Professional Documents
Culture Documents
Jarida La Mtandaoni Kutoka Nishani Na Madini
Jarida La Mtandaoni Kutoka Nishani Na Madini
HABARIZAZA
NISHATI
NISHATI&MADINI
&MADINI
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Toleo No.169
Toleo No. 51 Limesambazwa kwa Taasisi
Limesambazwa kwana Idaranazote
Taasisi IdaraMEM
zote MEM Tarehe - 23-29 Januari , 2015
Aprili 28 - Mei 4, 2017
Wabunge
WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AZINDUA RASMI BODI YA TANESCO -Uk2
KUMEKUCHA ARUSHA
Maonesho ya Kimataifa ya Vito
kufanyika tarehe 3-5 Mei, 2017
Waimwagia sifa MEM, TANESCO, REA
Somahabari Uk.2
2
http://www.mem.go.tz
MAFUNZO YA UANDAAJI NA
UTEKELEZAJI WA BAJETI YA
TAHARIRI WIZARA 2017/2018
HONGERA TGDC KWA KUAMINIKA
KITAALUMA UKANDA WA BONDE
LA UFA AFRIKA MASHARIKI
Mwishoni mwa mwezi Machi hadi mwanzoni mwa
Mwezi Aprili, 2017, Wizara na Taasisi zake ziliwasilisha
kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini,
Taarifa za Utekelezaji wa Bajeti kwa Mwaka 2016/17.
Miongoni mwa Mafanikio yaliyoanishwa na Kampuni
ya Uendelezaji wa Jotoardhi Tanzania (TGDC), ni namna
ambavyo kampuni hiyo ilivyoweza kuwajengea uwezo wa
Kitaaluma wataalam wake wa ndani katika eneo la Nishati
Jadidifu kiasi cha Wataalam hao kuaminiwa na nchi
nyingine kwa ajili ya kutoa mafunzo ya kitaaluma.
Akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya
TGDC, kwa Kamati hiyo ya Bunge ya Nishati na Madini,
Kaimu Mtendaji Mkuu wa TGDC Mhandisi Kato
Kabaka, alieleza kuwa, uwezo wa Kitaalam wa TGDC
umeongezeka kufikia kiasi cha kuaminiwa ndani na nje
ya nchi kuwa ni kampuni yenye uwezo wa kutosha kutoa
ushauri wa kitaaluma katika Ukanda wa Bonde la Ufa la
Afrika Mashariki.
Ukanda wa Bonde la Afrika Mashariki unajumuisha
jumla ya nchi 13 ambazo ni Djibouti, Ethiopia, Eriteria,
Uganda, Kenya, Tanzania, Rwanda, Burundi, DRC,
Malawi, Zambia, Comoro na Msumbiji.
Ni dhahiri kuwa, uwepo na uwezo wa wataalam
husika unawezesha azma ya Serikali kufikia malengo yake
ikiwemo pia utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi
(CCM) 2015-2020 ya Serikali kuwekeza nguvu kubwa
katika kuzalisha nishati Jadidifu. Vilevile, hili linawezesha
lengo kuu la Kampuni hiyo la kuzalisha Megawati 100 za
Jotoardhi ifikapo mwaka 2020.
Nishati Jadidifu ni chanzo kipya na miongoni mwa
vyanzo ambavyo Serikali inawekeza kuhakikisha kwamba
eneo hilo pia linachangia katika uzalishaji wa nishati
ya umeme ili kwa pamoja kufikia malengo ya Mpango
wa Maendeleo wa Taifa 2016/17-2020/21 na Dira ya
Maendeleo ya Taifa 2025. Sehemu ya washiriki wa mafunzo hayo wakifuatilia mada mbalimbali
MEM Bulletin inatoa pongezi kwa Menejimenti ya zilizokuwa zinawasilishwa.
