Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 7

Aina za maneno

Aina za maneno ni dhana au maana ya


neno/maneno. Pia aina za maneno
huhusisha mgawanyo wa maneno hayo
kulingana na matumizi yake.

Kwanza neno ni umbo lenye maana


ambalo lina nafasi pande mbili. Neno ni
silabi au mkusanyo wa silabi wenye
kubeba au kuleta maana fulani.
Aina za maneno
1. Nomino (alama yake kiisimu ni: 'N')
2. Viwakilishi (alama yake kiisimu ni:
'W')
3. Vivumishi (alama yake kiisimu ni: 'V')
4. Vitenzi (alama yake kiisimu ni: 'T')
5. Vielezi (alama yake kiisimu ni: 'E')
6. Viunganishi (alama yake kiisimu ni:
'U')
7. Vihisishi au Viingizi (alama yake
kiisimu ni: 'I')
8. Vihusishi (alama yake kiisimu ni 'H')

Nomino
Nomino hufanya kazi ya kutaja jina la mtu,
kitu au mahali. Kwa mfano: baba,
Tanzania, ugonjwa n.k.

Aina za nomino

Kuna aina nne za nomino:

1. nomino za kawaida. Kwa mfano:


baba, mama
2. nomino za kipekee. Kwa mfano:
Elisha, Angela, Naomi, Christopher
3. nomino za jamii. Kwa mfano:
mkutano
4. nomino za dhahania. Kwa mfano:
malaika
Viwakilishi

Viwakilishi ufanya kazi ya kusimama


badala ya jina au nomino.

Aina za viakilishi

Kuna aina tisa za viwakilishi:

1. viwakilishi vya nafsi. Kwa mfano:


mimi
2. viwakilishi vya kuonesha. Kwa mfano:
wale
3. viwakilishi vya kumiliki. Kwa mfano:
wangu
4. viwakilishi vya idadi. Kwa mfano:
wachache
5. viwakilishi vya kuuliza. Kwa mfano:
yupi
6. viwakilishi vya kipekee. Kwa mfano:
mwenyewe
7. viwakilishi vya a-unganifu. Kwa
mfano: la baba
8. viwakilishi vya sifa. Kwa mfano: mfupi
9. viwakilishi vya amba\urejeshi. Kwa
mfano: ambalo

Tazama pia
Lango:Lugha
Neno
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni
mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aina za maneno kama
historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya
Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa
kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari .

Rudishwa kutoka
"https://sw.wikipedia.org/w/index.php?
title=Aina_za_maneno&oldid=1063592"

Last edited 6 months ago by Riccardo Riccioni

Nakala inapatikana chini ya Creative Commons


Attribution/Share-Alike License; masuala ya ziada
yanaweza kukubalika. Tazama Masharti ya
Utumiaji kwa maelezo zaidi. Wikipedia ni nembo
iliosajiliwa na Wikimedia Foundation, Inc., asasi
isiyokuwa ya kifaida.

You might also like