Professional Documents
Culture Documents
MEM 159 Online
MEM 159 Online
HabariZAza
NISHATI
nishati&MADINI
&madini
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Toleo No.159
Toleo No. 51 Limesambazwa kwa Taasisi
Limesambazwa kwana Idaranazote
Taasisi MEM
Idara zote MEM Tarehe - 23-29 Januari , 2015
Februari 17 - 23, 2017
Wabunge
WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AZINDUA RASMI BODI YA TANESCO -Uk2
SERIKALI KUKUSANYA MRABAHA
WA SHILINGI MILIONI 466.4 KUTOKA
MNADA WA PILI WA TANZANITE
Waimwagia sifa MEM, TANESCO, REA
Somahabari Uk.2
2
http://www.mem.go.tz
I
Kwa upande wake, Mkuu wa
meelezwa Serikali itakusanya Mkoa wa Manyara, Dkt. Joel
mrabaha wa Dola za Marekani Bendera, ambaye alikuwa ni mgeni
210,114.36 sawa na Shilingi rasmi katika hafla hiyo, alitoa wito kwa
466,453,871.43 kutokana na Wizara ya Nishati na Madini kuwa
mauzo ya madini ya Tanzanite na mpango wa kuongeza thamani
yaliyofanyika katika Mnada wa Pili madini ya vito hapa nchini badala ya
wa Kimataifa wa madini hayo jijini kusafirisha nje ya nchi yakiwa ghafi
Arusha. kwani inapunguza ajira kwa vijana wa
Hayo yalielezwa na Mkurugenzi kitanzania.
wa Kitengo cha Uthamini wa Madini
ya Almasi na Vito kutoka Wizara Fanyeni jitihada hata za
ya Nishati na Madini, Archard kuwashawishi hawa wanunuzi wa
Kalugendo, katika hafla ya kutangaza nje wakishirikiana na wanunuzi wa
washindi wa mnada huo wa Tanzanite ndani kuwekeza hapa nchini katika
uliofanyika katika kituo cha Jemolojia viwanda vya kukata madini ya vito
tarehe 12 Februari, 2017. na kuyangarisha ili kuwaongezea Wadau mbalimbali walioshiriki hafla ya kutangaza washindi wa Mnada
Kalugendo alisema kuwa mrabaha ajira vijana wetu na kuongeza mapato wa Pili wa Kimataifa wa madini ya Tanzanite uliofanyika jijini Arusha.
huo unatokana na jumla ya gramu yanayotokana na fedha za kigeni, Wa kwanza na wa pili kushoto ni wamiliki wa mgodi wa Tanzanite One,
990,039.04 za Tanzanite ghafi kuuzwa alisema Dkt.Bendera. Faisal Shahbhai na Hussein Gonga. Wa tatu kutoka kulia ni Mhasibu
kwa Dola za Marekani 4,202,287.13 Dkt. Bendera pia, aliishauri Wizara Mkuu kutoka Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Beatrice Lupi.
katika mnada huo. Aliongeza kuwa ya Nishati na Madini kuharakisha Mgodi wa Tanzanite One unamilikiwa na kampuni ya Sky Associates
hiyo ni sawa na asilimia 99.9 ya mchakato wa ujenzi wa jengo la kwa ushirikiano na STAMICO, kila moja akiwa na hisa asilimia 50.
madini yote yaliyopelekwa kwa ajili ya madini latika eneo la EPZ, Mererani
mauzo. ili kufanikisha zoezi zima la kuchakata
Aliongeza kuwa kampuni tatu madini karibu na eneo ambako madini
zinazochimba madini ya Tanzanite hayo yanachimbwa
zilizopeleka madini hayo kwa ajili Kuhusu suala la uhaba wa baruti
ya mauzo ni Tanzanite One Mining zinazotumika kuvunjia miamba
Company Ltd, Mathias J Lyatuu migodini, Mkuu wa mkoa wa
Mining na Tanzanite Africa Ltd Manyara aliitaka Wizara ya Nishati
ambapo zilipeleka jumla ya gramu na Madini kuhakikisha kwamba
990,444.04 za madini ghafi kwenye kunakuwa na ushindani wa wauzaji
mnada huo. wa baruti ili kupunguza changamoto
Aidha Kalugendo aliongeza ya upatikanaji wa bidhaa hizo
kuwa kutokana na mauzo hayo ya kutokana na kuwa na wauzaji
Tanzanite, Halmashauri ya Wilaya wachache wa baruti.
ya Simajiro ambako madini hayo Aidha aliipongeza Wizara ya
yanachimbwa, inatarajia kulipwa Nishati na Madini kwa kutambua Viongozi mbalimbali walioshiriki hafla ya kutangaza washindi wa Mnada
shilingi 27,987,232.29 kama kodi ya umuhimu wa kuendeleza mnada wa Pili wa Kimataifa wa madini ya Tanzanite uliofanyika jijini Arusha. Wa
huduma. huo wa madini ya Tanzanite kwa kwanza kushoto Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dkt. Joel Bendera, wa pili
Kalugendo alisema kuwa mara ya pili ambapo hamasa ya ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Prof. James Mdoe,
mnada huo ulihudhuriwa na wadau ushiriki wa mnada huo imeongezeka wa Tatu kushoto ni Mkuu wa wilaya Simanjiro, Zephania Chaula na wa
mbalimbali kutoka ndani na nje ya zaidi na idadi ya wafanyabiashara kwanza kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO, Mhandisi
nchi ambapo Kampuni 68 kutoka nchi imeongezeka. Hamis Komba.
MATUKIO PICHANI
TAHARIRI
STAMICO KUFUFUA MGODI
WA MAKAA YA MAWE-KIWIRA;
NI HABARI NJEMA
Hivi karibuni, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya
Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Balozi Alexander
Muganda alisema kuwa Bodi ya Shirika hilo imejipanga
kufufua uzalishaji wa makaa ya mawe katika Mgodi wa Kiwira
mapema iwezekanavyo ili kuuwezesha mgodi huo kuingiza
mapato kwa Shirika na kuchangia katika maendeleo ya Taifa.
Akihitimisha ziara ya wajumbe wa Bodi mpya ya
STAMICO katika mgodi huo iliyolenga kukagua mazingira na Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo ambaye pia ni Mwenyekiti
kujionea changamoto zilizopo katika kuelekea kuufufua mgodi wa Baraza Kuu la Mawaziri wanaohusika na Madini Afrika kupitia kituo cha
husika, Balozi Muganda alisema kuwa Bodi ya STAMICO AMGC akipokea zawadi kutoka kwa Ibrahim Shaddad ambaye ni Mkurugenzi
iliyoanza kazi rasmi Julai 2016, imetembelea miradi yote Mkuu wa kituo hicho. Ujumbe huo ulimtembelea Waziri katika ofisi yake mkoani
inayoendeshwa moja kwa moja na Shirika au kupitia kampuni Dodoma.
tanzu za shirika hilo ili kuona namna ya kuiendesha miradi hiyo
kwa manufaa na hivyo kuiwezesha STAMICO kujiendesha
kwa faida.