TGDC kwa kuwa, kutokana na uwezo huo wa kitaaluma,
watalaam wa ndani wamefanikiwa kukamilisha utafiti wa
awali wa kisayansi katika eneo la Kisaki mkoani Morogoro
KWA HABARI PIGA SIMU FIVE
tangu mwezi Oktoba, 2016.
Aidha, TGDC wanastahili pongezi kutokana na
KITENGO CHA MAWASILIANO PILLARS OF
REFORMS
kuaminiwa na uwezo wake ambapo kampuni hiyo
imeingia makubaliano na kampuni ya ELC kutoka nchini TEL-2110490
Italia ili Wataalam wake 3 wakatoe ushauri wa kitaalam
kwenye Nyanja za kijiofizikia nchini Malawi, kuanzia FAX-2110389 INCREASE EFFICIENCY
MOB-0732999263
mwezi Aprili mwaka huu. QUALITY DELIVERY
Dira ya TGDC ni kuwa Kampuni ya kuendeleza OF GOODS/SERVICE
jotoardhi na yenye ushindani katika Ukanda wa Afrika SATISFACTION OF
Mashariki. THE CLIENT
Tunasema haya ni mafanikio kwa TGDC, Wizara na BODI YA UHARIRI
Serikali kwa kuwekeza katika RasilimaliWatu na hususan SATISFACTION OF
MSANIFU: Lucas Gordon BUSINESS PARTNERS
wataalam wa Nishati ya Jotoardhi ambalo ni eneo jipya WAANDISHI: Veronica Simba, Asteria Muhozya, Greyson
la taaluma na miongoni mwa chanzo kipya cha uzalishaji Mwase, Teresia Mhagama, Mohamed Saif, Rhoda James , SATISFACTION OF
umeme nchini. Nuru Mwasampeta na Zuena Msuya SHAREHOLDERS
HABARI ZA NISHATI/MADINI
4 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
M
aafisa Madini
katika Ofisi za
Madini nchini
wametakiwa
kuwa
wabunifu kwenye ukusanyaji wa
maduhuli ili Sekta ya Madini iwe
na mchango mkubwa kwenye
ukuaji wa uchumi wa nchi.
Wito huo ulitolewa na
Mkurugenzi wa Sera na
Mipango, Wizara ya Nishati
na Madini, Haji Janabi kwenye
mafunzo ya uandaaji na
utekelezaji wa bajeti ya Wizara Sehemu ya washiriki wa mafunzo hayo wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zinawasilishwa.
yaliyoshirikisha maafisa Bajeti ukusanyaji wa maduhuli ya Wizara,
kutoka Idara, Vitengo na Ofisi za maafisa madini hawana budi
Madini nchini yaliyofanyika mjini kuhakikisha wanashirikiana na
Morogoro hivi karibuni. halmashauri pamoja na kufahamu
Janabi alisema kuwa ili kanuni na sheria ambazo ni
kuweza kufikia malengo ya mwongozo katika kazi hiyo.
Wizara imeweka mikakati ya
kuhakikisha kuwa makusanyo ya
maduhuli kutokana na uwekezaji
kwenye madini yanaongezeka, hivyo
kuwa na mchango mkubwa kwenye
uchumi wa nchi, alisema Janabi.
Alisema Serikali imeweka
mikakati mbalimbali ya kurahisisha
Mkurugenzi wa Sera na Mipango, Wizara ya Nishati na Madini,
kazi ya ukusanyaji wa maduhuli
Haji Janabi akieleza namna mchakato wa maandalizi ya Bajeti ya ikiwa ni pamoja na uanzishwaji wa
Wizara unavyofanyika katika mafunzo kwa Maafisa Bajeti kutoka huduma ya leseni za madini kwa
Idara, Vitengo na Ofisi za Madini za Wizara ya Nishati na Madini njia ya mtandao ijulikanayo kama
yaliyofanyika mjini Morogoro tarehe 26 Aprili, 2017 Online Mining Cadastre Transaction
Portal (OMCTP) inayowezesha
wachimbaji madini kulipia leseni
zao kwa njia ya mtandao badala ya
kufika ofisini.
