Professional Documents
Culture Documents
Tangazo Sheria Ndogo
Tangazo Sheria Ndogo
Kwa mujibu wa kifungu cha 89 cha Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Miji) Sura
288 ya Mwaka 2002; Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala anawatangazia
Wananchi/Wakazi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kwamba anakusudia kutunga Sheria
Ndogo zifuatazo:
Sambamba na zoezi hilo Halmashauri inakusudia pia kufanya marekebisho ya Sheria ndogo
zifuatazo:
1. SHERIA NDOGO ZA (HIFADHI YA MAZINGIRA NA RASILIMALI ZA
ASILI) ZA HALMASHAURI YA MANISPAA YA ILALA TANGAZO LA
SERIKALI NA. 596/2015
Kwa tangazo hili ninawaomba wananchi/wakazi wote pamoja na wadau wote kujitokeza na
kutoa maoni na mapendekezo yao kuhusu utungaji na marekebisho ya sheria tajwa hapo juu.
Maoni na mapendekezo hayo yawasilishwe kwa maandishi katika Ofisi za watendaji wa Kata,
Ofisi ya Mkurugenzi Idara ya Sheria au ofisi za Manispaa Arnatoglou Mnazi Mmoja chumba
Na.2 au kwa Sanduku la Posta 20950, Dar es Salaam kabla ya tarehe 30/3/2018.
LIMETOLEWA NA,