Download as docx, pdf, or txt
Download as docx, pdf, or txt
You are on page 1of 5

MATHEMATICS

1.56 + 467 + 1307 =


A. 1710 B. 1730 C. 1824 D. 1829 E. 1830
2. 60114 – 42987 =
A. 18237 B. 17127 C. 18027 D. 18127 E. 18137
3. 109.2 ÷ 6 =
A. 18.2 B. 1.82 C. 0.182 D. 0.0782 E. 182.0
4. 87 × 102 =
A. 8771 B. 8764 C. 8874 D. 8864 E. 8884
5. 11/7 + 31/7 =
A. 31/49 B. 42/49 C. 41/14 D. 41/7 E. 42/7
6. 12½ -1¾ =
A. 41/2 B. 63/4 C. 51/4 D. 73/8 E. 61/4
7. 7 + (3) + (2 – 14) =
A. -2 B. 4 C. 10 D. 2 E. 6
8. 162 – 132 =
A. 87 B. 67 C. 97 D. 77 E. 187
9. 0.01-0.001=
A. 0.09 B. 0.01 C.0.009 D.0.9 E. 0.0009
10. 2040 ÷ 12 =
A. 1700 B. 107 C. 17 D. 170 E. 200
11. Tafuta thamani ya m,
A. 117.6 B. 118.6 C. 112.6 D. 127.6 E. 115.6
12. 24.76 – (12.46 + 8.12) =
A. 14.18 B. 4.18 C. 14.28 D. 4.28 E. 3.18
13. Tafuta 12% ya 5000.
14. Kama M = 3, N = 4. Tafuta thamani ya (M 2 – N2) (M – N)
A. -8 B. -7 C. 12 D. 8 E. 7
15. Kuna namba tasa ngapi kati ya 10 na 20?
A. 4 B. 9 C. 5 D. 11 E. 6
16. Tafuta kigawe kidogo cha shirika (KKS) cha 6, 8 na 12.
A. 24 B. 1 C. 2 D. 48 E. 72
17. Badili 332/3 kuwa sehemu rahisi.
A. 100/3 B. 99/33 C. 101/3 D. 102/3 E. 104/3
18. Kama x = 3 na y = 5, tafuta thamani ya (x – y) 2.
A. 2 B. 4 C. -4 D. -16 E. 16
19. Tafuta kipeuo cha pili cha √ (7 × 7)
A. 7 B. 2401 C. 28 D. 49 E. 14
20. Badili 0.05 kuwa sehemu rahisi.
A. 1/200 B. 1/2 C. 5/10 D. 5/100 E. 1/20
21. Badili 269 kuwa namba za kirumi.
A. CCXLIX B. CCLXXI C. CCLXXV D. CCLXVI E. CCLXIX

22. Tafuta namba inayokosekana katika mfululizo huu , 200, 205, 210.

A. 165 B. 105 C. 199 D. 195 E. 185

23. Kama umbo ABF na DCE ni sawa. Kuna mistari sambamba mingapi katika umbo ABCDEF.

A. 4 B. 2 C. 6 D. 7 E. 8

24. Tafuta mzingo wa duara, ikiwa kipenyo chake ni sm 56 (tumia ∏ = 22/7)

O
A B

A. Sm 242 B. Sm 166 C. Sm 176 D. Sm 342 E. Sm 352

25. Katika umbo mraba ABCD, urefu wa AB ni sm 70. Tafuta eneo la sehemu iliyotiwa kivuli.

B C

A D

A. Sm2 110 B. Sm2 1150 C. Sm2 1050 D. Sm2 3850 E. Sm2 4900

26. Tafuta thamani ya ‘x’ katika umbo lifuatalo

A. 10 B. 30 C. 90 D. 20 E. 40

27. Tafuta thamani ya pembe ‘B’ katika umbo lifuatalo


A. 200 B. 300 C. 500 D. 600 E. 700

28. Kama urefu AD ni sawa na urefu DC. Tafuta eneo la pembetatu ABC.

A. Sm2 10 B. Sm2 12 C. Sm2 15 D. Sm2 20 E. Sm2 30

29. Andika majira ya nukta M katika grafu ifuatayo:

A. (3,5) B. (-5,3) C. (0,5) D. (-3,5) E. (3,0)

30. Mzingo wa mstatili ufuatao ni sm 26. Tafuta upana wa mstatili ufuatao.

A.Sm 4 B. Sm 6 C. Sm 8 D. Sm 9 E. Sm 3

31. Tafuta eneo la mche mstatili ufuatao:


A.Sm2 10 B. Sm2 96 C. Sm2 40 D. Sm2 83 E. Sm2 166
32. Eneo la mstatili katika bustani ni m2 160 na upana wake ni m 8. Ikiwa John atazungushia wigo eneo
lote la bustani, urefu wa wigo huo itakua mita ngapi?
A. M 20 B. M 28 C. M 40 D. M 56 E. M 80
33. Zainabu alinunua vitu vifuatavyo kwa ajili ya watoto wake:
2 Books @ 7200/=
2 Rulers @ 1500/=
2 Pens @ 7200/=
10 Exercise books @ 1500/=
Kama alitoa noti 5 zenye thamani ya shilingi elfu 10,000. Atabakiwa na shilingi ngapi?
34. Mkulima mmoja alivuna gunia 56 za mahindi kutoka shambani kwake. Kama aliuza gunia zote za
mahindi kwa shilingi 1,400,000/=. Gunia moja atakua ameuza shilingi ngapi?
A. 2500 B. 25,000 C. 250,000 D. 250 E. 40,000
35. Asilimia 45% ya wanafunzi katika shule ya msingi Kamota wanapenda somo la Hisabati, ikiwa shule
hiyo ina jumla ya wanafunzi 400. Je, ni wanafunzi wangapi hawapendi somo la Hisabati?
A. 420 B. 220 C. 210 D. 355 E. 180
36. Wanafunzi watano waligawana maembe 15 waliyopewa na mwalimu wao. Ni mlinganyo gani
utatumika kugawa maembe haya?
A. 3x = 15 B. x = 15 C. x = 5 D. 5x = 15 E. 15x = 5
37. Musa alinunua kilogramu 110 za mchele. Ikiwa 1/5 ya mchele aliuza kwa rafiki yake. Atabakiwa na
kilogramu ngapi?
A. Kg 88 B. Kg 98 C. Kg 22 D. Kg 44 E. Kg 49
38. Kaboja ana jumla ya ng’ombe 672 siku moja aliamua kuuza ng’ombe 178. Je, alibakiwa na ng’ombe
wangapi?
A. 594 B. 484C. 494 D. 506 E. 504
39. Wastani wa jaribio la somo la Sayansi kwa wanafunzi 40 ni 54.8. Nini jumla ya alama hizo kwa
wanafunzi wote? A. 2182 B. 2192 C. 2202 D. 2092 E. 2162
40. Umbo mraba umeundwa na pembe mbili ambazo ni sm 6 na sm 8.
A. Sm 2 B. Sm 7 C. Sm 12 D. Sm E. Sm

SEHEMU B.

41. Mita 10 ni sawa na kilomita ngapi?

42. Tafuta ujazo wa mche duara ufuatao (tumia ∏ 22/7)


43. Tafuta thamani ya ‘x’

44. Dereva husafiri umbali wa kilomita 864 kwa saa 12. Tafuta mwendokasi wa gari hilo.

45. Kampuni ya biashara ya John na Jack iligawanya tani 250 za pakiti za sukari kwa uwiano wa 2:3.

You might also like