Alitaja gharama za kufufua Mgodi wa Kiwira kuwa ni
Dola za Marekani milioni 7.56, na kueleza kuwa dhamira ya
sasa ya Bodi hiyo ni kuanza uzalishaji wa makaa ya mawe
na kuuza wakati Shirika likiendelea na mipango mingine
ikiwemo kufufua mitambo ya uzalishaji umeme wa megawati 6
utakaounganishwa katika gridi ya Taifa na kusambazwa katika
maeneo mbalimbali ya mikoa ya Songwe na Mbeya.
Alisema kuwa mpango mkubwa wa baadaye wa
STAMICO juu ya Kiwira ni kukuza uzalishaji wa makaa
ya mawe kutoka tani 150,000 za makaa ghafi kwa mwaka
hadi kufikia tani 1,500,000 kwa mwaka hatua ambayo pia
italiwezesha Shirika kuongeza uzalishaji wa umeme kutoka
megawati sita hadi kufikia megawati 200.
Ikumbukwe kuwa mgodi huo ulisimamisha uzalishaji wa
makaa ya mawe mwaka 2008 na uzalishaji wa umeme mwaka
2009, jambo lililopelekea Serikali kuufunga kabisa mgodi huo
mwaka 2012.
Katika vipindi viwili tofauti kati ya mwaka 2014 na 2016, Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo ambaye pia ni mwenyekiti
STAMICO iliunda timu ya wataalam waliofanya tathimini ya wa Baraza kuu la Mawaziri wanaohusika na Madini Afrika kupitia kituo cha
kina juu ya ufufuaji na uzalishaji makaa ya mawe Kiwira katika AMGC (wa tatu kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Ibrahim Shaddad ambaye
mashapo ya Ivogo na Kabulo pamoja na kuanza kwa uzalishaji ni Mkurugenzi Mkuu wa kituo hicho, pamoja na wajumbe kutoka katika kituo
hicho.
umeme.
Pamoja na mambo mengine, timu hiyo ya wataalam
ilitathimini kuhusu hali halisi ya uchakavu wa mitambo,
mgodini, kituo cha umemekinu cha kusafishia makaa ya mawe, KWA HABARI PIGA SIMU Five
magari na makazi. kitengo cha mawasiliano Pillars of
Timu hiyo imebaini kuwa Mgodi wa Kiwira unaweza
Reforms
kuanza uzalishaji wa awali wa tani 150,000 za makaa ghafi kwa
mwaka na megawati sita za umeme kutoka katika kituo chake TEL-2110490
cha uzalishaji umeme kilichomo ndani ya eneo la mgodi.
Akitilia mkazo suala la kufufua mgodi huo, Kaimu FAX-2110389 increase efficiency
MOB-0732999263
Mkurugenzi Mtendaji mpya wa STAMICO, Mhandisi Hamis Quality delivery
Komba, baada ya kutembelea mgodi wa Kiwira alieleza kuwa, of goods/service
ameweza kuujua vizuri Mgodi huo na kupata mwelekeo wa
satisfAction of
kitaaluma wa kinachotakiwa kufanyika katika kuifufua Kiwira. the client
Hakuna pingamizi kuwa, nia hiyo ya Bodi na Uongozi wa Bodi ya uhariri
STAMICO ya kufufua Mgodi wa Kiwira ni habari njema kwa satisfaction of
nchi, kutokana na faida mbalimbali za Mgodi huo ikiwemo Msanifu: Lucas Gordon business partners
kuongeza mapato ya Serikali na kusaidia juhudi za Serikali za Waandishi: Veronica Simba, Asteria Muhozya, Greyson
kuzalisha umeme wa kutosha utakaokidhi mahitaji ya nchi.
Mwase, Teresia Mhagama, Mohamed Saif, Rhoda James , satisfAction of
Nuru Mwasampeta na Zuena Msuya shareholders
Habari za nishati/madini
4 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
M
wenyekiti wa Bodi mazingira ya mgodi wakati Serikali eneo la mgodi Alifafanua Mhandisi na hazina ya mashapo ya tani milioni
ya Wakurugenzi ikiendelea kutafuta ufumbuzi wa Mapamba. 40 -50 ya makaa ya mawe wakati
ya STAMICO kudumu wa kuufufua mgodi huo. Aidha Mhandisi Mapamba Ivogo ina mashapo ya tani milioni
Balozi Alexander Mgodi una wafanyakazi 39 tu kwa aliiomba Bodi ya Wakurugenzi ya 35, alifafanua kitaalam Mhandisi
Muganda amesema sasa baada ya wafanyakazi watatu STAMICO kusaidia kuhakikisha Komba.
kuwa Bodi ya Shirika hilo imejipanga kustaafu na wengine wawili kufariki kuwa mtaji wa ufuaji shughuli za Naye Katibu Tawala wa Wilaya
kufufua uzalishaji wa makaa ya mawe dunia. uzalishaji makaa ya mawe na umeme ya Ileje mkoani Songwe, Mary
katika Mgodi wa Kiwira haraka Mapamba alibainisha kuwa unapatikana kwa wakati muafaka Marco aliiomba Bodi ya STAMICO
iwezekanavyo ili kuuwezesha mgodi katika vipindi viwili tofauti kati ya ili kuokoa kuendelea kuchakaa kwa kuharakisha hatua za ufufuaji Mgodi
huo kuingiza mapato kwa Shirika na mwaka 2014 na 2016 STAMICO mitambo ambayo haijafanya kazi kwa wa uzalishaji makaa ya mawe na
kuchangia katika maendeleo ya Taifa. iliunda timu ya wataalam waliofanya muda mrefu. Umeme - Kiwira ili kuinusuru
Balozi Muganda aliyasema hayo tathmini ya kina juu ya ufufuaji Awali, Kaimu Mkurugenzi
mitambo inayoendelea kuharibika
hivi karibuni wakati akihitimisha uzalishaji makaa ya mawe Kiwira Mtendaji mpya wa STAMICO
katika mashapo ya Ivogo na Kabulo Mhandisi Hamis Komba alisema kwa kutotumika kwa muda mrefu.
