Download as doc, pdf, or txt
Download as doc, pdf, or txt
You are on page 1of 2

RATIBA YA MLO YA KUPUNGUZA UZITO NA MAFUTA MLO WA SIKU 13

SIKU ASUBUHI MCHANA JIONI

1
Kikombe 1 kahawa nyeusi na Mayai mawili ya Nyama kipande 1 au
sukari kiasi kuchemshwa soseji 1, salad
magumu, mchicha iliyotiwa mafuta ya
wa kuchemshwa na kupikia kiasi na
nyanya 1 kipande cha limau

2
Kikombe 1 kahawa nyeusi/ Nyama kipande glass Steak kipande green
sukari kiasi 1 mtindi salad iliyotiwa
mafuta, kipande cha
limau na tunda 1

3
Kikombe 1 kahawa nyeusi, Mayai 2 ya Kipande cha nyama /
sukari kiasi na toast 1 kuchemshwa, salad soseji 1, cereal,
iliyitiwa mafuta na nyanya 1 na tunda 1
kipande cha limau

4
Kikombe 1 kahawa nyeusi/ Kopo 1 la juice, Yai 1 la kuchemshwa,
sukari kiasi glass1 ya mtindi carrot 1 na cheese
kiasi

5
Carrot 1 kubwa mbichi Change mwekundu Nyama kipande
iliyosagwa na juice ya limau wa kuchemsha, fresh kikubwa kiasi, green
butter na kipande salad
cha limau

6
Kikombe 1 kahawa nyeusi Mayai 2 ya Kipande cha kidari
sukari kiasi na toast 1 kuchemshwa, carrot cha kuku, green
ya kusagwa salad iliyotiwa
mafuta na limau

7
Kikombe cha chai bila sukari Hakuna kitu cha kula Kipande cha mbavu
cha mbuzi cha
kubanika, tunda 1
SIKU ASUBUHI MCHANA JIONI
8
Kikombe 1 kahawa nyeusi na Mayai mawili ya Steak kipande, gree
sukari kiasi kuchemshwa, salad iliyotiwa
mchicha wa mafuta ya kupikia
kuchemshwa na kiasi na kipande cha
nyanya 1 limau
9
Kikombe 1 kahawa nyeusi/ Soseji 1 na glass 1 Steak kipande green
sukari kiasi mtindi salad iliyotiwa
mafuta, kipande cha
limau na yai 1

10
Kikombe 1 kahawa nyeusi, Mayai 2 ya Cerely za
sukari kiasi na toast 1 kuchemshwa,green kuchemshwa, nyanya
salad iliyitiwa 1fresh na tunda 1
mafuta na kipande
cha limau na soseji 1
11
Kikombe 1 kahawa nyeusi/ Kopo 1 la juice, Steak kipande, green
sukari kiasi, toast 1 glass1 ya mtindi salad, cerely
12
Carrot 1 kubwa mbichi Change mwekundu Steak kipande, green
iliyosagwa na juice ya limau wa kuchemsha, fresh salad na cereal
butter na kipande
cha limau
13
Kikombe 1 kahawa nyeusi Mayai 2 ya Kipande cha kidari
sukari kiasi na toast 1 kuchemshwa, carrot cha kuku, green
ya kusagwa salad iliyotiwa
mafuta na limau

MAMBO YA KUZINGATIA

1. Kila siku kunywa kiasi cha lita mbili za maji


2. Usibadili kahawa na chai
3. Tumia sukari kama ulivyoagizwa
4. Mlo huu kwa ajili ya siku 13 na siyo chini ya hapo au zaidi. Mlo huu wa siku 13 unakuwezesha
uzito wako usiongezeke hata baada ta muda huo , ukila chakula chako cha kawaida uzito
hautaongezeka
5. Beer / wine usinywe wakati wa mlo huu
6. Ukisikia njaa basi kunywa maji na sio soda

You might also like