Professional Documents
Culture Documents
Kabanga Secondary School Joining Instruction
Kabanga Secondary School Joining Instruction
Mzazi/Mlezi wa Mwanafunzi…………………
…………………………………………………
S.L.P…………………………………………...
………………………………………………....
NB: Ili kuepuka wanafunzi kushona mishono isiyoendana na sare za shule, tunapendekeza mwanafunzi
ashonee sare zake hapa shuleni.
2.2 Ada na michango ya shule.
a) Ada ya shule kwa mwaka ni shilingi 70,000.00 kwa mwanafunzi wa bweni. Unaweza kulipa shilingi
35,000.00 kwa muhula au kulipa ada yote kwa mara moja.
b) Michango inayotakiwa kulipwa na kila mzazi ni;-
i) Shiligi 20,000/= kwa ajili ya ukarabati wa samani
ii) Shilingi 6,000/= kwa ajili ya kitambulisho na picha
iii) Shilingi 20,000/= kwa ajili ya taaluma
iv) Shilingi 30,000/= kwa ajili ya kuwalipa wapishi, walinzi na vibarua wengine.
v) Shilingi 2,000/= nembo ya shule
vi) Shilingi 20,000/=kwa ajili ya huduma ya kwanza
vii) Shilingi 30,000/= utengenezaji wa uzio wa shule
viii) Fedha ya tahadhari 5,000/= [haitarejeshwa]
Fedha hizo zilipwe kwenye Akaunti ya shule Na. 3211200046 katika Benki ya NMB Account name;
Kabanga secondary school capitation Grant [tafadhari andika jina la mwanafunzi kwenye pay in slip]
C] Mahitaji muhimu ambayo mwanafunzi anapaswa kuleta shuleni ni;-
i) Ream ya karatasi 1 A4
ii) Vitabu vya masomo ya tahasusi husika
iii) Dissecting kit kwa wanafunzi wanaosoma Biolojia zinapatikana shuleni
iv) Scientific calculator zinapatikana shuleni
v) Godoro kwa ft 2 ½ X 6
vi) Mashuka pair 2 ya rangi Ya pink, blanket 1, Foronya1, chandarua1
vii) Vyombo vya chakula[sahani, bakuli, kijiko na kikombe]
viii) Ndoo mbili LITA 20 zenye mifuniko
Kotama1, Jembe 1, Reki 1, mfagio 1 wa ndani [plastic bloom] na mfagio wa nje 1(chelewa )
i) Wizi
ii) Kutohudhuria masomo kwa zaidi ya siku 90 bila taarifa/ utoro
iii) Kugoma na kuhamasisha mgomo
iv) Kutoa lugha chafu kwa wanafunzi wenzake, walimu/ walezi na jamii kwa ujumla
v) Kupigana mwanafunzi kwa mwanafunzi, kumpiga mwalimu au mtu yeyote yule
vi) Kusuka nywele kwa mtindo usiokubalika. Wanafunzi wote wanatakiwa kuwa na nywele fupi
wakati wote wawapo shuleni
vii) Kufuga ndevu.
viii) Ulevi au unywaji wa pombe na matumizi ya madawa ya kulevya na Uvutaji wa sigara.
ix) Uasherati, uhusiano wa jinsi moja, kuoa au kuolewa.
x) Kushiriki matendo ya uharifu, siasa na matendo yoyote yale yanayovunja sheria za nchi.
xi) Kusababisha mimba au kumpa mimba msichana
xii) Kutembelea majumba ya starehe na nyumba za kulala wageni
xiii) Kumiliki, kukutwa au kutumia simu ya mkononi shuleni
xiv) Kudharau Bendera ya Taifa
xv) Kufanya jaribio lolote la kujiua, kutishia kujiua kama kunywa sumu n.k.
xvi) Uharibifu wa mali ya Umma kwa makusudi.
xvii) Kukataa adhabu kwa makusudi
1. Jina Kamili:……………………………………………………………………………………………
Tarehe ya Kuzaliwa:…………………………….Wilaya:…………………….Mkoa:…………….
Taifa:………………………Dini:RC/Anglican/Lutheran/Muslim/Pentecoste/n.k……………….
Shule ya Sekondari unayotoka…………………………………………………………………….
ii.
- JINA …………………………………………………………….
