St. Augustine University of Tanzania: P.O Box 307, Mwanza, Tanzania

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 1

ST.

AUGUSTINE UNIVERSITY OF TANZANIA


P.O BOX 307, MWANZA, TANZANIA

Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania SAUT Kampasi ya Mwanza, kinakutangazia nafasi
za masomo katika ngazi ya DIPLOMA na CERTIFICATE kwa Intake ya mwezi wa nne (4) kwa
mwaka wa masomo 2017/2018. Kozi zinazotolewa:

DIPLOMA PROGRAMMES:
1. Diploma in Accountancy (Stashahada ya Uhasibu )
2. Diploma in Business Administration (Stashahada ya utawala wa Biashara
3. Diploma in Journalism and Media Studies (Stashahada ya uandishi wa habari)
4. Diploma in Procurement and Supply Chain Management (Stashahada ya ugavi na manunuzi)
5. Diploma in Computing, Information and Communication Technology (Stashahada ya
kompyuta,Teknolojia ya habari na mawasiliano)
6. Diploma in Computer Science (Stashahada ya sayansi ya Kompyuta)
7. Diploma in Law (Stashahada ya Sheria)

 SIFA ZA MWOMBAJI:
i) Mwombaji awe amehitimu kidato cha sita na amepata alama za ufaulu kiwango cha principal pass
moja.
AU
ii) Mwombaji awe amehitimu ngazi ya cheti na awe na ufaulu wa kuanzia G.P.A 2 na kuendelea.
Katika Kozi za Cheti;

CERTIFICATES PROGRAMMES:
1. Certificate in Law (Astashahada ya Sheria)
2. Certificate in Business Administration (Astashahada ya utawala wa Biashara)
3. Certificate in Accountancy (Astashahada ya uhasibu)
4. Certificate in Health Administration (Astashahada ya utawala wa afya)
5. Certificate in Computing, Information and Communication Technology (Astashahada ya
kompyuta,Teknolojia ya habari na mawasiliano)
6. Certificate in Tourism Enterprise Management (Astashahada ya Usimamizi katika Utalii)
7. Certificate in Logistics and Supply Management (Astashahada ya Ugavi)
8. Certificate in Journalism and Media Studies (Astashahada ya Uandishi wa Habari)
9. Certificate in Computer Science (Astashahada ya sayansi ya kompyuta)

 SIFA ZA MWOMBAJI:
i) Mwombaji awe amehitimu kidato cha nne na awe amepata alama za ufaulu kuanzia “D” 4.
 Maombi yanapokelewa Ofisi ya usajili chuoni Malimbe – SAUT .
 Au Maombi yafanyike kupitia Online OSIM – SAS (http://osim.saut.ac.tz/apply)
 Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/3/2018.
Kwa maelezo zaidi:
Tembelea tovuti ya chuo: www.saut.ac.tz au katika ofisi ya msajili iliyopo chuoni.
Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania
S.L.P: 307
MWANZA, Tanzania
Mob: +255 766 327 423 / 0745 559 150 / 0673 598 803
: +255 752 581 035 / 0713 578 009 / 0718 322 829 Email: admission@saut.ac.tz

You can pay through ; A non-creditable application fee of Tshs 20,000.00 Bank Account No: 01J1053964003 - CRDB BANK PLC,
Account name SAUT ACCOUNT or M-Pesa PROCEDURES: DIAL *150*00#, SELECT 4 ,SELECT 1, ENTER LIPA NUMBER : 5613096, ENTER
AMOUNT IN TZS: 20,000/=, ENTER YOUR M-PESA PIN / PASSWORD, PRESS 1 TO CONFIRM, YOU WILL RECEIVE A CONFIRMATION MESSAGE
THAT YOU HAVE PAID TO, ST AUGUSTINE UN TANZANIA MWANZA

You might also like