Professional Documents
Culture Documents
Press Kuagwa Kwa Makamishna Wa Polisi Waliostaafu
Press Kuagwa Kwa Makamishna Wa Polisi Waliostaafu
Press Kuagwa Kwa Makamishna Wa Polisi Waliostaafu
1 7 /08/2017
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Jeshi la Polisi nchini linapenda kuutaarifu umma kwamba
linatarajia kuwaaga Makamishna wa Jeshi la Polisi watat u (3) ,
ambao wamefikia umri wa kustaafu k wa mujibu wa sheria
kwa kutimiza miaka sitini (60) katika utendaj i wao wa kazi .