Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 14

Alhamisi, 17 Agosti 2017

NAFASI 200 ZA KAZI-TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI 200

1.0 Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya ya 112(1)
ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Aidha, kwa mujibu wa Sheria
ya Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011, Tume ya Utumishi wa Mahakama mbali na kuwa na
majukumu mengine inalo jukumu la kuajiri watumishi wa kada mbalimbali wa Mahakama.

Hivyo, Tume ya Utumishi wa Mahakama inawatangazia Watanzania wenye sifa zilizoainishwa


hapo chini kwa kila nafasi ya kazi na ambao wako tayari kufanya kazi katika Ofisi za Mahakama
ya Tanzania zilizoko katika Mikoa mbalimbali kuleta maombi yao ya kazi. Nafasi hizo ni Hakimu
Mkazi Daraja la II (TJS 2) nafasi 100, Katibu Mahsusi Daraja la III (TGS B) nafasi
20, Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II (TGS B) nafasi 45, Mpokezi (TGS A)
nafasi 1, Dereva Daraja la II (TGOS A) nafasi 10,Mlinzi (TGOS A) nafasi 21 na Afisa
TEHAMA Daraja la II Nafasi 3 (TGS.E).

A. Hakimu Mkazi II TJS 2 - (Nafasi 100)

Nafasi hizi ni kwa ajili ya Mahakama katika Mikoa iliyoainishwa katika Jedwali hapa chini:-
NA MKOA WILAYA IDADI
KANDA YA
NAFASI

MANYARA DM HANANG 2

DM SIMANJIRO 2
1 ARUSHA
ARUSHA DM 1
NGORONGORO

DM MOSHI 1

DM HAI 1
2 KILIMANJARO
DM ROMBO 2

DM SAME 1

DM BUNDA 1

MARA DM TARIME 2

DM SERENGETI 3

DM GEITA 1
3 MWANZA
DM CHATO 2
GEITA
DM BUKOMBE 2

MWANZA DM SENGEREMA 1

DM MBEYA 3

4 MBEYA MBEYA DM KYELA 2

DM ILEJE 1

IRINGA DM KILOLO 2

DM NJOMBE 1
5 IRINGA
DM 2
NJOMBE
WANGING'OMBE

DM MAKETE 1

6 DODOMA SINGIDA DM IRAMBA 3


DM MANYONI 3

DM SINGIDA 3

DM BAHI 2
DODMA
DM KONGWA 2

DM KIGOMA 2

KIGOMA DM KASULU 3

DM KIBONDO 2
7 TABORA
DM TABORA 1

TABORA DM IGUNGA 1

DM URAMBO 1

DM MULEBA 3
8 BUKOBA KAGERA
DM NGARA 1

DM PANGANI 2

DM MUHEZA 2
9 TANGA TANGA
DM KILINDI 1

DM MKINGA 1

DM MTWARA 1

DM 1
MTWARA
TANDAHIMBA
10 MTWARA
DM NANYUMBU 1

DM LINDI 1
LINDI
DM KILWA 3

DM NYASA 1

11 SONGEA RUVUMA DM TUNDURU 2

DM NAMTUMBO 2
DM MASWA 3

DM MEATU 2
12 SHINYANGA SIMIYU
DM ITILIMA 1

DM BUSEGA 2

DM 3
RUKWA
SUMBAWANGA

DM KALAMBO 4

13 SUMBAWANGA DM NKASI 3

DM MPANDA 2
KATAVI
DM MLELE 1

JUMLA KUU 100

Sifa za kuingilia:-

Waombaji wawe na Cheti cha kuhitimu kidato cha Nne/Sita, Shahada ya kwanza ya
Sheria Bachelor of Laws (LLB) kutoka katika Chuo kikuu kunachotambulika na Serikali pamoja
na cheti cha mafunzo ya Sheria kwa vitendo (Law school Certificate).

