Kiswahili Gafkosoft Com Swa Fasihi Simulizi PDF

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 16

Paneli la Kiswahili Sign In | Sign Up

nyumbani sarufi fasihi isimu jamii insha msamiati jukwaa

search Search

Fasihi Simulizi FASIHI


Fasihi Simulizi
Fasihi Simulizi ni utanzu wa fasihi Fasihi Andishi
ambao unawakilisha sanaa ya FASIHI SIMULIZI
lugha inayopitishwa kutoka kwa Utanzu wa Fasihi Ushairi
kizazi hadi kizazi kwa njia ya
maneno/masimulizi ya mdomo. Kiingereza Oral Literature
Tamathali za Usemi
Hadithi / Ngano
Sifa za Fasihi Tanzu za
Fasihi
Nyimbo FASIHI SIMULIZI
Simulizi Simulizi Maigizo
Tungo Fupi
Hadithi / Ngano

1. Hupitishwa kwa njia ya Nyimbo


mdomo Prev Tamathali za Usemi
Maigizo
2. Ufanisi wa sanaa katika Next Fasihi Andishi
fasihi simulizi hutegemea Tungo Fupi
uwezo wa msimulizi, au VIPERA VYA TANZU ZA FASIHI
SIMULIZI
wahusika FASIHI ANDISHI
3. Masimulizi yake yanaweza Khurafa
Hadithi Fupi
Hekaya
open in browser PRO version Are you a developer? Try out the HTML to PDF API pdfcrowd.com
Hadithi Fupi
kuathiriwa na mazingira, Hekaya
hisia na hali Mighani / Visakale
Riwaya
HADITHI / Usuli / Visaviini
4. Ni mali ya jamii. Hakuna NGANO Visasili
mtu fulani anayemiliki Hadithi za
Tamthilia
sanaa katika fasihi simulizi. Mtanziko
Hadithi za Aina za Wahusika
5. Inaweza kubadilika kutoka Mazimwi
kizazi hadi kizazi, au USHAIRI
mazingira mbalimbali kwa Mashairi
sababu hutegemea Kimai Aina za Mashairi
kumbukumbu ya msimulizi. Wawe/Hodiya
Nyimbo za Ndoa Bahari za Ushairi
6. Aghalabu huwa na funzo NYIMBO Nyimbo za Kidini
fulani Nyimbo za Kisiasa Uchambuzi
Za Tohara/Jandoni
Umuhimu wa Fasihi Nyimbo za
Kizalendo
Maghani

Simulizi
Methali
Vitendawili
1. Kuburudisha - Hufurahisha
Mafumbo
na kuchangamsha hadhira
TUNGO FUPI Vitanza Ndimi na
2. Kunasihi- kutolea Vichezea Maneno
mawaidha na kuonyesha Semi
Lakabu
mwelekeo unaotarajiwa
Misimu
katika jamii
3. Kuelimisha watu kuhusu vitu Michezo ya
mbalimbali hasa mazingira Kuigiza
Ngomezi
yao
Miviga
4. Kutambulisha jamii - jamii MAIGIZO
Malumbano ya
open in browser PRO version Are you a developer? Try out the HTML to PDF API pdfcrowd.com
4. Kutambulisha jamii - jamii MAIGIZO
mbalimbali husifika Utani
kutokana na sanaa zao Mazungumzo/Soga
katika fasihi simulizi kama Ulumbi
Vichekesho
vile nyimbo
Maonyesho
5. Kuhifadhi na kudumisha
utamaduni wa jamii
6. Kuunganisha watu - huleta watu pamoja
7. Kukuza lugha - fasihi huimarisha lugha kwa kuwa hutumia
mbinu mbalimbali za lugha.
8. Kuliwaza - hutoa huzuni na kuleta matumaini.
9. Kupitisha muda - wakati mwingine fasihi simulizi hutumika
kupitisha muda.

61 Comments

Jared Ekirapa - Feb 25, 2013 @ 2:48am

Fasihi simulizi ni chombo cha mawasiliano kupitia ngomezi, soga


n.k

Evans - Mar 04, 2013 @ 9:49am

Ningependa usaidizi katika umuhimu na upungufu unaopatikana


katika nadharia ya kimarx kama kunazo
open in browser PRO version Are you a developer? Try out the HTML to PDF API pdfcrowd.com
Guest Mgeni - Mar 11, 2013 @ 3:04am

Napenda nisaidiwe uchambuzi wa fani katika vitendawili.

