Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 3

IMANI YA KIZAZI KIPYA NDANI YA KINYAGO CHA UAAFRIKA NA IBADA YA SHETANI SEHEMU YA 2

USHAHIDI KUTOKA VYANZO VYA WAABUDU MASHETANI KUHUSU DINI YA KIZAZI KIPYA (UAFRIKA)

Hapa nitanukuu Waabudu mashetani wa degree ya juu kabisa kwa sababu wale wa chini HUWA
WANADANGANYWA TU.Na hata ukitafiti utagundua kuna waandishi wakuu kadhaa wa masuala haya
ambao ni Abert Pike na Helena Blavasky ,Aleister Crowley na (baadhi ya vitabu vyao ninavyo)

KUHUSU WANAOJUA UKWELI KUHUSU IMANI HII, ALBERT PIKE ANASEMA:

Degree za blue (za mwanzo)ni ua wa nje tu wa hekalu ni Sehemu ya ALAMA zinazooneshwa kwa hao
wanaoanza lakini TUNAWAPOTOSHA MAKUSUDI KWA KUWAPA TAFSIRI ZISIZO SAHIHI,HAPA
IMEKUSUDIWA ASIZIELEWE ila AHISI KUWA AMEZIELEWA.Maana zake halisi zinahifadhiwa kwa ajili ya
Adepths,the princes on Masonry(watu wa degree za juu). Morals and Dogma page 819

Hii ina maana wenye tafsiri sahihi za alama ni freemason ni degree za juu. Pia kumbuka ndugu yetu
mmoja alisistiza kuwa eti waafrika WALITUMIA LUGHA ZA ALAMA. Hivyo wengi hujidanganya kufikiri
wanaelewa maana ya alama hizo kumbe hawajui

NINI CHANZO CHA MAFUNDISHO YA IMANI HII??

Anton Levay alianzisha Church of Satan na Alieandika satanic Bible alisema hivi kuhusu watu wa dini ya
kizazi kipya(uafrika bandia) kuwa “Katika shelfu la vitabu vya dini ya kizazi KIPYA VINAVYOONGOZA
TAFAKARI(meditation),visualization,kutoka nje ya mwili(out of body experience n.k…..Kizazi kipya
WAMECHUKUA KWA UHURU MATIRIO NA KUYATUMIA KINAFIKI KATIKA MAKUSUDI YAO. Lakini ukweli
ni kuwa HIZI LEBO WANAZOTUMIA NI KUJARIBU KUCHEZA KARATA YA SHETANI BILA KUTAJA JINA LAKE.
(Church of Satan by Blance Barton pg 107 1990

.Nyingine:

Hakuna organization au harakti ambayo IMECHANGIA VIPENGELE VINGI VINAVYOUNDA dini ya kizazi
kipya kama THEOSOPHICAL SOSIETY(hii ni imani ya kishetani iliyoanzishwa na Madam Blavasky).Madam
blavasky anasimama kama, ama muasisi au aliyeifanyakuwa maarufu,maneno na mawazo ambayo karne
moja baadaye YALITUMIKA KWENYE DINI YA KIZAZI KIPYA.Theosophical society ambayo yeye ni mmoja
wa waanzilishi imekuwa ni WAKALA MKUBWA WA IMANI ZA KICHAWI katika Ulaya na ndio NJIA PEKEE
ILIYOLETA IMANI ZA KIMASHARIKI ULAYA.-Gordon Melton ,New Age Almanac P16 1991

Website JOY OF SATAN inafundisha mambo yooote ambayo New agers wanafundish(itafute kwenye
mtandao)

Hata ile mumgu ya Horus na ISIS n,k ni majina mengine ya shetani,hata TITle queen of
Heaven.KUMBUKA SHETANA HANA SHIDA NA JINA BALI KANUNI
TU YACHUNGUZE BAADHI YA MAFUNDISHO YAO MAKUU

1.HIYO INAYOITWA NGUVU NI NANI HASA?

Hapa tutawauliza wenyewe waseme:

Alebert Pike anasema :…Shetani si mungu mweusi bali ni KULE KUMKATAA MUNGU. Shetani ana nafsi
kwa wale wanaoamini kuna MUngu lakini KWA WALEWANAOANZA IMANI YETU SHETANI NI
NGUVU(FORCE).Yeye ndiye chanzo cha uhuru na nafsi huru (zingatia haya maneno kama huyasikii humu
kwenye group) - Morals and Dogma pg 102.

Hivyo ukisikia force kwenye movie au kwenye,elimu au kwenye huu uafrika bandia NI SHETANI

Maan Madama Blavasky anasema katika kitabu kinaitwa SECRET DOCTRINE volume 11 uk 215
kuwa”SHETANI ndiye mungu wa sayari yetu.mungu pekee

Kumbuka shetani aanaabudiwa kwa KANUNI BILA KUJALI ANAITWAJE

2.BINADAMU NI MUNGU

Imani hii inaamini binadamu ni mungu,lakini kama tulivyoona huu ni uwongo amabao shetani
almdanganya hawa ,Sasa Madam Blavsky anasemayafuatayo”Waristo na wayahudi wanelewa kidogo
sana kuhusu sura nne za mwanzo za kitabu cha MWanzo.hawajui kuwa kuasi kule(adman a HAwa
hakukusudia iwe Dhambi bali SHETANI NDIYE MUNGU HUYOHUYO(umewahi sikia maneno haya humu
kwenye group) aliyebeba hekima AKIWAFUNDISHA BINADAMU KUWA WAUMBAJI WAO
WENYEWE(MUNGU). PG 215 Secret Doctrine volume 2

Eti admana hawa sio walitenda dhambi bali walipoasi NDIPO WAKAWA MIUNGU.

Alister Crwoley muasisi wa sentensi (do thou wilt) fanya unachopenda AMBAYE PAMOJA NA
KUJIDANGANYA KUWA YUKO HURU ALIKUFA MTUMWA WA MADAWA YA KULEVYA,Mwisho wa maisha
yake alisikika akisema “SHETANI TOKA” Aliwahisema kuwa huyu shetani si adui wa wanadamu YeYe
ndiye MUngu wa ulimwengu huu ANATUASA TUJITAMBUE kuwa sisi ni miungu(UNALIKUMBUKA HILI
NENO?),Yeye nis shetani au BAPHOMET. ANAYE WAKILISWA NA ALAMA HII (hasa kwenye miziki) yeye
ni MUNGU wa kufanikisha masuala ya burudani) Magic in theory and Practice Chap xxi p 172

ALIKUWA akitangaza uhuru na kumbe yeye mwenyewe mtumwa wngie hutangaza uhuru wakati ni
watumwa wa ngono,ulevi pesa na hata matumbo yao

Nimalizie kwa leo kwa kusema Mungu aliumba watu wa races mbalimbali,nah ii utaona katika vitu vngi
kama maua na viumbe wengine havifanani.Huku kujifanya kuutukuza uafrika kwa kumakataa MUNGU ni
kichaka cha kukimbia wokovu.Hamna jamii iliyoana ikiwa na imani moja watu walitofautiana na ndivyo
ilivyo hata leo,CHAGUA UZIMA KATIKA YESU KRISTO UWE NA UHURU WA KWELI.
TUtaendela wakati mwingine UKWELI UHUSU JICHO LA TATU

You might also like