Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 11

MAFUNZO YA KINGA NA

TAHADHARI ZA MOTO
4

IMEANDALIWA NA KUWASILISHWA NA:


A/INSP. BENJAMIN KINENGE
( 0674 245 589/0754 644 183)
(MKUU WA ZIMAMOTO WILAYA YA
SHINYANGA)
TAREHE 23/05/2017
MAHALI: MANISPAA YA SHINYANGA
MAJUKUMU YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI

5
Jeshi la Zimamoto na Majukumu hayo ni:
Uokoaji linatekeleza Kuzima moto
majukumu yake kwa Uokoaji
mujibu wa sheria namba
14 ya Jeshi la Zimamoto Ukaguzi wa kinga na
na uokoaji ya mwaka tahadhari za moto
2007 pamoja na kanuni Kukusanya maduhuli ya
zake za mwaka 2008, serikali kutokana na ada
2012, 2014 na 2015. ya ukaguzi wa kinga na
tahadhari za moto
Kutoa elimu kwa umma
kuhusu usalama wa moto
n.k
MOTO NI NINI?
6
Moto ni muunganiko wa
Pembetatu ya moto
kikemikali kati ya joto,
Oksijeni 21%
hewa ya oksijeni na kitu
chenye uwezo wa
kuungua.
Muunganiko huo
unaunda pembetatu ya moto
moto.

joto joto la muwako


Kitu kinachoungua

Ili moto uweze kutokea ni lazima vitu


vinavyounda pembetatu ya moto
MOTO UNASABABISHWA NA NINI?
7
Kwa asilimia kubwa Ajali za barabarani
moto unasababishwa na Radi
shughuli za kila siku za Milipuko
binadamu, na kwa kiasi
kidogo na majanga ya Volkano
asili. ili kuzuia moto ni vyema
Baadhi ya sababu za kuwa makini na shughuli
matukio ya moto ni: zetu za kila siku.
Uzembe/ kujisaau
Ujinga
Hujuma
Hitilafu za umeme
TAHADHARI ZA KUCHUKUA ILI KUZUIA AU
KUPUNGUZA MAJANGA YA MOTO
8
Ili kuzuia moto usitokee Watoto wasiruhusiwe kuchezea
inatakiwa kuzuia vitu vitu vinavyoweza kusababisha
vinavyounda pembetatu ya moto moto mfano vibiriti, mafuta ya
visikutane pamoja ama vikutane taa, vifaa vya umeme, majiko n.k
katika kiwango ambacho moto Vyanzo vya moto visivyo vya
hauwezi kutokea. lazima/ visivyotumika
Mambo yafuatayo yanaweza viondolewe/ visimwe.
kufanyika ili kuzuia moto Usiache kitu kinachozalisha moto
usitokee: ndani ikiwa wewe haupo mfano
Vitu vinavyoweza kushika moto jiko, pasi, heater n.k
na kuungua viwekwe mbali na Vuta sigara katika mazingira
vyanzo vya moto mfano mafuta, salama. Usitupe ovyo vipisi vya
gesi, magodoro, masofa, mafaili, sigara; zima na kuweka kwenye
vitabu, makabati, nguo n.k ashtray.
Vyanzo vya moto viwekwe mbali Funga mifumo ya kinga na
na vitu vinavyoweza kuungua tahadhari ya moto
mfano majiko, soketi/swichi, ofisini/nyumbani.
TAHADHARI
9
Weka vifaa vya kuzimia moto Tumia wataalamu
vya awali ofisini/nyumbani na kutengeneza vifaa vya umeme
hakikisha unajua kuvitumia au kufanya ufundi wowote
mafano mitungi ya kuzimia kuhusu umeme.
moto, blanketi za kuzimia Zima vifaa vya umeme na
moto, mchanga mkavu n.k chomoa cable kama havina
Pata elimu ya usalama wa matumizi.
moto kutoka Jeshi la Ikiwa umeme
Zimamoto na Uokoaji. unazimikazimika pasipo na
Fanyiwa ukaguzi wa kinga na sababu ya msingi wasiliana na
tahadhari za moto kutoka wataalamu (TANESCO).
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Toa taarifa ya moto mapema
ofisini/nyumbani. zimamoto kwa namba ya simu
Nunua na tumia vifaa original 114
vya umeme.
KWANINI MOTO NI HATARI?
10
Moto ni hatari kwa Moto unazalisha hewa za
sababu: sumu zinazosababisha
Unasababisha vifo na kifo mfano CO, HCN,
matatizo ya kiafya HCL, SO n.k
kutokana na moshi au Moshi unasababisha
joto kali. kutoona vizuri katika
Unateketeza mali na mazingira ya moto.
kuleta hasara kubwa.
Vitu vilivyoungua
havitengenezeki.
Unazuia shughuli za
kijamii kuendelea
MBINU ZA UZIMAJI MOTO
11
Ili moto uweze kuzimika Moto unaweza kuzimika
kwa urahisi unatakiwa kwa urahisi ukiwa katika
kuuwahi ukiwa katika hatua za uwakaji au ukuaji.
hatua za awali kabla Hatua zilizobaki moto
haujawa mkubwa. unakuwa umeshakuwa
Moto una hatua 5 za ukuaji mkubwa uwezekano wa
Uwakaji/ignition kuzimika unakuwa mdogo.
Ukuaji/growth Moto unaweza kuzimwa
Usambaaji/flashover
kwa njia tatu ambazo ni
upoozaji/cooling, uondoaji
Moto mkubwa/ full wa hewa ya
developed oksijeni/smothering na
Uzimikaji/ decay uondoaji wa kitu
kinachoungua/starvation.
MBINU.
12
Tunatumia maji kufanya Mbinu ipi itumike wakati
upoozaji gani inategemea daraja la
Ili kuondoa hewa ya moto husika.
oksijeni katika moto Usifanye kitu kwa
tunatumia mchanga kubahatisha. Fanya kitu
mkavu, dry powder, sahihi kwa wakati sahihi ili
blanketi, carbon dioxide na kuepusha madhara yasiyo
fomu. ya lazima.
Ili kuondoa kitu
kinachoungua tunatumia
kifaa chochote kisichoweza
kushika moto kwa urahisi.
MADARAJA YA MOTO
13
Kuna madaraja makuu manne ya Daraja C moto wa gesi.
moto: Hatutumii maji. Tunatumia
Daraja A moto wa vitu vya carbon dioxide kuzima moto
kawaida. Tunatumia maji kuzima daraja C. pia unaweza kutumia
moto daraja A. mchanga mkavu au dry powder.
Daraja B moto wa Daraja D moto wa metali/ vitu
vimiminika/mafuta. Hatutumii vyenye asili ya chuma. Hatutumii
maji. Tunatumia fomu kuzima maji. Tunatumia dry powder, pia
moto daraja B. pia unaweza haishauriwi kutumia carbon
kutumia carbon dioxide, dry dioxide.
powder, mchanga mkavu, NB:
balnketi. DRY POWDER ina uwezo wa
kuzima madaraja yote ya moto.
Kama unatumia maji kuzima
moto sehemu yenye umeme,
zima umeme kwanza.
Tumia kizimia moto sahihi kwa
daraja husika la moto.
MWISHO
14

ASANTENI KWA KUNISIKILIZA

You might also like