Aliongeza kuwa ni vyema
maafisa madini kuhakikisha
wanashirikishana taarifa zote za
wachimbaji madini ili kuepuka
wachimbaji wasio waaminifu
wanaobadili majina ya kampuni
pindi wanaposhindwa kuendeleza
maeneo yao au kuhuisha leseni.
Ninaamini mtakapokuwa na
mfumo utakaowezesha wamiliki wa
leseni kufahamika kila ofisi, itakuwa
vigumu kwa wachimbaji madini
wenye tabia ya kubadilisha majina
Mhasibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Anthony Tarimo (wa kwanza kushoto) pamoja na ya kampuni ili kukwepa faini au
wataalam wengine kutoka Wizara ya Nishati na Madini, wakifuatilia hotuba ya ufunguzi iliyokuwa ada mbalimbali kuwepo na hivyo
inatolewa na Mkurugenzi wa Sera na Mipango, Wizara ya Nishati na Madini, Haji Janabi kwa Niaba kuongeza mapato kwa Serikali,
ya Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Profesa James Mdoe (hayupo pichani) katika alisema Janabi.
NewsBulletin 5
http://www.mem.go.tz
HABARI ZA NISHATI/MADINI
Aprili 28 - Mei 4, 2017
T
almasi zote zawaridi duniani.
anzania ni miongoni Pamoja na uwepo wa mgodi
mwa nchi zilizojaliwa wa WDL, Tanzania pia inachimba
kuwa na aina mbalimbali almasi kupitia mgodi wa kampuni
za madini na inatajwa ya El Hilal Minerals Limited iliyopo
kuwa kitovu cha Madini jirani na mgodi wa WDL huko
ya Vito barani Afrika. Kishapu Shinyanga. Almasi pia
Miongoni mwa madini hayo ya zinachimbwa kwa uchimbaji mdogo
vito ni Almasi. Asili ya neno Almasi katika eneo la Maganzo, Kishapu
kwa lugha ya Kiswahili haifahamiki Shinyanga, Mabuki Mkoani Mwanza
vizuri lakini warusi hutumia neno na maeneo mengine ya nchi yetu.
Almaz kumaanisha Diamond kwa Almasi za waridi hupatikana
lugha ya Kiingereza. katika migodi michache sana duniani
Almasi ni mojawapo ya madini na uadimu wake hufanya madini
adimu yenye mvuto mkubwa kwa haya yatafutwe zaidi (high demand).
wavaaji wa vito tokea zama za kale. Tanzania inasifika kwa utoaji wa
Almasi inachukuliwa na wapenzi Almasi za rangi ya waridi katika
wake kama kielelezo cha utukufu Afrika. Almasi za rangi ya waridi
(wafalme, watawala, makuhani na hupatika kwa nadra sana ukiwa na
watu wenye mamlaka); lakini pia madini hayo umetukuka na wewe
ni kielelezo cha utajiri na nguvu ya unakuwa miongoni mwa watu
kifedha kwa watumiaji wengine. maarufu au tajiri sana.
Kwa asili yake, madini ya almasi Madini ya Almasi huuzwa na
hayana rangi (transparent with kununuliwa kulingana na soko kwa
no hue); hata hivyo kasoro katika vigezo vya uzito (carat), usafi wa
uumbaji wake yaani mchanganyiko jiwe (clarity) mkato (cut) na rangi
wa kikemikali na mpangilio usio yake (colour) maarufu kama 4Cs! The Famous Williamson Diamond brooch.