ziara ya wajumbe wa Bodi hiyo mpya Mkoa wetu wa Songwe ni
ya STAMICO katika Mgodi wa pamoja na kuanza kwa uzalishaji kuwa baada ya kutembelea mgodi
umeme. wa Kiwira ameweza kuujua vizuri mkoa mpya unaotegemea mapato
Makaa ya Mawe-Kiwira iliyolenga yatokanayo na uvunaji wa rasilimali
ili kukagua mazingira ya mgodi na Pamoja na mambo mengine, timu na kupata mwelekeo wa kitaaluma
kujionea changamoto halisi zilizopo hiyo ya wataalam ilitathmini kuhusu wa kinachotakiwa kufanyika katika ya makaa ya mawe ya Kiwira hivyo
kuelekea hatua za kuufufua mgodi hali halisi ya uchakavu wa mitambo, kuifufua Kiwira tofauti na taarifa basi kufufuliwa kwa mgodi huu
huo. mgodini, kituo cha umemekinu cha za awali alizozisoma kwenye kutaisaida Wilaya ya Ileje kujiongezea
Balozi Muganda alisema kuwa kusafishia makaa ya mawe, magari na makabrasha baada ya kuteuliwa rasmi mapato kupitia kodi zitakazolipwa
Bodi hiyo mpya ya STAMICO makazi. kushika wadhifa huo Januari 3, 2017. na mgodi na hivyo kuchangia kuleta
ambayo imeanza kazi rasmi Julai Timu hiyo imebaini kuwa Mgodi Bodi ya STAMICO imejionea maendeleo ya wilaya na Taifa kwa
2016, imetembelea miradi yote wa Kiwira unaweza kuanza uzalishaji jinsi mgodi ulivyo na kwamba makaa ujumla. Alifafanua Katibu Tawala
inayoendeshwa moja kwa moja wa awali wa tani 150,000 za makaa ya mawe yanavyoweza kupatikana huyo wa Wilaya ya Ileje.
na Shirika au kupitia kampuni
zake tanzu na ili kuona namna ya
kuiendesha miradi hiyo kwa manufaa
na hivyo kuiwezesha STAMICO
kujiendesha kwa faida.
Alisema, kwa kuwa gharama za
kufufua Mgodi wa Kiwira ni kubwa
sawa na Dola za Kimarekani milioni
7.56, dhamira ya sasa ya Bodi ni
kuanza uzalishaji wa makaa ya mawe
na kuuza wakati Shirika likiendelea na
mipango mingine ikiwemo kufufua
mitambo ya uzalishaji umeme wa
megawati 6 utaunganishwa katika
gridi ya Taifa na kusambazwa katika
maeneo mbalimbali ya mikoa ya
Songwe na Mbeya.
Mpango mkubwa wa baadaye
wa STAMICO juu ya Kiwira ni
kukuza uzalishaji wa makaa ya
mawe kutoka tani 150,000 za makaa
ghafi kwa mwaka hadi kufikia tani
1,500,000 kwa mwaka hatua ambayo
pia italiwezesha Shirika kuongeza
uzalishaji wa umeme kutoka
megawati sita hadi kufikia megawati
200 Alifafanua Balozi Muganda.
Awali, Kaimu Meneja Mkuu wa
mgodi Mhandisi Aswile Mpamba
aliieleza Bodi mpya ya STAMICO
kuwa Mgodi huo ulisimama
uzalishaji wa makaa ya mawe mwaka
2008 na uzalishaji wa umeme mwaka
2009, hatua ambayo iliipelekea Mwenyekiti wa Bodi ya STAMICO, Balozi Alexander Muganda (wa tatu kutoka kulia) aliyeambatana na
Serikali kuufunga kabisa mgodi huo baadhi ya Waandishi wa Habari wa mkoa wa Songwe na Mbeya (waliosimama kulia kwake) kwa pamoja
mwaka 2012. wakiuangalia Mlima wa Kabulo ambao ni miongoni mwa maeneo yenye mashapo ya kutosha ya Makaa
Hatua hiyo iliisababisha Serikali ya Mawe kwa ajili ya uvunaji. Wa pili kushoto ni Kaimu Meneja Mkuu wa Mgodi wa Kiwira Mhandisi Aswile
kuajiri wafanyakazi 44 kwa ajili Mapamba.
NewsBulletin 5
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Februari 17 - 23, 2017
STAMIGOLD YAWEZESHA
WATAALAM STAMIGOLD VIKUNDI VYA WAJASIRIAMALI
WAONESHA UBUNIFU KUJIKWAMUA KIUCHUMI
Wajenga bwawa la kipekee la kuhifadhi mabaki Jacqueline Mattowo & kikundi.
ya dhahabu (Tailings Storage Facility Godfrey Francis-STAMIGOLD Kwa upande wake, Mhasibu wa
Kikundi Justina Husein alielezea
M
manufaa mbalimbali tangu
Na Jacqueline Mattowo- haziruhusu kwa namna yeyote ile godi wa kuanzishwa kwa kikundi ikizingatiwa
STAMIGOLD maji au mabaki yanayohifadhiwa
kupenya ardhini na kuharibu
STAMIGOLD wanakikundi wengi hawakuwa na
M
Biharamulo kupitia njia ya uhakika ya kujiingizia kipato
mazingira, alisema Mwinuka. Kitengo chake cha
waka 2015 Idara Kwa upande mwingine Mwinuka ili kujikimu kimaisha. Vilevile ilikuwa
ya Uchenjuaji Mahusiano ya jamii ni ngumu kwa mtu mmoja mmoja
alizitaja faida za ubunifu uliofanywa mwaka 2014 uliwezesha kuanzishwa
katika mgodi wa na kueleza kuwa, ujenzi huo ni wa kuweza kupata soko la uhakika
STAMIGOLD kwa vikundi vya ujasirimali kwa bila kuwa na usajili wa biashara
gharama nafuu ambapo bwawa wakazi wa vijiji vilivyo jirani na mgodi
Biharamulo kwa lililojengwa kwa kutumia mashimo unaotambulika.
kushirikiana na Idara ya Uchimbaji vya Mavota na Mkunkwa lengo Wengi wetu hatukuwa na mtaji
ya zamani gharama zake ni dola za likiwa kusaidia jamii hizo kujikwamua
na Kitengo cha Mazingira ilianza Marekani milioni 1 tofauti na dola wa kutuwezesha kulima mazao mbali
ujenzi wa bwawa la kipekee la kiuchumi na kuondokana na dhana ya
milioni 4.5 ambazo zingetumika mbali au kununua bidhaa nyingi kwa
kuhifadhi mabaki ya dhahabu au kwa kujenga bwawa jipya ambalo kuishi kwa kutegemea kusaidiwa na
lugha ya kitaalam Tailings Storage wakati mmoja lakini kupitia kikundi
halitokani na mashimo ya zamani. mgodi.
