Munshid Abdillah Ahmad

You might also like

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 1

JUMUIYA YA MUNSHEED TANZANIA

(JUMTA)
Contact: +255 713 800 008, +255 657 502 909, +255 653 118 448
K/Koo Dar Es Salaam, Email: jumtaorg@gmail.com

13/10/2020
REF NO: SWKH/DSM/O1
MUNSHID ABDILLAH AHMAD

YAH: MWALIKO WA KONGAMANO LA NASHEED TANZANIA


(SWAUTUL KHEYR)
Husika na kichwa cha Habari hapo juu. Jumuiya ya Munshidiin Tanzania (JUMTA) ni jumuiya ya
kiburudani inayo waunganisha Munshidiin wa Tanzania yenye lengo la kutoa elimu kwa Jamii.
Tunayofuraha kubwa kukualika kushiriki katika kongamano la nasheed litakalowakutanisha
Munshidiin na Masheikh wakubwa kutoka ndani na nje ya Tanzania litakalofanyika Jumamosi ya
tarehe 26/12/2020 kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 1 usiku katika ukumbi wa Lamada Hotel -
Ilala, Dar es Salaam. Kongamano hilo linaitwa SWAUTUL KHEYR ambalo lenye kauli mbiu ya
“ufalme wake ALLAH”
Ukiwa ni munshid unaombwa kuandaa nasheed 3 kwaajili ya kuziimba siku ya tukio, moja kati ya
hizo ielezee “ufalme wake Allah” ambayo hiyo nasheed itaingia katika kinyang’anyiro cha tuzo
ya nasheed ya mwaka.
Pia unaombwa kutoa jibu la uwepo wako Pamoja na kutuma Picha yako yenye Quality nzuri
Pamoja na jina lako kamili na la Sanaa kupitia whatsapp ya +255653118448 kabla ya tarehe
15/10/2020.
Ni matumaini yetu kuwa ombi letu litashughulikiwa na kukubalika.
Wako mtiifu,

Jaffar Mponda
Chief Executive Officer.

You might also like