sahihi wa atomu (chemical impurities Kwa upande wa rangi kipimo cha kuwa ni almasi bora ya waridi kuwahi Pia upo Mgodi wa El Hillal
and structural diffects) husababisha ubora wake hujulikana kwa kutumia kupatikana. Minerals limited uliopo Wilayani
uwepo wa rangi mbalimbali katika mpangilio huu: kuanzia kundi D - Almasi hiyo iliyotolewa kama Kishapu ambao unazalisha madini
madini ya almasi. N, Rangi ya juu kabisa kwa Almasi zawadi kwa Malkia wa Uingereza ya almasi. Nao unatoa ajira kwa
Uwepo wa rangi unaweza inaanzia D hadi N. Mpangilio huu baadaye ilikatwa na kutoa jiwe la carat wafanyakazi takribani 200. Kwa
kuongeza au kupunguza thamani ya unaokubalika zaidi duniana ulitolewa 23.6 ambalo liliwekwa katika mfano maana hiyo wafanyakazi zaidi ya
jiwe la almasi kulingana na mahitaji na Taasisi ya Jemolojia ya Marekani wa ua (Williamson pink brooch). 1500 wanaendesha maisha yao
ya soko. Rangi zinazoongeza thamani (Gemmological Institute of America Pambo hili ni miongoni mwa kutokana na migodi hiyo miwili
ya almasi ni nyekundu (ndiyo adimu GIA). Taasisi hii ndiyo bobefu zaidi mapambo adimu yanayopendwa ya Williamson na El Hillal bila
kuliko rangi zote), Bluu na waridi. katika utambuzi na uthaminishaji wa kuvaliwa na Mtawala huyo wa kuhusisha wachimbaji wadogo.
Rangi zingine ni njano, nyeusi, kijani madini ya almasi na vito duniani. Uingereza. Takwimu za mwaka 2013 za
na kahawia. Mwezi Septemba mwaka 2015, Wananchi wanafaidika na Mgodi wa Mwadui zinaonesha
Hapa Tanzania, mgodi pekee mgodi wa WDL ulibahatika tena uwepo wa madini ya almasi kwa kuwa mgodi huo ndiyo unashikilia
wenye historia kubwa ya uzalishaji kupata jiwe kubwa la almasi ya kiasi kikubwa kwa kujipatia ajira rekodi ya dunia ya kuwa mgodi
almasi ni mgodi wa Williamson rangi ya waridi lenye uzito wa carat za moja kwa moja migodini pekee uliochimbwa mfululizo kwa
Diamonds Limited (WDL) ulioko 23.16. Almasi hii imeweka rekodi au kupitia huduma mbalimbali miaka 70; ndiyo mgodi mkubwa
Kishapu Shinyanga. Mgodi huu nyingine kwa mgodi wa Mwadui, ikiwemo biashara na migodi husika, zaidi duniani unaochimbwa kwa
ambao pia unaitwa Mwadui kwa kwani iliuzwa kwa Dola za Marekani ajira kwenye kampuni zinazotoa stahili ya shimo la wazi (open cast);
heshima ya jina la chifu wa eneo hilo, milioni 10.05 huko Antwerp nchini huduma migodini na biashara kati unayo akiba ya almasi inayokadiriwa
uligunduliwa na Mjiolojia Dk. John Ubelgiji. Hii ni rekodi mpya kwa yao na waajiriwa kwenye migodi kuwa carat milioni 40; ukikadiriwa
Williamson katika mwaka 1940. thamani kuwahi kupatikana na inayowazunguka. kuwa na uhai wa miaka 18 (Planned
WDL ilisajiliwa rasmi kama kampuni kuuzwa kwa mgodi huo au mgodi Aidha, Serikali hujipatia fedha za mine life). Aidha, mgodi wa Mwadui
mwaka 1942 na Serikali ya kikoloni mwingine wowote wa almasi hapa kigeni, mapato kwa njia ya mrabaha, unatarajiwa kuendelea kuzalisha
kwa mtaji wa hisa 400 kila moja ikiwa nchini. kodi na tozo mbalimbali kwa almasi kwa miaka mingine 50 ijayo.