Facility (TSF) kwa kutumia moja ya imekuwa ni rahisi kukusanya nguvu
Aidha, kwa mujibu wa Mwinuka, Vikundi hivyo ni pamoja na
mashimo yaliyoachwa (old pit) na kwa pamoja. Vilevile, faida nyingine
ujenzi huo ni rafiki wa mazingira kikundi cha kina Mama Maendeleo
kampuni ya African Barrick Gold Mavota, kikundi cha Jitihada vyote ya kuwa na kikundi ni uwezo wa
ikilinganishwa na ujenzi mwingine kukopesheka katika taasisi za fedha
sasa ACACIA ikiwa ni baada ya kwani ufukiaji wa mashimo kutoka kijiji cha Mavota pamoja na
bwawa la zamani kujaa . kikundi cha Muamko kutoka kijiji kwani kikundi chetu kimesajiliwa
(backfilling) utakuwa rahisi huko kisheria na pia mtaji wetu umekuwa
Meneja wa Idara ya Uchenjuaji baadae (rehabilitation) na vile vile cha Mkunkwa ambapo vikundi vyote
katika mgodi wa Biharamulo kupitia mgodi vilipatiwa mafunzo kutokana na soko la uhakika la bidhaa
ujenzi huo hautaweza kuharibu maji zetu katika mgodi wa Stamigold
Christopher Mwinuka katika yaliyopo ardhini yaani ground water ya ujasiriamali, elimu ya biashara na
mahojiano yaliyofanyika hivi kutokana na mali ghafi zilizotumika namna ya kuendesha kikundi pamoja ambapo tangu tuanze mpaka sasa
karibuni, alieleza kuwa, mara baada katika ujenzi huo. na kusaidiwa kufanikisha usajili hivyo kikundi kimejipatia shilingi za
ya bwawa la zamani lililokuwa Mwinuka alimaliza kwa kitanzania milioni 130 kutokana na
na uwezo wa kupokea mabaki ya kutambulika kisheria mpaka ngazi ya
kuishukuru serikali kwa kuwaamini wilaya. mauzo yaliyofanyika katika vipindi
dhahabu kwa muda wa mwaka Wataalam wa ndani ambao tofauti, alisema Justina.
mmoja kujaa ilitakiwa kujengwa Kitengo cha Mawasiliano
wanafanya kazi kwa mafanikio STAMIGOLD hivi karibuni kilifanya Mbali na mafanikio ya ujumla,
bwawa jipya. makubwa bila kutegemea wataalam wanachama wa kikundi cha
Kwa kutumia wataalam wa ndani mahojiano na viongozi wa kikundi
wa kigeni. cha Kina Mama Maendeleo Mavota Kina Mama Maendeleo Mavota
ya mgodi waliweza kubuni njia Ningependa kuwapongeza wameweza kupata manufaa binafsi
nyingine mbadala baada ya kuona ili kufahamu maendeleo ya kikundi
wafanyakazi wenzangu wa Idara tangu kuanzishwa kwake ikiwemo ikiwemo kuhudumia familia zao kwa
uwezekano wa kutumia moja ya ya Uchenjuaji, Idara ya Uchimbaji
mashimo yaliyokuwa yakichimbwa changamoto zinazowakabili katika kuwatimizia mahitaji yote muhimu
na Kitengo cha Mazingira ambao kufikia malengo waliyojiwekea. kama chakula, malazi, matibabu
dhahabu na kampuni iliyopita kwa pamoja tulishiriki katika kubuni
ambapo shimo linaweza kugeuzwa Mwenyekiti wa Kikundi hicho, na elimu bila kukwama tofauti na
ujenzi wa bwawa hili la kipekee, Genoviva Lucas alibainisha kuwa, walipokuwa hawajajiunga na kikundi
bwawa na kupokea mabaki kwa alieleza Mwinuka.
kipindi cha miaka miwili . wakati kikundi kinaanzishwa mwezi vile vile wengi wa wanachama
Mgodi wa Stamigold wameweza kukuza mitaji ya biashara
Bwawa jipya lililojengwa kwa Biharamulo ni mgodi pekee hapa Julai, 2014, kilikuwa na jumla ya
kutumia mashimo ya zamani wanachama 54 , hivi sasa wanachama zao binafsi hivyo kuweza kutoka katika
nchini unaomilikiwa na Serikali na hatua moja kwenda nyingine.
limejengwa kitaalam na kwa kuzalisha dhahabu chini ya wataalam hai wanaoendelea na kikundi hicho ni
kuzingatia uhifadhi wa mazingira 38 na wote ni wanawake. Kwa upande mwingine Kikundi
wazawa pekee.
hivyo kutumia mali ghafi ambazo Wazo la kuanzisha kikundi cha kina Mama Maendeleo Mavota
lilitokana na mkutano uliofanywa na kinakabiliwa na changamoto
Mwenyekiti wa Kijiji cha Mavota, mbalimbali ikiwemo ya usafiri wa
Nicas Chakupewa ikiwa ni mwitikio kukusanya mazao kutoka mashambani
wa wito uliotolewa na Kitengo cha kabla ya kuandaliwa katika vipimo
Mahusiano ya jamii katika mgodi maalumu kulingana na mahitaji ya
wa Biharamulo ukihimiza wanakijiji mgodi na baadae kupelekwa kuuzwa
kubuni njia mbalimbali za kujikwamua mgodini.
kiuchumi ikiwemo kuanzisha vikundi Kikundi kilibainisha ombi lake
vya ujasiriamali, alieleza Genoviva. kubwa ni mgodi kuongeza oda ya
Genoviva aliongeza kuwa, vitu ili kuongeza mauzo hivyo kukuza
vikundi vyote vilivyoundwa mtaji wa kikundi na kuongeza vipato
vinajihusisha na kilimo ikiwemo vya wanakikundi hivyo kufanikiwa
kikundi cha Kina Mama Maendeleo kujikwamua kiuchumi.
Mavota ambacho huuza mgodini Mgodi wa Stamigold Biharamulo
mbogamboga, matunda, na vyakula umedhamiria kuhakikisha unazijengea
vya asili kama mihogo, maboga, jamii zilizo jirani na mgodi uwezo wa
viazi vitamu na magimbi ambapo kujikwamua kiuchumi ili hata pale
baadhi ya mazao yanalimwa na inapotokea mgodi umemaliza shughuli
wanakikundi na mengine kikundi zake za uchimbaji wanajamii wawe
hununua kwa wanakijiji . Mgodi wa tayari wameondokana na ile dhana ya
Bwawa jipya la kuhifadhi mabaki ya dhahabu (TSF) likiwa katika moja Biharamulo ndio soko kuu la bidhaa kuishi kwa kutegemea kusaidiwa na
ya hatua za ujenzi. zinazozalishwa tangu kuanza kwa mgodi.
Habari za nishati/madini
6 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
W
aliongeza kuwa uwepo wa nishati ya
ananchi katika umeme kupitia kampuni ya Rafiki
Wilaya ya Power umepelekea kuongezeka kwa
Simanjiro kipato kutokana na kuongezeka kwa
mkoani Manyara idadi ya wateja.
wamepongeza Aliiomba kampuni hiyo
kampuni ya kuzalisha umeme kwa kuendelea na juhudi za kusambaza
kutumia nishati ya jua ya Rafiki umeme katika maeneo mengi
Power iliyopo chini ya kampuni ambayo hayajafikiwa na huduma ya
tanzu ya E.ON ya Ujerumani, umeme ili kukuza uchumi wa wilaya
kwa kuwapatia huduma ya umeme na mkoa kwa ujumla.
