Ratiba Ya Bunge April 4

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 6

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

BUNGE LA TANZANIA

MKUTANO WA SABA (7) BAJETI

RATIBA YA MKUTANO WA BAJETI


TAREHE 04 APRILI, 2017 HADI 30 JUNI, 2017

OFISI YA BUNGE
3 APRILI, 2017
RATIBA YA MKUTANO WA SABA (7) WA BUNGE LA BAJETI
TAREHE 04 APRILI, 2017 HADI 30 JUNI, 2017

SN SIKU/TAREHE SHUGHULI IDADI YA


SIKU
1. JUMANNE
04/04/2017 (i) Kiapo cha Uaminifu
(ii) Maswali

(iii) Uchaguzi wa Wabunge wa Bunge la Nne la Siku 1


Afrika Mashariki

v Majumuisho kati ya Kamati ya Bajeti


na Serikali[Kanuni ya 98(4)]

2. JUMATANO
05/04/2017 (i) Maswali

v Majumuisho kati ya Kamati ya Bajeti


na Serikali[Kanuni ya 98(4)]
Siku 1
Saa 10.00 Jioni (ii) Kikao cha Kamati ya Uongozi kupokea
Taarifa ya Kamati ya Bajeti juu ya
Mashauriano na Serikali [Kanuni ya 98(5)]

3. ALHAMISI (i) Maswali


06/04/2017
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI Siku 1
MKUU

4. IJUMAA MAPUMZIKO /KUMBUKUMBU YA KARUME


07/04/2017

5. JUMAMOSI JUMAPILI MAPUMZIKO


08/04/2017 09/04/2017
6. JUMATATU ALHAMISI (i) Maswali
10/04/2017- 13/04/2017
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI Siku 4
MKUU

7. IJUMAA MAPUMZIKO /IJUMAA KUU


14/04/2017
8. JUMAMOSI JUMAPILI MAPUMZIKO/PASAKA
15/04/2017- 16/04/2017
9. JUMATATU MAPUMZIKO /JUMATATU YA PASAKA
17/04/2017

2
10. JUMANNE - IJUMAA (i) Maswali
18/04/2017 - 21/04/2017
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA RAIS:
Siku 4
TAMISEMI

UTUMISHI NA UTAWALA BORA

11. JUMAMOSI MAAZIMIO Siku 1


22/04/2017
12. JUMATATU (i) Maswali
24/04/2017
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA Siku 1
MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO NA
MAZINGIRA)

13. JUMANNE (i) Maswali


25/04/2017
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA KATIBA Siku 1
NA SHERIA
14. JUMATANO MAPUMZIKO /SIKUKUU YA MUUNGANO
26/04/2017
15. ALHAMISI - IJUMAA (i) Maswali
27/04/2017 28/04/2017
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA Siku 2
UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO

16. JUMAMOSI JUMAPILI MAPUMZIKO


29/04/2017 30/04/2017
17. JUMATATU MAPUMZIKO /SIKUKUU YA
01/05/2017 WAFANYAKAZI
18. JUMANNE (i) Maswali
02/05/2017
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA Siku 1
UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO
19. JUMATANO - ALHAMISI (i) Maswali
03/05/2017 - 04/05/2017
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA AFYA, Siku 2
MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE
NA WATOTO

20. IJUMAA (i) Maswali


05/05/2016
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA HABARI, Siku 1
UTAMADUNI, WASANII NA MICHEZO

3
21. JUMAMOSI JUMAPILI MAPUMZIKO
06/05/2017 07/05/2017
22. JUMATATU (i) Maswali
08/05/2017
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA HABARI, Siku 1
UTAMADUNI, WASANII NA MICHEZO
23. JUMANNE (i) Maswali
09/05/2017
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA Siku 1
MAMBO YA NDANI YA NCHI
24. JUMATANO IJUMAA (i) Maswali
10/05/2017 12/05/2017
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAJI Siku 3
NA UMWAGILIAJI
25. JUMATATU - JUMANNE (i) Maswali
15/05/2017 - 16/05/2017
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA Siku 2
ELIMU, SAYANSI, TEKNOLOJIA NA
UFUNDI
26. JUMATANO (i) Maswali
17/05/2017
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA Siku 1
ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA

27. ALHAMISI - IJUMAA (i) Maswali


18/05/2017 - 19/05/2017
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA Siku 2
VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI

28. JUMATATU - JUMATANO (i) Maswali


22/05/2017 - 24/05/2017
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA Siku 3
KILIMO, MIFUGO NA UVUVI.