Kazi za kufanya:-

i. Kuandaa mpango wa kusikiliza mashauri.

ii. Kusikiliza mashauri ya awali ya Jinai (Criminal Cases), Madai (Civil Cases), Mirathi (Probate and
Administration) na ndoa (Matrimonial Cases).

iii. Kutoa hukumu katika mashauri yote anayoyasikiliza ya jinai, madai, mirathi, ndoa na
mashauri mengine, kadri sheria inavyomruhusu.

iv. Kutoa amri mbalimbali za kimahakama anazoruhusiwa kisheria katika Mahakama za Mwanzo.

v. Kusuluhisha mashauri.

vi. Kusikiliza rufani kutoka Mabaraza ya Kata.

B. AFISA TEHAMA DARAJA II TGS E (Nafasi 3)


Nafasi hizi ni kwa ajili ya Mahakama katika Mikoa iliyoainishwa katika Jedwali hapa chini:-

S/N KITUO IDADI YA


KANDA
NAFASI

1 DODOMA MAHAKAMA KUU DODOMA 1

2 SONGEA MAHAKAMA KUU SONGEA 1

3 MAHAKAMA KUU DIVISHENI YA 1


DAR ES SALAAM
ARDHI

JUMLA KUU 3

Sifa za kuingilia:-

Mhitimu wa Kidato cha nne/sita, na mwenye Stashahada ya juu au Shahada ya Kompyuta


katika moja ya fani zifuatazo;

Sayansi ya Kompyuta

Teknolojia ya Habari

Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

Menejimenti ya Mifumo ya Habari au Mafunzo mengine yanayohusiana na fani hii.

Kazi za kufanya:-

Watafanya kazi za Programming kama ifuatavyo:-

(i) Kuandaa, kuandika na kufanya majaribio ya program (plan code and test program)

(ii) Kusahihisha program (Debug Program)

(iii) Kuweka na kuhakikisha usalama wa program (Incorporate security setting into program)

(iv) Kushirikiana na wadau wengine katika kutengeneza programu mbalimbali (Corporate with other
software developers)

(v) Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkubwa wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani
yake.
C. KATIBU MAHSUSI DARAJA III TGS B (Nafasi 20)

Nafasi hizi ni kwa ajili ya Mahakama katika Mikoa iliyoainishwa katika Jedwali hapa chini:-

NA MKOA WILAYA IDADI YA


KANDA
NAFASI

1 ARUSHA ARUSHA DM KARATU 1

2 MOSHI KILIMANJARO RM MOSHI 1

3 MWANZA RM MWANZA 1

DM ILEMELA 1
MWANZA
MARA DM MUSOMA 1

GEITA RM GEITA 1

4 MBEYA MBEYA DM MBEYA 1

5 IRINGA IRINGA DM KILOLO 1

6 DODOMA DODMA DM KONDOA 2

7 TABORA KIGOMA DM KIBONDO 1

8 KAGERA RM BUKOBA 1
BUKOBA
DM KARAGWE 1

9 MTWARA LINDI DM LIWALE 1

10 SONGEA RUVUMA DM NYASA 1

11 SHINYANGA SIMIYU RM SIMIYU 1

12 RUKWA RM RUKWA 1
SUMBAWANGA
KATAVI RM KATAVI 1

13 DAR ES MOROGORO DM MVOMERO 1


SALAAM
PWANI DM RUFIJI 1

JUMLA KUU 20
Sifa za kuingilia:-

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV waliohudhuria Mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani


wa Uhazili Hatua ya Tatu.

Wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza (Shorthand) maneno 80 kwa


dakika moja na wawe wamepata mafunzo ya Kompyuta kutoka chuo chochote
kinachotambuliwa na Serikali na kupata cheti katika programu za Windows, Microsoft Office,
Internet, E-mail na Publisher.