na bei ya 500 sawa na jumla ya mtaji Mbali na jiwe hili la carat 23.16, mujibu wa sheria. Mapato hayo yote Ili kuweza kufaidika ipasavyo na
wa 200,000. almasi nyingine ya waridi kuwahi yanapelekea uchumi wa Tanzania Rasilimali Madini, Wizara ya Nishati
Mgodi huu unasifika duniani kwa kupatikana katika mgodi wa Mwadui kuimarika. na Madini inaendelea kushirikiana
mambo mengi lakini pia ni miongoni ilikuwa na uzito wa carat 54.5 Faida za moja kwa moja za na Wachimbaji wote wakubwa kwa
mwa wazalishaji wachache wa almasi ambayo Dk. Williamson alimzawadia madini hayo ni ajira. Mgodi wa wadogo wanaojishughulisha na utafiti
za rangi ya waridi (rangi adimu na Malkia wa Uingereza (Queen Mwadui unatoa ajira za kudumu na uchimbaji wa madini ili waweze
inayopendwa sana duniani). Kwa Elizabeth II) mwaka 1947 kama takribni 600 pamoja na ajira zisizo kufanya shughuli hizo kwa ufanisi
kawaida mgodi wenye umaarufu wa zawadi ya harusi. za moja kwa moja zaidi ya 500 na hatimaye kuweza kulipa kodi
kuzalisha almasi za rangi ya waridi Jiwe hilo halikuwahi kuuzwa au kupitia kampuni zinazotoa huduma mbali mbali zitakazotumika katika
ni mgodi wa Agyle ulioko Australia kuingizwa sokoni lakini linadhaniwa mbalimbali kwenye mgodi huo. kuendeleza Sekta mbalimbali nchini.
HABARI ZA NISHATI/MADINI
6 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Utangulizi
Utekelezaji wa shughuli za Tanzania Extractive Industries Transparency Initiative (TEITI) zinasimamiwa na Kamati ya
TEITI yenye wajumbe kumi na tano (15) kutoka makundi matatu: Asasi za kiraia; Kampuni na Serikalini. Kila kundi
linawakilishwa na wajumbe watano ambao uteuzi wao hufanywa kutoka katika makundi husika. Sheria tajwa hapo juu,
imeweka utaratibu katika Kifungu cha 7 wa namna ya kumpata Mwenyekiti.
Majukumu ya Kamati ni kuhamasisha Serikali kuweka mifumo ya uwazi katika usimamizi wa rasilimali za madini,
mafuta na gesi asilia ili kuboresha mapato na manufaa yanayotokana na shughuli za utafutaji na uchimbaji wa rasilimali
hizo nchini. Mazingira ya uwazi yanayolengwa ili kuwa na manufaa ya rasilimali husika ni katika:
Kufuatia kwisha kwa muda wa Mwenyekiti aliyopo sasa, Kamati ya Uteuzi (Nomination Committee) inakaribisha
maombi kutoka kwa wananchi wenye sifa:-
Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ni Mei 17, 2017. Maombi yatumwe kwa anwani ifuatayo:
Katibu Mkuu,
Wizara ya Nishati na Madini,
Barabara ya Kikuyu,
S. L. P. 422,
40474 DODOMA.
baruapepe: info@teiti.or.tz
NewsBulletin 7
http://www.mem.go.tz
HABARI ZA NISHATI/MADINI
Aprili 28 - Mei 4, 2017
TANGAZO
IMETOLEWA NA
MTENDAJI MKUU,
WAKALA WA JIOLOJIA TANZANIA (GST)
S.L.P 903, DODOMA.
Je UNAJUA?
HABARI ZA
NISHATI NA
MADINI PIA
ZINAPATIKANA
KUPITIA
TOVUTI; https://mem.go.tz
Facebook; Nishati Na Madini
Twitter; @nishatiMadini
YouTube; Wizara ya Nishati na Madini
8 NewsBulletin
http://www.mem.go.tz