Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 3

MKATABAWAAJIRAYAMUDA

MKATABAWAAJIRAYAMUDA

MKATABAHUUunafanyikaleotarehemwezi.,2011.

BAINAYA

..,waS.L.P(ambayekatikaMkatabahuuatajulikanakamaMwajiri)waupande
mmojawapowaMkataba

NA

.S.L.P..(ambayekatikaMkatabahuuatajulikanakamaMwajiriwa)

AMBAPO

a)MwajiriniKampuniiliyopoDaresSalaaminayoshughulikanaMatangazoyaBiashara.

b)MwajiriwaanafanyaShughuliBinafsiDaresSalaam.

c)MwajirianakusudiakumwajirikwamudaMwajiriwa

Mwajiriwaanakubalimatakwayamwajirinaanakubalikwahiariyakemwenyewekuajiriwakwamuda
kamaMSANII/MHAMASISHAJI/DJWAMRADI.

MKATABAHUUUNASHUHUDIAhayayafuatayo
i. Mwajiriwa atawajibika kufanya kila jambo ambalo ujumla wake atahakikisha mafanikio ya mradi
wa.atakaoendeshwa kwa muda wa...kuanzia tarehe
.
ii.MwajiriwaatatarajiwakuonekananadhifukamaMsanii/DJ/Mhamasishajikatikakipindichotechakazihii.
iii.Mwajiriwaatatakiwakuripotikazinisaa.tayarikwamatayarishoyashughulizakeza
siku na ataanza kazi saa , (Muda wa kuanza na kumaliza kazi unaweza kubadilika
kufuatiautashiwamteja).
iv.Mwajiriwaatatakiwakuwajibikakatikakuandaavyemakituochakechakazi,steji,gariauvifaavyakazi
kwaunadhifumkubwa.
v.Mwajiriwaatahakikishaanaoufahamuwakutoshawakileanachotakiwakupromoti.kufanyamaandalizi
yavifaavitakavyokuwezeshakutekelezamalengoyakazihusikakamavilevipeperushi,spikan.k.
vi. Mwajiriwa atafanya maonesho kwa umakini na umahiri mkubwa ili kuhakikisha kuwa wateja wetu
wananufaikanajuhudizako.
vii.MwajiriwaatatawajibikakwaMkuuwakazi(ProjectManager/Promoter)kwautendajiwakewakilasiku.
viii.MwajiriwaatalipwajumlayakiasichaTshsatakapofanikishashughulizamradihuu
ambaoutachukuamudawasiku
ix.MwajiriwaatatakiwakuhudhuriamikutanoyatathminipamojanaWatendajiwenginewatimuyakokila
siku/wiki.
x.IlikuhakikishamafanikioMwajiriwaatatakiwakutekelezamaelekezoyakiongoziwakowamradi.
xi. Ambapo promosheni inapaswa kuanza kwa muda uliopangwa na ucheleweshaji wa jambo lolote
linalohusiananapromoshenihautavumiliwaaukukubaliwa.
xii.Kwambaatapatamalipoyakewikimbili(2)baadayakukamilikakwamradi.Katikamudahuoinatarajiwa
kuwa taarifa zote zitakuwa zimekamilishwa na kuwasilishwa, marejesho ya vifaa vyote vya kazi na
fedhazamradiyatakuwayamefanyika.
xiii. IfahamikekwambautoajiwasirizaKampuniyaDunianawizinimamboambayosiotuhayaruhusiwi
lakinipiahayatavumiliwa.
xiv. Kwamba Kampuni ya Dunia inauwezo wa kubadilisha baadhi ya masharti haya na hata kusitisha
Mkatabanawewakatiwowote.
xv. Masharti ya nyongeza mahsusi kuhusiana na mradi huu ni pamoja na:
..

KWAUSHUHUDAHUU,pandezotembilizinawekasahihizaokatikaMkatabahuusikunatarehekamailivyo
hapachini.

ImesainiwaDaresSalaamna
.
Kwaniabaya
leotarehe..
Mwezi,2011.

MBELEYANGU:

JINA:.
SAHIHI:.
ANWANI:.
WADHIFA:.

Imesainiwawa..
..
LeotareheMwezi
,2011.

MBELEYANGU:

JINA:.
SAHIHI:.
ANWANI:.
WADHIFA:.

You might also like