Professional Documents
Culture Documents
DIBAJI
DIBAJI
DIBAJI
Wazo la biashara ya ufugaji wa kuku wa mayai katika kata ya kimandolu mtaa wa kijenge juu
Arusha mjini. Ni wazo ambalo limebebwa na mambo yafuatayo;
Utawala; katika utawala wazo langu lina utawala mzuri, kukabiliana na hali ya soko, kukabiliana
na washindani katika biashara na ubora wa bidhaa ambao utanifanya niwe na soko zuri. Pia
kutangaza biashara ili nipate soko kubwa, eneo la biashara ni lenye utulivu na lenye wahitaji.
Mpango wa fedha; chanzo cha mradi wangu kinategemea marafiki nilionao ambao wataweza
kunichangia kwa hali na mali pia wawekezaji, mfano KAKUTE naamini wakinishika mkono
nitafanikiwa Zaidi katika biashara.
Bajeti ya mradi ni kama ifuatayo jumla kuu ya chakula kwa miezi sit ani 2,275,000/=, vifaranga
200 ni 500,000/= gharama za dawa kwa miezi sit ani 150,000/= gharama nyinginezo ni
1,310,000/= katika mradi wangu wa ufugaji itagarimu kiasi cha 4,235,000/=.
Vihatarisho vya biashara inaweza kuwa ni magonjwa hivyo nitajitahidi kufuata ushauri wa
wataalamu na tiba kwa wakati ili nipate mavuno bora.
Utoaji huduma nitahakikisha namjali mteja katika hali zote na lugha nzuri ili kuwavuta wateja
wengi Zaidi.
Katika biashara yangu nitajitahidi kutoa huduma nzuri na kuwa na uzalishaji wa mayai na nyama
kwa viwango vya juu ili kuwaridhisha wateja. Nitajitenga mahusiano mazuri kwa wateja kama
vile kutumia lugha nzuri wakati wa mazungumzo na mteja, kumjali mteja Pamoja na kusikiliza
maoni ya wateja jinsi ya kuboresha huduma.
Katika wazo langu la biashara wateja wangu ni wat una makundi mbalimbali kama vile mahoteli,
migahawa, maduka mbalimbali ya jumla na rejareja Pamoja na mwananchi mmojammoja.
Katika biahsra yangu nitajitahidi kuitangaza biashara kwa upana Zaidi ili kuoata wateja wengi
Zaidi Pamoja na kutambulika sehemu mbalimbali.
Mradi wangu wa biashara utafanyika nyumbani kwetu kata ya kimandolu mtaa wa kijenge juu
Arusha mjini kwasababu kuna eneo ambalo linatosha kufanyia biashara yangu ya ufugaji w
kuku.
Malengo yangu katika ndani yam waka mmoja ni kupata wateja zidi katika biashara ili kukuza
biashara wigo wangu wa kibiashara, malengo yangu nikujitangaza Zaidi kibiashara nikiamini
kuwa biashara ni matangazo. Biashara yangu kadri itakavyokuwa inashamiri ndivyo
nitakavyokuwa ninaajiri wafanyakazi. Pia lengo langu ningependa kuona watu wengine
wanafaidika ma mradi wangu wa biashara kama kupata ajira.
Katika biashara yangu kuna mambo ambayo yatanisaidia katika kufanikiwa kibiashar. Mambo
hayo ni kama; kuzalisha bidhaa bora (mayai) Pamoja na kuitngaza biashara yangu. Pia mimi
binafsi nita itangaza biashara yangu kwa njia mbalimbali kama vile mitandao ya kijamii,
vipeperushi na radio, ili biashara yangu iweze kutambulika Zaidi Pamoja na kupata wateja wengi
Zaidi.
