Professional Documents
Culture Documents
Fomu Ya Mchango Ya Kwaya Ya MT
Fomu Ya Mchango Ya Kwaya Ya MT
NDUGU……………………………………………….
Husika na soma tajwa hapo juu
Sisi wanakwaya ya mtakatifu Yosephu Baba Mrishi
Wa Bwana wetu Yesu Kristu tunayo furaha kubwa
Kukuomba (kuwaombeni) muweze kutuchangia kiasi chochote ili tukarekodi
nyimbo kwa ajili ya kuitangaza parokia yetu kwa uinjilishaji wa nyimbo za
kanisani. Tunakuomba utuongezee na ndugu,marafiki wasiopungua tisa. Asante
NO MAJINA KIASI
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10