29. ALHAMISI - IJUMAA (i) Maswali


25/05/2017 -26/05/2017
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA Siku 2
MALIASILI NA UTALII

30. JUMATATU - JUMANNE (i) Maswali


29/05/2017 30/05/2017
(ii) HOTUBA YA WIZARA YA NISHATI NA Siku 2
MADINI

31. JUMATANO - ALHAMISI (i) Maswali


31/05/2017 - 01/06/2017
(ii) HOTUBA YA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA Siku 2
NA MAENDELEO YA MAKAZI

4
32. IJUMAA (i) Maswali
02/06/2017
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA Siku 1
MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA
AFRIKA MASHARIKI

33. JUMATATU - JUMANNE (i) Maswali


05/06/2017 06/06/2017
(ii) HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA Siku 2
NA MIPANGO

34. JUMATANO - IJUMAA (i) Maswali


07/06/2017 - 09/06/2017
(ii) Serikali kwa kushauriana na Kamati
ya Bajeti Kufanya Majumuisho Siku 3
kuzingatia Hoja zenye Maslahi kwa
Taifa zilizojitokeza wakati wa kujadili
Bajeti za Wizara.

35. JUMAMOSI JUMAPILI MAPUMZIKO


10/05/2017 11/05/2017

36. JUMATATU - JUMATANO (i) Maswali


12/06/2017 - 14/06/2017
(ii) Serikali kwa kushauriana na Kamati
ya Bajeti Kufanya Majumuisho Siku 3
kuzingatia Hoja zenye Maslahi kwa
Taifa zilizojitokeza wakati wa kujadili
Bajeti za Wizara.

37. ALHAMISI
15/06/2017 (i) Maswali
Saa 4:30 Asubuhi (ii) WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO
KUSOMA TAARIFA YA HALI YA Siku 1
UCHUMI
Saa 10:00 Jioni
(iii) WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO
KUSOMA HOTUBA YA BAJETI YA
SERIKALI

38. IJUMAA Wabunge Kusoma na kutafakari Hotuba ya


16/06/2017 Bajeti Siku 1

5
39. JUMAMOSI - JUMAMOSI (i) Maswali
17/06/2017 - 24/06/2017
(ii) MJADALA KUHUSU:-
Taarifa ya Hali ya Uchumi
Hotuba ya Bajeti ya Serikali Siku 7

v JUMAMOSI - 24 (iii) MJADALA KUHITIMISHWA NA


/06/2017 UPIGAJI WA KURA YA WAZI1

(iv) Muswada wa Sheria ya Fedha za


Matumizi wa Mwaka, 2017
(The Appropriation Bill, 2017)
40. JUMAPILI MAPUMZIKO
25/06/2017
41. JUMATATU JUMANNE MAPUMZIKO /SIKUKUU YA EID EL-FITR
26/06/2017 27/06/2017
42. JUMATANO ALHAMISI (i) Maswali
28/06/2017 29/06/2017
(ii) Muswada wa Sheria ya Fedha Siku 2
wa Mwaka, 2017 (The Finance Bill,
2017)

43. IJUMAA (i) Maswali


30/06/2017
(ii) Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Siku 1
Sheria Mbalimbali wa Mwaka, 2017
[The Written Laws (Miscellaneous
Amendments) Bill, 2017]

HOJA YA KUAHIRISHA BUNGE


44. JUMAMOSI JUMATATU SEMINA YA WABUNGE KUHUSU KANUNI Siku 3
01/07/2017 03/07/2017 NA UENDESHAJI BUNGE (CPA POST
ELECTION SEMINAR)


1
Kanuni ya 107 (2) ya Kanuni za Bunge
6

You might also like