FURSA TISHIO
Ongezeko la watu wenye kuhitaji Washindani kuongezeka
wa kuku na mayai Gharama za ufugaji na madawa
Sera ya nchi kuimiza ujasiriamali kupanda
Uwezo wa kuajiri kwa sababu ya Magonjwa
uhaba wa ajira kwa sekta za serikali
Uwepo wa mikopo na taasisi za
fedha
Uwepo wa teknolojia ya simu ili
kuwasiliana na wateja
Malighafi na madawa kupatikanan
ndani ya nchi
2.0 MASOKO
Katika biashara yangu ya ufugaji wa kuku wa mayai ya kisasa, ninalenga watu na makundi
mbalimbali watakao tumia bidhaa yangu bila kujali jinsia, umri, kabila, rangi. Soko langu la
biashara litalenga hasa makindi yafuatayo; maduka mbalimbali ya jumla na rejareja, migahawa,
mahotelini Pamoja na wateja binafsi.
4.1 Marafiki
Katika wazo langu la biashara ili kufanikiwa nahitaji fedha kwa ajili ya kuendesha mradi wangu
wa ufugaji wa kuku. Ninategemea kuwezeshwa na marafiki mbalimbali ambao watanishika
mkono kwa njia moja au nyingine.
4.2 Wawekezaji
Pia nategemea wawekezaji ambao watanishika mkono ili kufanikisha wazo angu la biashara.
Wawekezaji kama KAKUTE naamini wakinishika mkono nitafanikiwa kuanzisha biashara yangu.
Umeme 60,000/=
Usafiri 50,000/=
JUMLA NI 1,310,000/=
Mlipuko wa magonjwa
Kuku wa kisasa wanahitaji uangalizi mkubwa ili waweze kuwa katika ubora. Magonjwa hayo ni
kideri, mafua n.k
Hivyo basi kama mfugaji ili uweze kukabili changamoto hii ninahitaji kufuata hatua zote za
utoaji wa chanjo mbalimbali ili kuwalinda kuku na magonjwa kulingana na washauri na
wataalamu wa ufugaji wa kuku (Veterinary Officer)
7.1 Aina ya vihatarishi na fursa za kibiashara
Kuna vihatarishi vingi vinaweza vikakabili biashara yangu, yakiwemo magonjwa, wizi, ukosefu
wa madawa n.k. hali kadhalika kuna fursa mbalimbali zinazojitokeza kama ukuaji wa uwekezaji
wa mahoteli ambapo ndio wateja wakubwa wa bidhaa zangu.
JULAI
SEPTEMBA
NOVEMBA
DISEMBA
JUNI
AGOSTI
OCTOBA
UTEKELEZAJI
Kuhudhuria mafunzo
Kutambua wazo la
biashara
Utafiti wa masoko
Kutengeneza
mchanganuo wa
biashara
Kurasimisha/
kuandikisha jina la
biashara
Kutafuta mtaji wa
kuanza biashara
Kuanza biashara ya
majaribio
Kutafuta mkopo wa
kukuza biashara
Kuendesha na kukuza
biashara
KALENDA AU RATIBA YA UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI
YA KISASA
Katika wazo langu la ufugaji wa kuku nitahakikisha nafuata ratiba au kalenda ambayo nitakuwa
nimejipangia ili kuku wangu wawe katika ubora unaohitajika. Ratiba hii itajumuisha aina ya
chakula kulingana na umri wa kuku kama ifuatavyo;
Kuku hawa wanataga kwa kipindi cha miaka miwili hivyo basi ni vizuri kuleta zao linguine baada
ya kipindi cha miaka miwili.
MAPAT MATUMIZI
O
SIKU IDADI KIASI Chakula Umeme Usafiri Dawa Matangazo
YA
MAYAI
SIKU YA 180 45,000/= 20,000/ 400/= 2000/= …………….. ……………..
KWANZA =
WIKI 1260 315,000/= 85,800/ 2800/= 15,000/= …………….. ……………...
=
MWEZI 5040 1,260,000/= 2,800/= 11,200/= 60,000/= 20,000/= 50,000/=
7.7 Viambatanishi
Wasifu wangu mimi ni mwanafunzi wa JRIIT ninasoma masomo ya biashara (Diploma in
business Administration) mwaka wa tau, uzoefu nilionao nilishawahi kujishugulisha kwenye
biashra hii kwa muda mfupi, kwenyew biashara yangu nitakuwa na TIN, leseni ya biashara, bima
ya biashar na kadi ya ujairiamali.
Maelezo
Fedha ya kufanyia biashara Mzunguko wa fedha + fedha ya kuanzia