press@ikulu.go.tz
Tovuti : www.ikulu.go.tz
Faksi: 255-22-2113425

OFISI YA RAIS,
IKULU,
1 BARABARA YA BARACK
OBAMA,
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli


leo tarehe 07 Julai, 2016 amefanya uteuzi wa wakurugenzi wa
halmashauri za majiji 5, Manispaa 21, Miji 22 na Wilaya (DC) 137 za
Tanzania Bara.
Uteuzi huo umetangazwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa
na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhandisi Mussa Iyombe ambapo kati
ya wakurugenzi wote 185 walioteuliwa, 65 wameteuliwa kutoka orodha
ya wakurugenzi wa zamani na 120 ni wakurugenzi wapya.
Orodha ya wakurugenzi walioteuliwa kulingana na mikoa yao ni kama
ifuatavyo;
ARUSHA
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.

Arusha Jiji
Arusha DC
Karatu DC
Longido DC
Meru DC
Monduli DC
Ngorongoro DC

Athumani Juma Kihamia


Dkt. Wilson Mahera Charles
Banda Kamwande Sonoko
Jumaa Mohamed Mhiwapijei
Kazeri Christopher Japhet
Stephen Anderson Ulaya
Raphael John Siumbu

DAR ES SALAAM
1.
2.
3.
4.
5.
6.

Dar es salaam Jiji


Kinondoni Manispaa Temeke Manispaa
Ilala Manispaa
Kigamboni Manispaa Ubungo Manispaa

Siporah Jonathan Liana


Aron Titus Kagurumjuli
Nassibu Bakari Mmbaga
Msongela Nitu Palela
Stephen Edward Katemba
Kayombo Lipesi John
1

DODOMA
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.

Dodoma Manispaa
Kondoa DC
Kondoa Mji
Mpwapwa DC
Kongwa DC
Chemba DC
Chamwino DC
Bahi DC

Dkt. Leonard M. Masale


Kibasa Falesy Mohamed
Khalifa Kondo Mponda
Mohamed Ahamed Maje
Mhandisi Ngusa Laurent Izengo
Semistatus Hussein Mashimba
Athuman Hamis Masasi
Rachel Marcel Chuwa

GEITA
1.
2.
3.
4.
5.
6.

Bukombe DC
Chato DC
Geita DC
Geita Mji
Mbogwe DC
Nyang'wale DC

Dionis Maternus Nyinga


Mhandisi Joel Bahahari
Ally Abdallah Kidwaka
Modest J. Apolinaly
Mahwago Elias Kayandabila
Carlos K. Gwamagobe

IRINGA
1.
2.
3.
4.
5.

Iringa Manispaa
Mafinga Mji
Mufindi DC
Iringa DC
Kilolo DC

William Donald Mafwele


Saada S. Mwaruka
Riziki Salas Shemdoe
Robert Mgendi Magunya
Aloyce Kwezi

KAGERA
1. Biharamulo DC
2. Bukoba DC
3. Bukoba Manispaa
4. Karagwe DC
5. Kyerwa DC
6. Missenyi DC
7. Muleba DC
8. Ngara DC
KATAVI

Wende Israel Ng'ahala


Abdulaaziz Jaad Hussein
Makonda Kelvin Stephen
Godwin Moses Kitonka
Shedrack M. Mhagama
Limbe Berbad Maurice
Emmanuel Shelembi Luponya
Aidan John Bahama

1. Mlele DC

Alex Revocatus Kagunze

2.
3.
4.
5.

Mpimbwe DC
Mpanda DC
Mpanda Manispaa
Nsimbo DC

Erasto Nehemia Kiwale


Ngalinda Hawamu Ahmada
Michael Francis Nzyungu
Joachim Jimmy Nchunda

Buhigwe DC
Kakonko DC
Kasulu DC
Kasulu Mji
Kigoma Ujiji - Manispaa
Kigoma DC
Kibondo DC
Uvinza DC
-

Anosta Lazaro Nyamoga


Lusubilo Joel Mwakabibi
Godfrey Msongwe Masekenya
Fatina Hussein Laay
Judethadeus Joseph Mboya
Hanji Yusuf Godigodi
Shelembi Felician Manolo
Weja Lutobola Ng'olo

KIGOMA
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.