iliyopelekea kukua kwa maendeleo Wakati huohuo, akizungumza Mmiliki wa mgahawa ulionufaika na huduma ya umeme jua kupitia
katika wilaya hiyo. katika ziara hiyo Meneja Mkuu wa kampuni ya Rafiki Power, Thadeo Bura (kushoto) akielezea manufaa
Waliyasema hayo hivi karibuni Kampuni ya Rafiki Power, Joanis ya mradi katika ziara ya wataalam wa Nishati Jadidifu kutoka Wizara ya
katika ziara ya wataalam wa nishati Holzigel alisema kuwa kampuni yake Nishati na Madini katika wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara kwa ajili ya
jadidifu kutoka Wizara ya Nishati inatarajia kuongeza uzalishaji wa ukaguzi wa miradi ya umeme.
na Madini katika miradi ya umeme umeme ambapo kaya 20,000 nchi
mkoani Manyara yenye lengo la nzima zinatarajiwa kunufaika na
kuangalia utekelezaji wa miradi ya huduma ya umeme ifikapo mwaka
umeme, changamoto zake na kutoa 2022.
ushauri wa kitaalam. Alisema kwa kutambua umuhimu
Akizungumza kwa niaba ya wa nishati ya umeme katika uchumi
wenzake katika kijiji cha Komolo wa viwanda utakaopelekea Tanzania
kilichopo wilayani Simanjiro mkoani kuwa kwenye orodha ya nchi za
Manyara, Thadeo Bura ambaye kipato cha kati ifikapo mwaka 2025,
ni mmiliki wa duka la vifaa vidogo kampuni yake imeweka mipango ya
vya umeme jua na bidhaa nyingine, muda mfupi na muda mrefu ambapo
alisema kabla ya kampuni ya Rafiki inatarajia kufikia wateja 20,000
Power kuwekeza katika kijiji hicho ifikapo mwaka 2022.
maisha yalikuwa ni magumu Akitaja miradi inayotekelezwa
kwa kuwa hakukua na nishati ya na kampuni yake, Meneja Holzigel
alisema kwa Mkoa wa Arusha Moja ya mgahawa ulionufaika na huduma ya Umeme Jua kupitia
kuwawezesha kuanzisha miradi
kampuni yake ina miradi minne kampuni ya Rafiki Power kilichopo katika kijiji cha Komolo wilayani
midogo midogo.
katika maeneo ya Digodigo, Simanjiro mkoani Manyara.
Alisema mara baada ya kupata
umeme kupitia kampuni ya Rafiki Soitsambu, Ololosokowani, na
Power, ameweza kuanzisha duka kwa Malambo yaliyopo wilayani Mmiliki wa mgahawa
ajili ya vifaa vidogo vya umeme jua, Ngorongoro na miradi mingine wa chakula ambaye ni
bidhaa nyingine na kutoa huduma miwili iliyopo katika maeneo ya mmoja wa wanufaika
nyingine kwa wanakijiji wenzake. Itaswi na Kwamtoro wilayani wa huduma ya umeme
Alisema huduma ya umeme Kondoa, mkoani Dodoma. jua kupitia kampuni ya
imewekwa kwenye baadhi ya shule Aliongeza kuwa, mradi mwingine Rafiki Power akionesha
na hospitali hivyo kuboresha huduma mmoja unaotekelezwa na kampuni jokofu linalotumia nishati
za jamii. hiyo ni wa Komolo/Temeke, uliopo hiyo katika ziara ya
Simanjiro mkoani Manyara. wataalam wa Nishati
Jadidifu kutoka Wizara
ya Nishati na Madini
katika wilaya ya Simanjiro
mkoani Manyara kwa ajili
ya ukaguzi wa miradi ya
umeme.
Mmiliki wa mgahawa
ulionufaika na huduma
ya umeme jua kupitia
kampuni ya Rafiki Power,
Thadeo Bura akielezea
matumizi ya compressor
inayotumia nishati ya jua
kwa matumizi mbalimbali,
katika ziara ya wataalam
Meneja Mkuu wa kampuni ya kuzalisha umeme kwa kutumia nishati ya wa nishati jadidifu kutoka
jua ya Rafiki Power, Joanis Holzigel (kushoto) akibadilishana mawazo Wizara ya Nishati na
na Mtaalam wa Nishati Jadidifu kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Madini katika wilaya
Mhandisi Emillian Nyanda (kulia) katika ziara ya wataalam wa nishati ya Simanjiro mkoani
jadidifu kutoka Wizarani katika wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara Manyara kwa ajili ya
kwa ajili ya ukaguzi wa miradi ya umeme. ukaguzi wa miradi ya
umeme.
NewsBulletin 7
http://www.mem.go.tz
Habari za nishati/madini
Februari 17 - 23, 2017
W
akala wa
Jiolojia
Tanzania
(GST)
ulitembelewa na kikundi
maalum cha Madini Kongane
(Mining Cluster) cha mkoani
Morogoro kilichofanya ziara ya
siku moja kwa lengo la kupata
elimu ya utambuzi madini,
ukataji wa mawe, na miamba
pamoja na kujifunza juu ya
uchoraji wa ramani za madini
na utunzaji wa kumbukumbu
za sayansi ya madini
(Jiosayansi).
Akizungumza na MEM
Bulletin mwenyekiti wa
kikundi hicho, Mhandisi
Schola Mandwa alisema
kuwa wamekuwa wakitafuta Wawakilishi kutoka kikundi cha Madini Kongane cha mkoani Morogoro wakipata maelezo kutoka Mtalaam wa
taasisi ya madini yenye uzoefu uchoraji wa Ramani za Madini kutoka GST, Sara Mwangosi (kulia). Wawakilishi hao walifika katika ofisi za GST
na utendaji mkubwa wenye kwa ajili ya ziara maalum ya mafunzo ya sayansi ya Madini.
vifaa vya kisasa wakagundua
kuwa GST ni sehemu sahihi Sambamba na hayo cha Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo kutengeneza mfumo bora wa masoko
wanayoweza kufanya ziara ya walieleza kuwa wamejifunza Tanzania (TCCIA ) na wanachama wote baina ya GST na TCCIA katika sekta
mafunzo na kupata elimu nzuri na kujionea jinsi ramani za wa kikundi cha madini kongane mkoani nzima ya madini.
ya sekta nzima ya madini. madini zinavyochorwa na Morogoro, kwa sababu baada ya ziara Madini Kongane (Mining Cluster) ni
Martha alieleza kuwa kuchapishwa katika Idara ya hii sisi tutakuwa mabalozi wazuri juu ya kikundi maalum cha wachimbaji wadogo
katika ziara hiyo wamejifunza uchoraji ramani na utunzaji wa utendaji kazi wa GST, kwa wachimbaji wa madini waliounganishwa na chama
vitu vingi akitolea mfano taarifa za jiosayansi pamoja wadogo wa madini mkoani Morogoro na cha Wafanyabiashara, viwanda na kilimo
kuwa wameweza kujua njia na kutembelea makumbusho viunga vyake.