PICHA - UHUSIANO NA MWANAFUNZI…………………………………
- NA.YA SIMU …………………………………………………………
4. Ahadi ya Mwanafunzi.
(a) Mimi:……………………………………………………….nimeyasoma na kuyaelewa maelekezo yote
ambayo ni pamoja na sheria na kanuni za shule na nimekubali kuingia kidato cha TANO katika shule
ya Sekondari Kabanga kuanzia tarehe………………. hadi nitakapomaliza kidato cha sita.
(b) Kwa hiyo naahidi kwamba:-
(i). Nitazitii sheria zote za shule na kutimiza mambo yote muhimu yaliyotajwa
(ii). Sitashiriki katika vitendo vya hujuma wala vitendo ambavyo vitakuwa kinyume na uongozi wa
serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
(iii). Nitatunza mali ya Umma ambayo ni pamoja na majengo,samani,vitabu n.k
Tarehe:………………………………………….. Sahihi ya Mwanafunzi:………………………….
5. Ahadi ya Mzazi/Mlezi
Mimi:……………………………………………………….ambaye ni Mzai/Mlezi wa
Mwanafunzi:……………………………………………………………………………
Ninaahidi kwamba:-
1. Nitashirikiana na uongozi wa Shule,Walimu na Watumishi wasio walimu katika kuhakikisha,mwanangu anatii
sheria na kanuni za Shule ya Sekondari Kabanga. Iwapo atashindwa,kutii sheria hizo,nitalazimika
kukubaliana na adhabu itakayotolewa na uongozi wa shule.
2. Nitafanya kila niwezalo kumwezesha mwanangu,kusoma kwa kulipa ada na michango mingine kama
ilivyoelekezwa na shule.
3. Tarehe:…………………………………………
4. Sahihi:……………………………………………………..Namba ya Simu:……………………………
NB: MAVAZI YASIYO SARE YA SHULE, PASI YA UMEME NA HEATER, HAVITAKIWI SHULENI.
TAFADHALI ZINGATIA HILO.
PROJESTUS KATURA
MKUU WA SHULE
NGARA DISTRICT COUNCIL
KABANGA SECONDARY SCHOOL
ADDITIONAL INFORMATION.
NAME:……………………………………………………………SIGNATURE:…………………………….
DATE:……………………………………………..
OFFICIAL STAMP.
SHULE YA SEKONDARI KABANGA
ORODHA YA VITABU KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO
Kwa sababu mwanafunzi anakuja shuleni kwa lengo kuu la kusoma, shule imeazimia kuwataarifu wazazi/walezi
ambao watoto wao wanajiunga na shule hii katika kidato cha tano kuwanunulia vitabu kulingana na tahasusi
(Combination) zao. Ifuatayo ni orodha ya vitabu vilivyopendekezwa, mzazi anaweza kununua idadi ya vitabu
kulingana na uwezo wake kiuchumi.Hivi vitabu ni vya mwanafuzi mwenyewe :-
SOMO JINA LA KITABU MWANDISHI TOLEO
1. A- Level Chemistry E.N Ramsden 4th Edition
CHEMISTRY 2. Physical Chemistry Mark Daniel
3. Inorganic Chemistry Mzumbe Books Project Part I and Part II
BIOLOGY 1. Biological Science R. Soper 3rd Edtion
2. New Understanding P.O Green and Nelson 4th Edition
Biology Thomas
1. Mastering Adv.level. Kato, A. 2nd Edition
HISTORY PP 1.
2. Oxford advanced Oxford 1st Edition
learners History
3. History Part II alive Zisti, K
1. Monkhouse (physical Monkhouse
GEOGRAPHY Geography)
2. Geography an David Waugh
Integrated
1. Kiswahili 1, Nadharia Masuko Christopher
KISWAHILI ya lugha, kidato cha
5&6
2. Kiswahili 2, Nadharia
ya Fasihi. Kidato cha
5 & 6.
3. Tafsiri na ukalimani Pr. Mansoko
1. Introduction to Dr. H. O. Dihenga
Agromechanics
2. Soil Science G. Lombin
AGRICULTURE 3. Farm Mechanization U.G.N. Anazodo
4. Weeds Science I.O Akobundu
5. Animal Health G.I. Onuora
ENGLISH LANGUAGE 1. Advance English James John (Oxford 1st Edition
Language Form 5 &6 Univ.Press)