KILIMANJARO
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.

Manispaa ya Moshi
Hai DC
Siha DC
Same DC
Mwanga DC
Rombo DC
Moshi DC

Michael Nelson Mwandezi


Yohana Elia Sintoo
Valerian Mwargwe Juwal
Shija Anaclaire
Golden A. Mgonzo
Magreth Longino John
Emalieza Sekwao Chilemeji

LINDI
1.
2.
3.
4.
5.
6.

Kilwa DC
Lindi DC
Lindi Manispaa
Liwale DC
Nachingwea DC
Ruangwa DC

Bugingo I. N. Zabron
Samwel Warioba Gunzar
Jomaary Mrisho Satura
Justine Joseph Monko
Bakari Mohamed Bakari
Andrea Godfrey Chezue

Fortunatus Hilario Fwema


Bryceson Paul Kibasa
Festi Fungameza Fwema

MANYARA
1. Babati Mji
2. Hanang DC
3. Mbulu DC

4.
5.
6.
7.

Mbulu Mji
Simanjiro DC
Kiteto DC
Babati DC

Anna Philip Mbogo


Yefred Edson Myezi
Tamim Kambona
Hamis Iddi Malinga

MARA
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.
9.

Manispaa ya Musoma Bunda DC


Bunda Mji
Butiama DC
Musoma DC
Serengeti DC
Rorya DC
Tarime DC
Tarime Mji
-

Fidelica Gabriel Myovela


Amos Jeremiah Kusaja
Janeth Peter Mayanja
Solomon Kamlule Ngiliule
Flora Rajab Yongolo
Juma Hamsini Seph
Charles Kitanuru Chacha
Apoo Castro Tindwa
Hidaya Adam Usanga

MBEYA
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.

Busokelo DC
Chunya DC
Kyela DC
Mbarali DC
Mbeya DC
Mbeya Jiji
Rungwe DC

Eston Paul Ngilangwa


Sofia Kumbuli
Mussa Joseph Mgata
Kivuma Hamis Msangi
Ameichiory Biyengo Josephat
Zacharia Nachoa Ntandu
Loema Isaya Peter

SONGWE
1.
2.
3.
4.
5.

Momba DC
Tunduma Mji
Mbozi DC
Ileje DC
Songwe DC

Adrian Jovin Jungu


Valery Alberth Kwemba
Edna Amulike Mwaigomole
Haji Mussa Mnasi
Elias Philemon Nawela

Agnes Martin Mkandya


Dennis Lazaro Londo
Francis Kumba Ndulane

MOROGORO
1. Gairo DC
2. Kilombero DC
3. Ifakara Mji

4.
5.
6.
7.
8.
9.

Kilosa DC
Morogoro DC
Morogoro Manispaa
Mvomero DC
Ulanga DC
Malinyi DC

Kessy Juma Mkambala


Sudi Mussa Mpili
John Kulwa Magalula
Florent Laurent Kyombo
Audax Christian Rukonge
Marcelin Rafael Ndimbwa

MTWARA
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.
9.

Mtwara DC
Omari Juma Kipanga
Mtwara Mikindani Manispaa
Beatrice Dominic Kwai
Masasi Mji
Gimbana Emmanuel Ntayo
Masasi DC
Mkwazu M. Changwa
Nanyumbu DC
Hamis Hassan Dambaya
Newala DC
Mussa Mohamed Chimae
Newala Mji
Andrew Frank Mgaya
Tandahimba DC
Said Ally Msomoka
Nanyamba Mji
Oscar Anatory Ng'itu

MWANZA
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.

Mwanza Jiji
Ilemela Manispaa
Kwimba DC
Magu DC
Misungwi DC
Ukerewe DC
Buchosa DC
Sengerema DC

Kiomoni Kibamba Kiburwa


John Paul Wanga
Pendo Anangisye Malabeja
Lutengano George Mwalwiba
Eliud Leonard Mwaiteleke
Tumaini Sekwa Shija
Crispian Methew Luanda
Magesa M. Boniphace

NJOMBE
1.
2.
3.
4.
5.
6.