sahihi za uchimbaji madini Tanzania (TCCIA) kikiwa na majukumu
ya madini, mawe na miamba
katika mwamba unaozunguka kwa lengo la kujua historia ya Martha aliongeza kuwa kikundi cha mbalimbali kama vile kutafuta wadau
eneo husika, jinsi mashine madini nchini. Madini Kongane kipo katika mpango wa muhimu wa kuhamasisha na kuelimisha
zinavyoweza kutambua Kwa upande wake, Martha kuanzisha viwanda vidogo vya malighafi wachimbaji wadogo ili wawe katika
viashiria vya uwepo wa madini Bitwale ambaye ni muangalizi madini kama vile chaki, vikombe pamoja mfumo rasmi utakaowawezesha kuwa na
mbalimbali katika mwamba, na muwezeshaji wa kikundi na kufungua kiwanda cha uchimbaji vigezo mtambuka vya kukopesheka katika
vifaa vya kisasa vya upimaji, aliyeongozana na wajumbe kokoto, ukataji madini ya vito pamoja na taasisi za fedha na kutengeneza mfumo
ukataji wa miamba, madini wengine alisema kuwa ziara kupanua soko la madini ya viwandani. bora wa masoko na kuwaunganisha baina
pamoja na njia za kisasa za hiyo itaongeza ushirikiano Pamoja na haya yote kikundi cha ya wachimbaji wadogo na TCCIA katika
ungarishaji mawe ya nakshi. mzuri baina ya GST, Chama Madini Kongane kina mpango wa mkoa wa Morogoro
8 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
TUMEHAMIA DODOMA
K
atibu Mkuu wa Wizara la Umeme Tanzania (TANESCO)
ya Nishati na Madini, ili Shirika hilo liweze kujiendesha
Profesa Justin Ntalikwa lenyewe kwa ufanisi pamoja
tarehe 16 Februari, 2017 uendelezaji wa miradi ya uzalishaji,
amekutana na Ujumbe usafirishaji na usambazaji wa umeme.
kutoka Ubalozi wa Uingereza nchini Profesa Ntalikwa pia aliueleza
Tanzania ukiongozwa na Balozi, Ujumbe huo kuhusu mipango
Sarah Cooke, aliyeambatana na inayofanywa na Serikali ya kuendeleza
Mwakilishi wa Waziri Mkuu wa miradi mbalimbali ya umeme ikiwemo
Uingereza anayehusika na masuala ya uandaaji wa kabrasha litakaloainisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Justin Ntalikwa
Biashara nchini Kenya na Tanzania, miradi yote ya umeme inayohitaji (kulia) akimsikiliza Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Sarah Cooke,
Lord Hollick na Mshauri wa Hali ya wawekezaji. (kushoto) aliyeambatana Mwakilishi wa Waziri Mkuu wa Uingereza
Hewa na Mazingira, Alisema kuwa kabrasha hilo anayehusika na masuala ya Biashara nchini Kenya na Tanzania, Lord
Hollick (katikati). kikao kilifanyika katika Ofisi za Wizara ya Nishati na
Madini jijini Dar es Salaam.
M
wilaya wa Simanjiro, Zephania
bunge wa Simanjiro Chaula, pamoja na kupongeza mnada
Mhe. James Millya, huo, aliwataka wachimbaji wote wa
ameipongeza Serikali madini ya Tanzanite kulipa mirabaha
kwa kuweka utaratibu na kodi mbalimbali za serikali zilizopo
wa kuwa na minada kisheria.
ya kimataifa ya madini ya Tanzanite Alitoa onyo kuwa endapo
mkoani Arusha inayotoa fursa ya hawatalipa kodi hizo hatua za kisheria
kuwakutanisha wachimbaji wa ndani juu yao.
wa madini na wanunuzi wa ndani na Aidha katika kikao cha
nje ya Tanzania. majumuisho, Naibu Katibu Mkuu
Millya alitoa pongezi hizo wakati wa Wizara ya Nishati na Madini
wa Mnada wa Pili wa Kimataifa wa anayeshughulikia Madini, Profesa
Madini ya Tanzanite uliofanyika jijini James Mdoe, alikipongeza Kitengo
Arusha kuanzia Februari 9 hadi 12, cha Uongezaji Thamani Madini ya
2017. Mbunge wa Simanjiro, James Millya akizungumza katika hafla ya Almasi na Vito (TANSORT) pamoja
Aidha alishauri kuwepo kwa kutangaza washindi wa mnada wa Tanzanite uliofanyika katika kituo
cha Jemolojia jijini Arusha tarehe 12 Februari, 2017. na watumishi wote wa Wizara ya
minada ya madini ya Tanzanite Nishati na Madini waliofanikisha
ya ndani itakayokutanisha wauzaji utawasaidia wachimbaji wadogo na kipaumbele kwa kuwa madini hayo mnada huo ambao unaongeza mapato
na wanunuaji wa ndani ili na wao wao kupata bei halisi zinazoendana yanapatikana katika eneo hilo pekee ya Serikali.
washindane wenyewe kwa wenyewe na soko na hivyo kuwaepusha na duniani, alisema Millya. Profesa Mdoe alisema juhudi
kabla ya kuwafikia wafanyabiasha walanguzi wa madini hayo. Aidha alishauri kuwa minada hiyo zilizofanyika za kuweka utaratibu wa
wakubwa na mataifa ya kigeni. Pamoja na kutaka Dunia yote ifanyike wilayani Simanjiro ili wale Mnada wa Kimataifa wa Tanzanite
Alisema kuwa utaratibu huo wa itumie madini ya Tanzanite ni vyema wakazi wa eneo hilo wanufaike na utaiingizia Serikali mrabaha wa
kuwa na minada katika hatua za awali pia maslahi ya wanaSimanjiro yapewe minada hiyo. shilingi 466,453,871.43.
Habari za nishati/madini
10 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
B
John Heche, Mbunge wa
aadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Tarime Vijijini (CHADEMA),(wa
Kudumu ya Bunge ya Nishati na pili kulia), Mhe. Mwantakaje
Madini na Mbunge wa Simanjiro, Juma Mbunge wa Bububu
(CCM) (wa pili kushoto) na
James Millya, walifanya ziara katika Mbunge wa Simanjiro, Mhe.
baadhi ya maduka yanayouza James Millya (wa kwanza
madini ya Tanzanite jijini Arusha ili kujionea kulia) wakiwa ndani ya Mgodi
shughuli za biashara na uongezaji thamani wa wa mfano wa Tanzanite
madini hayo zinavyofanyika. uliopo ndani ya duka la The
Tanzanite Experience jijini
Ziara hiyo ni moja ya majukumu waliyopanga Arusha. Mgodi huo hutumika
kuyafanya jijini Arusha, jukumu kuu likiwa ni kutoa elimu kwa wageni
kushuhudia jinsi Mnada wa Pili wa Kimataifa wa mbalimbali kuhusu shughuli za
Madini ya Tanzanite unavyofanyika katika kituo uchimbaji wa Tanzanite. Wa
kwanza kushoto ni Kamishna
cha Jemolojia jijini Arusha. Msaidizi wa Madini, Kanda ya
Moja ya duka lililotembelewa na Wabunge Kaskazini, Adam Juma.
hao ni The Tanzanite Experience ambalo
hujishughulisha na kukata Tanzanite ili kuiweka Mbunge wa Simanjiro, Mhe.
katika maumbo mbalimbali na kuingarisha. James Millya (wa nne kulia)
na Baadhi ya Wajumbe
Duka la The Tanzanite Experience pia hutoa wa Kamati ya Kudumu ya
elimu bure kwa wanafunzi na wageni mbalimbali Bunge ya Nishati na Madini,
kuhusu madini ya Tanzanite ikiwemo historia Mhe. Dunstan Kitandula,
yake. Mbunge wa Mkinga
Ndani ya duka hilo pia kumejengwa mgodi (CCM), (wa pili kulia), Mhe.
