Download as rtf, pdf, or txt
Download as rtf, pdf, or txt
You are on page 1of 2

Tanzania Red Cross Society

Zanzibar Branch
Patron:
President of United Republic of Tanzania
Ndugu John Pombe Magufuli
National Chairman
DEVID M KIHENZILE.

Zanzibar Branch
E-mail: trcszanzibar@gmail.com Mnazi Mmoja
P. O. Box 236
0768350307/0773 168620 Zanzibar

11/09/2020

TRCS/ZNZ/ADM/47/22

MW/MKUU

SKULI YA MSINGI FUJONI

MKOA KASKAZINI
UNGUJA.

KUH: OMBI LA RUHUSA KWA ND HAJI KOMBO ALI

Kwa heshima naomba uhusike na mada ya hapo juu.

Mtajwa hapo juu ni mmoja kati ya Wanachama wa Red Cross, ambaye ameteuliwa kushiriki katika
Mafunzo ya huduma ya kwanza (First Aid Training) yatakayofanyika kuanzia tarehe 14/09/ hadi tarehe
18/9/2020 katika mkoa wa Kaskazini Unguja Mafunzo hayo yatakuwa kwa kinadharia na Kivitendo na
pia yatamjengea Uwezo wa kutoa huduma ya kwanza na kuokoa maisha ya watu pindi linapotokea tatizo
la Kiafya.

Kwa barua hii tunaomba Umruhusu Afisa wako kiungo ili aweze kushiriki vyema katika Mafumzo hayo.

Wako, katika huduma za kibinaadamu,

Ahsante,

………………………………….
SUDI KUDRA MPONZEMENYA

You might also like