Kazi za kufanya:-

Katibu Mahsusi Daraja la III atapangiwa kufanya kazi Typing pool au chini ya Katibu
Mahsusi mwingine mwenye cheo cha juu kumzidi kwenye ofisi ya Mkuu wa sehemu au
kitengo.

(i) Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida

(ii) Kusaidia kupokea wageni na kuwasaili shida zao, na kuwaelekeza sehemu wanazoweza
kushughulikiwa.

(iii) Kusaidia kutunza taarifa, kumbukumbu za matukio, miadi, wageni, tarehe za vikao safari za
Mkuu wake na ratiba ya kazi zingine zilizopangwa kutekelezwa katika ofisi anamofanyia kazi,
na kumuarifu Mkuu wake kwa wakati unaohitajika.

D. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II TGS B (Nafasi 45)

Nafasi hizi ni kwa ajili ya Mahakama katika Mikoa iliyoainishwa katika Jedwali hapa chini:-

NA MKOA WILAYA IDADI YA


KANDA
NAFASI

1 ARUSHA MANYARA DM SIMANJIRO 2

2 KILIMANJARO DM SAME 1
MOSHI
DM ROMBO 1

3 MWANZA DM KWIMBA 2
MWANZA
DM UKEREWE 2
DM MISUNGWI 1

MARA DM SERENGETI 2

4 MBEYA DM KYELA 2

MBEYA DM MBARALI 1

DM MBOZI 1

5 IRINGA DM KILOLO 2
IRINGA
NJOMBE DM MAKETE 1

6 DODOMA DM DODOMA 1

DODOMA SINGIDA DM SINGIDA 1

DM MANYONI 1

DM SIKONGE 1
TABORA
7 TABORA DM URAMBO 1

KIGOMA DM KIBONDO 1

DM NGARA 1

8 BUKOBA KAGERA DM MULEBA 2

DM KARAGWE 1

DM MUHEZA 1
9 TANGA TANGA
DM MKINGA 1

DM NANYUMBU 1
MTWARA
10 MTWARA DM NEWALA 1

LINDI DM NACHINGWEA 1

DM NAMTUMBO 2
11 SONGEA RUVUMA
DM MBINGA 1

12 SHINYANGA SHINYANGA DM KISHAPU 2

13 SUMBAWANGA RUKWA DM 1
SUMBAWANGA

DM KALAMBO 1

KATAVI DM MPANDA 1

DAR ES MOROGORO DM KILOMBERO 2


14
SALAAM PWANI DM MAFIA 2

JUMLA 45

Sifa za Kuingilia:-

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au sita wenye cheti/Stashahada ya utunzaji kumbukumbu
kutoka Chuo cha Utumishi wa Umma pamoja na wahitimu wa kidato cha nne/sita wenye
Diploma ya Sheria kutoka chuo cha Uongozi wa Mahakama.

Kazi za kufanya:-

(i) Kutafuta kumbukumbu/nyaraka/mafaili yanayohitajiwa na wasomaji.

(ii) Kudhibiti upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu/nyaraka.

(iii) Kuweka/kupanga kumbukumbu/nyaraka Katia reki (file racks/cabinets) katika masjala/vyumba


vya kuhifadhia kumbukumbu.

(iv) Kunukuu (kurekodi) mwenendo mzima wa kesi na kuweka kumbukumbu sahihi za mashauri
yanayosikilizwa na Majaji au Mahakimu.

(v) Kuhakiki na kuandaa taarifa iliyohakikiwa na kuwasilisha sehemu husika kabla yakutoa nakala
kwa Umma.

(vi) Kufanya kazi nyingine za kiutawala zinazohusu masuala ya kimahakama kama kuwasilisha
nyaraka za kisheria Mahakamani na kuangalia muda na siku ya kufanyika kwa kesi husika.

(vii) Kuthibitisha machapisho (transcripts) kwa ajili ya kumbukumbu za ofisi ndani ya muda
uliopangwa.

(viii) Kutunza na kuhifadhi machapisho (transcripts) mahali salama.