Njombe Mji
Makambako Mji
Makete DC
Njombe DC
Ludewa DC
Wanging'ombe DC

Iluminata Leonald Mwenda


Paul Sostenes Malala
Francis Emmanuel Namaumbo
Monica Peter Kwiluhya
Ng'wilabuzu Ndatwa Ludigija
Amina Mohamed Kiwanuka

PWANI
5

1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.
9.

Bagamoyo DC
Chalinze DC
Kibaha DC
Kibaha Mji
Kisarawe DC
Mafia DC
Mkuranga DC
Kibiti DC
Rufiji DC

Azimina A. Mbilinyi
Edes Philip Lukoa
Tatu Seleman Kikwete
Jenifer Christian Omolo
Mussa L. Gama
Erick Mapunda
Mshamu Ally Munde
Alvera Kigongo Ndabagoye
Salum Rashid Salum

RUKWA
1.
2.
3.
4.

Kalambo DC
Sumbawanga DC
Sumbawanga Manispaa
Nkasi DC
-

Simon Ngagani Lyamubo


Nyangi John Msemakweli
Hamid Ahmed Njovu
Julius M. Kaondo

RUVUMA
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.

Mbinga DC
Mbinga Mji
Namtumbo DC
Nyasa DC
Songea DC
Madaba DC
Tunduru DC
Songea Manispaa

Gumbo Samanditu Gumbo


Robert Kadaso Mageni
Christopher Michael Kilungu
Oscar Albano Mbuzi
Simon Michael Bulenganija
Shafi Kassim Mpenda
Abdallah Hussein Mussa
Tina Emelye Sekambo

SHINYANGA
1.
2.
3.
4.
5.
6.

Kishapu DC
Msalala DC
Shinyanga DC
Kahama Mji
Shinyanga Manispaa
Ushetu DC
-

Stephen Murimi Magoiga


Berege Sales Simon
Mark Emmanuel Malembeka
Anderson David Msumba
Lewis Kweyemba Kalinjuna
Michael Augustino Matomola

SIMIYU
1. Bariadi DC

Abdallah Mohamed Malela


6

2.
3.
4.
5.
6.

Bariadi Mji
Itilima DC
Maswa DC
Busega DC
Meatu DC

Melkizedek Oscar Humbe


Mariano Manyingu
Fredrick Damas Sagamiko
Anderson Njiginya
Said F. Manoza

Rustika William Turuka


Linno Pius Mwageni
Martin Msuha Mtanda
Charles Edward Fussi
Luhende Pius Gerald
Rashid Mohamed Mandoa
Kizito L. Brava

SINGIDA
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.

Ikungi DC
Iramba DC
Mkalama DC
Manyoni DC
Itigi DC
Singida DC
Singida Manispaa

TABORA
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.

Igunga DC
Kaliua DC
Nzega DC
Nzega Mji
Sikonge DC
Tabora Manispaa
Urambo DC
Tabora -Uyui

Revocatus Lubigili Kuuli


John Marco Pima
Jacob James Mtalitinya
Phillimon Mwita Magesa
Simon Saulo Ngatunga
Bosco Addo Ndunguru
Magreth Nakainga
Hadija Maulid Makuani

Daudi R. Mayeji
George John Nyaronga
Jumanne Kiangoshauri
Luiza Osmin Mlelwa
Keneth K. Haule
William Methew Mafukwe
Sabas Damian Chambasi
Mkumbo Emmanuel Barnabas
Peter Isaiah Nyalali
Clemence Andagile Mwakasenda

TANGA
1. Tanga Jiji
2. Korogwe DC
3. Korogwe Mji
4. Muheza DC
5. Handeni Mji
6. Handeni DC
7. Pangani DC
8. Mkinga DC
9. Bumbuli DC
10.
Kilindi DC

11.
Lushoto DC
Adeladius

Kazimbaya Makwega

Wakurugenzi wote walioteuliwa wanatakiwa kufika Ikulu Jijini Dar es


salaam siku ya Jumanne tarehe 12 Julai, 2016 saa tatu asubuhi kwa ajili
ya kula kiapo cha ahadi ya uadilifu kwa viongozi wa umma.

Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dar es salaam
07 Julai, 2016

You might also like