Guest Mgeni - Mar 11, 2013 @ 3:39am

Naomba nionyeshwe jinsi ya kuandika ripoti(muundo)

saayakatambe - Apr 08, 2013 @ 1:10am

naomba usaidizi, tofauti kati ya wahusika miraba minne na mraba


mmoja

Charles Ekeno - Apr 10, 2013 @ 3:11am

Naomba msaada wa nadharia mpya ya tanzu ya fasihi

Charles Ekeno - Apr 10, 2013 @ 3:16am

je, michongoano inachangia vipi katika ukuzaji wa baadhi za lugha


(kuzungumza na kusikiliza) miongoni mwa watoto?

mshana john - Apr 13, 2013 @ 4:28am

naomba msaada juu ya nyimbo jadia kwa sifa, na dhima zake kwa
jammi!

open in browser PRO version Are you a developer? Try out the HTML to PDF API pdfcrowd.com
Jared Ekirapa - Apr 15, 2013 @ 4:59am

Tukisema kwamba mtu fulani ana miraba minne inamaanisha ana


nguvu nyingi na yule wa mraba mmoja hana nguvu nyingi. Kwa
hivyo rejelea wahusika hao kwa kuangalia waliyoyatenda kwa
kutumia nguvu nyingi.

Jared Ekirapa - Apr 15, 2013 @ 4:59am

Tukisema kwamba mtu fulani ana miraba minne inamaanisha ana


nguvu nyingi na yule wa mraba mmoja hana nguvu nyingi. Kwa
hivyo rejelea wahusika hao kwa kuangalia waliyoyatenda kwa
kutumia nguvu nyingi.

priscilla mwangi - Apr 20, 2013 @ 5:03am

Ningemsihi mwenzangu asishughulike tu na uandishi wa ripoti


mbali aingie ndani na kuziangalia aina zingine za insha.Hili
litamsaidia kuwa na weledi katika uandishi wa insha.

dalia ally - May 01, 2013 @ 5:49am

ningependa kujua au kufahamu nafasi za vitendawili vya kiswahili


katika jamii

Silah Rokito Chelimo - May 07, 2013 @ 10:23am

open in browser PRO version Are you a developer? Try out the HTML to PDF API pdfcrowd.com
Je,vijana wa kizazi cha sasa wanachangia katika kukuuza fasihi
simulizi?Nisaidieni.

Fanuel.Sigalla - May 07, 2013 @ 2:20pm

Fasihi simulizi imekosa uhalisia?

dalia ally - May 10, 2013 @ 5:23pm

Ni kweli imekosa uhalisia kwa kuangalia mambo yafuatayo


utendekeji,uhifadhi,uwasilishwaji,n.k

robert wangui - May 15, 2013 @ 12:32pm

ni nini tofauti kati ya visaviini na visasili

robert wangui - May 15, 2013 @ 12:32pm

ni nini tofauti kati ya visaviini na visasili ?

Moha Kevo Muruli - May 16, 2013 @ 12:50pm

Visaviini(etiological) / usuli(narratives)-hueleza kwa nini mambo


fulani hufanyika bila kuhusisha jamii au imani ilhali visasili
huhusisha jamii,mila,imani na matukio ya kiada kama vile
kifo,tohara n.k

open in browser PRO version Are you a developer? Try out the HTML to PDF API pdfcrowd.com
Fanuel.Sigalla - May 17, 2013 @ 2:45pm

Ni kivipi vipengele vya fasihi simulizi vinavyojidhihirisha katika


fasihi andishi?

dickson lekishon - May 22, 2013 @ 2:30am

elezea kwa mapana ubunifu katika fasihi simulizi

athens - Jun 05, 2013 @ 3:15am

eleza vipi shairi ni wimbo

cyro mmoja - Jun 29, 2013 @ 3:48am

Ningependa kujua sifa kuu za tamthilia

Jared Ekirapa - Jul 13, 2013 @ 10:58pm

Wimbo una beti kama shairi. Tofauti iliopo kati hizi mbili ni ndogo.
Je,wajua sifa na maana ya maneno yanayotumika katika wimbo na
shairi?

Felix kiptoo cherop - Aug 17, 2013 @ 12:10pm

Jinsi jamii ya kisasa uendeleza fasihi simulizi

open in browser PRO version Are you a developer? Try out the HTML to PDF API pdfcrowd.com
Mafwele Masumbuko - Aug 21, 2013 @ 3:57am

Ni kweli shairi ni wimbo kwani huimbika,huwa na mizani pia


pengine huwa na vina sawa huku matukio yakiwa yamepangana
kwenye mistari na beti, vilevile shairi huwa na kiitikio kama wimbo.

nicholas - Aug 25, 2013 @ 5:35am

Nashukuru mno kwa kazi yenu muhimu, inanisaidia sana katika


utafiti wa fasihi.

badi - Sep 12, 2013 @ 7:42am

xawa wimbo ni shairi; lakini je? fungu linalo rudiwa kwa wimbo ni
kibwagizo?

david mogaka - Sep 16, 2013 @ 7:05am

heko lakini pia ngependa kupata usaidizi kuhusu tamthilia ya sasa


hivi kwenye silabasi

ANTHONY MHANDA - Sep 27, 2013 @ 5:56am

Si kila shairi linaweza kuimbika, hivyo si kila shairi ni wimbo kwa


kuwa baadhi ya waandishi wa ushairi wa kisasa hawafuati zile
kanuni za kimapokeo kama ulali wa vina na mizani hivyo SI KILA
SHAIRI NI WIMBO japo Kila wimbo ni shairi.

open in browser PRO version Are you a developer? Try out the HTML to PDF API pdfcrowd.com
Al-Magram Bin Bahsan - Oct 02, 2013 @ 8:34pm

Je, fasihi hii ni ya kiwango cha shule ya upili ama........