(ix) Kuratibu utoaji wa machapisho (transcripts).

(x) Kufanya kazi nyingine atakayopangiwa.

E. MPOKEZI TGS A (Nafasi 1)


NA MKOA KITUO IDADI YA
KANDA
NAFASI

1 DAR ES SALAAM MAHAKAMA YA 1


DAR ES SALAAM
RUFANI

Sifa za Kuingilia:-

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV waliofaulu masomo ya Kiingereza, Kiswahili na Hisabati na


Kufuzu mafunzo ya mapokezi na upokeaji simu kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

Kazi za kufanya:-

(i) Kupokea wageni na kuwasilisha shida zao.

(ii) Kutunza na kudumisha usafi wa Switchboard na Ofisi yake.

(iii) Kupokea simu kutoka nje na kuzisambaza kwa maafisa mbalimbali Ofisini.

(iv) Kupokea simu kutoka Extension za ndani na kupiga nje ya ofisi.

(v) Kutunza rejesta ya simu zinazopokelewa kutoka nje ya ofisi na zinazopigwa nje ya ofisi.

F. DEREVA DARAJA LA II TGOS A (Nafasi 10)

Nafasi hizi ni kwa ajili ya Mahakama katika Mikoa iliyoainishwa katika Jedwali hapa chini:-

NA MKOA WILAYA IDADI YA


KANDA
NAFASI

1 ARUSHA MANYARA DM SIMANJIRO 1

2 MWANZA MWANZA DM UKEREWE 1

3 IRINGA NJOMBE RM NJOMBE 1

4 DODOMA SINGIDA DM MANYONI 1

5 BUKOBA KAGERA DM NGARA 1

6 MTWARA MTWARA DM MTWARA 1

7 SHINYANGA SHINYANGA DM KAHAMA 1

8 RUKWA DM 1
SUMBAWANGA
SUMBAWANGA

9 DAR ES SALAAM MOROGORO DM KILOSA 1


DM MVOMERO 1

JUMLA 10

Sifa za Kuingilia:-

Kuajiriwa wenye Cheti cha Baraza la mitihani (NACTE) Mtihani wa Kidato cha IV, Wenye Leseni
daraja la C ya uendeshaji pamoja na uzoefu wa kuendesha magari kwa muda usiopungua
miaka mitatu bila kusababisha ajali, wenye Cheti cha Majaribio ya Ufundi Daraja la II (VETA).

Kazi za kufanya:-

(i) Kuendesha magari ya abiria, na malori,

(ii) Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali nzuri wakati wote, na kufanya uchunguzi wa
gari kabla na baada ya safari ili kugundua ubovu unaohitaji matengenezo,

G. MLINZI TGOS A (Nafasi 21)

Nafasi hizi ni kwa ajili ya Mahakama katika Mikoa iliyoainishwa katika Jedwali hapa chini:-

NA MKOA WILAYA IDADI YA


KANDA
NAFASI

1 ARUSHA ARUSHA HC ARUSHA 1

2 MOSHI KILIMANJARO DM ROMBO 1

MWANZA DM MAGU 1

3 MWANZA MARA DM TARIME 2

GEITA RM GEITA 1

4 MBEYA MBEYA HC MBEYA 1

5 IRINGA IRINGA DM MUFINDI 1

6 DODOMA SINGIDA DM IRAMBA 1

TABORA DM NZEGA 1
7 TABORA
KIGOMA DM KASULU 1
8 BUKOBA KAGERA DM BIHARAMULO 2

9 MTWARA LINDI RM LINDI 1

10 SONGEA RUVUMA RM SONGEA 1

SHINYANGA DM SHINYANGA 1

11 SHINYANGA DM MEATU 1

SIMIYU DM BUSEGA 1

12 SUMBAWANGA KATAVI DM MLELE 1

13 TANGA TANGA DM HANDENI 1

14 DAR ES MOROGORO DM MVOMERO 1


SALAAM

JUMLA 21

Sifa za kuingilia:-

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne waliofuzu mafunzo ya mgambo/polisi/ JKT au Mafunzo ya
Zimamoto kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali.