Mwantakaje Juma Mbunge
wa mfano wa Tanzanite ambao hutumika kutoa wa Bububu (CCM) (wa Tatu
elimu kwa wageni mbalimbali kuhusu shughuli kulia) na wakipata maelezo
za uchimbaji wa Tanzanite. kuhusu biashara ya
Baadhi ya Wajumbe waliofanya ziara hiyo Tanzanite ndani ya duka la
The Tanzanite Experience
ni pamoja na Mhe. John Heche, Mbunge wa jijini Arusha. Anayetoa
Tarime Vijijini (CHADEMA), Mhe. Mwantakaje maelezo ni Mkurugenzi
Juma Mbunge wa Bububu (CCM) na Mhe. Mtendaji wa kampuni hiyo,
Dunstan Kitandula Mbunge wa Mkinga (CCM). Hasnain Sajan. Wa kwanza
kushoto ni Kamishna
ziara ilifanyika tarehe 11 Februari, 2017. Msaidizi wa Madini, Kanda
ya Kaskazini, Adam Juma.
I
meelezwa kuwa jumla ya Akizungumzia mafanikio ya
wanawake 47 wamehitimu kituo hicho, Mpesa alisema kuwa
mafunzo ya ukataji na mbali ya kusaidia wanawake hao
ungarishaji wa madini ya kupata mafunzo yatakayowasaida
vito yanayotolewa na Kituo kujiajiri au kuajiriwa, Kituo hicho
cha Jemolojia jijini Arusha ambacho ni cha pekee Afrika Mashariki
kipo chini ya Wizara ya Nishati na kinachoendeleza taaluma ya
Madini. uongezaji thamani madini ya vito na
Hayo yalisemwa jijini Arusha miamba.
na Kaimu Mratibu wa Kituo hicho, Kuhusu mipango ya kuendeleza
Erick Mpesa wakati wa Mnada wa Chuo hicho alisema kuwa, Chuo Mmoja wa wanafunzi katika Kituo cha Jemolojia Arusha, Zuwena Mtoo,
Pili wa Kimataifa wa Madini ya kimepanga kutoa mafunzo ya akionesha utaalam wa kukata na kungarisha madini ya Vito, baada ya
Tanzanite uliofanyika jijini Arusha muda mrefu kwa ngazi ya diploma kupata mafunzo katika Kituo hicho kilicho chini ya Wizara ya Nishati
katika Kituo hicho. ambapo mitaala ya kozi mbalimbali na Madini.
Mpesa alisema kuwa mafunzo za taaluma ya vito na usonara
hayo yalianza kutolewa mwaka 2014 imeandaliwa na kuwasilishwa katika
ambapo katika Awamu ya kwanza Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
wanafunzi 15 walihitimu, Awamu (NACTE) ambapo mchakato wa Samadu Mohamed,
ya Pili walihitimu wanafunzi 14 ithibati na usajili unaendelea. kutoka Kituo
na Awamu ya Tatu walihitimu Kwa upande wake Mkufunzi cha Jemolojia
wanafunzi 18. Msaidizi wa TGC, Lilian Petro, Arusha, akionesha
Mafunzo haya hutolewa kwa alisema kuwa mafunzo hayo moja ya vinyago
muda wa miezi Saba ambapo husaidia wanafunzi hao kutambua vinavyotokana
Wanafunzi hawa ambao huwa madini ya aina mbalimbali, kuyakata na miamba
na umri wa chini ya miaka 30 na kufahamu thamani ya madini vinavyotengenezwa
wanafadhiliwa na Mfuko wa husika. katika kituo hicho.
Kuwaendeleza Wanawake chini ya Aidha Lilian, Alitoa ushauri
Kamati ya Maonesho ya Vito ya kwa wanawake mbalimbali nchini
Arusha (AGF) na Wizara ya Nishati kujiunga katika fani hiyo ya ukataji
na Madini, alisema Mpesa. na ungarishaji wa madini ya vito
Mratibu wa TGC aliongeza kwa kuwa inamsaidia mtu kujiajiri
kuwa Kituo hicho pia kinaendesha kwa kuanzisha vituo vya ungarishaji
shughuli za uchongaji wa mawe ya wa madini ya vito ndani ya nchi na
miamba kwa kutengeneza vinyago pia kuajiriwa. Kaimu Mratibu wa
Kituo Jemolojia
kilichopo jijini Arusha,
Erick Mpesa.
12 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Mkurugenzi wa Kitengo cha Uthamini wa Madini ya Almasi na Vito, Wizara Mkurugenzi wa Kitengo cha Uthamini wa Madini ya Almasi na Vito,
ya Nishati na Madini, Archard Kalugendo (wa kwanza kulia) akizungumza Wizara ya Nishati na Madini, Archard Kalugendo (mwenye shati
na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini la Kitenge) akionesha baadhi ya madini ya Tanzanite yaliyokuwa
waliotembelea Mnada wa pili wa kimataifa wa madini ya Tanzanite yakiuzwa wakati wa mnada wa Pili wa Kimataifa wa Madini ya
uliofanyika jijini Arusha. Wa kwanza kushoto ni Mbunge wa Tarime Vijijini, Tanzanite jijini Arusha. Wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya
Mhe. John Heche na katikati Mbunge wa Viti Maalum, Catherine Magige. Wakurugenzi ya STAMICO, Balozi Alexander Muganda.
14 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (katikati) Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (katikati)
akisaini Leseni ya uchimbaji wa kati wa Madini ya Kinywe (Graphite) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wakuu wa kampuni ya
yatakayochimbwa kwa kipindi cha miaka Kumi katika eneo la Chilalo Ngwena Tanzania Limited, kushoto ni Meneja Biashara wa Tawi la
wilaya ya Nachingwea na Ruangwa katika Mgodi wa Ngwena Tanzania Tanzania, Stuart Mc Kenzie na kulia ni Dk. K.E Kawishe, Meneja Mkuu
Limited. Hafla hiyo ya utiliaji saini ilifanyika katika ofisi za Wizara mkoani wa kampuni ya Ngwena Tanzania Ltd wakiwa wameshika leseni ya
Dodoma , wanaoshuhudia ni watendaji kutoka Wizara ya Nishati na uchimbaji wa kati wa Madini ya Kinywe (Graphite). Hafla ya utiliaji saini
Madini pamoja na watendaji wa kampuni ya Ngwena Tanzania Limited. ilifanyika katika ofisi za wizara ya Nishati na Madini mkoani Dodoma.