Mercy Anyango - Oct 07, 2013 @ 4:15am

Ningependa kujua sifa na dhima ya kumbukumbu,tarihi na mapisi


kama aina za hadithi za kihistoria.

Juma Abdul Makenge - Jan 24, 2014 @ 4:23am

Ningependa kujua umuhimu wa Fasihi Simulizi katika kufanya


Utafiti.

Dennilson Ondieki - Feb 02, 2014 @ 7:58am

NINGEOMBA KUJUA ZAIDI KUHUSU FASIHI SIMULIZI KAMA


SANAA

KAKONJAGILE EDSON - Feb 06, 2014 @ 5:38am

Wanajamvi naomba kujua tofauti ya ngano na vigano

Evans Kisoi Mutua - Feb 24, 2014 @ 12:24am

Evans Kisoi Mutua - Feb 24, 2014 @ 12:25am


open in browser PRO version Are you a developer? Try out the HTML to PDF API pdfcrowd.com
Evans Kisoi Mutua - Feb 24, 2014 @ 12:26am

Evans Kisoi Mutua - Feb 24, 2014 @ 12:29am

Ningependa ni fanyiwe uchambuzi wa nyimbo.

tarus k felix - Mar 19, 2014 @ 2:11pm

asnate sana..tafadhali mnisaidie sifa za nyimbo ya watoto

cheruiyot walter - May 30, 2014 @ 3:55am

cheruiyot walter - May 30, 2014 @ 3:56am

noamba wanaochangia watumie lugha sanifu na sarufi sawa

pendo - Jun 04, 2014 @ 5:26am

naomba kusaidiwa ujibuji wa hili swali,kwakutumia mifano eleza


maana,sanaa na umuhimu wa tanzu za hadithi zifuatazo a)ngano
b)tarihi c)visasili d)vigano

open in browser PRO version Are you a developer? Try out the HTML to PDF API pdfcrowd.com
Lugano Masanja - Jul 06, 2014 @ 5:20am

naomba mnisaidie kujibu swali hili.


Utendaji unadhihirika vp katika kazi za fasihi simulizi?

Jared Ekirapa - Jul 10, 2014 @ 3:52am

Fasihi hii si ya kiwango cha shule ya upili pekee bali pia huweza
kutumika katika vyuo vikuu kwa sababu kuna maelezo ya kutosha
kuweza kumsaidia mwalimu wa kiswahili anapojiandaa kwenda
darasani.Kulingana na maoni yako jinsi wewe mwenyewe umeuliza
iwapo fasihi hii ni ya shule ya upili,inamaanisha kuwa wewe
umeelewa fasihi vilivyo au vipi?

choxxy cindy - Jul 16, 2014 @ 5:09am

wawaaaah kefleeh

rannia ratiezz - Jul 16, 2014 @ 5:11am

fasihi ni ngumu banaah itoeniiiiiiiii

Noah k. kamarei - Jul 26, 2014 @ 12:52pm

Poa ndugu jifunze polepole.Hiki ndicho kioo cha jamii.

Guyo k. Kerimo - Aug 23, 2014 @ 5:34am


open in browser PRO version Are you a developer? Try out the HTML to PDF API pdfcrowd.com
naomba nisaidiwe jinsi ya kutumia mafumbo na vitendawi katika
fasihi

Mpushe D Michael - Sep 16, 2014 @ 7:08am

Naomba nielezewa Nadharia za urasimi na sifa za urasimi


tafadhali

said nyanjwa - Sep 25, 2014 @ 4:27pm

Ahmey hulbale shogol - Oct 02, 2014 @ 12:48pm

fasihi simulizi ni chombo cha mwasiliano inayo pitishwa kwa njia ya


midomo

FRIDAY JULIUS MUHABWA - Oct 08, 2014 @ 7:31am

Nameni, Nataka mnielezee matatizo yanayokabiliana na fasihi


simulizi katika jamii?