Kazi za kufanya:-

(i) Kuhakikisha kwamba mali yoyote ya ofisi inayotolewa langoni (nje ya ofisi) ina hati ya idhini.

(ii) Kuhakikisha kuwa mali yote inayoingizwa langoni inazo hati za uhalali wake.

(iii) Kulinda usalama wa majengo, ofisi na mali za ofisi mchana na usiku.

(iv) Kuhakikisha kwamba milango na madirisha yote yamefungwa ipasavyo mwisho wa saa za kazi.

(v) Kuhakikisha kwamba wageni wote wanaoingia katika eneo la ofisi wanaidhini ya kufanya hivyo.

(vi) Kupambana na majanga yoyote yatakayotokea katika sehemu ya kazi kama vile moto, mafuriko
n.k. na kutoa taarifa katika vyombo vinavyohusika kama vile polisi na zimamoto.

(vii) Kutoa ushauri wa jinsi ya kuboresha huduma ya ulinzi mahali pa kazi.

Mwisho wa kupokea barua za maombi hayo ni tarehe 04/09/2017 saa 9:30 Alasiri.

2.0 Barua za maombi ziandikwe kwa mkono wa mwombaji zikionyesha anwani sahihi
pamoja na namba ya simu na kuambatisha:-

- Vivuli vya vyeti vyote vya elimu na mafunzo.

- Ufupisho wa taarifa za mwombaji (CV).

- Kivuli cha cheti cha kuzaliwa.

- Picha mbili za rangi (Passport size) zilizopigwa hivi karibuni.

NB. Nakala za vyeti vya taaluma na vya kidato cha nne/sita vithibitishwe na Hakimu/Wakili
anayetambuliwa na Serikali (True copies of the originals).

3.0 Aidha, inasisitizwa kwamba:-

3.1 Waombaji wawe na umri kati ya miaka 18 na 44

3.2 Waombaji wakazi toka maeneo husika na wenye sifa zilizoainishwa

katika tangazo hili, watafikiriwa kwanza na kupangiwa kazi katika

maeneo husika.

3.3 Maombi yote yapitishwe kwa Katibu Tawala wa wilaya anayoishi

mwombaji.

3.4 Waombaji walio katika Utumishi wa Umma wapitishe maombi yao kwa

waajiri wao wa sasa.

3.5 Waombaji walioacha kazi katika Utumishi wa Umma waeleze kwamba

waliacha kazi Serikalini na sababu ya kufanya hivyo.

3.6 Waombaji watakao shinda usaili na kuajiriwa watakuwa watumishi wa

Mahakama ya Tanzania.

3.7 Waombaji waliosoma nje ya nchi vyeti vyao vithibitishwe na TCU/NACTE.

3.8 Waombaji waandike majina yao yote matatu kwa kirefu.

3.9 Waombaji waandike nafasi ya kazi wanayoomba nyuma ya bahasha


watakazotumia maombi yao.

3.10 Waombaji wasiwe walioachishwa/kufukuzwa kazi kwenye Utumishi wa

Umma.

3.11 Mwombaji asiandike barua zaidi ya moja kwa ajili ya kuomba nafasi

moja.

3.12 Waombaji wote wasio na sifa zilizotajwa na ambao hawatazingatia

mojawapo ya masharti yaliyotajwa hapo juu, maombi yao

hayatashughulikiwa.

4.0 Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kwa Katibu, Tume ya Utumishi

wa Mahakama ya Tanzania, S.L.P. 8391 , DAR ES SALAAM.

Imetolewa na ;-

Katibu,

Tume ya Utumishi wa Mahakama,

S.L.P 8391,

DAR ES SALAAM.

You might also like