Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 1

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA

KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO

Simu ya Upepo : N G O M E Makao Makuu ya Jeshi,


Simu ya Mdomo : DSM 22150463 Sanduku la Posta 9203,
Telex : 41051 DAR ES SALAAM, 03
Machi 2017
Tele Fax : 2153426
Barua pepe : ulinzimagazine@yahoo.co.uk
Tovuti : www.tpdf.mil.tz

Wito wa Vyombo vya Habari

Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Tanzania


Mhe:Dkt John Pombe Joseph Magufuli anatarajia kuzindua uwanja
wa ndege vita wa JWTZ Ngerengere Mkoani Morogoro tarehe 06
Machi 2017.
Hafla ya uzinduzi huo inatarajiwa kufanyika kuanzia Saa Mbili
kamili asubuhi (2:00) katika uwanja wa ndege vita Ngerengere.

Inaombwa Chombo chako kwa kutumia wawakilishi waliopo


mkoani Morogoro kufika kwa ajili ya kufanya Coverage katika
tukio hili muhimu kwa ujenzi wa Taifa.

Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Mahusiano


Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
S.L.P 9203, Dar es Salaam, Tanzania.
Kwa Mawasiliano zaidi: 0756-716085

You might also like