Fredrick Wanyama - Nov 01, 2014 @ 12:52am

Fredrick Wanyama - Nov 01, 2014 @ 12:53am

open in browser PRO version Are you a developer? Try out the HTML to PDF API pdfcrowd.com
Shairi ni wimbo kwa sababu baadhi ya mashairi yanaimbwa na
hayakaririwi vile baadhi ya beti za mashairi mengi hurudiwarudiwa

MWASONGWE ISACK - Dec 04, 2014 @ 2:45am

MWASONGWE ISACK - Dec 04, 2014 @ 2:46am

Vitendawili ni tungo fupi ambazo huwa na swali fupi lisilo wazi na


jibu kwa makusudi ya kupima ufahamu wa hadhira kuhusu
mazingira yake. Anayetoa kitendawili huulizia swali lake kwa kutoa
maelezo mafupi yanayorejelea umbo la kitu hicho, sauti, harufu au
kukifananisha na kitu kingine. Anayejibu huhitajika kufikiria haraka
na kutoa jawabu ambalo huwa la neno moja au maneno mawili hivi.
Vitendawili huwa na mianzo maalum kulingana na jamii yake.
--------------------------------------------------------------------------------

Sifa za Vitendawili

1.Vitendawili huwa na mwanzo maalum : Kitendawili tega


2.Hupitishwa baina ya watu wawili anayetega na anayetegua
3.Vitendawili huwa na muundo maalum wa kuendelezwa
(utangulizi, swali, (majaribio ya) jibu; wanaotegua wakishindwa
anayetega huwa ameshinda, huitisha apewe mji/zawadi na kisha
kutoa jibu)
4.Huwa na vipande viwili swali na jibu. Mfano: Kila niendapo
ananifuata kivuli.
5.Hutumia mbinu ya jazanda, kufananisha vitu viwili moja kwa moja.
K.v. Nyumba yangu haina mlango yai (yai limelinganishwa moja
open in browser PRO version Are you a developer? Try out the HTML to PDF API pdfcrowd.com
kwa moja na nyumba isiyo mlango)
6.Hurejelea vitu vinavyopatikana katika mazingira na
vinavyojulikana sana
7.Vitendawili vilitegwa wakati maalum, hasa wa jioni
8.Vitendawili hutumia tamathali za usemi (mbinu za lugha) kama
istiara, tashihisi, tashbihi, jazanda, chuku, tanakali za sauti, n.k
9.Vitendawili huwa na jibu maalum.

--------------------------------------------------------------------------------

Aina za Vitendawili

a) Vitendawili sahili

ni vifupi na huwa na na muundo mwepesi kueleweka. K.v.


b) Vitendawili mkufu

huwa na vipande vinavyofuatana na kila kipande huwa na uhusiano


na kipande kilichotangulia. Mfano nikisimama anasimama,
nikiketi anaketi, nikiondoka huondoka pia
c) Vitendawili vya tanakali

hutumia tanakali za sauti Mfano: Drrrrrrh mpaka ngambo buibui;


huku ngo na kule ngo.
d) Vitendawili sambamba

huwa na maelezo marefu (kama hadithi fupi) halafu jibu lake huwa
ni refu pia (kama mafumbo)
--------------------------------------------------------------------------------

open in browser PRO version Are you a developer? Try out the HTML to PDF API pdfcrowd.com
Umuhimu wa vitendawili

1.Vitendawili huburudisha kwani hutegwa kwa njia ya uchangamfu


na ushindani.
2.Huwaleta watu pamoja (huunganisha jamii) kwani vinapotegwa
watu hukusanyika pamoja.
3.Vitendawili huhamasisha watu kuhusu mazingira yao kwani
hulenga vitu vinavyopatikana katika jamii hiyo.
4.Vitendawili hukuza uwezo wa kufikiria/kukumbuka kwani
anayetoa jibu huhitajika kukumbuka jibu la kitendawili.
5.Vitendawili hukuza na kuhifadhi tamaduni kwa maana
hupokezanwa kutoka kizazi hadi kizazi.
6.Vilitumika kupitisha wakati na kuwafanya watoto wasilale
mapema kabla ya chakula kuwa tayari.

by mwasongwe isack
0758978644

@josphato - Feb 26, 2015 @ 3:47am

HONGERA SANA WANAISIMU,ENDELEENI


KUTUFUNZA.SWADAKTA.

doris kanario - 4 week s ago

naomba kujua jinsi utamaduni wa kiafrika umechangia katika


kuwepo kwa fasihi simulizi

open in browser PRO version Are you a developer? Try out the HTML to PDF API pdfcrowd.com
Kim Phil Metto - 5 days ago

Ni nini umuhimu wa utafiti katika fasihi simulizi

elias chrispine - 3 hours ago

naomba maana ya wawe na sifa zaje

elias chrispine - 3 hours ago

Login to Comment

Like Share 0

Gafkosoft 2009 - 2014

Paneli la Kiswahili

Sauti za Kuimba

open in browser PRO version Are you a developer? Try out the HTML to PDF API pdfcrowd.com

You might also like