Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 12

LES WANGA MASS

Bwana ‘Tuhurumie 5. Ndipo atakapotokea –


[Bwana, Bwana, Bwana, [Bwana (ee), Bwana Kuhukumu wazima na wafu –
(ee), Bwana (ee), Bwana ‘tuhurumie] x2. Kwake Roho Mtakatifu –
[Kristu, Kristu, ....] x2. Kwa Kanisa la katoliki –
[Bwana, Bwana, ....] x2. 6. Ushirika wa watakatifu –
Ondoleo la dhambi zetu –
Utukufu Nangojea ufufuko wa miili –
1. (Ten.) Utukufu kwa Mungu mbinguni Na uzima wa milele –
mbinguni;
(Sop.) Utukufu kwa Mungu mbinguni Mtakatifu
mbinguni x2. 1. (Mtakatifu Bwana, Mtakatifu, Mtakatifu
Utukufu kwa Mungu juu mbinguni, (kwa Bwana, Mtakatifu Mungu wa majeshi) x2.
Mungu) juu mbinguni, (kwa Mungu) juu (Mbingu na dunia, zimejaa; Mbingu na dunia,
mbinguni, (kwa Mungu) juu mbinguni kwa zimejaa utukufu wako Bwana) x2.
Mungu. Amani kwa watu; kwa watu (Hosanna hosanna, Hosanna sanna; Ho-
duniani, Amani kwa watu; kwa watu sanna hosanna, Hosanna sanna; Hosanna
duniani, oh! Amani kwa watu; kwa watu sanna juu mbinguni) x2.
duniani, Amani kwa watu; kwa watu 2. (Mbarikiwa yeye, mbarikiwa; Mbarikiwa yeye,
duniani ajaye kwa jina lake Bwana) x2.
2. (Ten.) Twakubudu na twakusifu twakusifu;
(Sop.) Twakubudu na twakusifu twakusifu Baba Yetu
x2. (Baba yetu, Baba, wa mbinguni, Baba, Baba
3. (Ten.) Utukufu kwa Mwana wa pekee wa yetu, Baba, wa mbinguni jina lako na litu-
pekee; kuzwe) x2.
(Sop.) Utukufu kwa Mwana wa pekee wa 1. Baba yetu uliye mbinguni, ewe Mungu. Jina
pekee x2. lako na litukuzwe, Baba yetu x2.
4. (Ten.) Uliyemtuma kututafuta sisi; 2. Utawala wako ufike, ewe Mungu. Tupe leo
(Sop.) Uliyemtuma kututafuta sisi x2. chakula chetu, Baba yetu x2.
5. (Ten.) Utukufu kwa Roho, Roho Mtakatifu; 3. Tusamehe makosa yetu, ewe Mungu. Kama
(Sop.) Utukufu kwa Roho, Roho Mtakatifu nasi tusameheavyo, Baba yetu x2.
x2. 4. Situtie majaribuni, ewe Mungu. Tuopoe na
6. (Ten.) Atujaliaye uzima wako Baba; yule muovu, Baba yetu x2.
(Sop.) Atujaliaye uzima wako Baba x2. 5. Na kwa kuwa ‘falme ni wako, ewe Mungu.
7. (Ten.) Na pamoja na Roho milele amina; Kweli nguvu na utukufu, Baba yetu x2.
(Sop.) Na pamoja na Roho milele amina x2.
Amani
Nasadiki 1. (Amani yake Bwana ninakupa, pokea. Amani
1. Nasadiki kwa Mungu mmoja - mimi. ya Bwana, ewe mwenzangu pokea ee) x2.
Ndiye Baba yetu Mwenyezi - mimi nasadiki. [Amani yake Bwana amani (ee) (amani)
Muumba mbingu pia dunia – (amani) iwe nawe (ee) iwe nawe (amani) ewe
Nasadiki kwa Yesu Kristu – (ee) mwenzangu pokea] x2.
(Nasadiki, mimi, nasadiki, mimi, nasadiki 2. Upendo wake Bwana….
nasadiki, eh eh mimi, eh eh eh nasadiki) 3. Hekima yake Bwana….
x2. 4. Fadhili zake Bwana….
2. Mwana wa pekee wa Mungu – 5. Neema yake Bwana….
Mwenye kuzaliwa kwa Baba – 6. Furaha yake Bwana….
Akapata mwili kwa Roho – 7. Faraja yake Bwana….
Kazaliwa naye Bikira – 8. Shukrani zake Bwana….
3. Kisha yeye kasulibiwa – 9. Uzima wake Bwana….
Kwa amri ya Ponsyo Pilato –
Kwa ajili yetu kateswa – Mwana Kondoo
Akafa na akazikwa – [Mwana kondoo wa Mungu, (uondoaye dhambi
4. Kafufuka katika wafu – za dunia ee, Mwana, Mwana, Mwana utuhuru-
‘kapaa juu mbinguni – mie) x2] x2. Mwana kondoo wa Mungu,
Ameketi kuume kwake – (uondoaye dhambi za dunia ee, Mwana, Mwana,
Mungu Baba yetu Mwenyezi – Mwana utupe amani) X2.

You might also like