Waziri wa Nishati
na Madini, Profesa
Sospeter Muhongo
(katikati) akiwa
katika picha ya
pamoja na viongozi
wa Wizara ya Nishati
na Madini pamoja
uongozi wa kampuni
ya Ngwena Tanzania
Limited, mara baada
ya kuweka saini
katika leseni ya
uchimbaji wa kati
wa madini ya Kinywe
(Graphite), katika
ofisi za Wizara
mkoani Dodoma.
Habari za nishati/madini
16 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
By Eng.Gilay Shamika
Engineer & Gemologist TMAA
Email: gshamika@tmaa.go.tz
Phone: +255 762 715 762
18 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
ADVERTISEMENT FOR
ADVERTISEMENT FOR APPOINTMENT OF CHAIRPERSON AND DIRECTORS
TO BOARD OF DIRECTORS OF THE TANZANIA
INTERNATIONAL PETROLEUM RESERVES (TIPER)
APPOINTMENT OF CHAIRPERSON AND
DIRECTORS TO BOARD OF DIRECTORS OF THE
PUMA ENERGY 16th FEBRUARY 2017
The Ministry of Energy and Minerals (MEM) of the Government of the United
16th FEBRUARY 2017 Republic of Tanzania as mandated under the Public Corporations Act and,
in that on behalf of the Shareholder of Tanzania International Petroleum
The Ministry of Energy and Minerals (MEM) of the Government of the United
Republic of Tanzania as mandated under the Public Corporations Act and, in Reserves (TIPER), hereby invites qualified competent Tanzanians to apply for
that on behalf of the Shareholder of PUMA Energy, hereby invites qualified consideration to the appointment as Chairperson and Directors to the Board
competent Tanzanians to apply for consideration to the appointment as of Directors TIPER.
Chairperson and Directors to the Board of Directors PUMA Energy.
Qualification/Qualities of Individuals to be appointed as Chairperson and
Qualification/Qualities of Individuals to be appointed as Chairperson and Members of the Board of Directors
Members of the Board of Directors
MEM therefore desires that the Board of Directors of TIPER shall be composed of
MEM therefore desires that the Board of Directors of PUMA Energy shall be individuals who have demonstrated significant achievements in their respective
composed of individuals who have demonstrated significant achievements in professional careers in business management and their service in either public
their respective professional careers in business management and their service or private sector, or both.
in either public or private sector, or both.
In light of Government policies and priorities on one hand, and the Companys
In light of Government policies and priorities on one hand, and the Companys Mission and Vision on the other hand, the individuals are expected to possess
Mission and Vision on the other hand, the individuals are expected to possess qualifications; qualities and experience that will add value in the energy sector
qualifications, qualities and experience that will add value in the energy sector and the petroleum sub-sector in particular. Specifically, the following qualities
and the petroleum sub-sector in particular. Specifically, the following qualities are considered desirable to any candidate aspiring to become Chairperson or
are considered desirable to any candidate aspiring to become Chairperson or Member of the Board of Directors of TIPER:
Member of the Board of Directors of PUMA Energy:
a) Citizen of Tanzania and graduate of accredited University;
a) Citizen of Tanzania and graduate of accredited University;
b) Person of moral character, proven integrity, and professional
b) Person of moral character, proven integrity, and professional competence;
competence;
c) At least ten (10) years experience in petroleum geosciences or
c) At least ten (10) years experience in petroleum geosciences or engineering; health, safety and environment maters; law; business
engineering; health, safety and environment maters; law; business administration and management; finance; economics or chemical
administration and management; finance; economics; chemical processing or refinery engineering;
processing or refinery engineering;
d) Knowledge of the petroleum industry and regulation in different fields
d) Knowledge of the petroleum industry and regulation in different fields of the economy;
of the economy;
e) No conflict of interest with the Authoritys activities; and
e) No conflict of interest with the Authoritys activities; and
f) Available for service as and when required. f) Available for service as and when required.
Applications from suitable candidates enclosing certified copies of relevant Applications from suitable candidates enclosing certified copies of relevant
certificates and Curriculum Vitae (CV) should reach the undersigned within certificates and Curriculum Vitae (CV) should reach the undersigned within
seven (7) days from the date of this advertisement. The CV should include seven (7) days from the date of this advertisement. The CV should include
names, addresses, and contact telephone numbers and e-mails of three names, addresses, and contact telephone numbers and e-mails of three
references. The envelope should be marked on toAPPOINTMENT AS references. The envelope should be marked on toAPPOINTMENT AS
CHAIRPERSON OR MEMBER OF DIRECTORS TO THE BOARD OF DIRECTORS OF CHAIRPERSON OR MEMBER OF DIRECTORS TO THE BOARD OF DIRECTORS OF
PUMA TIPER
Wachimbaji 13 waliokolewa tarehe hiyo hiyo 13 Februari, 2017 wakiwa hai na kupelekwa katika Hospitali
ya Wilaya ya Butiama kwa matibabu. Zoezi la kutafuta wachimbaji wengine liliendelea ambapo tarehe 14
Februari, 2017 maiti mbili zilipatikana katika shimo hilo. Juhudi zaidi zinaendelea kutafuta wachimbaji
wengine waliobaki ambapo Uongozi wa Wilaya ya Musoma kupitia Kamati ya Ulinzi na Usalama pamoja
na Wizara ya Nishati na Madini kupitia Ofisi ya Madini Musoma kwa kushirikiana na Mgodi wa North
Mara na Wachimbaji wadogo wanaendelea na zoezi la uokoaji. Juhudi za kufukua shimo lililoporomoka pia
zinaendelea ili kuona kama kuna watu zaidi katika shimo hilo. Mgodi wa North Mara umetoa msaada wa
mashine ya kuvuta maji na tope ili kuwezesha zoezi la ufukuaji kuendelea.
Wizara ya Nishati na Madini inachukua fursa hii kuwatangazia Wananchi wote kuwa shughuli za Utafutaji,
Uchimbaji na biashara au shughuli yoyote ya madini zinatakiwa zifanyike kwa kuzingatia Sheria ya Madini
ya Mwaka 2010. Kwa maana hiyo, lazima shughuli hizo zifanywe na wamiliki wa leseni na vibali halali
vinavyotolewa kwa mujibu wa sheria hiyo. Kwa kufanya hivyo, itawezesha wataalam wa Wizara ya Nishati
na madini kufanya ukaguzi ili kuhakikisha kuwa shughuli hizo zinafanyika inavyotakiwa ikiwa ni pamoja na
usalama katika shughuli za uchimbaji.
Tunatoa wito kwa Wananchi wote ikiwa ni pamoja na wachimbaji wadogo kuacha tabia ya kuvamia maeneo
na kuendesha uchimbaji katika eneo lolote bila kumiliki leseni kwa mujibu wa Sheria ya Madini ya Mwaka
2010.
Imetolewa na;
KATIBU MKUU
WIZARA YA NISHATI NA MADINI
Habari za nishati/madini
20 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz